SHEIKH ALHAD AZUA GUMZO, MANENO YAKE YA UONGO YAPUUZWE, UKWELIN KUHUSU UMUFTI WAUKWE WAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 101

  • @SuleymanMtunguja-n5e
    @SuleymanMtunguja-n5e 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asslm alaykm warhmatllah. Migogoro ya viongz wetu isitufanye tukimbie dini na kukata tamaa iwe ni kwelii au uongo ktk maisha hayo mambo yalikuwepo na bdo yapo kwahyo waislam wenzangu tuendelee kukifata kitabu chetu kitukufu kinasema nn. Kwa kusema hayo. 🥀🥀🥀Lailaaha illallah Muhammad rasuwlu llah🥀🥀🥀🥀

    • @omaryhawam386
      @omaryhawam386 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa huyo mufti alipatikana kwa muongozo wa hicho kitabu au.

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 2 หลายเดือนก่อน

    Daah.

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 2 หลายเดือนก่อน +1

    anamzuulia uongo baba mkwe chapa bakora we heshimu baba mkweeee

  • @AlloyySaid-dj9ie
    @AlloyySaid-dj9ie 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chuki tu hizo zinadhihiri alijarib sana kuzifisha ila kabainika alhamdulillah wivu kwa wenzake yeye hakuyaweza kuyatekeleza yaliyompasa ayatekeleze sasa anatapatapa😅

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 2 หลายเดือนก่อน

    sisi yetu macho tu

  • @ALQURANONLINETV
    @ALQURANONLINETV 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukwel Ni Upi Sasa Tupen Ukwel 🙌

    • @SALIMKINGUNGO
      @SALIMKINGUNGO 2 หลายเดือนก่อน

      Atuambie waqat huo yeye alikuwa wapi

  • @SophiaJumbee
    @SophiaJumbee 2 หลายเดือนก่อน

    Acha ubabaishaji alichokisema alhadi mussa ni kweli na kiashiria namba moja nikwamba ameyasema hayo mbele ya shekhe Aly mkoyogole we chizenga mrongo

    • @SALIMKINGUNGO
      @SALIMKINGUNGO 2 หลายเดือนก่อน

      Kwanza sijui katokea wapi huyu

  • @sirajidundo7431
    @sirajidundo7431 2 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu Alhad ni mlafi wa madaraka,binafsi ananichukiza sana sana sana

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wote walafi hata huyo mufti mwenyewe ni wale wale

    • @msarama5406
      @msarama5406 2 หลายเดือนก่อน

      Wote ni walewale tu wanashikana uchawi😅

    • @HamadHamduni
      @HamadHamduni 2 หลายเดือนก่อน

      Hata huyo mufti hafai,tafuteni mufti atakae ongoza waislaamu kwa mujibu wa Quran na suna. Huyo mufti na alihadi ndo wamechangia kwa kiasi kikubwa Sana waislaamu kutoka kwenye uislaamu nakwenda kwenye ukafiri wa kishia, waliukumbatia Sana ushia nakutaka kuleta umoja wakiislaamu na ushia.

  • @abdillahfundi9897
    @abdillahfundi9897 2 หลายเดือนก่อน

    Wamin sharri haasidin idhaa hassad

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 2 หลายเดือนก่อน

    Tukiacha ukabila na ujamaa katika dini Ndio tutafaulu.

