EXCLUSIVE: "NILIITWA KICHAA KWA KUOKOTA MBEGU ZA PARACHICHI" - ERASTO NGOLE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 เม.ย. 2022
  • EXCLUSIVE: "NILIITWA KICHAA KWA KUOKOTA MBEGU ZA PARACHICHI" - ERASTO NGOLE
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 101

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera mkuu Mungu kakuonesha njia watu wanapenda sana kuvunja moyo wenzao

  • @kelvinmushubiro8187
    @kelvinmushubiro8187 2 ปีที่แล้ว +4

    safi sana sana sana kabsaaa,,, kama unazitaka mali utazipata shambani,, ebu ona jamaa alipoanzia had alipofikia kias kwamba ana mchango mkubwa sana wa maendlea ktk jamii yake,,,uendelee kubarikiwa sana mzee,,,hongera sana

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 2 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana huu ndio uhalisia sio wabunge wetu wanaongea bila uhalisia. Waige hii hali halisi na kusaidia WaTZ wengi

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana ndugu Ngole na kampuni yako kwaFikra angavu kwa maendeleo ya Taifa letu... Watanzania tukiamua tunaweza✨✨✨

  • @shabiruponera4323
    @shabiruponera4323 2 ปีที่แล้ว +6

    A lot of successful story...!! I like that

  • @janewambui6608
    @janewambui6608 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana.Parachichi ,the way to go.

  • @addya.bernard9580
    @addya.bernard9580 2 ปีที่แล้ว +7

    "Ugumu wa maisha ndo unaletaakili"

  • @genuinekissima1135
    @genuinekissima1135 2 ปีที่แล้ว +2

    Well done.
    Focus katika kila kitu ni muhimu sana.
    Kushirikiana kwa pamoja katika jambo ni baraka sana.

  • @andrewkomba5780
    @andrewkomba5780 2 ปีที่แล้ว +4

    Hakika hongera sana mkurugenzi kwa hatua hii uliyofikia, kwani nimekufuatilia kwa muda mchache ila nimejifunza mengi sana na ninahitaji kujifunza zaidi na zaidi. Nahitaji kufika njombe na kujifunza zaidi

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni ndugu zangu kwaicho mlicho kifanya.

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +11

    Hongera sana kwa kazi ya uzalishaji

  • @idefonsiwilla7747
    @idefonsiwilla7747 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Erasto Ngole

  • @aminasaid7769
    @aminasaid7769 2 ปีที่แล้ว +7

    Hongera sana. shikamoo Parachichi nimependa sana na mimi nimevutiwa na huu ukulima wa parachichi naomba msaada nianzie wapi?

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 ปีที่แล้ว

      Jaribu kuangalia Kuna Crip zilirushwa

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      @@hadijamandanje6189 tuma link kama unayo plz

    • @hellenmawere9284
      @hellenmawere9284 2 ปีที่แล้ว

      Kwaushauri nivema uende eneo la tukio ujifunze kwa matendo ikibidi ujitolee katika kazi zao hapo ndipo utapata maamuzi kamili na ujuzi stahiki juu umiliki na uzalishaji parachichi kama wakulima wengine.

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 2 ปีที่แล้ว

      @@ahz6907 Ila kwa nilivyoiona hili alilokushauri huyu la kwenda saiti no bora zaidi maana nimeona ni la kuchukua muda wa kuwa field kabla haujachukua maamuzi ni swala la mpangilio mzuri na si kukurupuka

    • @aklinndelwa1832
      @aklinndelwa1832 2 ปีที่แล้ว

      Anza na shamba je, unalo?
      Ukiwa nalo nunua miche panda

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 2 ปีที่แล้ว +2

    Ni mfano mzuri sana wa kuigwa

  • @zuhurasalumu6668
    @zuhurasalumu6668 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana... Kwa kuitangaza Tanzania

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ALLAH barik

  • @hbdina
    @hbdina 2 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Safi sana 👌👍

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah, hongera sana Brother kazi Nzur

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha!!! Mzee baba

  • @franciskavyega280
    @franciskavyega280 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kk

  • @allexlunny7795
    @allexlunny7795 2 ปีที่แล้ว +2

    uyu jamaa ni very smart

  • @isakanziku6670
    @isakanziku6670 2 ปีที่แล้ว +5

    Hongera Sanaa Shikamoo parachichi company limited

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Mtanzania mwenzangu

  • @kanyangwaerasto2734
    @kanyangwaerasto2734 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera!!

