Network (with English Subtitles)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2014
- Detective Demango akiwa amebakiza wiki tatu kazini, hajali na anajua siku zake za kukaa Dar es salaam zimekwisha. Anajisikia vibaya kutokana na kifo cha mkewe, na kuanza kujihusisha na ulevi wa pombe, na kukata tamaa kuendelea kutumia dawa za kupunguza makali ya VVU. Kwake huu ndiyo mwisho wa maisha mpaka anagudua kuwa kuna muuaji ambaye anafuatilia mahusiano yake ya kimapenzi.
Haya ni mambo ya kibinafsi... na muda unasonga.
---------------------------
When Detective Robert Demango, one of the forces' finest, is given three weeks notice for lack of performance; he doesn't give a damn. He knows his days as Dar es Salaams most celebrated detective are over. Riddled with guilt for his wife's death, depressed and drinking heavily, he's given up trying to adhere to his anti-retroviral treatment. For Demango, the game of life is over... until he discovers a serial killer is targeting his sexual network. This case is personal. But is there time to prove himself once again?
This case is personal... and the clock is ticking - บันเทิง
Sijawahi kupenda filam ya kitanzania kama nilivo ipenda hiyi nisahihi kuwa hiyi ni historia ya kweli Asanteni kwakutumia vyema sanaa kwa kuelimisha ❤️✌🏼
hii ni move mzuri japo sijaimalizia hhhhhhhh iko siki tz itafika tunapotaka acha nijishushie soda bariiiiiid uku nikimalizia move mie👌
Unos de las mejores peliculas desde lleguè en Tanzania. Me gusta los sub titulos y el acento del suajil. Y tambien la calidad de foto es buenisima. Gracias a todo.
Nakupenda sana mwanalisa
@19:40 "Amesomea chuo cha Eastern Kentucky University" nimefika kwenye hio university... itz so expensive but ni great school top ranked in the U.S. kwenye Criminology courses
waoo!movie nzuri,story nzuri, kazi nzuri swahiliwood,i am proud nw to watch tanzanian movie
I never thought there a re a nice movie in Tz like this one......very heart touching...
Nimependa simulizi yake na walioigiza wameitendea haki......bila kusahau huo background wimbo wa sema nae pulizzzzz nisaidieni kuupata nimeupenda au alieuimba ...
great swahiliwood apreciating so much your works napenda kujua wimbo ya live band kwa club inaitwaje
Ayse nimeikubali saana nime enjoy nimejifunza
Asante sana mungu awabariri .
Duuh mona Lisa uko vzri ndo maana nakupendaga sana in short move imetulia
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Nimeipenda sana hongereni na mzidi kutuleteya vizuri
Hii ndio quality ya production we talking about kwenye bongo movie industry. You guyz you your amazing man..Naona mnavyoStruggle kutuleletea kitu perfect. Congratulations guys.
jukay thetanzaniandream Asante sana na endelea kua nasi uwepo wako hapa ndio furaha yetu sisi.
jukay The Tanzanian Dream nimependa
Wawoooooooo movie nzr sana Ahsante swahilwood
Nimeipenda hongereni sana na mzidi kutuleteya vitu vizuri
Wooow! Raha Sana! Movie inamafunzo mazuri! Hongereni Sana
Daah kwa hali hii tasnia ya sinema za ktz inapiga hatua,, hongera sanaa👍👍👍
Hamjawahi kuniangusha co big up sana,mnaelimisha,mnaburudisha na mnatufeka vizuri sana ki saikorojia.
Napenda sana muvi aina hii..wqmeitendea haki sana
dah nimeimaliza aiseee noma saaaaana
zamani nilikuwa nazipenda sana aina hizi za movie lakin baada ya kuwa kwenye hii industry nayaona makosa mengi sana tena sana. juhudi zinahitajika
Nimeipenda sana hiyo!
Mona good job bonge la picha nimeikubali
Wao movie nzr sana ,hongeren kwa kaz nzr
nzuri saana swahilihood mko juu mi napenda kaz zenu yaan mnafanya vizur sana hongereni
Good mvie
Namkubali sasna huyu directer movie zote anazoziongoza ni noma sana kaza mzee baba uisogeze tasninia panapo takiwa
Nikitu kizur kwel changa moto zinafany watanzania mbak tunafany kitu good movie ni Kali kinoma Respect kinoma sana
Woow nice move
hii movie ni nzuri japo kisa kigumu ila mmeicheza vizuri sana sio kama zile movie zetu unajua mwisho nani anakuwa tajiri na anampata yule mwanamke
ANDRY DAVID
Tunashukuru Andry David. Tafadhali endelea kutazama filamu zingine hapahapa Swahiliwood.
nc
Nime ipenda sana hongeren
Hapa tulipo tushikirie hapa hapa ili tupate kitu Bora Zaid hii movie iko bomba Sana ongereni washiriki wa hii movie
Nice move nice production bongo tukiendelea hv tatafika tunapopataka.
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Hii movie kali sana
Yes iko poa
Movie nzuri sana.
