walikuja na wamepita wamekwenda lkn Nyerere is the best leader in Tanzania,Africa and in the world no one like him rest internal piece my former President father of nation of Tanzania.
R.I.P BABA WA TAIFA Maana alikuwa ni kiongozi aliyekuwa na mtazamo wa mbali. Taifa tumekosa kiongozi muhimu saana. Mwenyezimungu akupe maisha marefu na yenye amani ktk ulimwengu wa Mbinguni 'AMEEN'
This is person is one of better lead in Africa .However around the world why?Because is person who make Tanzania being better country in African and in the world and make people feel more confidence .thank you nyerere for everything
Mwalimu JULIUS K. NYERERE ni Baba ambaye alikuwa akisema maneno yanayoishi, Tangu Wazazi wetu mpaka sisi watoto wao. naisikia hotuba ya miaka 10 na zaidi nyuma lakini yote anayoyasema mpaka leo yapo kama vile alisema jana. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Babu na Baba wa Taifa la TANZANIA.
Nadhani tujifunze naona uko sahihi Kuna wengi Sasa watumia makabila yao kuomba kura Tena wa nafasi za juu wajifunze kitu toka kwa Mwl mtu wa watu alopenda haki ya vitendo so ya maneno
Here late Julia's kambarage nyerere talk. About weekiness of polition looking for opportunity of leadership use trable Wich is the poison on same of our political carrier in Africa this is what Julia's kambarage nyerere explain to Tanzania national to avoid polition who looking leadership use traiblalizim trying to remaind Tanzania people what happened in rwandwa people killing each other even in the charch this voice is not only for Tanzania but was for same Africa country with such leadership not good adier trabalizim political lntanol pressure on use traiblalizim
Ulikuwa kiongozi bora lakini kutuacha na hii Katiba ni hatari kwetu. Maana watawala wa ccm wanaona tukipata Katiba mpya inayopunguza madaraka kwa huyu mungu mtu hawawezi kupata raha maana hawatapata watumwa wa kukanyaga.
hatokea kiongozi mwenye upendo kama jk nyerere kwa kudhamini wanainchi wke na kuwa fundisha watu kuwajibika xixi unafundishwa na kuladhimishw ufisadi tunakwenda wapi watanzania
mbali na mapungugufu aliyo kuwa nayo Binadamu lakini Mzee huyu mungu kamjalia uwezo wa kipekee yaani ukimsikiliza kwa umakini bas katika mazunguzo ya ke una weza uka ondoka na faida ama kweli ww ni Baba wa Taifa
mmh...!! inafika hatua nashindwa niandike nn juu ya huyu mzee hayati wetu....nimeamin hela ya mirathi kwa mtoto huwa haidumu maan halijui jasho ya ile hela....ni sawa na viongoz weng cku iz wameshindwa kufuata misingi ya uongoz sababu hawalijui jasho lake namna uobgoz ulivo.....taifa la Leo bado linaelement za ukabila, udini ....
hakutaka kufanya kwa kufuata mob.hakutaka tu mabadiliko Bali yaliyo ya kweli na kupitia mtu mkweli.mabadiliko hayatoshi kuyasema tu.dhamiri njema ndo msingi wa kila kitu.well formed cpnscience
Nazidi kutafakari huyu mzee alikua anamaono gani yajayo mbeleni na hakika leo hii ndio yanayotokea. Eee Mwenye enzi Mpe Macho ya Rohoni Ayaone yanayotokea ndani ya nchi aliyoijenga na hata kuwatokea viongozi wanaokiuka maadili. Daima Tutakuenzi Baba Yetu Wa Taifa la Tanzania
Mwalimu Nyerere aliijenga Nchi kwa msingi wa Umoja...Hapa Kenya wakapora Nchi ...Asante Mwalimu👏
2024...... Mad Philosopher right here listening to the knowledgeable ✍️💪💪💪
Mungu amlaze mahali pema peponi mwalimu Julius kambarage nyerere kafanya kazi kubwa sana Tanzania tumkumbuke sana
Mungu akulaze mahali pema peponi amina tutakukumbuka daima wewe na hayati magufuli tunaomba sana atokee wenye maono kama nyinyi
walikuja na wamepita wamekwenda lkn Nyerere is the best leader in Tanzania,Africa and in the world no one like him rest internal piece my former President father of nation of Tanzania.
Mzee mungu akurehemu, uliyoyasema zamani Leo Kenya tunakabiliwa na shida ya ukabila zaidi
A leader of a kind...an intellect,a great orator and a champion of social justice.
R.I.P BABA WA TAIFA Maana alikuwa ni kiongozi aliyekuwa na mtazamo wa mbali. Taifa tumekosa kiongozi muhimu saana. Mwenyezimungu akupe maisha marefu na yenye amani ktk ulimwengu wa Mbinguni 'AMEEN'
This is person is one of better lead in Africa .However around the world why?Because is person who make Tanzania being better country in African and in the world and make people feel more confidence .thank you nyerere for everything
Pumzika mzee tunakuombea sanasana mzee wetu tanzania
Uko vizuri Mzee nyerere. Mungu akubariki
Kwa kuwa kufa ni lazima, Pumzika kwa amani Mwal.
