Kaka nashukuru kwa Somo lako ila changamoto ninayopata Mimi nilishawahi kubading hivyo lakini mwishoe sikufanikiwa Miche hiyo ilikauka naomba ushauri nifanyaje?
Vikonyo vyako havikua poa. Pia mbolea chini ya ardhi yaani pale viriba vinapokaa au ule udongo wa kuweka kw viriba unatakiwa uchanganye nabolea. Pia yawezekana ukufunga vizur kwenye kiungo chako🙏🤝
Viotea vya majani vya kwanza kabisa yaani kw juu pale vikianza tu kuota unatoa mifuko. Ndani ya wiki 3 hadi 4 hutegemea na hali y unyevu nyevu miche yako🙏🙏
nashkuru sana naomba kuuliza ivo vikonyo huwa vinauzwa au vinapatikana vp boss
Vinatoka ktk miti y parachichi iliyozaa. Iwe ya kisasa so inabid uongee na watu mwenye iyo miti,, AU waweza nunua kwa ao
Mungu awabariki sana kwa elimu zuri .swali karatasi unafubika kwa muda gani
Ndani ya wiki 2/3 yaan majani mapya yanapo Anza kuchipua
Shukrani sana KWA elimu
Pa1🤝🤝
Safi nlikuwa sijui
Tupo pamoja ndugu
Mungu awabariki sana kwa elimu mnayotupa
Amina ndugu. Na we pia
Nimeipenda . Naomba kujifunza jinsi ya kuzalisha vikonyo vya mibuni
OK tunalifanyia kaz
Nashukulu san kwa talasa lak nirikua nauliza iyo gundi niyavip
Ni ya karatasi kama vifuko ya kuwekea karanga
Napataje vikonyo
Upo wapi ndugu tuone ni Nani aliyekaribu nawe akutumie kiurahisi
Safi sana kwa elimu yenu
Pa1 ndugu Barikiwa🙏🙏🙏
Ahsante Kwa elimu hii Naomba kuuliza kwamba nikitumia mparachichi uliokomaa WA kienyeji wenye uzazi mzuri unaweza kuleta mavuno mazuri?
Ila uukate Kisha ubadi
Ok sawa tumefaidika
Tupo pamoja ndugu 🙏🏿 ✍️
Asante sana ijapo nimechelewa kuiona ila nilitaka kujua unatumia gundi yeyote aw?💪💪🙏
Solotep nyeupe laini ivi
Asante mkuu
Pamoja ndugu 🙏🏿
Asant nimejifunxa
Barikiwa
Nashukulu sana kwa some he ninaweza kabadi miti wowote ili mladi unazaa
Ni kweli ndugu. Barikiwa pia🙏🙏
Inawezekan kubadi miparachichi ya kienyeji kwa mche wa kienyiji mwingine?
No hiwezekani ndugu apo hautapata mabadiliko maana LENGO la kubadi ni kubali mche toka kienyeji hadi kisasa
Naombeni darasa lirudiwe
Sawa sawa ndugu
Ntapataje hivyo vikonyo?? Hongera sana nimependa Mungu akubariki
Tuwasiliane. +255765467484 wasap
Njia hii unaweza kutumia hata kwenye miembe?
Yes ni nzuri
Mm naishi mkoa wa pwan nalipenda hilo zao je linalimika
Kama zanzibar wanalima tunaamini Ata uko inawezekana
Je Kama umeshapanda ya kienyeji ,ila bado michanga unaweza kuichange shambani?
Ndyo hatua za kubadi ivyo ivyo
Mche mmoja shilingi ngapi
Tsh elf 3 hadi 5 utegemea na ukubwa wake
Naomba mutupe elimu ya kuotesha epuli mana hutujuwi
Ok noted ✍️👍🤝
Hivo vifuko vinaitwaje
Vp vya kifunika juu au vya kubadia
Ni utaalamu mzuri ASANTE
Pa 1
Hivyo vikonyo mlivyounganishia mmechukuwa kwenye mti wa mparachichi wa kisasa au wa kawaida?
Wa kisasa🙏
Nashukuru nimefurahi naomba ni ya cm kwa mawasilino
Nimeelimika
Barikiwa sana ndugu
Vikonjo vinatolewa kwenye unaozaa, je uwe umezaa miaka mingapi,?
