LUSINDE: "NAPE na KINANA WAITWE WAHOJIWE, Namshangaa Lugola"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 182

  • @wamkyombwegastondofra7644
    @wamkyombwegastondofra7644 5 ปีที่แล้ว +29

    Unasema kweli kabisa nabii hana heshima kwao.sisi wa kongo tunafuatilia utendaji kazi wa raisi jpm tunatamani tupate raisi kama huyo DRC.

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว

      Nyie congo msituambie kitu!! Hata mkipewa tango pori kwenu panafaa tu!!!!

    • @josephmarwa1659
      @josephmarwa1659 5 ปีที่แล้ว

      SAMWEL
      Je unamtetea
      Musiba??

    • @varlesjohn4092
      @varlesjohn4092 5 ปีที่แล้ว +4

      Tusipo mtetea rais kwa mazuri anayoyafanya hata mawe yatainuka yamtetee rais

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 5 ปีที่แล้ว +8

    Asante sana ndugu Lusinde kwani kama hakuna mtu wa kukuelewa basi awaambie wazazi wake ili wampeleke shule ya kulipiwa na isiwe Tanzania iwe Kenya au Uganda. Asante

  • @farajimrutu8661
    @farajimrutu8661 5 ปีที่แล้ว +13

    Ni kweli Lusinde MAGUFULI ni shida leo Moshi tumepokea tren mpya ya mizigo iliyotoweka miaka 12 iliyopita na Moshi inaenda kuwa ya kijani,hao wazee ni wehu watupishe na Nape avuliwe uwanachama aende akateseke na wenzake chadema huko CCM haitaki blaa blaa inataka kazi tu

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 5 ปีที่แล้ว +2

    Tunashukuru sana Ndugu Lusinde.Watanzania sisi wa kawaida tusiyumbishwe na kelele hizi za wanasiasa , TUKOMAE na Magufuli 2020 aendelee kutuboreshea nchi . Tusije tukakosea hapo tumebahatika kupata Rais bora tusipotezwe maboya na siasa uchwara zinazoendele hapa ni hila za kumchafua na kumkatisha tamaa rais wetu.

  • @johnkatindasa1750
    @johnkatindasa1750 5 ปีที่แล้ว +5

    Lusinde uko sahihi. Asilimia kubwa sana ya Vijana wako na JPM na CCM.

  • @michaelkohe5758
    @michaelkohe5758 5 ปีที่แล้ว +6

    Nimekuelewa sana Mh. Lusinde tuendelee kukaza hapo hapo msumari umezama, piga nyundo kaka, JPM 2020-2025 ndo habari ya mujini

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 5 ปีที่แล้ว +4

    Nanyie wadishi acheni unafiki msiwe mnashabikia mafisadi hao mafisadi walikua wanatuzamisha MAGUFULI Kafanya kazi kubwa ni Rais wakuigwa kwakweli nampeda MAGUFULI sana

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 ปีที่แล้ว

    M.mungu mbariki rais wa tz

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 5 ปีที่แล้ว +2

    Muosha uoshwa.Nampenda rais wangu hataki sifa kutoka kwa yeyote yeye ni kazi tu.Hata wakina Nape kawapuuza.Lusinde usiite watanzania masikini Mungu wetu ni tajiri na sisi ni watoto wake.Unachotamka ndicho uwa.

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว +6

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kuriongoza vyema taifa letu na raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 5 ปีที่แล้ว

    Lusinde ninakuelewa sana ila si muwafukunze wakimbilie kwenye genge la wanyanganyi. Mungu ibariki CCM. CCM juuuuu CCM oyeeeeee CCM safiiiiiiiiii Mungu naomba mlinde Raisi wetu daima

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 ปีที่แล้ว +5

    tunampenda sana rais wetu Magufuli Mwenyezi Mungu amubariki na amulinde Magufuli hoyeeeeeeeeee

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 ปีที่แล้ว +2

    vizuri sana ndugu yetu Lusinde kwa kuweka wazi mambo yote ya mafisadi na wengi wao ni wanasiasa wastaafu inajulikana Watanzania naomba tuelewe na tuwajue hawa watu wabaya na tuwashughulikie asante sana kaka

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +4

    Na CaG kutokupewa matumizi/kufichwa ya serikali,mabilioni ya uwanja wa ndege chato,aliyaizinisha nani,hizi pesa za miradi,tuliyokopa na kadhalika ,wananchi wana taka ufafanuzi,vitisho,utekaji,kunambikizana,kesi.

