HAYA HAPA MANENO YA ALHAD DHIDI YA UCHAGUZI WA MUFT ULIVYOKUWA YALIYOIAMSHA BAKWATA NA KUYAKANUSHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sometimes unaweza kuzungumza ukadhani unasifu na kupambia kumbe ndo unaharibu, Studiooooo kwako Shk Chizenga 🎉

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu jamaa bado ana maumivu ya kuvuliwa ushee wa mkoa 😂ndio mana ana ropoka Siri za Kambi pumbavu zake

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน

    Baraza la wakwe!!!

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 หลายเดือนก่อน +2

    YAANI HUYU JAMAA ANATAKA SHEIKH ABU BAKRI AONE KUWA UMUFTI WAKE UMECHANGIWA NA YEYE KWA KIASI KIKUBWA!!
    MTIENI ALAMA HUYU JAMAA ANATENGENEZA ZENGWE MJUE.

  • @Issa-ud6sy
    @Issa-ud6sy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu Alhad,kwanini mnampa nafasi ya kuongea msikitini,huyu uislam wake una mashaka sana.kwa mtazamo wangu lakin.

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee 2 หลายเดือนก่อน

      Utakuwa Mpumbavu Sana.... Allah amekupa jukumu la kukagua Uislamu wa Mtu au kiherehere kinakusumbua?! Laana iwe juu yako kwa kumkosea Adabu Sheikh ambaye sio size yako

    • @kadrimwingamno258
      @kadrimwingamno258 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂 Huyu Jamaa kapinda katika kiwango cha Flyover. Hana uruma na waumini hatakidogo, yeye mwenyewe kapinda na anaondoka na kundi la watu wasio jitambua. Tupo katika kukikalibia kiyama kundi la wapotofu litakuwa kubwa sana.... Na wewe utakaejibu hii msg kwa kutetea upotofu... Ni mmoja wao.

  • @SuleimanRangijrRangi
    @SuleimanRangijrRangi 2 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA ANAPENDA SANA UTUKUFU!!!

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini hapa tu anahadithia yaliyopita hakuna ubaya lolote lile ila huyu inaelekea bado ananguvu sana ndani ya bakwata

  • @kamotemedia3329
    @kamotemedia3329 2 หลายเดือนก่อน

    KAZI IENDELEE 😂😂 YANGA PINGWA

  • @KhamisNahodah
    @KhamisNahodah 2 หลายเดือนก่อน

    Hayo maneno ya Dodoma sibusara kwako kuyasema hapo

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 หลายเดือนก่อน

    TANGANYIKA hakuna DEMOCRACY.

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mtu hafai kuongoza hata chekekechea

  • @memorataedson7895
    @memorataedson7895 2 หลายเดือนก่อน

    ni hadithi ya kweli mkibishà leteni ya kwl

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye nchi wanamtumia sana huyu kwenye mambo yadini ndiomaana anangu sana
    Bakwata hawakutaka yajulikane haya ndiomaana chizenga anagomba huko.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndefu ziko wapi

  • @ismailsaid6318
    @ismailsaid6318 2 หลายเดือนก่อน

    Alhad yupo sahihi

  • @alawimohamed-c6y
    @alawimohamed-c6y 2 หลายเดือนก่อน

    mzushi huyu sijawahi kumuelewa hatasiku1,na sijui kwa nini anapewa mic

  • @an-noormedia2881
    @an-noormedia2881 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hajazungumza lolote baya...
    Ujinga tu wa wengine...

  • @memorataedson7895
    @memorataedson7895 2 หลายเดือนก่อน

    sasa mtu anawapa stori ya kweli nyie mnamsema 😂😂😂

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 หลายเดือนก่อน

    TANGANYIKA kuna mfumo wa chama KIMOJA.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa inaonekana anaongy kweli ijapo wengi watachukiya sema kweli japokuwa inauma

  • @JoshuaSalimu
    @JoshuaSalimu 2 หลายเดือนก่อน

    Mambo ya ccm mmerithi bakwata

  • @yusuphrashidi-dr1kb
    @yusuphrashidi-dr1kb 2 หลายเดือนก่อน

    Kaongea ukweli yote haya ni ya kweli

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 2 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wa uislamu ni dini ya kielimu.Halazimiki mtu kumfuata sheikh kikondoo au kinyumbunyumbu.Ukipima hoja ukiona ni 'ukakasi' unapita vile na kumuacha na dunia yake.

  • @mootelahamongus633
    @mootelahamongus633 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkiambiwaga Huyo Alhad ni Mshia Hamuelewagi, Huyo Anamhusudu Hata Shekh Mwenzake Aliechukua Nafasi Yake Waziwazi na BAKWATA Inamfumbia Macho. Leo Yamewakuta!! Endeleeni Kumpa Nafasi Zaidi, na Nafasi za Kuongea.

  • @ustadhisimbula8622
    @ustadhisimbula8622 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwani ndio mada hiyo kapangiwa hapo aongee au? Maana anatoa sir za baraza badala ya kuongelea umuhim wa kupiga kura anaongea mengine ya baraza

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 2 หลายเดือนก่อน

    Mwamba ..😂😂😂

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 2 หลายเดือนก่อน

    Hata kama ni kweri kwanini aongee Leo lipo jambo

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona hakuna baya hapo. Yeye amechagiza. Kwani kuna ubaya kumshauri mgombea wapili asigombee na yeye akaridhia ili mufti Zubeir apite bila kupingwa. Sababu alioona uwezo mkubwa wa Mufti. Jee hapo ni kosa kusema?

  • @Mahmud-g1p
    @Mahmud-g1p 2 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wa maana kabisa ukiona unazungumziwa ujue una kitu sio bure maana mti wenye matunda ndo unapigwa mawe

  • @JumaHemed-k6u
    @JumaHemed-k6u 2 หลายเดือนก่อน

    kama huyu alhad anatugombanisha waislam mchungen xana alafu huyu ndiye anae sapot mashia simwenzet jaman

    • @nouroudinhoussein5079
      @nouroudinhoussein5079 2 หลายเดือนก่อน

      Sio waislam ni bakwata ndo anawagombanisha

    • @JumaHemed-k6u
      @JumaHemed-k6u 2 หลายเดือนก่อน +1

      kwan waislam tunaunganishw nini sheikh

    • @nouroudinhoussein5079
      @nouroudinhoussein5079 2 หลายเดือนก่อน

      @@JumaHemed-k6u sijaelewa hebu andika vzr maalim

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 2 หลายเดือนก่อน

    Mna mambo nyinyiiiii.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 หลายเดือนก่อน

    K vant huyu sio akili yake

  • @SimbaKhatibu
    @SimbaKhatibu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alahad hamtaki kumuelewa ila mtamuelewa tu

    • @kivatirokitojo657
      @kivatirokitojo657 2 หลายเดือนก่อน

      Huyu bwana anajivua joho kidogo kidogo, na sio mtu mwena Sana

    • @marwaabdalla9306
      @marwaabdalla9306 2 หลายเดือนก่อน

      😊🎉🪅 ❤MashaAllah i want to be teacher like you