Kaka kwema naitwa balemba nipo karagwe kagera Tanzania mtani wako naomba utoe maelezo kdg kwa Hawa ambao Awana elimu wameishia darasan la Saba form four wanawezaje kufika ughaibuni na wanaweza kufanya kazi Gani maana unatoa maelezo ya watu wa elimu ya juu Hawa wa chini awaelewi Asante
Kiongozi habari ya kazi Mastercard Scholarship university of pretoria inatfunguka mwezi wa tano mwaka huu kwa ajili ya mwaka wa masomo 2025. nikiwa kati ya watanzania wachache tuliofanyikiwa kupata scholarship hii tunapenda watanzania wengi waweze kuomba na tutakua na semina mwezi wanne Tanzania Dar es Salaam tarehe nitakijulisha kwa ajili ya kuwasaidia wengine kuomba. Tunaomba utasidie kuitangaza asante.
Mie Mjukuu wangu alinichekesha! Alimwambia Mama yake eti wabebe Sukari waende nayo Marekani! Alisema hajawahi kuona Sukari kwao! Ni kweli hajawahi kuona sukari kwa sababu wanatumia Asali!

EBM una spirit ya kujiamini balaa umefanya matukio makubwa ungali mdogo sana, Mungu azidi kukuimarisha na kukubidiha
Wow Great, I enjoyed much
Mie Mjukuu wangu alinichekesha! Alimwambia Mama yake eti wabebe Sukari waende nayo Marekani! Alisema hajawahi kuona Sukari kwao! Ni kweli hajawahi kuona sukari kwa sababu wanatumia Asali!
Kaka Mimi naitwa Boazi Nipo Tanzania ni muha wa kasulu kigoma. I wish nifike marekani sijui naanzia Wapi kaka naomba unisaidie
Unaweza omba green card na pia unaweza kwenda kwa kutumia ujuzi ulionao mfano kama nurse unaweza fanya mitihani ya marekani ukifaulu unapata kazi kule
Hiyo mitihan kwa Tanzania inafanyikia wapi?@@joasitz9559
Hongera Shena.
Unakesha kweli jamani suami mambo uchawi sipendi kuaa watu wanaomini MUNGUVWANGU NDIO NAMINI DI WACHAWI
Hata wanaooana kwa kuchumbiana na kutuma Mshenga, mambo yakiwa sivyo ndivyo Ndoa inavunjika!
EBM amesema washakuja hawa vichaa? Tengua kauli jamani.
Shena umedamka saa ngapi? Sisi huku ndo tumeamka muda siyo mrefu!
Sisi wenye majina ya kina Ernest sisi wote ni SIMBA SC