SAKATA LA WAZIRI WA RAIS MWINYI KUJIUZULU, IKULU NAYO YATOA KAULI HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 30

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 6 หลายเดือนก่อน +4

    Amejiuzulu kwasababu gani hebu tuelezeni? Asante kwa taarifa

  • @ibrahimsuleiman5375
    @ibrahimsuleiman5375 6 หลายเดือนก่อน +1

    Inshallah kheir

  • @bakarfarsi4162
    @bakarfarsi4162 6 หลายเดือนก่อน

    Hana kauli mzuriii mjukwaani hjui wakubwa zake

  • @umsalim6515
    @umsalim6515 6 หลายเดือนก่อน

    Sababu yake kakataliwa kuleta ulevi zaidi Zanzibar. Maana company zake ndii zenye kibali kuleta ulevi visiwani

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678 6 หลายเดือนก่อน

    waandishi wangu! jaribuni hata kutupa dondoo as to why amejiuzulu. mwaandika sakata kumbe hakuna kitu. muwe investigative walau. Ndiyo kazi yenu kutujuza. siyo sisi tupo njiapanda ya amani na nyie mpo ile ya jang'ombe

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kashashiba uyo

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu mkubwa umemtoa ubaloz mwenzio yamekukuta😢

  • @mohammedchabaga4972
    @mohammedchabaga4972 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huna lolote Jimbo lako huna habar nalo haswa

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 6 หลายเดือนก่อน

    Congratulations 👏👏

  • @abdallahsuwed65
    @abdallahsuwed65 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo kashindwa kuhakikisha pombe ipo

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 6 หลายเดือนก่อน

    Mchunguzeni huyu iko namna anajaribu kukimbia ufisadi lazima iko kitu

  • @stonetown578
    @stonetown578 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu kamlipa huyo.

  • @fahmiiidrisa5110
    @fahmiiidrisa5110 6 หลายเดือนก่อน

    Hiyo kauli ya ikulu iko wapi?

  • @Mapyatv
    @Mapyatv 6 หลายเดือนก่อน

    Sinaselikali najiongoza mm mwenyew

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu kasema pombe kidogo znz iongezwe pombe ila watalii waongezeke😢😢

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 6 หลายเดือนก่อน

      🤔 Kama kasema hiyo laana ya POMBE kidogo Zanzibar. 😂😂😂 kuna vitu zaidi kidogo hamsemi mnasema Pombe. Kuna sehemu Wananchi maji ya kunywa hawana halafu mnasema Pombe kidogo, mnaingiya Misikitini kwenda kusali. Sasa mnataka Unguja na Pemba izame kabisa. Kuna Wananchi maskini za Mungu 😂😂😂 hata hawana habari Kama Pombe haitoshi hapo Zanzibar. Basi angalau angesema Ramadhani karibu lakini hakuna misahafu ya kutosha siyo Pombe. Mungu atustiri.

    • @umsalim6515
      @umsalim6515 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na mleataji wa hizo pombe ni yeye ,maana company zake ndio zinazoleta

  • @aishaabbas4869
    @aishaabbas4869 6 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 6 หลายเดือนก่อน

    Anataka urais huyu 2025

  • @mwinyimwinyimkadam9948
    @mwinyimwinyimkadam9948 6 หลายเดือนก่อน

    P

  • @user-pf6yw7vh1p
    @user-pf6yw7vh1p 6 หลายเดือนก่อน

    Tupe sbb za kujiuzulu transparency ni nzr ktk Good Gorverness sasa umejiuzulu lkn hutwambii wala Ikulu haitowi tamko na sbb ya kujiuzulu mwisho itakua " Nasikia" radio kifua 2:31

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kujiuzulu hakuhitaji sababu kama ilivyo kuteuliwa.

    • @omarmohammed5157
      @omarmohammed5157 6 หลายเดือนก่อน

      Iman ndio iliyomfanya ajiuzulu au vip ? Au kuna mapyoro yashaonekana?

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 6 หลายเดือนก่อน

    Simai Hana Imani na wazawa katika Ajira Ni mtetezi wa wageni wazungu.

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 6 หลายเดือนก่อน

      tuache kupenda mteremko, kwanini tupewe ajira wakati hatuna sifa?

    • @alihaji215
      @alihaji215 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@lmdos4382elimu yenye tunabaniwa kwa makusudi maana tunafelishwa wakati wa kusainiwa mitihani

    • @user-tg3fy3yh5m
      @user-tg3fy3yh5m 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@lmdos4382 Hao Wenye sifa wameajiriwa

  • @scoutpwanimchangani6711
    @scoutpwanimchangani6711 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi namtakia mapumziko mema.

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 6 หลายเดือนก่อน

    We nenda umeshidwa majukumu yako

  • @bablasbulludozer-be3ww
    @bablasbulludozer-be3ww 6 หลายเดือนก่อน

    Mbaguzi mkahawa wake ukenda mweusi anakuzuia jamaa shwaini