  • @jericomwamsiku9088
    @jericomwamsiku9088 5 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa mh lusinde wakipatikana wasema kweli wengi kama wewe taifa lita songa mbele

  • @myafrica3974
    @myafrica3974 5 ปีที่แล้ว +1

    Tetea sana; mungu wako asikutumbuwe. sisi wa Tanzania ni wanafki sana. na jeuri letu ni kwavile jinsi atujawayi onja vita na kuwa wakimbizi.

  • @abdillahmbinga7050
    @abdillahmbinga7050 5 ปีที่แล้ว +6

    Napenda kazi nzuri ya jpm.ila sipendi siasa za vurugu sababu azina faida.ata iyo mipasho no mambo ya ovyo.tanzania ni nchi kubwa rais anapo jenga nchi uyu upuuzi wa mavuvurera ondoeni.ata ndani ya ccm.

  • @makoyebq879
    @makoyebq879 5 ปีที่แล้ว

    Mungu amlinde sana raisi wetu

  • @bahatiteti9599
    @bahatiteti9599 5 ปีที่แล้ว +6

    Mbaka nyinyi kwa nyinyi mnaibiana kula

  • @abrahamhassan351
    @abrahamhassan351 5 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa Lusinde hata kama siungi mkono viongozi waliyopita ndio source ya haya ililetwa katiba ya Warioba wao ndio mstari wa mbele kuipinga kwa ubinafsi wao sasa wacha waendelee kubatizwa kwa moto na yoyote anayeiyunga mkono ccm wallahi yatamfika yakumfika kama sio yeye basi damu mungu yupo

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa kabisa kwa haya.

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 ปีที่แล้ว +4

    Kati ya watu waliozungumzia waraka kwa ufasaha ni mh bashe

  • @orgeneslema9464
    @orgeneslema9464 5 ปีที่แล้ว +1

    Umesema vyema. Wahojiwe ili maeneo ambayo wanauona ushamba wayaseme. Kwa hayo maeneo ulitaja kweli sio mshamba

  • @kizungarashid4522
    @kizungarashid4522 5 ปีที่แล้ว

    Uko perfect Mzee wa kazi

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 5 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania akuna wahandishi wa habari ila ni mashabiki wa habari. Wana habari makini walikua kina gedion shoo

    • @alexsamson4675
      @alexsamson4675 5 ปีที่แล้ว

      🇹🇿 Tanzania yetu mzee akaze ivyoivyo ao wengine wasameheni tu

    • @khamismohd9116
      @khamismohd9116 5 ปีที่แล้ว

      Hh m n y

  • @mwasitkatumbi8216
    @mwasitkatumbi8216 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli safiiiiiiiiii😍😍

  • @marreymaster9308
    @marreymaster9308 5 ปีที่แล้ว

    Asante lusinde maana hao jamaa hawajielewi kabsa walkua ni watu wakuropoka ropoka nidham inatakiwa

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanakamata vijana mitandaoni, mbona hawa jama mpaka sasa hivi wapo mtaani...wakamatwe waende lockup

  • @hafidhyousuph7592
    @hafidhyousuph7592 5 ปีที่แล้ว +3

    Sema sema kk Lusinde yatoe ya moyoni

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 5 ปีที่แล้ว

    Lusinde na wengine wanapiga jaramba hawatakuwa tofauti na wana ccm wengi waliotangulia. Kwenye kusaka madaraka wengi huwa vibaraka ilimradi apate anachokitaka. Na uongozi ukibadilika ukaja mwingine wanabadili gia angani wanaelekea mwelekeo wa kiongozi wa wakati huo.

  • @fredykyando9108
    @fredykyando9108 5 ปีที่แล้ว

    asante lusinde mungu akubariki sana nakukubali toka siku nyingi afya yako uwe njema tumuombee sana rais wetu magufuli

  • @petershokolo9894
    @petershokolo9894 5 ปีที่แล้ว

    Sema vizuri kumbe huwa kunawizi wa kura kwenye chaguzi Zetu!!!!!!!

  • @rajabomar6236
    @rajabomar6236 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe ndio mnavo iba kura za wapinzani leo tumejua

  • @akwanzamtenga2174
    @akwanzamtenga2174 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani, jamani, wacheni watu watoe maoni yao. Katiba Article 18, hata kama hukubaliani na mawazo yao. Hiyo haki uliyo nayo.

