KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA EVENING GLORY 31/ 01 / 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA :IBADA YA EVENING GLORY 31/ 01 / 2022
    KICHWA CHA SOMO : "ONDOKA KATIKA HALI YA KAWAIDA"
    JESUS IS MY DESTINY
    Waefeso 1 : 11
    Mathayo 14 : 22 - 33
    Waefeso 1 : 11
    11 na ndani yake sisi nasi tulifanywa urithi, huku tukichaguliwa tangu awali sawasawa na kusudi lake yeye, ambaye hufanya mambo yote kwa shauri la mapenzi yake.
    Mathayo 14 : 22 - 33
    22 Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ng'ambo, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.
    23 Naye alipokwisha kuwaaga makutano, alipanda mlimani faraghani, kwenda kuomba. Na kulipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.
    24 Na kile chombo kimekwisha kufika katikati ya bahari, kinataabika sana na mawimbi; maana upepo ulikuwa wa mbisho.
    25 Hata wakati wa zamu ya nne ya usiku Yesu akawaendea, akienda kwa miguu juu ya bahari.
    26 Wanafunzi walipomwona akienda juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni kivuli; wakapiga yowe kwa hofu.
    27 Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo ni mimi; msiogope.

    28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
    29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
    30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
    31 Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
    32 Nao walipopanda chomboni, upepo ulikoma.
    33 Nao waliokuwamo ndani ya chombo wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
    Mhubiri: Ev. Cosmas Msumeno
    Kwa maoni na ushauri:
    Smu :+255655516053, +255754516053
    TH-cam : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
    Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

ความคิดเห็น • 4

  • @priscadanny2623
    @priscadanny2623 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen!!!!!!

  • @user-pz5of1lt4i
    @user-pz5of1lt4i 2 ปีที่แล้ว

    AMEEN🙏🙏🙏

  • @lilianmbangwa5479
    @lilianmbangwa5479 2 ปีที่แล้ว

    Mimi sio wakawaida

  • @soberkaleya5148
    @soberkaleya5148 2 ปีที่แล้ว

    Zaburi 37:
    6 Ataitokeza haki yako kama nuru, Na hukumu yako kama adhuhuri.
    *MUNGU ANAIFANYA HAKI YAKO ING'AE DAIMA!!!*