Sunshine (with English Subtitles)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2014
  • Rufu ni kijana msomi na mwenye hasira. Hakubaliki kazini kwasababu ya ulevi, madawa ya kulevya na wanawake ambao wamemsababishia matatizo mengi. Akiwa na miaka 22 tu tayari anatumia madawa ya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi na kujiingiza kwenye maisha ya uhalifu mdogo mdogo.
    Rufu anatoka kwenye familia nzuri na yenye upendo. mama yake, mama Eva ni mwanamke anayefanya kazi kwenye mgahawa kwa bidii na mtoto wake Eva
    Mama Eva anajua maisha ya Rufu yanategemea kula chakula chenye afya, na kuishi kwa kutumia dawa zake. Anawasiwasi kuhusu mtoto wake na dhiki inamuua.
    Wakati Mama Eva amezimia na kushauriwa kwamba anahitaji upasuaji wa moyo wakati familia yake ni duni. Rufu anaamua kuliweka jambo hili mikononi mwake mwenyewe. Afanye nini ili apate fedha kwa ajili ya mahitaji ya familia na kuokoa maisha mama yake.
    Hii ni hadithi ya upendo kati ya mama na mtoto wake.
    --------------------
    Rufu is educated and smart but restless and angry. He can’t hold down a job and is easily distracted by drink, dope and women, which have landed him nothing but trouble. At just 22 he’s already on ARVs and slipping into a lifestyle dominated by petty-crime.
    Rufu is from a good and loving family. His mother, Mama Eva, a hard working entrepeneur, runs a successful restaurant with his siter Eva.
    Mama Eva knows Rufu’s survival depends on healthy eating, living and adherence to his medication. She is worried sick about her son. And the stress is killing her.
    When Mama Eva collapses and advised that she needs heart surgery the family cannot afford, Rufu decides to take the matter in his own hands. How far will he go to secure the cash the family needs to save his mothers life?
    A story of unconditional love between mother and son.
    Bongo movie | swahili
  • เพลง

ความคิดเห็น • 124

  • @SaimonKalemera-im5dq
    @SaimonKalemera-im5dq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri maudhui Bora kabsa ❤❤😊,

  • @fatumamkupasy9563
    @fatumamkupasy9563 4 ปีที่แล้ว +18

    wale wakusoma comment huku tunaangalia tujuane please😂

  • @JohnThomas-li2vi
    @JohnThomas-li2vi 2 ปีที่แล้ว +4

    Wow! Powerful and very spiritual, a shout out and Love to all my Tanzanian actor brothers and sisters. Peace and Love from America. I'm learning kiswahili on my own and hope to travel to Dar in 2022. Peace.

    • @kitunguuuuu
      @kitunguuuuu ปีที่แล้ว

      if you need a partner to practice Swahili with just hit me up

  • @agnessweya4520
    @agnessweya4520 3 ปีที่แล้ว +1

    Saf San Ben pol umetisha

  • @ruhailar2890
    @ruhailar2890 7 ปีที่แล้ว +9

    jamani hakuna kama mama na kila siku namuombea mama yangu ampe maisha marefu na mpenda sana mama

  • @kalemelamgabo4224
    @kalemelamgabo4224 2 ปีที่แล้ว +2

    2022 still watching. Good work benpol. Mum iz the best 4eva😍

  • @ommie_nyzer
    @ommie_nyzer 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana Ben pol ..sahii umeua game na +254

  • @kasokotakalunga7582
    @kasokotakalunga7582 6 ปีที่แล้ว +2

    wow Ben pol unajitaidi kwa hiyi filamu bwana fresh kabisa

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 6 ปีที่แล้ว +4

    woow ni nzur sana mmejitahid sana alf nimefurai kumuona kaka angu niliyepotezana nae miaka kadhaa#Ally komba

  • @SaimonKalemera-im5dq
    @SaimonKalemera-im5dq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed all mothers all over the world 🙏

  • @zaidu7757
    @zaidu7757 6 ปีที่แล้ว +3

    Sijawahi kuona upendo halisi zaidi ya upendo wa mama!! I love you my mom

  • @nurumahenge3836
    @nurumahenge3836 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi Ben pol umeigiza vizuri sana

  • @omaryally7888
    @omaryally7888 5 ปีที่แล้ว +1

    Umejita I do sana Ben pol nimeipenda

  • @MarkBH70
    @MarkBH70 6 ปีที่แล้ว +12

    Excellent!!! I'm impressed! There are movies in Hollywood, California that aren't as good!