  • @kizungarashid4522
    @kizungarashid4522 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Lugola tuna kuangalia ww Nape ndo kama nan!

  • @uhuruupl8326
    @uhuruupl8326 5 ปีที่แล้ว

    Huyo nape aliuza mtambo wa kuchapia gazeti la Uhuru na Mzalendo na alishirikiana na wenzake naungana na kibajaj uwepo uwazi wa ubadhirifu wa malil za chama ili ijulikane. Magufuli oyeeeeeeeeeeeeee

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว

    Asante san raisi wetu mwenyez MUNGU mkuu

  • @dicksonsenyagwa5545
    @dicksonsenyagwa5545 2 ปีที่แล้ว

    Kinana , makamba mzee na mtoto wake , Nape wao ndiyo washamba wakubwa

  • @myafrica3974
    @myafrica3974 5 ปีที่แล้ว

    Tetea sana; mungu wako asikutumbuwe.

  • @henryyona5378
    @henryyona5378 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumekusikia sasa turudi jimboni kwako handali hakuna maji barabara mbaya hata voda wanashindwa kupeleka minara na wewe upo tu

  • @seifmassoud2686
    @seifmassoud2686 5 ปีที่แล้ว

    Yajayo yanatia moyo Nchi itabadilika 😇😇

  • @mirajijuma8456
    @mirajijuma8456 5 ปีที่แล้ว +1

    haya majiziiii yalozoeaga kuuza rasili mali za nchi hii yamebanwa sasa hayana nafasi ya kupita mnachelewesha sana waitwe wahojiwe kama wa2 wengine huwa wanashtakiwa kwa kumzarau rais

  • @mswanawamswana3129
    @mswanawamswana3129 5 ปีที่แล้ว +2

    Akutukanaye hakuchagulii tusi.
    Lusinde a.k.a kibajaji kwakweli ungekaa kimya ningeshangaa sana. Maana nawe ni mnec mzalendo mwenzetu

  • @kiatu
    @kiatu 5 ปีที่แล้ว +5

    Baado naendelea kusikiliza....Lusinde unafaa.

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 5 ปีที่แล้ว

    Ccm kuna kikundi kisichozidi 3000 tu nchi nzima ndio wanatuletea taabu nchini. Itafika mahali mtararuana wenyewe tu na hapo mtagawana mbao. Kama kuna ufisadi unajua ulifanywa na viongozi mbona mmewapeleka akina Rugemalila na seth jela na wao kuwaacha wakijitanua mitaani. Huo ni unafiki kuanzi kwa mwenyekiti anayekalia uozo hadi waliotenda uozo huo.

  • @myafrica3974
    @myafrica3974 5 ปีที่แล้ว +5

    Lazima wajojiwe sawa! sasa mulipo mulipuwa Tundu Lisu masasi 38 muilini. mbona mwajidayi walio mpiga Lisi Lisasi kwakuwaita: Watu wasiyo Julikana. Kweli Rais wenu ajitambuwe nani Mshamba kabisa. Kwani Magufuli ni mzeofu wa siasa zidi ya Mzee KINANA? Wewe Lusinde kila siku mpambe sana ata ukiwa Bungeni. Chadema mwawaonea sana sana. Tanzania nzima akuna mwanasiasa mzuzuri Tanzania kama: MBOWE na ZITTO, Lisu, Msigwa, Mwakajoge na Heche etc... ccm imechoka ile mbaya.

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli tupo pamoja baba mpk mwisho

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona leo? Wakati ule hukusema kama Nape ni mwizi.

  • @leonardbihemo4797
    @leonardbihemo4797 5 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde na musiba naonakama lao moja

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 ปีที่แล้ว

    Halafu hizi huruma za mazoea zinatakiwe ziachwe, kama Kinana alijimilikisha mali za chama na ushahidi upo, kwa nini bado yuko nje? Ndiyo maana anaendelea kuchikonoa mambo kwa sababu anajiona ni “ untouchable”, sweka ndani tuone kama ataandika nyaraka kutoka Lupango😡

  • @myafrica3974
    @myafrica3974 5 ปีที่แล้ว

    Nchi hii, Leo ahina Control wahindi uingia Zanzibar kila siku bila control yoyote na baada ya siku uwa wana nchi. Kosa akijuwa kuongea swahili tu.