  • @msarama5406
    @msarama5406 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya pambaneni wenyewe kutafuta ukuu duniani wengine tunaangalia mnavyoteteana😅

  • @salimkhamismwishee8301
    @salimkhamismwishee8301 2 หลายเดือนก่อน

    MaShiia ndo kazi zao kuongopa

  • @nabahanishela7447
    @nabahanishela7447 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Kijana Ni Hatari Sana Katika Maslah ya Dini Ya Kiislam

    • @msarama5406
      @msarama5406 2 หลายเดือนก่อน

      Maslahi ya bakwata na watu wake sio maslahi ya umma wote

  • @SaeedKhalfan-ih6wk
    @SaeedKhalfan-ih6wk 2 หลายเดือนก่อน

    Kuna sheikh na shehe.sheikh ni mtu mwenye elmu ya dini.na shehe ni mtu asie na elimu ya dini Bali huvaa mavilemba na majoho.kichwani hamna kitu 5:18

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 2 หลายเดือนก่อน

    Alhad alikuwa ndani ya bakwata atakuwa anajua mengi

  • @rajabrajab3525
    @rajabrajab3525 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona hawa wote hawatokani na waislamu kupata uongozi

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nachojua mm kuwa alhad mussa kasema ukwel ila tu hakupaswa aseme😂😂

  • @ramadhaniassenga5602
    @ramadhaniassenga5602 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh Harifu aseme neno kwenye hili

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 2 หลายเดือนก่อน

    Kinacho takiwa tuwe kwenye haki si uzushi kama awa wakina alihad nawenzake kama uyu mzehe

  • @shabanimwinyiwiwa754
    @shabanimwinyiwiwa754 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani na Ile migongano ya Abulfaadhwil maftah vs Barhiyan yaliishaje

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 2 หลายเดือนก่อน

    Alhadi alichokiongelea ndio uhalisia kuwa mfumo wa kupata viongozi wa bakwata sio utaratibu wakidini kwa mujibu wa mafundisho na ndio maana uoza ktk bakwata ni mkubwa mnooooo kwa ngazi zote.
    Chombo kipo kwa maslahi ya serekali zaidi kuliko waumini na dini yakiislamu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

    Tawi la kanisa hiloo 😂😂viongozi wanauchu wa madaraka

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 2 หลายเดือนก่อน

    Nyie nyote mko hapo kwa maslahi yenu binafsi sio kwa ajili ya Allah

  • @salehislem671
    @salehislem671 2 หลายเดือนก่อน

    Alhadi musa shoga..twamjua ss

  • @Marjeby
    @Marjeby 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh Alhad Mussa jaman ni muhuni kama wahuni wengine tu hapa Dar es salaam but mie kila siku huwa nasema na hapa narudia tena kuna haja ya sisi waislam kuchagua viongozi wetu pamoja na elimu zao kubwa za dini walizo nazo but tuangalie na elimu zao za dunia pia itatusaidia sana tuwaige wakatoliki upande wao ukikuta padri ana elimu ndogo basi ni Degree. kwani kwenye uislam kuiga jambo zuri kutoka kwa kafiri sio kitu kibaya tuache mambo yakuchagua sheikh eti! Yuko na elimu kubwa ya dini halafu ni darasa la saba hii sio sawa na ndio mana imekuwa kawaida sana masheikh wetu kuropoka ropoka hovyo kwa dunia ilipo sasa nimuhimu sana masheikh wetu kuwa na elimu zote mbili kwa maana elimu ya dini na ya dunia na masheikh wa aina hiyo wenye elimu zote tunao wengi tu karibu kila sehemu hapa Nchi

    • @shabanponera2895
      @shabanponera2895 2 หลายเดือนก่อน

      Kwenye uislam hakuna ELIMU DUNIA, kuna ELIMU TU, hakuna makundi ya elimu

    • @MUYEMBEOMAR
      @MUYEMBEOMAR 2 หลายเดือนก่อน

      Ulivyokuwa mweupe na mwenye hoja dhaifu ni dhahiri haujitambui na hauutambui uislamu
      Kaa kimya

    • @Marjeby
      @Marjeby 2 หลายเดือนก่อน

      @@MUYEMBEOMAR Acha ufala hunijui weka heshima naweza kuwa baba yako au bwana wa baba yako muislam kilaza ww

    • @Marjeby
      @Marjeby 2 หลายเดือนก่อน

      @@shabanponera2895 kumbe hivyo basi masheikh wetu wanao tuongoza hawana elimu niseme hivyo

    • @priyahtz7255
      @priyahtz7255 2 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ukimkuta muislamu ana elimu ya dini na elimu ya dunia huwa ana hekima sana mnoooooo 🙏

  • @kinyutatonha8831
    @kinyutatonha8831 2 หลายเดือนก่อน

    Bakwata wote waongo na walafi tu wadaraka hawataki ukweli kazi yao kutoa usguhuda wa uongo tu

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mm nnachoamini alhad kazungumza ukweli ila wao imewauma kwa nn katoa siri ?