  • @websterkinte8270
    @websterkinte8270 9 ปีที่แล้ว +2

    Filamu kali sana yenye uhalisi wa maisha yetu katika jamii yetu, nimefurahi pia kumsikia hadi Hashim Dogo(Mwanaharamu)....Kunta...Kinte.

    • @issapatrick9581
      @issapatrick9581 6 ปีที่แล้ว

      Sasa asili yapolisi nikuchukiya watu serekali haweziku fatiliya ayinagani watu wanayeswa na police ukali diodisituri police wa africa tunatiya ayibu kuona unaapa kulida raiya kisha ww jokigezo chakutesa raiya

  • @omanhuawei2428
    @omanhuawei2428 3 ปีที่แล้ว

    Ndio kwanza naiona leo from 🇴🇲

  • @hezronigaston7027
    @hezronigaston7027 8 ปีที่แล้ว +3

    Imenivutia sana kila wakati kuitizama kiukweli imenigisa sana

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 ปีที่แล้ว +1

    Movie kali Sana,ben noma

  • @nachohernandez4153
    @nachohernandez4153 5 ปีที่แล้ว +3

    Ɓonge la movie ƙazi imetulia sana.

  • @scottazimio3954
    @scottazimio3954 3 ปีที่แล้ว

    Dogo amefanana sana na Ben pol

  • @mwilikomahalla9153
    @mwilikomahalla9153 3 ปีที่แล้ว

    Daah ben pol we nimukali kinoma daah saluti

  • @marleysumaty2942
    @marleysumaty2942 8 ปีที่แล้ว +4

    hii ndo bongo movie sasa sio hzo zngne production ipo poa sana ipo kitanzania ila ata watu wa nchi zngne wanaona utofaut na uzuri

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 ปีที่แล้ว +2

    *Filamu nzuri Sana,kazi nzuri*

  • @hadijasaid9625
    @hadijasaid9625 6 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri sanaa big up.

  • @naominandy94
    @naominandy94 5 ปีที่แล้ว +4

    Good job 👏 ben Pol

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว +2

    Benpol unakipaji👍❤❤❤❤

  • @eminentiaknight8117
    @eminentiaknight8117 7 ปีที่แล้ว +3

    nice movie ....well done benpol

  • @nadhlfasalmazena7444
    @nadhlfasalmazena7444 6 ปีที่แล้ว +2

    Hiiiii movie nimeiona Zamani Sana Hadi sikumbuki kabla nimjue Ben Pol kwenye musiki

  • @iamonthursday6339
    @iamonthursday6339 4 ปีที่แล้ว +2

    Hi...I'm indonesian 🇮🇩and I love this movie 😄

  • @mbarakfarid331
    @mbarakfarid331 6 ปีที่แล้ว +2

    mm niulize swali bwana maana sielewi hizi filamu zengine zinapatwa na nini adi zinakuwa mbovu na zengine kama hizi zinakuwa zimepata utulivu wa hali ya juu sana.. hongera sana walio l'direct hii filamu imekulia sana

  • @moshimongelwa638
    @moshimongelwa638 6 ปีที่แล้ว +1

    Ben pol kazi nzuri nishaona filamu zote wasanii inahonesha wanaumoja

  • @issamkwewa9288
    @issamkwewa9288 9 ปีที่แล้ว +2

    NIMEMUELEWA ZAIDI GND BIG UP MKUBWA

  • @t33pelos77
    @t33pelos77 6 ปีที่แล้ว +1

    ben upo vzr kaka umecheza vzr sana

  • @emilyelsie4009
    @emilyelsie4009 7 ปีที่แล้ว +2

    One of the best movie big up😘😘

  • @andjelaninyassa1817
    @andjelaninyassa1817 6 ปีที่แล้ว +3

    Thanks mother for helping me mother is mother 😘😘😘😘😘😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @historianyeusi9524
    @historianyeusi9524 4 ปีที่แล้ว +1

    Nasikia nyakyusa language humo..👏👏

  • @aimelynn4535
    @aimelynn4535 7 ปีที่แล้ว +4

    well done Ben pol

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 ปีที่แล้ว

    Mama mpambanaji anampambania Mwanae na Mtoto anampambania Mama Guud

  • @bravomwazyunga4641
    @bravomwazyunga4641 5 ปีที่แล้ว +7

    anyone 2019

  • @ibrahimugilya7519
    @ibrahimugilya7519 4 ปีที่แล้ว

    Daaaàh huyoo mama anaitendea haki nafasi ake 🤗🤗🤗

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kama mama jamanmama ni bora

  • @MarkBH70
    @MarkBH70 6 ปีที่แล้ว +1

    NZURIIIII!!!! Furaha!

