Mtunzi: Fr. J. Mohr(1792-1848). Mwimbaji: Mchg. Gwakisa Mwaipopo. Nakutakia Sikuu Njema. Tusisahau kuliombea Taifa letu na mataifa mengine ili tuwe na AMANI.
Tangu nianze kufuatilia nimejifunza nyimbo nyingi sana za kitabuni ambazo ni nadra sana kuimbwa ibadani, Ni ombi langu kwako Mchungaji, kama kuna uwezekano, tengeneza mfumo/programu itakayo tuwezesha kuzijua nyimbo zote katika kitabu chetu, ili iwe urithi kwa vizazi vijavyo pia. Mungu Akubariki sana. Uwe na Christmas 🎄🌲🎄 njema. Amen
Mungu akubariki sana Mch. nyimbo zako zinanibariki sana
Mungu azidi kukubariki sana baba
Amina Arnold napokea hizi baraka kwa moyo wa unyenyekevu
❤🎉 Jina la Bwana lihimidiwe kwa utumishi wako mchungaji nimependa
Karibu mnoo ndugu yangu
Tangu nianze kufuatilia nimejifunza nyimbo nyingi sana za kitabuni ambazo ni nadra sana kuimbwa ibadani,
Ni ombi langu kwako Mchungaji, kama kuna uwezekano, tengeneza mfumo/programu itakayo tuwezesha kuzijua nyimbo zote katika kitabu chetu, ili iwe urithi kwa vizazi vijavyo pia.
Mungu Akubariki sana.
Uwe na Christmas 🎄🌲🎄 njema.
Amen
Aaamen. Mungu azidi kunipe neema yake ili nizidi kumtumikia
❤
Hongera Sana..
Naomba siku moja uimbe.. Mungu amenihurumia..
Mungu atupe uhai
Great voice...may God keep it for his Glory...Ameen!
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥
Barikiwa jmn
Ongeza na nyimbo zingine za kwenye kitabu! Maana natamani kusikia zingine! Hakika Bwana kakubariki nawe watubariki kupitia huduma ya uimbaji