    • @isihakamshare3396
      @isihakamshare3396 2 หลายเดือนก่อน

      Kwamba uchaguzi ulikuwa na figusu

  • @mselemzahor
    @mselemzahor 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo bado anacheo kile na sijui amempa nani ? anatakiwa awe raia wa kawaida

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chizenga huyo mtu humuezi kwanza anapenda sifa madaraka cheo tamaa pia na kumbuka huyo nimkwewe Abubahari zuberi hamatamueza pia mumemfuga wenyewe

  • @muhsinyusuph6456
    @muhsinyusuph6456 2 หลายเดือนก่อน

    msipomchukulia hatua nitaamini anasema kweli.

  • @alwatanalgilgilan-y3078
    @alwatanalgilgilan-y3078 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alhad ni mshenzi huyu,kwa nn hamumvui hata ushehe??

  • @AbubakarKawayasimwanza
    @AbubakarKawayasimwanza 2 หลายเดือนก่อน

    Nadhani sibure Iko laana inawaandama

  • @rashidmiraji1468
    @rashidmiraji1468 2 หลายเดือนก่อน

    Lakini nyinyi bakwata mnakosea sana mtu kama huyo kwanini mnamlea kuna nani nyuma yke mtu hyo anamajivuno na hekima ana Natalie shekh walid watu wenye elimu wanakuwa hawana majivuno wanajua dunia c kitu na wanajua athali za ulimi huwa wanakaaga kimya kma hawana chakuongea na akipaswq kuongea huongea kwa tafakar hata kama ulimshawishi kugombeq umufti haipaswi kusema maana hana adabu amkoseq sana

    • @Mauya23
      @Mauya23 2 หลายเดือนก่อน

      Wakimtenga nani atatuhabarisha mambo kama haya? Tulia tujue mengi zaidi bhana

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 หลายเดือนก่อน

    Mufti si kiongozi wa waislamu ni kiongozi wa masufi.

  • @Kzm-c9u
    @Kzm-c9u 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wasije wakarogana mwisho kisa madaraka 😂😂😂

  • @habibumakusanya4088
    @habibumakusanya4088 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duh kumbe

  • @ibrahimirove
    @ibrahimirove 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lifukuzeni Hilo Linachonganisha Waislam Tu

  • @HawaMohamedi-s4p
    @HawaMohamedi-s4p 2 หลายเดือนก่อน

    Dini yet achukuwi kitu kotoka kwa makafiri kama katoriki

  • @AishaSelemani-mp9zc
    @AishaSelemani-mp9zc 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh alhad usipate tabu em kwanza fanya istigh faari

  • @firdawsrammy9992
    @firdawsrammy9992 2 หลายเดือนก่อน

    Sijui nani anampa jeuri huyo, na alikuwa karibu na Makonda.

  • @khalfanikimanta6663
    @khalfanikimanta6663 2 หลายเดือนก่อน

    SUNNA YA NDEVU HAIJAWAHI KUMCHUKIZA MTU

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 2 หลายเดือนก่อน

    kuhatarisha amani ya nchi? bakwata bwana

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 2 หลายเดือนก่อน

    Yule ni muhuni

  • @Rmm-h3d
    @Rmm-h3d 2 หลายเดือนก่อน

    Akizua mtu kwenye mambo yenu mnamtahadharisha, Nyie mkizua katika dini mnataka muachwe msitahadharishwe, hicho ni kipimo gan mnakitumia

  • @isihakamshare3396
    @isihakamshare3396 2 หลายเดือนก่อน +3

    Alafu ni Mkwe wa Mufti. Ikibidi apokonywe mke.

