@@JuliethNyoni Mwalimu Nyerere ndiye mkombozi wa nchi usitembee na vya kuambiwa Huyo ni baba yetu siri zake tunazo mla nchi wala si mkombozi kama ni mkombozi mbona kapewa rushwa ya cheo ubalozi ni kati ya rushwa alizopewa na Kamanda Magu
Mimi naipenda sana wanaoongea maneno mazito ya nchi wafhibitishe mahakamani padipo shaka,bado wale waliosema kuwafahamu watekaji na kupoteza watu wakamatwe ili wafhibitishe nchi ipumue.
Huyo Mbowe anaanza Leo kununua uchaguzi? Chadema walimlea katika Hali hiyo miaka yote mwacheni awasaliti kwani walikula hongo miaka yote. Dr Mungu akupe nguvu ya kuachana na Chadema
Mbona alietangaza kama ccm wanaiba kura lijamaa fulani linaitwa nape nauye mbona hakukamatwa au samia hakusikia chochote laana itawatafuta wait and see
Mtu mzima kama huu anatusi na kusema uwongo ?? sasa atamtaja huo aliemwambia kua mama samia ana honga mbowe kwa kununua kura za watz kwa watz wako vipofu ??? hawaoni yanavo fanika tz nzima na sirikali yake kwa watz ????
Wtz wote ambao wanauwezo wa kuwa kwenye media muda wote,wameona na wamesikia wala hajaonewa h ata kidogo Ni kweli amekosea inabidi aombe msamaha Tena ni aibu😢😢Asirudie tena kutupotosha Siyo Siru
Mungu akulinde kwaukombozi wa taifa
@@JuliethNyoni Mwalimu Nyerere ndiye mkombozi wa nchi usitembee na vya kuambiwa Huyo ni baba yetu siri zake tunazo mla nchi wala si mkombozi kama ni mkombozi mbona kapewa rushwa ya cheo ubalozi ni kati ya rushwa alizopewa na Kamanda Magu
Slaa hajui kupanga maneno anatakiwa kujifunza
Mimi naipenda sana wanaoongea maneno mazito ya nchi wafhibitishe mahakamani padipo shaka,bado wale waliosema kuwafahamu watekaji na kupoteza watu wakamatwe ili wafhibitishe nchi ipumue.
Hawajaanza leo,toka zamani,mnyama ,anatusaliti
UNAAFIKI TU!!!
Mungu mnusuru baba yetu
Mwachieni ile dhambi ya uasi kutoka kanisa inamwanda
Dhambi ipi? Wewe ni Mungu hadi ujue ana dhambi? Tumeambiwa tusihukumu. Mungu ndiye mwenyekuhukumu.
@ChalesLukumai Kuna dhambi ya wazi kama ya Yuda Iskariote yake inafanana na sasa anaivuruga nchi baada ya kula mema nchi kuwa balozi.
Asante tunapenda haki itendeke, wasifumbwe midomo, ammna ailiejuu ya shelia
Anastaili kunyimwa dhamana kwa sababu Hana akili.
Unatia kichefuchefu ! Kasomee kwanza hii tasnia ndo uwe unatupa habari ! Unatumalizia mb zetu tu 😢
Asubunallah
Mbona ujui kuongea jaman.hata mvuto auna.unarudi tu maneno
Kwa mimi naoma kukamatwa kwa dk slaa ni kuwatoa kwenye reli msipige kampeni kuusu uchaguzi
Kila mtu atakufa kwa siku zake
Huyo Mbowe anaanza Leo kununua uchaguzi? Chadema walimlea katika Hali hiyo miaka yote mwacheni awasaliti kwani walikula hongo miaka yote. Dr Mungu akupe nguvu ya kuachana na Chadema
Akae huko huyu mzee yeye aliisha shiba sasa snakes chichi mzee mzima
Dhamana ni haki yake
MKUBWA NCHI YETU HAINA SHERIA
CCM SASA HIVI INATUMIA NGUVU KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA HUU
Wa police wa Tanzania ni wajinga, wanaona wakimuacha Sila inje Tundu lissu atakua chair man wa chadema
Slaa aache umbea mtu mzima
Mbona alietangaza kama ccm wanaiba kura lijamaa fulani linaitwa nape nauye mbona hakukamatwa au samia hakusikia chochote laana itawatafuta wait and see
HUYO MURILO NAYE SIYO POLISI BALI ANATUMIKA KATIKA CCM LKN ITAFIKIA SIKU NA YEYE ATALIPA TU VIBAYA SANA😊
Mtu mzima kama huu anatusi na kusema uwongo ?? sasa atamtaja huo aliemwambia kua mama samia ana honga mbowe kwa kununua kura za watz kwa watz wako vipofu ??? hawaoni yanavo fanika tz nzima na sirikali yake kwa watz ????
Hats Mimi cjui labda ulimwambia wewe
Wtz wote ambao wanauwezo wa kuwa kwenye media muda wote,wameona na wamesikia wala hajaonewa h ata kidogo
Ni kweli amekosea inabidi aombe msamaha Tena ni aibu😢😢Asirudie tena kutupotosha Siyo Siru
Ma kubwa ww
Hana hoja hata chadema walimfukuza
Fake news zipo tu matengenezo yapo wazi.ila ni makosa kufanya hivyo,ni wakati wa mabadiliko, nguvu za wakati umefika wala si ugomvi.
Tumechoka lutesa wazee
AKO KAZE AKAJAFARIKI KANA SUBIRI NINI
Eeh wew nae hasira za kukosa ela za matumizi..usituletee kwenye mitandao huku
Hili ni box tu halina lolote