  • @johnmligo6966
    @johnmligo6966 2 ปีที่แล้ว +1

    Congrats 👏

  • @wilsonchishomi1083
    @wilsonchishomi1083 2 ปีที่แล้ว +15

    Yaani serikali imeshindwa kumsaidia mpaka wamekuja wakenya.. nchi ya hovyo sana hii

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 ndo umejua Leo ee!?

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว +2

      Hatuna viongozi makini

    • @anoldjose7793
      @anoldjose7793 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ahz6907 yaan inabidi tupambane kivyetu vyetu ...hawa viongozi sio kabxa

    • @julianaharrison4356
      @julianaharrison4356 2 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭

  • @joshuampagaze8891
    @joshuampagaze8891 ปีที่แล้ว

    Safi sana🤝

  • @HassanAlJabri
    @HassanAlJabri 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Erastooooo

  • @saimonlaizer2732
    @saimonlaizer2732 2 ปีที่แล้ว +2

    Shikamoo parachichi ndani ya njombe Tanzania .

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 2 ปีที่แล้ว +2

    Wakenya wanayasafirisha Uingereza na wanasema yanatoka kenya

  • @masilulwivala9493
    @masilulwivala9493 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaan nchi ya hovyo mnoo Sana hii. Hivi kweli huyu Jamaa alikosa msaada kutoka kwenye serikali yake pamoja na kuitumikia kiasi kile?

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @palepale7768
    @palepale7768 2 ปีที่แล้ว +1

    Well

  • @festonjeleka5919
    @festonjeleka5919 2 ปีที่แล้ว +3

    wakenya siyo watu wa kuwapuuza watu muhimu sana kwenye taifa hili

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli..kutokana na mitazamo ya wa tz wengi wanawaponda wakenya kwakuwa akili zao za kipuuzi

  • @yohanamwanilonga8167
    @yohanamwanilonga8167 2 ปีที่แล้ว

    Ongere kw kazi

  • @evodyalexander7094
    @evodyalexander7094 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ninashida ya miche

  • @user-ty6nd3dg9m
    @user-ty6nd3dg9m ปีที่แล้ว

    Politics in Agriculture waandishi nawashauri hizi taarifa muwe mnaenda kwa Afisa kilimo wa Halishauri kuthibitisha wakenya wameanza kuja mwaka 2016 sio 2012

  • @jameswikesi312
    @jameswikesi312 2 ปีที่แล้ว +1

    Njombe oyeee

  • @user-fe6mq4qt4i
    @user-fe6mq4qt4i 4 หลายเดือนก่อน

    Msiwauzie tena wakenya uzeni wenyewe nchi za ughaibuni faida itakuwa kubwa zaidi

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 2 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi sana Shikamo parachichi.Hongereni kwa kuuanzisha ubia wa uhakika na Wakenya.

  • @chescoxzavery7595
    @chescoxzavery7595 2 ปีที่แล้ว +2

    Serikali na wabia wa Maendeleo mfano USAID ndio waliotoa pesa ya kuendesha miradi yote ya Parachichi soko ilifanyika promotion mwaka 2013

  • @adamrobert8869
    @adamrobert8869 2 ปีที่แล้ว +11

    Sasa kumbe kunavitu vya kuongelea,,, sasa mbona mnatuwekeaga stor za umbea...

    • @masatumnyoro2350
      @masatumnyoro2350 2 ปีที่แล้ว

      YANI NDUGU MI HU NATAMANI SANA TUWE TUNAONGELEA MAMBO KAMA HAYA lkn muda mwingi tunapotiwa ujinga

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 ปีที่แล้ว

      Ukiona hivyo akili za watz wengi hupenda umbea badala ya watu makini

  • @bostonnyatuo8675
    @bostonnyatuo8675 2 ปีที่แล้ว +1

    Leo sijui tukupe jina gani badala ya kicha (tuzinduke tunapitwa)

  • @schosay_
    @schosay_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Shkamoo parachichi