  • @danielmgogo6484
    @danielmgogo6484 5 ปีที่แล้ว +2

    LUSIDE KICHWA DUH

  • @SalmaSawaqw
    @SalmaSawaqw 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli oyeeeeeeee😙

  • @nurumohamedi9972
    @nurumohamedi9972 5 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe asili yenu kutukana wazee ili muwe maarufu duh iko kazi bora mmesema wenyewe watu washajua kumbe hata kura huwa mnaiba? duh sasa nimewajuwa wanasiasa.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว

      Nuru Mohamedi nikupe taarifa ya ziada sisi CCM kazi yetu ya kila siku ni kushawishi wengine wajiunge na chama chetu. Lengo kuu la chama chetu ni kushika dola, njia bora ya kushikia dola tunaitafsiri tukishashika dola, sasa iwe kuiba, kunyanganya au vyovyote vile. Hakuna siku tutamuachia yoyote aonje kuendesha Serikali, huu sio mchuzi.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 5 ปีที่แล้ว +1

    Kibajaji mmalize na hilo jibwa linaloitwa Maembe, Sory membe 😂😂

  • @paullwangili2235
    @paullwangili2235 5 ปีที่แล้ว

    Namna bora ya kutafuta uwaziri na unaibu waziri

  • @abdillahmbinga7050
    @abdillahmbinga7050 5 ปีที่แล้ว +2

    Funguka zaidi.

  • @ayoubmwanawima6380
    @ayoubmwanawima6380 5 ปีที่แล้ว

    Aha kumbe huwa mnaiba mmeanza kusema wenyewe

  • @penabubujashi4768
    @penabubujashi4768 5 ปีที่แล้ว

    JPM usbabaishwe na watu wenye masrah binafs,watanzania tunafahamu kaz nzr uliotufanyia.Ongeza gia twende mbele.

  • @wolfugangtesha5724
    @wolfugangtesha5724 5 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli akae miaka 20

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 5 ปีที่แล้ว

    Kwa ujumla ccm inapitia tanuri la moto chini chini. Lusinde anaposena anaijua ccm ni kweli anaijua. Hakuna mtu hata mmoja ambaye amefikia nafasi ya udiwani ,ununge na hata urais asiyejua ukweli kwamba makatibu wakuu wanaijua ccm zaidi yao. Mipango yote mizuri na michafu ya ccm makatibu wakuu ndio wapishi wa yote. Waraka ule umebeba uhalisia wa mambo yanayoendea nchini. Kuna mambo ambayo tukiyaangalia kwa ukaribu tunaona ni ya kawaida lakini ukienda mbali kuna maafa makubwa yatakuja kuitafuna nchi yetu.

  • @jimmyjames7727
    @jimmyjames7727 5 ปีที่แล้ว

    sio kila mtanzania ni mpumbavu kama manavyo fikiria...aibu kwenu ccm

  • @bertinkimati2674
    @bertinkimati2674 5 ปีที่แล้ว

    Na mwisho wa yote nawaomba ccm tujenge utamaduni wa kufanya mambo kisasa kwa kukitegemeza chama bila kutegemea figisu maana wengi wa viongozi wamebebwa na wenye nguvu na vyombo vya dola na tume za chaguzi. Vijana wengi wenye uelewa mkubwa na uadilifu wanaachwa nje ya mfumo huku mkituletea wezi na mafisadi na kuwakingia kifua. Lusinde leo hii tukiachia wapinzani wapate uwanja sawa kuanzia ndani ya tume na kutokunyimwa nafasi za mikutano ya hadhara na jeshi la polisi wafanye kampeni zao na kueleza huo uozo tunaofikiri ni siri amimi usiamini ccm itabaki kuwa mpizani. Hilo kila kiongozi analijua. Hivyo tusitoke hadharani kunyosheana kidole tukidhani tutapata umaarufu. Nilimsikia pia Msukuma akiongea kuhusu madudu ya Membe eti anayajua. Mkumbjke kwamba ccm nzima ilikosa mtu mwadilifu na magufuli ndiye alikuwa mtu pekee aleyeinusuru ccm. Kuanzia viongozi wakuu wote waliotangulia hadi makatibu wa wilaya hakuna ambaye anaweza kumnyooshea kidole mwingine. Tuache utamaduni huu mliounza mnaiua ccm. Magufuli anachanganyikiwa sio ugonjwa bali viongozi waandamizi wa ccm wanamchanganya kwa madudu yao. Acheni kuvuana nguo maana mtabaki uchi nyote.