    • @mussaissa6796
      @mussaissa6796 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂EEEE!!!😂😂😂😂😂😂😂

    • @bimumaulid1171
      @bimumaulid1171 2 หลายเดือนก่อน

      👍👍👍😁​@@mussaissa6796

  • @nassor6333
    @nassor6333 2 หลายเดือนก่อน

    Masalafi wanacheka tu, ugomvi wa familia hauwausu.😂😂

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 หลายเดือนก่อน

      Sisi tunashangaa mkisema mufti ni kiongozi wakati ni kiongozi wa masufi.

    • @nassor6333
      @nassor6333 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@mohdkhatib223Hata Mimi nachanganyikiwa sielewagi kabisa haya mambo.

  • @shabaniiddi510
    @shabaniiddi510 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan jamn hivi huyo shekh mkuu nani kamchagua 😂😂😂

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 2 หลายเดือนก่อน

      Soma katiba ya BAKWATA

    • @sogoirashidi7094
      @sogoirashidi7094 2 หลายเดือนก่อน

      Jopo la masheikh ambao ni wanachuoni

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 2 หลายเดือนก่อน

    Kiongozi wenu mkuu ni yule aliekyanzishieni hicho chombo, ambaae alikuwa Mkiristo

  • @rashidmiraji1468
    @rashidmiraji1468 2 หลายเดือนก่อน

    Mroho tu wamadalaka na anaona choyo kila siku akicmama ana msemq shekh warid kwa vijembe huyu ni mufurisi

  • @JumaSaidi-r3e
    @JumaSaidi-r3e 2 หลายเดือนก่อน

    Mtiani mkubwa

  • @shabaniiddi510
    @shabaniiddi510 2 หลายเดือนก่อน

    Uchaguz wa serekali za mitaa tena mmhhh nyie sio bure😂😂

  • @rashidmiraji1468
    @rashidmiraji1468 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya nape hyo.

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo tunajua na kaongea ukweli

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน

      Sheikh kama unayoyaongea ni ya kweli Allah akulipe
      Kama ni Uongo unaongea kwa muhemko na CHUKI ZAKO JUU YA BARAZA
      utakuja kuulizwa siku iliokua ngumu

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 หลายเดือนก่อน

      ​mtajuana wenyewe tuliwambiwa hilo ni shirika la mkonge mkaanza kututunga majina cjui salafi mara wahabi leo hayo hapo. 😂😂😂 na mbona haujataja hatuwa mliomchukulia.

    • @yusuphrashidi-dr1kb
      @yusuphrashidi-dr1kb 2 หลายเดือนก่อน

      Sheikh farid nikweli sio uongo watu wote mjini wanajua usipoteze muda ilikua batili huna baraza hapo wahuni tu

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 2 หลายเดือนก่อน

      @@yusuphrashidi-dr1kb Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Sidhani kama UISLAM UMEfundisha mtu akikosea au akafanya jambo lisilofaa aitwe kwa majina hayo uloandika au tu kwa uelewa wako umeona kafanya jambo sio sahihi ndo umeuite majina kama hayo au maneno uloandika
      ‎ادْعُ إِلَىٰ سَبِيلِ رَبِّكَ بِالْحِكْمَةِ وَالْمَوْعِظَةِ الْحَسَنَةِ ۖ وَجَادِلْهُمْ بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَنْ ضَلَّ عَنْ سَبِيلِهِ ۖ وَهُوَ أَعْلَمُ بِالْمُهْتَدِينَ
      JIFUNZE KWANZA TUVOAMRISHWA KWENYE QURAAN AFU NDO UJE KUONYESHA MISIMAMO YAKO NA MIHEMKO NA JAZBA ULIZONAZO MITANDAONI
      WABILAHI TAWFIQ

