tanzania bado maisha magumu kwaiyo unaweza ukawa na elimu lakini ikawa ujinga tu bado akuna mifumo mizuli yakuwafanya wasomi wawe na ela ma profesa wenyewe wanaishia kwenye kujenga bah awo wenye alimu watatumiaje elim zao kua pesa we kama umepata bahati shukulu mungu
Jamani hivi sasa hivi wazazi ni mama tu na baba tumewakosea nn watoto maana kila mtu mama mama kwa kweli wazaz wa kike mnatukera sana mnapotuchonganisha na watoto wetu ili nyie tu ndo muonekane wema na wazuri kwa watoto hili linaniumiza sana mimi kama mzaz wakiume
Kuchukiwa mnakutengeneza wenyewe baadhi ya wanaume mnajiweka mbali sana na watoto wenu mnahisi ukali ndo heshima Sasa Kama baba unamnyanyasa mke mbele ya watoto, wakikuomba kitu unasema muombe mama yenu unampa mke pesa halafu yeye ndo awape watoto watoto hawajui kama wewe ndo umetoa wanajua ni mama,na mengine mengi yani wewe ukija ndani kila mtu anakimbilia chumbani Sasa hao watoto wakikua kupendwa sahau
Mi najiuliza kitu kitu kimoja ile nyumba ina vyumba vitatu tu kimoja cha mwanae kingine cha kwake na kingine kafanya ofisi hakuna chumba cha wageni😊 au dada wa kazi atalala kwa matiasi😂😂
@@sofitanzanian955 acha uswahili uhakikishiwe kama nani? Endelea kukaa kwenu eti hudaiwi Kodi umeulizwa nanani kama wadaiwa au lah fata maisha yako yakubangaiza acha roho ya kisokoro kwino,
Mama shkamooo, anajua kuongea kwa staha, asante sana mamangu
Mwijaku ana mama mwenye busara sana mpaka amenifanya nimuangalie Mwijaku kwa jicho la pili…(I now think he is not who most think he is) Hongera Mama!
Mama kabarikiwa sanaa kuongea vizuri
Mashaalah mama ana ongea vizuri kwa hekima
Wow mama mzuri sana anaongea vizuri sana anakaa roho safi
Mama yake mzuri Masha Allah,
Mama unabusara sana kweli ❤
Wewe ni mama bora sana nimekupenda bure
Mama mwenye busala zake mashallah❤️Hongera sana Mwijaku na męko 🙏🙏
tanzania bado maisha magumu kwaiyo unaweza ukawa na elimu lakini ikawa ujinga tu bado akuna mifumo mizuli yakuwafanya wasomi wawe na ela ma profesa wenyewe wanaishia kwenye kujenga bah awo wenye alimu watatumiaje elim zao kua pesa we kama umepata bahati shukulu mungu
Hongera sana Mama!!!!
Jamani hivi sasa hivi wazazi ni mama tu na baba tumewakosea nn watoto maana kila mtu mama mama kwa kweli wazaz wa kike mnatukera sana mnapotuchonganisha na watoto wetu ili nyie tu ndo muonekane wema na wazuri kwa watoto hili linaniumiza sana mimi kama mzaz wakiume
Pole! mwanamke ni mrithi wa Neema. Hahitaji nguvu kuipata
Kuchukiwa mnakutengeneza wenyewe baadhi ya wanaume mnajiweka mbali sana na watoto wenu mnahisi ukali ndo heshima Sasa Kama baba unamnyanyasa mke mbele ya watoto, wakikuomba kitu unasema muombe mama yenu unampa mke pesa halafu yeye ndo awape watoto watoto hawajui kama wewe ndo umetoa wanajua ni mama,na mengine mengi yani wewe ukija ndani kila mtu anakimbilia chumbani Sasa hao watoto wakikua kupendwa sahau
😂😂😂😂😂ss ndo tupo
Masha'Allah Mama
MashaAllah mama mzuri hongera sana Mungu akutunze ❤❤❤❤
Napenda watanzania. Hawaachi kumtaja Mwenyezi mungu. Mama shikamoo. Inshalla.
ManshaaAllah Mama
Mama mashallah ❤❤
Hongera jamani mama yupo vizuri
Kwan mwinjaku asijenge kwa nn ridhiki anatoa mungu kujenga mbon nikawaida tuy mange aongee tuy lakin ndo kashajenga
Mashallllah
Mama wa kizigua yuko vizuri,Hongera mama
Hongeraa.lakin yumba aifik bilion 1.usiwakatoshe vijana😊
Hongera yake
Nyuma ya unaemjua kuna vitu usivyovijua
Ktk yote nimependa neno mama kalitamka wala sio kwa ujanja wao nimungu tu.
Yupo vizuri Kama my mom alivo
Mwinjaku umewafunga wengi midomo. Tunamsubiri baba Levo
Mmmmmh cna hakika
Mama mwijaku mlembo sana
Huyu mama mashallaaa mama amejawa na hekma
Hata mimi nitajenga kama hiyo Mungu anisaidie
AMIIN🤲🤲
ALLAAHUMMA AAMIYN
Aameen inshaAllah hubibty ❤❤❤😊
Kama ni pesa ya jasho sio ya short Kati MUNGU ambariki aisee
Kwahiyo mange na mwenye nyumba Nani atakuwa mkweli na mange akisema sio yake ndio ataaminika hatuombeane kheri jamani
Mama nimempenda kwa mazungumzo yake Mashalla
Bado mbichi huyu Dada, tulete mang'ombe?
Banda la njiwa
Mi najiuliza kitu kitu kimoja ile nyumba ina vyumba vitatu tu kimoja cha mwanae kingine cha kwake na kingine kafanya ofisi hakuna chumba cha wageni😊 au dada wa kazi atalala kwa matiasi😂😂
😂😂😂😂😂
Nimekupenda bureee
Huu ni Ushamba
Subiri Mange atatupa za ndani.
Zandani kwamba nyumba sio yake au
Yaani maskini unawatoa ufahamu ndio maana mnarogana sana watz
Hahahahaaa yaan mtu mzima usubiri mange aje kukuambia nyimba ni yake au la. Ama kweli kiazi
Kwa kweli@@bakariomari8758
Maskin wamwche kilamtu nariski yake mungu kampa
Kumbe mama mwijuku pisi kali
Mange njooo.huku utuhakikishie hili jambo
Weunamtumikia shetani ndio maana wamuamini mange kimavi
😂😂😂😂😂kabsa kimambi wap
Dada wa Taifa karibu Kuna huyu Jamaa analidanganya Taifa
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂jaman mnamakusudi
DOTTO MAGAR ATATWAMBIA NYUMBA YA NANI TUNAMSUBIRI
Ameshajibu huko kuwa amechafua kiwanja hiyo siyo nyumba😂😂😂
Dada mange njoo bwana huku kuna jambo hatuna uhakika nalo njoo utie neno😂
Dada mange njoo bwana huku kuna jambo hatuna uhakika nalo njoo utie neno😂
Wivu
@@fatmafatu1128 wivu au tuhakikishiwe wivu wanini sasa wakati mie mwenyewe japo kibanda ila sidaiwikodi upo
@@fatmafatu1128 ukae.kwakutulia
@@sofitanzanian955 acha uswahili uhakikishiwe kama nani? Endelea kukaa kwenu eti hudaiwi Kodi umeulizwa nanani kama wadaiwa au lah fata maisha yako yakubangaiza acha roho ya kisokoro kwino,
Fikra na Akili zako ni ndogo sana.