Hakika ulikua kiongozi Wa African nzima ,,,daima tutakuenzi
Where can african leaders get this influencial leader like mzee surely u were rip mwalim
Sure , from my heart hon, magufuli, and Nyerere, God Blesses them. By daniel
haja wahi fanana na mtu huyu ni rais wa pekee ambaye wazungu walimpenda na sisi pia we miss u dad....
It is happening now in India, thanks father for alerting us .
Enough Leader in leadership
The best african leader
Eddy Meshack True
ffsg
Eddy Meshack
Hatimaye iwe *Mtakatifu Julius nyerere* R.I.P. Baba
Akili na speech zake bado zipo Hai na bado Zina nguvu sana, mwenye akili timamu lzm a naendelea kusikilizwa speech za Mwl. baba yetu Nyerere
2024
Mwalimu aliona mbali mno.
Msikilizeni kwa umakini then mfanye chaguo sahihi October 25
We shall remember our father forever!
Charisma....Africa and probably the entire so called third world has never had a leader like Mwalimu...
amakweli mh. Lowassa tulimpenda sana tena sana Mungu azid kumbariki.
Africa is thirsty for such leadership, we are so rich but yet leave poor lives, strong but yet weak in values,
Mwalimu JULIUS K. NYERERE ni Baba ambaye alikuwa akisema maneno yanayoishi, Tangu Wazazi wetu mpaka sisi watoto wao. naisikia hotuba ya miaka 10 na zaidi nyuma lakini yote anayoyasema mpaka leo yapo kama vile alisema jana. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Babu na Baba wa Taifa la TANZANIA.
Tanzania was very luck at the biginning, what a leader....
Mzee yupo vzr sana ktk hotuba zake
huwezi mfananisha na MTU yoyote
Tuna Amani,tuna umoja tuna hitaji kuendeleza,hatujakamilika.tusithubuti ukabila na udini,hivyo viwili tusipuuze,mwl kaona mbali sana
Nyerere was da among of great philosopher
The tragedy is since Mwalimu Nyerere's death,the country has not yet produced leaders with balls and wisdom like him
Safi Sana namshukuru mungu watanzania tumepata raid magufuli kwa vitendo na sio kwa maneno Kama ilivyokuwa huko nyuma
Huoni aibu ,huyu mzee hafananishwi bwana
Rest in peace Jk Nyerere
ASANTE SANA, TUTAKUKUMBUKA DAIMA
Hongera sana Baba wa Taifa
Nyerere ni kiongozi wa kuigwa pia ni mwalimu lakini wanafunzi wake ni akina nani
Nabii na mtumishi wa kweli aliekuwa na maono na mtazamo wa kweli wa mambo yaliyopo na yanayokuja
huyumzeee alikuwa na hekima kama za suleimani
Asanteni sana Simu Tv!
man united
Most talented leader, Pumzika kwa aman baba wa Taifa
may ur soul rest in peace our beloved father,,daima tutakuenz na wosia na nasaha zako bado zinaishi na kutukumbusha mengi...
asante mwl nyererd kwa hotuba ako nzuri
Nyerere dah kwann kuna kufa lakini dah miss you our father
Mwalimu, hakika hotuba hii ni kweli kabisa
Mwalimu, hekima yako ni zawadinya Mungu kwetu.
2019 bado nakusikiliza
No, way than to be truth, temerity, and transparent in case of successful, also development, also to sight the God.
aliss odo
Are there any individuals aspiring to political leadership in Kenya listening to this???
Huyu mzee sijui kama atapatikana mwingine hapa Tanzania.
Kanumba
Nadhani tujifunze naona uko sahihi Kuna wengi Sasa watumia makabila yao kuomba kura Tena wa nafasi za juu wajifunze kitu toka kwa Mwl mtu wa watu alopenda haki ya vitendo so ya maneno
alieangalia 2020 like hapa kwenye hii coment
love him allot
uko sawa mwalim
Huyu mzee alikuwa wakipekee....
Here late Julia's kambarage nyerere talk. About weekiness of polition looking for opportunity of leadership use trable Wich is the poison on same of our political carrier in Africa this is what Julia's kambarage nyerere explain to Tanzania national to avoid polition who looking leadership use traiblalizim trying to remaind Tanzania people what happened in rwandwa people killing each other even in the charch this voice is not only for Tanzania but was for same Africa country with such leadership not good adier trabalizim political lntanol pressure on use traiblalizim
Kiongozi bora hakuna kiongozi ni mungu tulio baki ni kuishi kwa hofu chuki umm kutangulizana mbona nanyinyi mtakufa
Ulazwe Pema Peponi Nyerere.