  • @sulleyalmass9814
    @sulleyalmass9814 6 ปีที่แล้ว +2

    Nice 👍 job Ben Pol

  • @aboutricaladenbundala6128
    @aboutricaladenbundala6128 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi xana movies nzuri

  • @jayelias1654
    @jayelias1654 6 ปีที่แล้ว +2

    Well done Ben piseee

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 5 ปีที่แล้ว

    Tunaitaji movies kama hizi bigup mmetisha

  • @hancembogella
    @hancembogella 9 ปีที่แล้ว +2

    Tamu sana hii movie

  • @aloycefaustine9250
    @aloycefaustine9250 9 ปีที่แล้ว +2

    Nice film

  • @abdulrahmankajama635
    @abdulrahmankajama635 6 ปีที่แล้ว +1

    Ben umetisha mzee.

  • @janvinlemah4369
    @janvinlemah4369 5 ปีที่แล้ว

    Ben pol uko vizuri

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 4 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @djrichsingelifreva8245
    @djrichsingelifreva8245 3 ปีที่แล้ว

    Hii movies inanifanya nimkumbuke Mama

  • @TheSebfred
    @TheSebfred 9 ปีที่แล้ว +6

    wemkali sn kaka lufu

  • @lailaabdullah8223
    @lailaabdullah8223 7 ปีที่แล้ว +2

    Nice move

  • @carenewera1709
    @carenewera1709 7 ปีที่แล้ว +2

    Nice movie

  • @charlesmakunga7946
    @charlesmakunga7946 9 ปีที่แล้ว +1

    nimeipenda sana hii.,, ben peezy umefanya poa sana bro, keep it up.

    • @MrLASKOG
      @MrLASKOG 8 ปีที่แล้ว

      +charles makunga anyone know the song at 44.01 min holla kinda catchy

  • @arafaomary728
    @arafaomary728 5 ปีที่แล้ว

    Nice one

  • @aidanlukoto5832
    @aidanlukoto5832 5 ปีที่แล้ว +1

    kali

  • @amanimasinga6985
    @amanimasinga6985 5 ปีที่แล้ว

    well done

  • @carenefaustine9460
    @carenefaustine9460 7 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Ben Pol

  • @pizzomsafi2084
    @pizzomsafi2084 4 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri saan kupita maelezo @Ben pol katishaaa saaan

  • @bozipaty6335
    @bozipaty6335 6 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri

  • @ismail6860
    @ismail6860 4 ปีที่แล้ว

    Very nice story. 🇺🇬

  • @alphoncedeus338
    @alphoncedeus338 6 ปีที่แล้ว +1

    Ben pol ebu jicjanganye huku na kule kumbe unavipaj cio kipaj dah nzur kinyaaaaama