  • @danielyohana4196
    @danielyohana4196 2 ปีที่แล้ว

    Baadai kumtuana Ndugai umelipwa

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 2 ปีที่แล้ว +5

    Usubutu wako unahitaji pongezi nyingi. Ni funzo kwangu.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @aristidessebastiantibaijuk6511
    @aristidessebastiantibaijuk6511 2 ปีที่แล้ว +2

    Tusaidieni sisi wakulima wadogo kwani tunatafuta mikopo ya kilimo hatupati

    • @aristidessebastiantibaijuk6511
      @aristidessebastiantibaijuk6511 2 ปีที่แล้ว

      Watanzania Tuwe na moyo WA kusaidiana, mfano Mimi nilienda kumuomba tajiri mmoja niwezeshe kuhusu mashine ya umwagiliaji lakini aligoma kabisa na mwingine kuhusu uchimbaji WA kisima amegoma. Sisi watanzania hatuna muono wa mbele

    • @aristidessebastiantibaijuk6511
      @aristidessebastiantibaijuk6511 2 ปีที่แล้ว

      Maisha bila kusaidiana sio Maisha. Kila anayeendelea bila kushikwa mkono hasingeweza kufika popote.Mnisaidie nipate kukamilisha malengo nami nisaidie wengine

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 2 ปีที่แล้ว +1

    Uvumilivu Unalipa

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 ปีที่แล้ว

    Xwety hom Njombe town

  • @mlemambimsakaswanu2557
    @mlemambimsakaswanu2557 2 ปีที่แล้ว

    Nikitaka kulima mkoa wa dodoma nifanyeje?

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 2 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo parachichi fungua macho zaidi .....Wakenya wanauza Parachichi zako ulaya. Kwa parachichi 1 moja karibu ya tsh 2500 hadi 3500.wewe unauza kilo moja tsh 750. Hiyo ni kama parachichi 4 au 3... piga hesabu......... unagawa jasho lako bure.

    • @issasued957
      @issasued957 2 ปีที่แล้ว +2

      Kila kitu ni stage, anzisha ww vya kwako upeleke huko Ulaya. Kuwa na constant supply ya kuku tu kwenye mahotel yetu ya tz hatuwez utaweza kusupplt tonnes each month/week. Mpongeze kwanza kwa uthubutu huo

    • @emmanuelbonaventura4258
      @emmanuelbonaventura4258 2 ปีที่แล้ว

      @@issasued957 sure. We are begin by making losses

    • @MrBarracudablue
      @MrBarracudablue 2 ปีที่แล้ว +2

      Fuatililia vizuri maelezo yake, usikurupuke. Hiyo bei ni mwaka gani? Wakati amesema alipeleka Wakenya kule Mbeya wakauza bei ya 1200 kutoka bei ya 380. Hizo ni Historia, hajasema bei ya sasa

  • @kondosaid216
    @kondosaid216 2 ปีที่แล้ว +2

    Nikija njombe au mafinga nitapitia hapo halafu mbona hiyo ni mifupi mifupi na inazaa mapema mnaifanyaje

    • @energeticmbn4596
      @energeticmbn4596 2 ปีที่แล้ว

      Yaah inazaa hata ikiwa na miaka miwili tuu

    • @mbwanasilaha8872
      @mbwanasilaha8872 2 ปีที่แล้ว

      Inafanyiwa grafting ndio ukaona inazaa araka

    • @hellenmawere9284
      @hellenmawere9284 2 ปีที่แล้ว

      Upandikizwaji na uchanganywaji wa tawi kwanjia ya kisayansi zaidi umetumika ndio maana mti unazaa mapema

  • @ycind4957
    @ycind4957 2 ปีที่แล้ว

    Kama mtu anahitaji Miche naipataje

  • @jamesobedy3687
    @jamesobedy3687 2 ปีที่แล้ว +1

    mbona kama wanavuna hajijakomaa hizo parachichi au ndio zilivyo ❔❓

    • @afyandogo
      @afyandogo 2 ปีที่แล้ว

      ndio za hivohivo hizo ni bading sio za kienyeji

    • @energeticmbn4596
      @energeticmbn4596 2 ปีที่แล้ว

      Ndo hua yanachumwa kabla hayajawa meusi

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 2 ปีที่แล้ว +1

      Ukila parachichi ya Njombe haya ya kutoka kwingine utayakataa kabisa nayapenda kila nikienda Njombe lazima nile

    • @sophiaabdallah7821
      @sophiaabdallah7821 2 ปีที่แล้ว

      @@dicksonkilupa2258 sanaaaa yana ladha fulanii hivii amazing had nmeyataman kitaambo sanaa

  • @edson2450
    @edson2450 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngole anaongea kama mtu vile😃😃

    • @boniphacekatunzi7865
      @boniphacekatunzi7865 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe sio mtuu ee?