  • @MariamHaroon-pu3lx
    @MariamHaroon-pu3lx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mutoeni kabisa

  • @kudratabuu1103
    @kudratabuu1103 2 หลายเดือนก่อน

    Mbna hajaongea vbya lakn katoa kama funzo

  • @HishaamAlly
    @HishaamAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha

  • @TwalibSaid-o2r
    @TwalibSaid-o2r 2 หลายเดือนก่อน

    hicho chombo akipo kiharari .. itakuwa waliokuwepo ndani yake.. mnachaguliwa na nani ??? serikali au waislam😅 .. kwa akili ya kawaida tu mufti anachaguliwa na serikali kwa ajili ya kuwasimamia waislam wote nchini .. bila ya waislam kushirikishwa huu ni udikiteta .. na hapo haki hakuna.. maana uislam mpana kuna madhehebu tofauti, yy anahukumu vp na ikiwa kila mtu ana hukumu zake kutokana na dhehebu lake..sasa yy ana balance vp haya madhehebu kwenye kutoa haki ..hapo akuna uongozi . kwa hali hiyo waislam hawawezi kuwaelewa ,,, ikiwa akitangaza mfungo kuna watu washafunga kwa taratibu zao na akitangaza idd kuna watu washakula idd jana yake .. alafu huyu munamuita kiongozi wa waislam tanzania😅😅😅😅 daaah

    • @kheriakida3309
      @kheriakida3309 2 หลายเดือนก่อน +1

      Sikiliza kilichoelezwa, alafu Soma ulichoandika.
      Unaweza kuzaliwa kwenye Imani ya kiislam ila usiijue miongozo ya Imani yako kwakuwa hutaki kujuwa wala kujuzwa, sasa nakusihi Tafuta kuijua Bakwata, ni nini Imetokana na nini, Imeasisiwa mwaka gani?kwa lengo gani katiba yake inasema nini, itakusaidia kujua namna ya kukosoa, kulaumu ikiwa utapenda kufanya hivyo la kama hujui lolote juu ya Bakwata kaa kimya

    • @FarahanhafidhiSuleiman
      @FarahanhafidhiSuleiman 2 หลายเดือนก่อน

      Mashallahu Mungu akupe wingi wa hekma ya kuwaelimisha wanao futuka kwa maneno ya hivyo kama huyu uliemfahamisha jambo asiolijua akajifanya mjuaji

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 2 หลายเดือนก่อน

    NIMEMSIKILZA ALHADI . SASA KWA NN AMEDANGANYA? MUFTI WA BAKWATA HEEEEEE

  • @saifancal1629
    @saifancal1629 2 หลายเดือนก่อน

    Mabakwata watauana sasa

  • @bagalucha
    @bagalucha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Masufi mtihani mkubwa,dunia ndio wameiweka mbele.

    • @m.othman866
      @m.othman866 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mayahudi wa kiwahabi ni mtihani mkubwa kwa waisilamu.

    • @bagalucha
      @bagalucha 2 หลายเดือนก่อน

      @@m.othman866 wewe hata hukuelekea kuwa Ibaadhiya,halafu hilo jina lako Othman halipendwi upande huo,au unafuatia mururu pasipoti,tamaa mbaya bwana,maslahi mbele.

    • @MohamedOmari-y1t
      @MohamedOmari-y1t 2 หลายเดือนก่อน +1

      Unaambiwa BAKWATA we unadai SUFI😂😂😂!
      Kweli akili ni ktk neema kubwa Alhamdulillaah.

  • @ndayambajefikirini7252
    @ndayambajefikirini7252 2 หลายเดือนก่อน

    Mvueni vyeo vyote abaki hana lolote

  • @abdillahfundi9897
    @abdillahfundi9897 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wamin sharri haasidin idhaa hassad