Ndo viongoz wanaotkiwa eemwenyez mungu ibrk TAZANIA na Raisi wet
100% true, its happening now..
ulale mahali pema peponi.amina
Ulikuwa kiongozi bora lakini kutuacha na hii Katiba ni hatari kwetu. Maana watawala wa ccm wanaona tukipata Katiba mpya inayopunguza madaraka kwa huyu mungu mtu hawawezi kupata raha maana hawatapata watumwa wa kukanyaga.
Mwalimu, tunakukumbaga hadi Leo ( MGRIP)
Ukweli kabsa
hatokea kiongozi mwenye upendo kama jk nyerere kwa kudhamini wanainchi wke na kuwa fundisha watu kuwajibika xixi unafundishwa na kuladhimishw ufisadi tunakwenda wapi watanzania
Polepole ndiyo mwendo na mtaka cha uvunguni shart ainame!
Mungu akupe pumzi ya milele
Rest in peace ,I will never forget you,amen
Mwalimu....Hakika viongozi wengi hugawanya wananchi.
Duuuu!!!! Kweli mwalimu alikuwa kiongozi bora na sio bora kiongozi
hakika urikuwa na maono yambe
kna watu wanadiriki kkusmama na ksema hyu mzee
Baba tunakukumbuka sana wewe na magufuli hatutawasahau daima
Mwl. MUNGU akuongoze
Gud father
Baba wa kwanza wa Ta ifa la Tanzania,wosia muhimu sana.
Ulijuwa kuona mambo yajayo kabla hayajafika!! Daima tutakukumbuka!
mungu anaweza kumleta mtu kama huyu.....
A nice speech
ALLAH akulipe unachostahiki kulipwa
Kweli mwalimu, kutafuta uongozi kwa udini na ukabila ni kugawa taifa!!!!!!!!!!
Mwalimu was a genius
Nani anaangalia hii 2022 gonga like
Tutaendelea kukumbuka kwa kujenga umoja wa Kitaifa ambao ndiyo msingi wa maendeleo ya kiuchumi,kisiasa,kiutamaduni nk.
Kuhusu ukabila ,,,hayati baba wa taifa alinena vyema sana,,,, anastahili pongezi na kuenziwa
l Éternel Dieu nous tant.
tutamkumbuka sana mw.nyerere kwa mengi yenye faida
Mwalimu nyerere ni nabii alisi toka kwa MUNGU. Yote aliyoyasema yanaendelea atakumbukwa vizazi na vizazi.
mbali na mapungugufu aliyo kuwa nayo Binadamu lakini Mzee huyu mungu kamjalia uwezo wa kipekee yaani ukimsikiliza kwa umakini bas katika mazunguzo ya ke una weza uka ondoka na faida ama kweli ww ni Baba wa Taifa
Kiongozi bora duniani.
Njia bora ya kusoma Uongozi ni kutii na kusikiliza hutuba za Baba yetu Wa TAIFA,
I like nyere
Ungeondoa hii Katiba mbovu unge lala kwa amani Mpenzi wetu. Katiba ingekuwa nzuri hata kuuzwa mashirika uliyo acha yangekuwepo mpaka leo.
Ndo ubinadamu huwezi kamilika kila idara
Alikuwa kiongozi na bora ,tuige nyoyo zake jamani!!.
Yuko sahihi kabisa kabisa maneno mazuri
huyu ndie aliyesababisha Tanzania iitwe kisiwa cha amani rest in peace father
Baba wa Taifa kamwe siwezi kusahau maneno yako mazuri
tutakukumbuka daima baba wa wa taifa,hakika ni wa kipekee
Nice speech
mmh...!! inafika hatua nashindwa niandike nn juu ya huyu mzee hayati wetu....nimeamin hela ya mirathi kwa mtoto huwa haidumu maan halijui jasho ya ile hela....ni sawa na viongoz weng cku iz wameshindwa kufuata misingi ya uongoz sababu hawalijui jasho lake namna uobgoz ulivo.....taifa la Leo bado linaelement za ukabila, udini ....
huyu ni mchungaji askofu kuliko gwajima
alikuwa namtazamo. wa mbali
daa huyu jamaa ni shida spich Kari
hakutaka kufanya kwa kufuata mob.hakutaka tu mabadiliko Bali yaliyo ya kweli na kupitia mtu mkweli.mabadiliko hayatoshi kuyasema tu.dhamiri njema ndo msingi wa kila kitu.well formed cpnscience
+Benjamin Mfaume Amina kaka yangu mpendwa.
Mwl atakumbukwa daima!
Nazidi kutafakari huyu mzee alikua anamaono gani yajayo mbeleni na hakika leo hii ndio yanayotokea. Eee Mwenye enzi Mpe Macho ya Rohoni Ayaone yanayotokea ndani ya nchi aliyoijenga na hata kuwatokea viongozi wanaokiuka maadili. Daima Tutakuenzi Baba Yetu Wa Taifa la Tanzania
Dennis Anthony Ameen
Simba
Amen bab