ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kama upo single kama mimi gonga like uku tukijipongeza na goma la jux ft diamond nainjoy
Wazazi wapo zao nyumbani gafla mtu anaona mtoto wake analilia mapenzi 😂😂
kilichobaki ni kujifunza biblia😂😂
Amnakitu kinauma kama unakimbilia comment arafu kumbe wewe niwatatu 😂😂
Single tunaejoy sana kuona mambo kama haya😂😂😂
Mwanaume mweupe mlambalamba lipsi.. mbeba kikoba like cha ally afu mfuga nywele raniiiii mai frendiiiiiiiiiii😂😂😂
Mapenzi yanaumaaa asikwambie mtuu shid nikwamba kwanin simu haupokei majibu ni kwamba wamekuchok na anamwamnkee mwinginee anajifany tuu😅
Ambao hatujui kulilia mapenzi gonga likes
Kiredio ungemshitua uyo dada na kibao kashaambiwa alikua anataftiwa sababu Aachwe badala aendelee na maisha mengine analia apokelewi simu😂😂😂😂😂 ifike mahali wanawake tujue thamani yetu
Sema dada cute alafu mstaarabu sana anapaswa kuwa na mwanaume anayejitabua
Ila mwanamke akikupenda na akakuamini ukimvunja moyo analia sana
Uyu dada mstaharabu sana jmn nimependa buree❤
Kiredio mwenyewe alishasemaga anafurahia watu wakiachana😂😂😂😂😂 hayo machozi ya dadaa Kiredio roho yake nyeupeeeee😂😂😂😂😂
Jaman hyu msichana kaniliza sana.
We dada ni mzuri sanaa you don’t deserve this man 😊
Sema huyu dada anaongea kipole😅
Single guys gonga like tuki jipongeza
Ni bora nijitafutie kazi mapenzi niwaachie wahindi
Mwenyezi Mungu naomba uniongozee vyema bint yangu kuuma mwili haki ya Mungu
Nilisha mliza dem kama hvyo kilichonitokea mungu mwenyewe ndo anajua