Awe makini tu na wa Nigeria ni washenzi,wasije kumfanya kiroba chakusafirishia madawa yakulavya.Maana Dada zetu warembo maranyingi wanakwamia hapo kwenye uzungu,na wanapotea kabisa
Hongera sana ‘ ila kuna mambo mawili nakuasa kama mtu wa pembeni; 1- kwamba umejiridhisha si muuza MADAWA wala MJANJAMJANJA fulani’ isije ikakukosti..! 2-hili la leo ni mwanzo tu’ Shughuli kubwa iliyo mbele yako ni kutunza MAISHA ya ndoa..!...baada ya kusema Hayo karibu kwenye MJI wetu wa AJABU’ Mji wenye mambo Matamu ambayo tunayafanya na kumalizia ndani ya mipaka ya MJI wetu bila MAJIRANI wa nje ya Mipaka yetu kusikia...!
@@fatumaally3444 Hao wote wawili kila mmoja ana mipango yake kwa mwenzie , kila mtu anacheza movie hapo . Mnigeria longolongo , Posh queen ana lake moyoni , ngoma droo 😂🤣😂🤣😁😘
@@mugishalahay6050kusema kweli mi niliona picha zake za mwanzoni hana hips ni wa kawaida kabisa tena black, Haya maisha tuyaache tu yalivyo na hii dunia.
Hongeraa nkam!!!! Wenye husda na roho mbaya wajinyongee.....
Love is the beautful thing, especially when you get a person who know the meaning of LOVE😌😌
Sure Mariam
Awww so nice ,ukitaka Mungu akufungulie kitu chochote jifunze kufurahia maendeleo ya mwenzio
O my God this so beautiful
Can't wait my day to come true 2
Pray for you
Mi naona there is something off.
Waah kwa ivo posh queen ashawaiolewa sah anataka kuolewa na harmonize kazi ipo kweli
Am happy kuona star anaolewa ama kuoa si vituko mitandaoni happy for you mmy😍
Hongereni Sana 👏 👏 Kila la kheri na safari ya maisha: URAFIKI - UCHUMBA- NDOA TAKATIFU
Hongereni sana namungu awatanguliee maana hiii nindoto yakila mtu
Woooow nice 😍😍
She was truly inlove 🥺they should make it work 👀
😀😀😀😀 MNigeria hyo kajilengesha na mipesa yake ngoja mtoto wa kibongo aje amuoneshe namna pesa inatumika
We unawajua wanageria! Haha
Mi sielewi jinsi watanzania wanawakubali awo watu ni balaa Dunia nzima ina waokopa wanakuja kufanya matukio uko Tz sio bure
Yawezekana poshy ndio akachunwa chezea dunia ww
Na mimba ameshamtandika tayari
@@ashuuuaisha9122 nilijua.nimeona.peke yangu,au ni nguo tu
Awe makini tu na wa Nigeria ni washenzi,wasije kumfanya kiroba chakusafirishia madawa yakulavya.Maana Dada zetu warembo maranyingi wanakwamia hapo kwenye uzungu,na wanapotea kabisa
Hahahaaaas
Hongera dear
Daaaaaah poch queen ni wewe awo macho yangu 👀 👀
Tulio kama anamimba hivi tujuane
Mbona mimba kubwa tu inaonekana bila chenga???? Si ndo huyu alikuwa anasema anamimba ya Mond???