Katika filamu sa TZ hii nzuri zaidi
Oooh my God! Nimeipenda sana tena sana
carene wera how are you
Ni nzuri napia inamafunzo yake katika maisha
Good quality movie
Asante nitasa
Albert einstein in bongo movie😄
Nzuri yenye nafunzo sana
Iko poa Sana
Nice movie
37:30 Uyo kijana anapambana na maisha magumu katereka nyanya zake kwisha gafla wanazipitia nakuzimwaga
yani Kanichekesha sana Alivo sema
Aya sio maisha😅😅😅
naipenda hii move hasa ile nyimbo zake
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Sijawahi kuangalia muvi ya kibongo afu nikaridhika kama ilivyo kwenye hii muvi.....moja kati ya kazi bora kabisa kupata kuziona..Big up kwenu
Saad Shaib Kitugani kimekufurahisha mpaka ukasema hivyo ?.
waaaaah gud trial imenichukua mda mrefu kujua ino game vile imenda keep it up
Binti Rashid Antybaby
Good movie
nimependezwa na quality za movie zenyu, pia na sounds effects...ziko shwari kabisa!
kazi njema
Iko poa sana
imenibariki
congratulate Swahil wood thanks I have learnt something in this move big up sana pande hizo
thanks
Huyo Dimango katulia kama hapewi adhabu vile jamani mbona cjamuelewa hapo ila inshort mouve n mzuri sana
Dah yan kibongo bongo movies za actions na ukijumlisha na mambo ya upelelezi ,mauji ,police yan hii ni zaid ya movie ni nzur sana first of all story inafundisha jamii (kuhusu ukimwi na lengo ya filam yenyewe ni hyo bila ya kukosea) wahusika wameplay part zao kila mtu vizur hasa detective Damengo ni nouma huyu mzee had kanitoa machoz wakat pale anamkumbuka mkewe akachana upande wa picha yake na kubakiza upande wa mkewe na mtoto wake huku machoz yakimtoka (even me kaniliza kiukwel pale) na Monalisa huwa hukoseagi kwenye movie zake kaitendea haki film Pongez kwa producer, director na washiliki wote nimeipenda sana hii movie Big Up wote!
tin sang Wan Asante sana kwa kutazama filamu yetu.unadhani kuna watu kama Demango sehemu tunazo ishi ?.
Daaaaaaaaaah GOD wish bonge film kuielewa bongo big up mkono mzuri endelea isiwe mwisho
Mzee sharobaro kwli waah
story nzuri yenye kufunza
good moves tunaomba kadi yanjano pt 2
part haipo, pole. Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
Jamani hio njimbo ya acha wivu ni ya msanii gan nimeipenda asee
hii movie utadhani ya Kihindi;;;;;~
still watch 2018 alright
Kweli nimeikubal hii movie, inamafunzo mengi ila moja kubwa ni kwamba ucolijua ni ucku wa giza na umdhaniae ndiye yaweza kuwa cye
Setina Muhungu Asante sana je ungependa kuwaambia nini waigizaji..?
duh..movie iko juu kweli..story yake nzuri
Mhilu Kiluwasha Asante endelea kua nasi tafadhali.
Monalisa kwenye hii umeweza nimekusaluti.....hii movie ni kubwa kinoma itachota matuzo
dah ase bonge la kitu hatar sana
movie ya mda lakin ni moootooo ,bongo movie mlipotelea wapi
movie nzuri
Kanuba
45;10 ….R.I.P Abby
ngoja na mm niipakue niione manake naona maoni yote yanaisifia nikishaona na mm ntatoa maoni yangu ahsante..
Abasi Lema Tunasubiri maoni yako kwa hamu sana.
holy crap, i didn't know Rev. Al Sharpton spoke Swahili...
ipo poa
hiiii ni kal more than
Mzee ngote
Tunaomba msimu wa pili wa jambo na vijambo tafadhali@swahiliwood
Move iko poa Sana
Lameki Mandele Asante endelea kua na sisi.
Kawimbo katam balaa
Huyu mzee.mango bado yupo sawa anaeza pata mke mbichi bikra aka muoa
Nafuatag tu huu wimbo
Swahili hood stand up
Uyo Dimango nywele za kwapani zimemjaa balaaa
Milemo tetele
Bhole mami
Duh sina neno!
swahili hood namna ya ugizaji nikiwango cha juu niipenda sanaaaa
mpwani asili Asante sana tafadhali fuatilia vipindi vyetu vingine kama kipindi kipya cha vichekesho kinacho itwa Cheka na mimi..!
boooonge la movie
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
This was a good movie though a very bad conclusion. What happened to Elizabeth? and Dec. Dimango? He should have found his son to make his dream true. Tanzania yall can do better.
Tulia Mulibinge Umejifunza nini kwenye filamu hii ?.
Your closest friend can be your worst enemy.What goes around comes back around.
HIVI BONGO MOVIE MUNGEAMUA KUSHIRIKIANA NAKUPIKA VITU KAMA HIVI NANI ASINGEFUNGUA KINYWA AKIPOKEE HII NZURI NI VIWANGO VINGINE
Wooow! Raha Sana! Movie inamafunzo mazuri! Hongereni Sana