Angalau miaka miwili
Nilikuwa na shida na namba ili tuwasiliane zaidi
OK tutakutumia
Nimeipenda uyo staili , nimeitesha parachichi la kienyeji je naweza kuunganisha tawi la parachichi linaloza la kawaida? Naomba jibu
Ndyo unachukua vikonyo na una badi
Vikonyo vya kuunganisha vina patikana wapi
Kwenye miche mikubwa ya parachichi
Nashukuru asante
Tupo pamoja ndugu
Je unaweza kubadisha na mparashishi wowote naomba jibu
Lazima kikonyo kitoke kwa parachichi za kisasa
Safi Sana...je ! Kimfuko Cha juu utakitoa baada ya muda gani?
Mara mche utakapo anza kutoa majani mapya
Napataje soltep na inauzwaje maana huku iringa ni changamoto
Maduka ya pembejeo utapata
Hyo gundi uliyofungia inatolewa baada ya muda gan?
Hadi shambani mti ukiwa umeshika vizuri yaani kuota majani mapya
Naweza fanya budding kwa mparachichi amabao haujatoa matunda na kupata matokeo mazur ?
Yes inawezekana ndugu
Mwezii wa kubadii ni mwez wa ngapii
Ni muda wote. Kama ni kiangazi hakikisha Una mwagia maji na kutengeneza kivuli
Inachukua muda gani baada y mche kuota hadi kufayiwa budding?
Utegemea na Hali ya hewa lakini ni miezi 2
Kuwatika mapeke kwanza kwenye udongo kuna tatizo lolote?
Hapana ndugu itakua vizur tu🙏
Da kak kilimo hiki nimekipend san. Je nawez kupat mich ya kununua angalau 10 tu nianz nayo iyo
Karibu sana tuwekeze ndugu. Miche ipo mingi Sana. Kwani upo wapi? Na unataka kupanda wapi
Yanazaa baada ya mda gani
Miaka 3
Je kama nikitumia mbegu ya mparachichi wa kisasa kuotesha je unaweza kuwa ni mti pia wa na ukatoa parachichi za kisasa ?
Unaweza. Japo hutajua ni mbegu ya Aina gani yaan kwa shamba kubwa ni vizuri tu uje kubadi baadae uwe na uhakika ni Aina gani y mbegu husika.
Au ina jina tofauti na soltep?
Iyo iyo au dundi nyeupe solo tep
Mbona hutoi no yako ya simu tunakupataje??
OK nakupa ndugu kama una shida ambayo haiwez kutatuliwa kwa kuandika apa basi namba utapata🙏🙏🤝
naomba bei ya vifaa vyote vya kupandikizia na bei zake kwenye maduka ya pembejeo
Tembelea duka LA kilimo utapata
naomba majiana hasa ile gundi ya kufungia @@AGALUSTV
Unapatikana wp kk
Michi hio vp mnauza ?
BAADA ya kufunika vimfuko unatakiwa kuvitoa BAADA ya muda Gani?
Mara vioteo vipya vikianza ni kama wiki mbili ivi
Nashukuru kwa elimu hiyo swali ni je hivyo vifuko na hiyo gundi vinapatikana wapi?
Madukani ya kawaida japo ilipigwa marufuku na serikali 🙏😀 ni ile ya kuuzia karanga
je kwenye nailoni sikutatoa jasho?? siitaozesha hichokikonyo
Hapana ndugu ndani ya wiki mbili mche kuanza kuota tunatoa
Nilazima kukata kikonyo kwenyemti ambao umesha toa matunda.
Tena uwe umezaa zaidi ya Mara 2
Unapata wapi hizo gundi za kuunganishia hiyo Miche?
Maduka ya mbolea
Vikonyo havitakiwi kukaa muda gani baada ya kukatwa?
Kama vikitunzwa vizuri HADI wiki ukaa
Je mm nikitaka miche ninaweza kuyapata mm nipo zanzibari
Una mtu Dar? Ili tutume hadi Dar
Wa Zanzibar tutapataje Miche?
Upo wpi unatumiwa tu
Kaka nashukuru kwa Somo lako ila changamoto ninayopata Mimi nilishawahi kubading hivyo lakini mwishoe sikufanikiwa Miche hiyo ilikauka naomba ushauri nifanyaje?
