DAKIKA CHACHE| BONGO movie Mpya|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ส.ค. 2020

ความคิดเห็น • 22

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว +2

    Nzuri sana hongera nyote wausika .tnna isubiri kwa hamu

    • @mudimoz9329
      @mudimoz9329 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe Dada Nakukubali Sana Huwa Nakuona Kalibia Kila Movie Naimba Tuwe Marafiki 🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongerrni saaana❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @mwambodzemwangongo3884
    @mwambodzemwangongo3884 3 ปีที่แล้ว

    Inavutia nmeipenda pia..nampa hongera

  • @marymwendia5710
    @marymwendia5710 3 ปีที่แล้ว +1

    I love you so much anti Ezekiel

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Heri ungemuachaa tuu akafanya kaxi akusaliti injee kuliko hapo ndani tena mdogo mtuu kaxi hii ngumu
    Mwenyekumtaka mwanaume naye kapata kizibiti kwakuwa hatakiwi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣pombe sio maji haki

  • @maurasalewi3274
    @maurasalewi3274 3 ปีที่แล้ว

    Mm nipe kila kitu ila usininyime🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kile kitu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Nahuyu si niyule kijana anapenda kuact move zahuzuni Ivan tears kamasijakosea akiwa na shish baby jamani hiyo move mtuleteeee mbonazuri sanaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Mwanaume wakiniambia nisifanye kaxi AI yy hufikiria kusalitiwaaa tuu atembeze kiatu kazi siachii

  • @dicksonbeyanga9269
    @dicksonbeyanga9269 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mara ya kwanza AntEzekel ukiingiza as material wife hongera sana .Nipekunda bure uvaaji wako.

  • @denisjovin1413
    @denisjovin1413 3 ปีที่แล้ว +2

    Move kali

  • @Cambarada
    @Cambarada 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuanzia dakika ya @52:00 wamezingua yan mtu anawekewa konyagi kwenye glas dakika hiyohiyo anazima afu jamaa bado hatoka nje eti tayar pombe imekata ni ujinga

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว

    Hii picha ya kihindi hainaga ushemegi, kwa style hiyo usalama ua mchache

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 3 ปีที่แล้ว

    Msaga sumu alisema hainaga ushemegi tunakulaga,shemegi shemegi usiku zima taa.

  • @maryamukitimu993
    @maryamukitimu993 3 ปีที่แล้ว

    Naomba movie ya vicente kigosi

  • @zawadiagape9762
    @zawadiagape9762 3 ปีที่แล้ว

    👍🏾💞

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 3 ปีที่แล้ว +1

    Make it possible to download pliz

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

    Shemeji anamtaka shemeji

  • @maryamukitimu993
    @maryamukitimu993 3 ปีที่แล้ว

    Na worpa

  • @anitanahimana2115
    @anitanahimana2115 3 ปีที่แล้ว +1

    Asant.sana

  • @sarasospeter8280
    @sarasospeter8280 3 ปีที่แล้ว

    Movetamu.hadi.raha