  • @zephaniachibaya3648
    @zephaniachibaya3648 5 ปีที่แล้ว

    Udandala niligha yakigogoo alooo

  • @ayoubmwanawima6380
    @ayoubmwanawima6380 5 ปีที่แล้ว

    Dadek mmevurugana mmeanza kusema mnavyo ibaga tutajua mengi

  • @mr.sangaellies5110
    @mr.sangaellies5110 5 ปีที่แล้ว

    ,KWELI WAKITUMALIZA SISI WATAANZA KUMALIZANA WAO KWA WAO,SASA WAMEANZA KUMALIZANA KABLA YA KUTUMALIZA SISI,,,,,

  • @shabaniomar7034
    @shabaniomar7034 5 ปีที่แล้ว

    Huyo mwarabu ana maswali mazur balaa

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 2 ปีที่แล้ว

    Unaona viongozi wanavyo jipendekeza kutafuta uteuzi..

  • @robertkadomole6644
    @robertkadomole6644 5 ปีที่แล้ว

    yangu macho do Tanzânia

  • @bishopmosesmagadula7572
    @bishopmosesmagadula7572 5 ปีที่แล้ว

    NAHISI HUU NI UGOMVI WA VYEO NA HUYU NAYE ANATAKA CHEO..

  • @issakalenge2557
    @issakalenge2557 5 ปีที่แล้ว

    Nitamkuna panapo muwasha 😂😂😂😂

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว +1

    Ccm bhana eti hakina huyu bw ndo wenye busara!!

  • @venanceburushi3742
    @venanceburushi3742 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hata nyie mnaibiana. Kweli ninyi kiboko. Mbona hamkusema mapema

  • @evodykessy6327
    @evodykessy6327 5 ปีที่แล้ว

    Muheshimiwa umetungua

  • @penabubujashi4768
    @penabubujashi4768 5 ปีที่แล้ว

    Nape apelekwe milembe hospital

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว

    Hatutaki hata waguswe laana tu itawafuata inatosha, "Ethical Wrong" haijawahi kumuacha mtu salama. Tofauti ya chama chetu na vyengine ni kuwa hakuna mtu "special" ndani ya chama yoyote anaweza kuwa yoyote.
    Mimi naona wasihukumiwe kwa sauti tubaki tujadili "Waraka" ambao upo mezani, kesi ni Ushahidi kwenye sauti pekee huwezi kupata ushahidi wa kumtia mtu hatiani.

  • @piusrobart1040
    @piusrobart1040 5 ปีที่แล้ว

    daah umetugusa sana wengne huku tunataman tupate kad za ccm ama kuvaa nguo ya ccm sikama zama baad ya wengne wanataman wapige rangn vile vionyeoshe walivyokuwa navyo wanachadema

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว

    Shida ni Uwaziri na utapata tabu sana Magu hakuchagui ata siku moja , ni vyema ukarudi JIMBONI maana siku nyingi huja onekana kuongea na wananch wako !

  • @mathiascharles5769
    @mathiascharles5769 5 ปีที่แล้ว

    Mb zangu leo nimezifaidi

  • @jimmyjames7727
    @jimmyjames7727 5 ปีที่แล้ว

    pambaneni na hali yenu....msitupigie kelele kwenye vyombo vya habari niaibu kwa ccm na watu wake...mkaongele lumumba

  • @piusrobart1040
    @piusrobart1040 5 ปีที่แล้ว

    ndio mkuu waitwe wahojiwe ss wananch inatuuma sana kama rais wetu anapambana kuleta maendeleo ya nchi yetu wao wanamwita mshamba inaniuma sana mkuu

  • @shamimuabdulkadir835
    @shamimuabdulkadir835 5 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว +3

    Msiba anatumwa!! Angekuwa ni kijana wa chadema au mtetezi wa raia mngeshamteka!!! Sisi tunamtukana kimyakimya!!! Ushamba si tusiiiiii!! Kuwa rais haiondoi ushamba!!!

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว

    Watanzania wenzangu tuzidi kuriombea taifa letu na raisi wetu

  • @farajimtoi9238
    @farajimtoi9238 5 ปีที่แล้ว

    Haya ndio matunda ya kuuwa upinzani.

  • @geraldrobert1801
    @geraldrobert1801 5 ปีที่แล้ว

    Alihojiwa nani pindi Lissu alipopigwa risasi 38?

