Unatamani kulima parachichi Kibiashara? Hizi hapa hatua muhimu za kufuata ili ufanikiwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Mwagito,Kama nilikuona 88 huku mbeya,asante kwa elimu nzuri

  • @cleofaslucas999
    @cleofaslucas999 3 ปีที่แล้ว

    Kazi zuri Kaka mimi drmkombozi

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 6 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu naomba namba yako ya simu tafadhali

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 หลายเดือนก่อน

      habari, ilikuweza kupata namba ya mtaalamu unahitajika kuchangia kiasi kidogo cha fedha kuanzia shilingi 1000 kupitia lipa namba 22922127 jina Kijani Consult Tz, kisha utapatiwa namba ya mtaalam unayemhitaji. karibu

  • @saidkibangetandiko3734
    @saidkibangetandiko3734 ปีที่แล้ว

    Taratibu za kupata ardhi ya kwa ajili ya kilimo Cha parachichi zipoje kaka?

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 ปีที่แล้ว

    Mbona unawasiwasi Sana kaka

  • @tianarest
    @tianarest 11 หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza je mkoa wenye joto yanakubali kama mkoa wa pwan kibaha

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @lailathmagungamagunga5688
    @lailathmagungamagunga5688 2 ปีที่แล้ว

    Naomba msaada jamn naitajibshule zaid natamn kulima ekari tatu sasa sinashule ya kutosha

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  2 ปีที่แล้ว

      Mtao mada yuko Njombe na ametoa mawasiliano yake kwenye hii video unaweza kuwasiliana nae

    • @doriedennis9097
      @doriedennis9097 ปีที่แล้ว

      @@promoonlinetv7442 mbona namba zake hazionekani huyo mtaalam
      Tutafutje please

  • @emilymwandogo4322
    @emilymwandogo4322 3 ปีที่แล้ว

    Napenda kilimo hiki

  • @TatoTato-s3w
    @TatoTato-s3w 8 หลายเดือนก่อน

    Zanziba kunafaa jamani kupanda

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 3 หลายเดือนก่อน

      Huwezi Zanzibar we ni bora ufuge Samaki Samaki 🤣🤣

  • @kibikihotfilm0621
    @kibikihotfilm0621 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 6 หลายเดือนก่อน

    Skouting ni kitu gani mwalimu

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  3 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @alexjohn1479
    @alexjohn1479 3 ปีที่แล้ว

    Kwahiyo mfinyaz unaozesha maparichichi