    • @alamubravo512
      @alamubravo512 2 ปีที่แล้ว

      Umenifanya nicheke 🤣😆😆😆😆😆🤣🤣

    • @masatumnyoro2350
      @masatumnyoro2350 2 ปีที่แล้ว

      Kama kawaida watu kama nyie huwa mpo tu

    • @aristidessebastiantibaijuk6511
      @aristidessebastiantibaijuk6511 2 ปีที่แล้ว

      Inabidi kumsifia aliyetenda mema sio kumkatisha tamaa tusije kuonekana wachawi

    • @edson2450
      @edson2450 2 ปีที่แล้ว

      @@aristidessebastiantibaijuk6511 Pesa anazo kweli, nilichoongea unamjua ngole aliyekua anamsuta ndugai? Ndio huyu?

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 ปีที่แล้ว +1

    Akili zako ni nyingi.MUNGU alikupa maono

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 2 ปีที่แล้ว

    maghufuli alikuwa anawambia viongoz mkiona mtanzania anzisha kitu kina faida kwa raiya na taifa bas yatakiwa mumpe company ili iweze kukua na kupunguza umasikin nadhani wingi watanzania mlishuhudia wakat anawafokea viongoz wanao dharau mambo muhimu yanayo anzishwa na watanzania wenye akili walio ndani ya tanzania kama yule wa maji wakamrishwa wakiona mtu kaanzsha kitu kinamanufaa bas serkal yatakiwa kumuunga mkono ili mradi huo upande faida apate alie anzisha na faida zitakua kubwa kwa taifa ila waliobaki hao viongoz bure tu hizo bilion 5 wangewekeza serkal ya tanzania wallah inchi ingejitangaza kwa mambo mingi sana ya muhimu yanayotumika zaid na binaadam dunian

  • @stevenlulangasy3554
    @stevenlulangasy3554 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbaka mtu anajitoa hivii jamani serikali yetu imemsapoti nini?, Nchi hii ina baadhi ya viongozi wa hovyo sana yani mbaka soko anapambana kutafuta yeye ivi tutasema sisi tuna viongozi kweli?, Aaa hamna kitu hapa.

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyoo jamaa ni mkwer anamashamba zaid ya ekal kumiii

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    CCTV CAMERA YA ASILI
    DAWA YA KUKUPA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YA BAADAE.NA YA SASA ITAKUONYESHA MADUI ZAKO.WOTE.
    NAWAPI UNAKO TOKA NA WAPI UNAKOELEKEA NA VITU GANI VITAKUTOKEA MBELENI
    USIVYO VIJUA
    m.th-cam.com/video/VmXMsHmQ4ZY/w-d-xo.html

  • @idefonsiwilla7747
    @idefonsiwilla7747 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Erasto Ngole

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana

  • @drmussa1220
    @drmussa1220 2 ปีที่แล้ว +1

    CCTV CAMERA YA ASILI
    DAWA YA KUKUPA MAONO JUU YA MAISHA YAKO YA BAADAE.NA YA SASA ITAKUONYESHA MADUI ZAKO.WOTE.
    NAWAPI UNAKO TOKA NA WAPI UNAKOELEKEA NA VITU GANI VITAKUTOKEA MBELENI
    USIVYO VIJUA
    m.th-cam.com/video/VmXMsHmQ4ZY/w-d-xo.html

    • @masatumnyoro2350
      @masatumnyoro2350 2 ปีที่แล้ว

      ACHA UJINGA.NYIE NDIO MNAODANGANYA WATANZANIA KHS MAISHA

    • @masatumnyoro2350
      @masatumnyoro2350 2 ปีที่แล้ว

      Pumbafu,Wewe tapeli