Vikonyo vyako havikua poa. Pia mbolea chini ya ardhi yaani pale viriba vinapokaa au ule udongo wa kuweka kw viriba unatakiwa uchanganye nabolea. Pia yawezekana ukufunga vizur kwenye kiungo chako🙏🤝
Ukivalisha mfuko huo wa juu ili kuzuia maji yasiguse kidonda, huo mfuko utachukua muda gani ili utolewe
Jani jipya linapoanza tu kuota
Wapi hapo ili nifuate miche ya parachichi zao zinavutia.
Tukuyu iyo ipo ya kutosha bei poa sana tu Kaz ni kwako ndugu yaani wewe ni kwenda kupanda tu
@@AGALUSTV nitaifuatilia
@@AGALUSTV Kuna mdogo wangu Mbeya nimuelekezeje ili afike huko kunichukulia
Sawa ndugu +wasap +255765467484 upo wapi kwani ili tuone usafiri itakuaje
@@AGALUSTV Mimi nipo Morogoro Kilombero Sugar-Ruaha
Napataje miche? Niko dodoma
Tuwasiliane tu wasap +255765467484
Habari mm nina miti nimepanda leo ni mwaka wa tatu je naweza kufanya bading
Unaweza unakata matawi yote ya juu na kuweka vikonyo vya kisasa/ budding🙏
Je ni lazima kutumia soltepu tuu, hakuna njia mbadala
Ni kutumia vifuko ivyo ivyo waweza fungia
Gundi tunatoa lini?
Majani mapya yakichanganya yaaani mche ukamilike kabisa tayar kw kupeleka shambani
Je? Naweza kubad mtu WA papai.
Hatakama nimkubwa kiasiflani?
Ncha ya pencil kama ya parachichi tu
Nimejifunza kitu japo duh inatakiwa subira na kujituma kwa bidii kwa hiki kilimo
Ni kweli kabisa🤝🤝🤝
Mifuko yakufunikia baada ya kuunga inatolewa baada ya siku au muda gani?
Viotea vya majani vya kwanza kabisa yaani kw juu pale vikianza tu kuota unatoa mifuko. Ndani ya wiki 3 hadi 4 hutegemea na hali y unyevu nyevu miche yako🙏🙏
Ntapataje hivyo vikonyo??
Upo wapi?
Namna ya kupata hizo parachichi za kisasa
Nini Miche au MATUNDA yake
Navipi inachukua mdagni kuaza kutoa mtunda
Miaka 2/3
Unapo funika mifuko hiyo mmea unapataje chakula chake mtalamu
Majani ya nakua Bado vikonyo havina majani kwa hiyo haina shida baada tu Jani kuanza tunatoa Miche
Mko wapi ,tunapata je Miche yenu tukiwa njombe
Tupo mbeya miche unatumiwa🙏🙏
@@AGALUSTV hapo zipo gharama za usafiri kutokea mby Hadi makambako pengine Hadi shamba nitawatafuta Kwa maelekezo zaidi
Ok karibu
Huo mti ukishatoa matunda ukala halafu ukaotesha llile kokwa ukaota huo mti utazaa Matunda
Utazaa bila shida 🙏🙏 tunafanya hivyo kwani hatuna uhakika kama mbegu zote ni za kisasa zingine ni za kienyeji kw iyo tunabadi kw yote tu
Kwanini mpalachichi ukiupanda mkubwa kam futi 4 .unakufa
Tuzidi kufuatilia sababu za sayansi kwa nini 🙏🙏
Mnapatkana. Wapi
Dar, mbeya ,Kagera ,Moro pia
Hakuna picha
Unahitaji?
@@AGALUSTV Sana mngoni/mndendeule mwenzangu Luambano
Aaaaaah 😀 😀 hiii imeeeendaaa
@@AGALUSTVHapa sasa inaenda sawaa si upitie chanel yangu pia bana
Hiyo mimea baada ya kupandikizwa inachukua mda gani kuzaa parachichi
Miaka 3
Vp kuhs kanda ya ziwa miparachch ming haistaw kwa nn
Naomba tuzid. Kuchunguza au tufanye utafit ni kwa nini
Nahitaji miche naomba namba ya simu
Upo wapi
𝐒𝐡𝐮𝐤𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐟𝐮𝐧𝐳𝐨 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮🙏🤝
Barikiwa🙏🙏