  • @alialesry5131
    @alialesry5131 7 ปีที่แล้ว +3

    Jamani hii filim inaliza jamani

  • @zubedayusuph4960
    @zubedayusuph4960 9 ปีที่แล้ว +3

    Nice nimependa

  • @sharkialovely1866
    @sharkialovely1866 8 ปีที่แล้ว +1

    this good movie keep up music and movies everything u are good

  • @lutachahalajohnkalokozi6297
    @lutachahalajohnkalokozi6297 6 ปีที่แล้ว +2

    Pen pol unafaa

  • @emanuelnixon3254
    @emanuelnixon3254 5 ปีที่แล้ว +1

    2019 👍

  • @hamudsuad4193
    @hamudsuad4193 5 ปีที่แล้ว +1

    2019. nisaidieni jina la wimbo (15:51 ) Tafadhal

  • @Pmax255
    @Pmax255 9 ปีที่แล้ว +1

    Ben Pol na Eva wote nimewakubali

  • @zainabujaekanishidaa3971
    @zainabujaekanishidaa3971 6 ปีที่แล้ว

    nice the stl

  • @ladydede88
    @ladydede88 5 ปีที่แล้ว +8

    This was good. Sooo who going to help me learn Swahili 🤗

  • @margaritaraymond4070
    @margaritaraymond4070 5 ปีที่แล้ว

    Kinyakyusa kimo raha sana

  • @daudaswile6661
    @daudaswile6661 4 ปีที่แล้ว

    SIku zote izi nilkuwa wap kuona movie nzur iviiiiiiii

  • @sherrydaniely9402
    @sherrydaniely9402 7 ปีที่แล้ว +2

    movie nzr

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 5 ปีที่แล้ว +7

    Enzi hizo mshikaji haja toboa😀😀😀😀😀

    • @jumarajabu8875
      @jumarajabu8875 5 ปีที่แล้ว +1

      Young killer Msodoki King wa rap baba nakuelewa sana mkubwa

    • @tariqjay4690
      @tariqjay4690 4 ปีที่แล้ว

      g

  • @emanuelbelato7335
    @emanuelbelato7335 6 ปีที่แล้ว

    hii movie ni reality kabisa ya familia Yangu kwakweli imenikumbusha mbali

  • @aussieman23
    @aussieman23 7 ปีที่แล้ว +3

    Mtu yeyote kujua wimbo ambao hucheza katika filamu?

  • @issadesmond477
    @issadesmond477 5 ปีที่แล้ว

    Aaa kumbe ata movie unaweza mzee Ben Paul we ni kiboko sema unakuwaka slow ila sio kesi uko poa sn

  • @sylvesterislael1598
    @sylvesterislael1598 5 ปีที่แล้ว +3

    iv? wagaw tuzo uwa amuon mov zakugawa tuzo iz ndo mov ambazo zina paswa kuchukua tuzo kwa sababu zina elimixh jamii.

    • @azeezaabdalla4673
      @azeezaabdalla4673 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa aho wanaopata tuzo movie zaho ata azieleweki bola hihi

  • @nadhlfasalmazena7444
    @nadhlfasalmazena7444 6 ปีที่แล้ว +3

    Ben Pol Duuuuh

  • @solangesoso3100
    @solangesoso3100 5 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana hii film, imetulia haina fujo, laiti waigizaji wangeiga mfano kwa hii.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 6 ปีที่แล้ว +1

    Ben pol mwafanana na hyo mama sjuwi ni mama ako?

  • @priscandalize4428
    @priscandalize4428 5 ปีที่แล้ว

    afande hafai

  • @bartkardoulakis2437
    @bartkardoulakis2437 7 ปีที่แล้ว +4

    Filamu nzuri! Je, mtu anaweza kuniambia majina ya nyimbo zote?

  • @Blackie_blackie9327
    @Blackie_blackie9327 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama Ni mama❤❤❤❤

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 6 ปีที่แล้ว +4

    gmd kwa mitanda anatumia jina gani huyu

  • @andrewjoseph3950
    @andrewjoseph3950 6 ปีที่แล้ว +1

    niS

  • @karathajunior6675
    @karathajunior6675 5 ปีที่แล้ว

    Next tym..scene zinazo hitaji professional ni bora ..awepo MTU..mwenye.. Iyo professional.. Mfano hao maafande..wamechemka saaana..hawajatosha kabisa..kwenye iyo nafasi..kifupi hawajaitendea haki hiyo scene

  • @MrLASKOG
    @MrLASKOG 9 ปีที่แล้ว +3

    anyone know the song at 44.01 min holla kinda catchy

    • @aussieman23
      @aussieman23 7 ปีที่แล้ว

      Do you know what the song is called towards the end of the movie?

  • @MrLASKOG
    @MrLASKOG 9 ปีที่แล้ว +1

    anyone know the song at 44.01 min holla kinda catchy 
    Translate

  • @enjoy5547
    @enjoy5547 7 ปีที่แล้ว +4

    youtube top in town

  • @warriorqueen8285
    @warriorqueen8285 3 ปีที่แล้ว

    I NEED HELP LEARNING SWAHILI ANYONE ON DOULINGO?

  • @ashoknayaki7776
    @ashoknayaki7776 ปีที่แล้ว

    Install audio
    Bible

  • @maryamandayi6106
    @maryamandayi6106 8 ปีที่แล้ว +1

    nani Kama mama 😓 nmelia just missing my mum

  • @ruhailar2890
    @ruhailar2890 7 ปีที่แล้ว +2

    daaa yani nime toka machozi una sikitisha sana

  • @theuprightman9303
    @theuprightman9303 8 ปีที่แล้ว +2

    Honestly, I really didn't get the message about the whole story

    • @husnaramadan4904
      @husnaramadan4904 7 ปีที่แล้ว

      hongera beni mungu kakujaaliavipaji Ila kimzikiungrpendeza sana kuimbagospo kwa jinsiulivyounafaa sana gospo

  • @ashoknayaki7776
    @ashoknayaki7776 ปีที่แล้ว

    English bible App
    Afrikaans bible App
    Arabic bible

  • @julietkiende8941
    @julietkiende8941 7 ปีที่แล้ว +1

    Nice movie