MABASI 35 YA KILIMANJARO YAFUNGULIWA, MKURUGENZI LATRA AFUNGUKA BILA KUPEPESA MBELE YA SAWAYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @josephnjau9544
    @josephnjau9544 10 หลายเดือนก่อน +4

    Vzr lkn ningeomba zaid Kwa Kila bus lingebandikwa na nauli kbc Ili ifahamikwe Kwa Kila bus iturahisishie sie wasafr coz tunapigwa sana

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 10 หลายเดือนก่อน +1

    HII NCHI INGEKUWA IKO MAKINI HIVI NA MAFISADI TUNGEKUWA MBALI SANA..

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 10 หลายเดือนก่อน +4

    Iwe amri sio Siasa inayo ogopewa ni Serikali tu sio mtu binafsi afate amri na sheria za Serikali na nchi ya Tanzania

  • @ewaldambrose6136
    @ewaldambrose6136 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa anafanana na Magu,haswa kichwa

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hamna lolote, wanaume ni EWURA tu wao hawana longolongo amewafungia vituo vya mafuta kwa miezi 6 sio nyinyi wagereshaji

  • @yuzzob
    @yuzzob 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vipi kuhusu newforce Tunduma wanakiburi.. niliomba kuprintiwa ticket wakagoma kwamba nitumie sms tu.. pia hakuna option ya kuprint ticket ili kujua kama kuna mkono wa tra katika hiyo ticket niliyo kata

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwenye Daladala za dar mimi ndo sielewi nauli zao Tegeta nyuki hd mbezi nauli ilikuwa mia sita 600.lakini cku hizi makonda wanataka 800 kwahiyo wameongeza mia mbili badala ya mia

  • @lovegodmunisi1006
    @lovegodmunisi1006 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli hiyo jeuri hata wahudum wako hivyo. Sii wasikivu

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 10 หลายเดือนก่อน

    Waje na kwenye daladala hasa hizi za same mwanga Moshi abiria tunapigwa sehemu ya klm10 unaenda kwa 1000 mpka buku jero

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mkurgenzi mkuu ana hekima

  • @maryringo2239
    @maryringo2239 10 หลายเดือนก่อน

    Abiria wa kilimanjaro tumefurahi.

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kilimanjaro alitakiwa afungiwe mwaka mzima ana kiburi sana

    • @jtheophil5499
      @jtheophil5499 10 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli au mwezi hapa kilichofanyika ni siasa

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 10 หลายเดือนก่อน

    Sema nyie latra mnahitaji kujifikiria sana..
    Ila kilimanjaro na nyie baadhi ya mabasi mbadilishe. Ila hongereni sana kwa madereva makini. I wish niwe moja wa madereva wa mabasi haya..

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 10 หลายเดือนก่อน

    Mm najiuliza mbona walioiba pesa SAG bungeni alisema awakamatwiii wapewe athabu kama wengine

  • @AugustKisaka-qy7kl
    @AugustKisaka-qy7kl 9 หลายเดือนก่อน

    Sikuona haja ya kuwa stopisha ,ziko njiaa nyingine za kufanya ,kama faini ,pia kumbuka mnakatisha tamaa wanao wekeza

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa Rudini kwenye vituo vya kupata chakula watu wanaumia chakula bei Gali wanapelekwa kula kwenye hoteli za kifahari chakula sahani 10000 chips kavu 4000
    Soda 1500-2000 watanazania wanaumia

  • @MagrethZefania
    @MagrethZefania 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona jamaa anajiongelesha sana

  • @shedrackmutalemwa7310
    @shedrackmutalemwa7310 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona anabembelezwa😅😅😅😅

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi 10 หลายเดือนก่อน

    Sisi abiri na wapenzi wa kusafiri na mabus kil bus tunafurahi sana kwa mamlaka ya uthibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini kwa kuruhusu kampuni ya kil trucking company kuanza usafirishaji wa abiri.
    Tunapongeza kwa maamuzi haya mazuri kwa huyu mwekezaji tena mtanzania kuendelea na biashara yake.
    Tunayapokea kwa mikono miwili.Kil Express company limited sisi wadau wako bado tunakuunga mkono.Pole kwa hayo yaliyokupata.Hongera sana.🎉😅😂

  • @HafreenLyimo
    @HafreenLyimo 10 หลายเดือนก่อน

    Haya sasa kilimanjaro campuni 4:33 kwa wake walio zidishiwa nauli mnawafidia nini au mnawaambia nini

  • @jtheophil5499
    @jtheophil5499 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wambea tu wanafiki.uyu mwenyewe hajielewi anapwaya ndio maana alimwita mkuu wa mkoa amsaidie.Hakuna mtu hapa.Sura yako yenyewe imekaa kirushwa rushwa tu na unafiki.mm sipendi mwanaume ambaye hawezi kujisimamia.

    • @JumaMkomwa
      @JumaMkomwa 10 หลายเดือนก่อน

      Tafuta hela acha makasiriko

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli hata mimi ni mdau ila nauli ilinitisha nikilinganisha na hilo bus ukweli ni kwamba bus la kilimanjaro napenda sana umakini wa madereva wake katika uendeshaji w gari na huduma njema za makondakta wake.

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 10 หลายเดือนก่อน

    Hata hivyo wamenyooshwa kupindisha nauli NI dhulma kubwa,

  • @allenmtowe4993
    @allenmtowe4993 10 หลายเดือนก่อน

    Usimbembeleze mpe amri na alipe faini kwa makosa aliyotenda hayupo juu ya Sheria

  • @shabanponera2895
    @shabanponera2895 10 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anaongea huku anamuogopa

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 10 หลายเดือนก่อน +1

    Police usiseme kwa upole

  • @geez5076
    @geez5076 10 หลายเดือนก่อน

    Mme hakikishaje ubora wa hayo mabasi mabovu? Meenda garage? Au inspection ya ubabaishaji? Fatilieni sana ubora wa hayo mabasi kikamilifu…haswa yanayo safiri usiku, ni mabovu mno na abiria wana telekezwa usiku baada ya kuharibika bila kupewa msaada yakinifu na uongozi wa basi

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 10 หลายเดือนก่อน

      Sheria imeruhusu gari,ikiharibika itengenezwe masaa 6. Ikishndika ifaulishe.umeongea iliujibiwe.

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mgawo😂😂😂

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 10 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa haungi mkono CCM

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 10 หลายเดือนก่อน

    Kwann nauli za mabasi zisibandikwe km daladala

    • @YustaAlois
      @YustaAlois 10 หลายเดือนก่อน

      Wametoa ufafanuzi kuwa kila basi litabandikwa stika inayoelekeza nauli ya basi husika ni shs ngapi

  • @milazoomilazoo4494
    @milazoomilazoo4494 10 หลายเดือนก่อน

    Nylie mnawanyenyekea wenye pesa EURA ndiyooo wanaume miezi 6 nyie mnajuanaaaaaa tunajuuuuu

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 10 หลายเดือนก่อน

      Maskini wa nafsi,hufurahi mtu akipata matatizo.hamuangalii matatzo yenu.