  • @janeypheremmanuel9844
    @janeypheremmanuel9844 5 ปีที่แล้ว

    kiukweli mim sio ccm sina chama ila ndugu umeongea ukweli wezi umezidi wananchi tuliwekewa matabaka wengine masikin wengine matajiri shida tupu

  • @angelinasimchimba705
    @angelinasimchimba705 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anafaa sana kua kutibu mwenezi taifa wa ccm

  • @raphaelsamwel2640
    @raphaelsamwel2640 5 ปีที่แล้ว

    Kutukana ni kutukana tu!! We umetukana wangapi?? Pesa si za mamae

  • @denniskiango6901
    @denniskiango6901 5 ปีที่แล้ว +2

    Safi nimuhimu kuwajibu hawa watu

  • @marcmaxim2930
    @marcmaxim2930 5 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nakusubr ww umalize mchezo ,huku lusinde kule msukuma ,ccm yamotooooo

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 ปีที่แล้ว +3

    nyie waandishi wa habari mnaotumiwa na mafisadi muache

  • @timothymalonja9691
    @timothymalonja9691 5 ปีที่แล้ว

    Inch hii hata waandishi wa habari inaweza ikawa Kuna vyeti feki maana maswali yao badhi Kama hajaenda shule!!!

  • @sirajibakari2336
    @sirajibakari2336 5 ปีที่แล้ว

    Damu ya tundulisu nianza kulipwa nabado mtapigana hapo

  • @rubyo.masuku5684
    @rubyo.masuku5684 5 ปีที่แล้ว +2

    Lusinde MUNGU BABA ajubariki akuinue hakika wewe ni RAISI wa kesho sema kweli daimaitakuweka huru Big up

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว

      Ndo mmeona leo mlikuwa wapi msituchanganye ck zote ccm mko hivyo wenyewe kwa kwa wenyewe yetu macho mbona mko hivyo ck nyingi tuu mnslumbana nini leo si ccm ni ile ile tuu mii naonaga

    • @peterjeremia9515
      @peterjeremia9515 5 ปีที่แล้ว

      Achamaneno

    • @jumampili7187
      @jumampili7187 5 ปีที่แล้ว

      Mimi kua jiwe siwezi kusikiliza wapumbavu kutakua wananganyi umoumo watetezi umoumo yajao wanafulaisha ila amani Mme ikuta iyasheni tumezoea kulala ,nakukuta familia salama mungu ibaliki Tanzania mungu wabaliki wakweli na kuwadidimiza ndumila kuwili nawenye usuda masikin mwenzetu nenda China salama ila amani uionayo na wastafuu wanachangia kumbuka sisi wote ni wastaafu watalajiwa ongeeni ila mipaka na usalama tuhubilieni amani mengine marufuku ulimi auna mfupa kila mtz anahaki ya kutetea amani na kuilinda mungu wabaliki na watoto wetu wailinde amani tuliopewa na mungu amiyn kukaa kimya nalo jibu sisi wenzetu tunawajua mweshimiwa kamua watu wanaficha madudu dreva tunae bado muda wa siasa umepita hapa kazi tu subilini filibi ilie vijana wazee wa kesho amani amani amani wanamuziki kila moja aimbe kuhusu amani OK please kumbuka mzee urudi utoto kama mweshimiw mabuto seseko mungu ameweka awamu imepita wameingia wengine fateni mema asante mungu wabaliki wazee wetu wajao nawaliopo viongozi wa dini nyie msikae kimya kutuombea viongoz wakweli tupu rais wa maskin tumepata bado kondoo waongo cheo ni dhamana

  • @abdulazizmasunda4113
    @abdulazizmasunda4113 5 ปีที่แล้ว

    Chama hiki kila mtu anakisemea tu, Huku Lusinde, kule Msukuma, huku Bashe, kule nani sjui. Yani kama Cinema vile.

  • @mpoleesiyandee7687
    @mpoleesiyandee7687 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimeamini watanzania wanapenda umbeya kuliko uhalisia..ingekuwa zito au mbowe anazungumzia mambo ya kitaifa usingewaona ITV lkn umbeya was lusinde wapo

  • @godfreythomas3931
    @godfreythomas3931 5 ปีที่แล้ว

    Salenda inajengwa na mkorea cio tz achauongo

  • @johnsele3908
    @johnsele3908 5 ปีที่แล้ว +3

    Wajitokeze kwny public watuambia ukwl ili tuamin kama musiba ni muongo

  • @salimmauly9575
    @salimmauly9575 5 ปีที่แล้ว +1

    Jee musiba