MAUZAUZA! RADI YAPIGA BILA MVUA WATU WAKIMZIKA MZEE wa MIAKA 80 KABURINI ARUSHA -YASIKIKA HADI MOSHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • MAUZAUZA! RADI YAPIGA BILA MVUA WATU WAKIMZIKA MZEE wa MIAKA 80 KABURINI ARUSHA - YASIKIKA HADI MOSHI...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 27

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee kaaga huyo wala hakuna cha wosia maaana kama ni wosia isingeacha salama😊😊❤

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mzee ameega alikuwa ana nguvu zake alizo umbwa nazo kila mtu mungu ana muumba Kwa nguvu zake na ufalme wake

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atunusuru kwa kweli ni kuomba sana Mungu

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 6 หลายเดือนก่อน +6

    Why yaitwe ni mauza uza , na si Utakatifu. So na Yesu wakati anakata roho pazia la hekalu kupasuka na mambo mengine ilikuwa mauza uza. We are so negative. Chunguzeni maisha ya mzed huenda mi ishara ya Utakatifu wake

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 6 หลายเดือนก่อน

      Nakubaliana wewe ndugu kwa salimia zote, siku zote wandishi wa habari wanavutiwa na mabaya tu na kuweka vichwa vya habari kwa kuvutia au kuipamba kwa maslahi ya kazi yao, lakini na jamii nayo kuendekeza sana ushirkina hili nalo ni tatizo, mmong'onyoko wa imani huchangia hayo yote.

    • @naimajuma647
      @naimajuma647 6 หลายเดือนก่อน

      Nani aliku danganya kuwa Yesu alikufaa!, aisee ebu msiwe mnadangwa ovyo mbadilike jamani, Yesu akuwa na wala hakufia msarabani

  • @shanishani-qv3bc
    @shanishani-qv3bc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mlio umesikika maeneo yote sasa mnataka kusema malehem ndio sababu mwacheni mzee apumzike salama bwana acheni dhanu

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Ndiyo ajuae Kila kitu kifanyikacho chini ya aridhi ngurumo mpaka Moshi wamesikia mnataka kusema Mzee ndiyo mwenye Shida laaah hasha Acheni Mzee apumzike

  • @khaijakadija2082
    @khaijakadija2082 6 หลายเดือนก่อน +1

    Subhan Allah

  • @DM_15
    @DM_15 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa mijini radi nikitu chakustaajabisha ila kwakule Bush radi nikawaidatuu ila huwa ina kua ni ishara aidha yamvua au mtu anaweka kinga mvua hii nikawaidatuu kwasisi watu wabush

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inalilah wainailah

  • @KhadijaNgozi-ln4ww
    @KhadijaNgozi-ln4ww 2 หลายเดือนก่อน

    Turudi.jamani.dalili.za.kiama

  • @user-rw8dq5fw5h
    @user-rw8dq5fw5h 6 หลายเดือนก่อน

    uku kwetu NI kawaida

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 6 หลายเดือนก่อน

    Yawezekana kuna kitu marehemu ajanlizishwa nacho iyo nitahadhali tu wazee kama waliacha weosia alafu ukapuuzwa ilo nitatizo

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 6 หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee pengine alikua mwanga radi bila mvua sijawahi kuona hapo kuna kitu mmh mungu ndo ajuaye zaidi

    • @Awatee
      @Awatee 6 หลายเดือนก่อน

      Usimzanie mtu vby ALLAH anapo taka jambo liwe linakua tuu

    • @OmanOman-vb4uj
      @OmanOman-vb4uj 6 หลายเดือนก่อน

      Kwann hujiulizi radi imepige Na mingurumo kote mpka mosh sasa kwann yeye ahusikie jmnii..

    • @user-et4ny5gj3p
      @user-et4ny5gj3p 6 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka kama vile umeongea vizuri

    • @HusnaMtitiko
      @HusnaMtitiko 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-et4ny5gj3p😂vinachekesha huwenda kwel mzee alikuwa anazulumu watu na kuuwa wenzake maana hii dunia mmmh sir yake marehem na mungu wake

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 6 หลายเดือนก่อน

      Mmm! Mzee mwache apunzike Kwa amani usimtie doa kikubwa juwa tu kila mtu mungu kamuumba Kwa uwezo wake inawezakana ni mipango ya mungu tu

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 6 หลายเดือนก่อน

    Ni ishara ya Mungu ameenda mbinguni

    • @khaijakadija2082
      @khaijakadija2082 6 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 6 หลายเดือนก่อน

      Roho zote zinarudi mbinguni. Hlf unarudishiwa tena ktk maisha yako ya kaburini.

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 6 หลายเดือนก่อน

      Mzee huyo alikuwa ni mtu wa amani mno Kwa hiyo mungu aonyesha kuwa kamchukuwa mja wake tu, unajuwa kila mtu amemumba makusudi yake na maona yake, tumuwachie mungu mana ndio anajuwa Nini kimetokea

  • @user-rk8vf8rc9c
    @user-rk8vf8rc9c 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo hatal

  • @mozamagaya8618
    @mozamagaya8618 6 หลายเดือนก่อน

    Yani Moshi mpaka Arusha muungtumo aisee