Ndyo huyu aise
nami nimeona mimba tbo ni kumbwa tusubiri mutoto,hakutaki kesho museme ni wa Diamond
@@suzannembilikwa5503 hahaha Mond hao watt duuh??? Kila nchi jmn kazaa Uganda, Kenya, Tzania, Rwanda tena yuko njiani
Alikuwa anasema mimba ya Mond sijui nini???🙄🙄🙄🙄🙄
Huyu mnaigeria asije akawa ndio kiongozi wa wezi wa mitandaoni hapa Tanzania. Maana hawaaminiki ata kidogo
Sizani kam mnageria sio wanageria hawajapooza ivyo huyu mpole
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Hahaaaaa
Hahahahaha wanaigeria bhana kituko sana afu machepere
Unamimba daaaaaah ongera, ❤️❤️😊😊😊
anamimba kubwa
Kabisa nami naona ivo
Mwanaume kapiga magoti yy amesimama kama mligoti tu
Mko smart sana.Mazuri yasifiwe jameni.Ebitoke sahii anaona wivu hata hatalala
Posh anamimba kubwa na Vaz limempendeza sana
Ma vasi ya Kirundi kwetu nice 👌👌👌👌👌👌👌
Lov is a beautiful 🥰 🥰 🥰 🥰
Mungu awasaidie
Jamani rahaa sanaa mwee
Hongera sana
Mume mtarajiwa inaoneka kafa kaoza, ila posh hasomeki.afu hyu posh mdomo wake kama wa wema
Kweli uyo dada asomeki
Congratulations my dear
Sis watu wakunyapianyapia ndio tushafeli, nimemuona mtu kama uchebe anahakikisha usala upo wakutosha.
😁😀😀😀😀😁
Ngoja amtapeli vihela vyake ndo ataisoma number
ha ha ha
All da best posh
😘😘😘
Ngoja tusikilizie michongo.
😍😍😍😍
Araje araje arejee arabeeerewe numugore mwiza tumsanganire! Posh haujanialika😢😢
Nabikunze
Dahhh vizuri ila wanaigeria mtihani Sana mungu akuongoze posh
Kama mlijua vile saiv ndoa Sia haipo
Mashallah nice
Saum upooo
Congs Posh
Hapa naona pesa kuchukuliwa tu🥰🥰🥰🥰
Yaani 🙆♂️
congratulation
Harmonize ako wapi?
Wanaigeria wamekaa kijanja janja tuu, kuaminika ni ngumu aisee. Muone anavyo cheza utafikiri mnyakyusa og, Mungu awaongoze tusiongee mengi. Hongera poshi
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha
Sasa huyu posh si al8kuwa na harmonize kwani yameisha
Heeee mbona kama davido? Waungwana eti sio OBO hyu
Hongera Sana mrembo kwa maamuzi uliyoyachukua Mungu akafanikishe ndoa.
Hongera sana ‘ ila kuna mambo mawili nakuasa kama mtu wa pembeni;
1- kwamba umejiridhisha si muuza MADAWA wala MJANJAMJANJA fulani’ isije ikakukosti..!
2-hili la leo ni mwanzo tu’ Shughuli kubwa iliyo mbele yako ni kutunza MAISHA ya ndoa..!...baada ya kusema Hayo karibu kwenye MJI wetu wa AJABU’ Mji wenye mambo Matamu ambayo tunayafanya na kumalizia ndani ya mipaka ya MJI wetu bila MAJIRANI wa nje ya Mipaka yetu kusikia...!
Hili nalo neno..wanigeria hapa mjini hawana kazi
Nigeria 😄😄hy ban dad hongera
Wa TZ walishindwa kuchumbia Queen LOL!
Nigerian love East African women.
Eti I guess 🤣🤣🤣 1:8 mnaija davido jicho limemtoka
Towards the end of the video, the girls are dancing kinyarwanda wedding song. Is the bride Rwandese?
She is Tanzanian
Her tribe is some how similar to nyaruanda. She's Nyakyusa tribe from Mbeya Tanzania
Nigeria ?
Ndio sikiliza lafudhi
Penguin English
Ni jambo jema kaqueen mwakaposhi kuolewa nigeria kwa akina mwakadavido 😬😬😬😬😬😬😬😬
😂😂😂
😄😄
😁😁😁😁
😂😂😂
😂😂😂
Ngoma ikivuma sanaaa muuu
Hapa ni kwamba " Alieuza simu kauza simu bandia , na alietoa pesa katoa pesa bandia " ngoma droo
Mnigeria na Posh queeen ha ha ha ha .
