WARDA ACHARUKA GHOROFA KUVUNJWA KARIAKOO| WANAPINGA JENGO LETU KUBOMOLEWA, KABLA SIJASAFIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Leo warda umependeza na hijab mashaallah

  • @MonicaBenito-x8n
    @MonicaBenito-x8n 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu Kaa sana nje kaludi kuwakomoa ndugu zake na ata mama ake ayupo pamoja nae kabisa

  • @sultanjames9395
    @sultanjames9395 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hao waliopinga lisibomolewe pengine wanategemea kodi za jengo kuishi

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hapa Sasa Tunamkumbuka Marehemu Dida Muongozaji Amepowa Sana Piga Maswali Yamsingu Nayamaana.

  • @NixonMasunga
    @NixonMasunga 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Very intelligent

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Warda na Arafat mnafanya sivyo!kuna mashaka na uamuzi wenu kufanya vitu bilakuwa shirikisha wamiliki wenzenu!huo ni utapeli,mnatumia kigezo cha uchakavu wa jengo" ilikuhalalisha uovu na dhulma kwa walimiki wengine!hata wao kina Sabaha wanajua jengo lao ni chakavu ni hatarishi! Lkn ktk hili hamuwashirikishi!Wao pia wanahofia kudhulumika'maana mmejaribu sana kuwaondoa na kutaka maamuzi yawe ni yenu bila wao!kuna namna na mwanya wa kuwadhulumu kwa namna nyingi lkn mmeshindwa!na tunavyo jua huyo Arafat ukiwa msimamizi wa mirathi ukisha gawa mali kwa warithishwa huwi tena msimamizi,lkn Arafat bado anawamiliki na kuwagandamiza dada zake kwa kisingizio cha yeye msimamizi,hakuna hapo mrithishwa alie under-age (18) mpaka Arafat amsimamie ili afike umri utakiwao kisheria wakukabidhiwa, wote hao ni wakubwa wazima unawasimamia nini?

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Huyu anawakomoa ndugu zake

    • @VivianOmmy
      @VivianOmmy 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Anawakomoaje na jengo ni bovu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Before walikuwa wamesha pata mnunuzi, wakaja na kutaka kubomoa lkn kukatokea zuio, sasa wanataka kupita na upepo wa ghorofa la Kariakoo 😂ili wapewe idhiniya kubomoa!lkn hawataki kuwashirikisha wamiliki wengine 4,na huyo Arafat hahusiki na jengo Sio mmiliki,anataka kuuza na kudhulumu,wamiliki 5 ni sisters,wote wanajua jengo ni chakavu lapaswa kubomolewa lkn mbona ktk kubomoa hawa washirikishi wamiliki wote?Sabaha ameongea vizuri kuhusu hili jengo amefafanua vizuri ndie mmiliki pia kati ya 5 nandio amestopisha hii

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi Wenye D2 Saikoloji Niroho Mbaya

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hapo kunamchezo Warda na Arafat wana jambo lao!maana why wasishirikishe wamiliki wote 5?jengo ni bovu kweli'lkn Arafat na Warda wanataka kutumia uchakavu wa jengo ili hii iwe ndo sababu ya lengo lao kutimia! Maana before walitaka pia kubomoa wakazuiwa kisheria!wanataka kupita na upepo wa ghorofa la Kariakoo lililo dondoka!hawa wamesha pata mnunuzi wa jengo wachukue pesawaishie