ZIJUE SIKU NGUMU KWA YATIMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2022
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 30

  • @ahmadmohd3771
    @ahmadmohd3771 4 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @abdullahmbishi3435
    @abdullahmbishi3435 2 ปีที่แล้ว +1

    mmi naomba katika familia iiiii naomba niowe moja kam itawezekn shekh nip natafut mke ila nimependezekewa na awa wa tto yatima😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭allah ata leta kheri isha allah allah ndio mjuzi

  • @khamislila8674
    @khamislila8674 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba kujua wanaish wapi tuweze kufika na kuwaona inshallah

  • @mariamsefukhamissi8809
    @mariamsefukhamissi8809 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah ya RABBY tujalie tuwe miongon mwawatakao jaliwa kujitolea pole sn wandog za Allah yupomoja nanyi🤲🤲🤲🤲🤲

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 2 ปีที่แล้ว +1

    😞😞😞😞😞😭😭😭 pole mama usifanye baya ...naamini In Sha Allah ,Allah atafanyia wepesi

  • @TheFire_Gamer
    @TheFire_Gamer 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni vizuri ukionesha watu wenye matatizo kama hawa useme wako wapi

  • @albusayyd219
    @albusayyd219 2 ปีที่แล้ว

    As salaam alaikoom warahmatullahy wabarakatu tunaomba kujua Ni mahali gan wapo TAFADHAL

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh mie nna fedha ndogo Sana lakini nimekutafuta hukunijibu

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว

    Allah awafanyie wepes

  • @nassiraliy5669
    @nassiraliy5669 2 ปีที่แล้ว

    قال رسول الله صلى الله عليه وسلم أنا وكافل اليتيم في الجنة كاهاتين وأشارة السباب والوسطة

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 ปีที่แล้ว

    Swadkta kutowa ni Moyo usambe ni utajiri.😭😭🇰🇪

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @mrblackzombi4994
    @mrblackzombi4994 2 ปีที่แล้ว

    Tunapenda kujuwa hiiii familia ipo wapy

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 2 ปีที่แล้ว

    Assalamalaykum shekh rashid

  • @homemohammed3244
    @homemohammed3244 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah,watoto wazur pole mama angu huyu bint mdogo mnaweza nipa nikaishi nae?

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 ปีที่แล้ว

    Ninashindwa kujizuiya nanaona kuia tuu

  • @mrblackzombi4994
    @mrblackzombi4994 2 ปีที่แล้ว

    Wapy ipo hiiii familia

  • @twahaally1969
    @twahaally1969 2 ปีที่แล้ว

    Wanaishi wapi SHEIKH RASHID TUNAOMBA,KUJUA

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 2 ปีที่แล้ว

    Tunataka tujuwe wapi majina ya sehemu au vijiji

  • @thulythatmustf3535
    @thulythatmustf3535 2 ปีที่แล้ว

    Wanaishi wapi?

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

    😒😒

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 2 ปีที่แล้ว

    Nipe namba ya tigo pesa

  • @selemohd9060
    @selemohd9060 2 ปีที่แล้ว

    Watu wanauliza wanaishi wapi wala hamujibu. Munaamaana gani au hamutaki watu wawasaidie?

    • @nahidaothman7163
      @nahidaothman7163 2 ปีที่แล้ว

      Hilo ndio tatizo kwanini wasiweke number zao au kusema wapo wapi?

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว

      Namba hz si mpige muulize

    • @selemohd9060
      @selemohd9060 2 ปีที่แล้ว

      @@khadijahali4837 hatuna dakikaa

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