😁😁😁😁umejuaje
@@fatumaally3444
Hao wote wawili kila mmoja ana mipango yake kwa mwenzie , kila mtu anacheza movie hapo .
Mnigeria longolongo , Posh queen ana lake moyoni , ngoma droo 😂🤣😂🤣😁😘
@@fatumaally3444
@fatuma Utanitafuta mbele ya safari 🤣🤣🤣🤣
@@chayogasperi9783 😁😁😁😁wew aky Ila macho ya uyu dada yanaonesha unafiki flani ndan yake
Hapo huyo amekuja kuchunwa zikiizha atasep kiulan na huyo ajiandae kuvuliw nguo kila mda maan ndicho kilochomleta hapo kwako bibie
Pesa tu🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Hawa waNigeria wanapenda mambo ya Haramu sana. Ni viboko chondechonde Poshy wetu
Mm hata move zao kuanalia sipendi
Nazan mmeona ndoa tena haipo
Duuh kapanda mtumbwi wa vibwengo huyo jamaa,hapo atapigwa pesa2,tukae mkao wa kishilawadu ss
kwan wa nch gan hawa cyo wabongo kwan??
Namuone huruma uyu dada jaman🤔🤔...wanaijaria sio watu wazur mh haya ngoja tuone yajayoo
Ila wanajua kupenda heee
Kuna kitu anachokitaka asije mpeleka kuuza madawa china matapelii wanakuwaga ivi ivi kumbe wana taget zao
Mmmh jamani tuache kukariri bwana ongela Dada kwa Atua hiyo
@@nancyfamilysharesmoments7634 hamna lolote
@@asiakomba2506 Angalia saiv yamefika wapi
Rwandan always we’re on the point umeva vizuri # umushanana
yaberewe cyane❤️❤️❤️❤️
Who said she is a rwandees ...?
Mnigeria tenaaa mhhhh
mnaijeria fala mtoto atampa penzi mbongo mwenzake
Nilijuwa nimbaya monde 🚴♀️🚴♀️🚴♀️🚴♀️👂👂👂👂
ule ni utunzi wakipunzi
Alogundua jamaa kafanana na hushpapi twend sawa
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂umenichekesha sana 😂😂😂😂😂
Usikute jamaa anakibamia ila ndio pesa2
Ma vasi ya kinyarwanda mbona Tanzania wametiiga?
Tz hatunaga salama ss
Mama kijacho kapendeza
Unahela mzeee unashoshangaa nn
huy mchumba iyo nheli ataonhea vp anafamily yaposh
Kwahiyo mnaija anaenda kufaidi tigo ya poshqueen
sawa,mulikuwa mukimuharibiya uyu dada eti ni bonga ya Simba.vizu
Konde ndio sahii chuma kipo ndani
Simlituambia ni mja mzito, vipi au ndiyo mwenye mimba yake
mwanaume ni mnyarwanda auuu
🙄🙄🙄🙄
Dem mkali.
Huyu ana mimbaaaaa
Mbona kma mama kijacho
Ana mimba hyo
Umechemsha kwa mindege hakuna mapenzi hpo pesa tu hanaweza kukuza hata wewe hawafai kbs hao
Aya muache umbea wenu eti daimond ndo anatoka naye nyie kila kitu ni mond tu
Wanyakyusa oyeeeeeeeeee.
Mama kijacho huyo
Kilichomvuta ni mgongooo
Nakumnusha tu uchumba sio kuoa
jamaa piga kuma hiyo
Hongeran sana
Leo chaliiii😂😂😂😂😂
Nipenda walivyoyarudi 3:03 😆
si walikua wasema ana mimba ya simba ebu mukuee munaacha gukuza bitu
Sjaelewa lugha
Mlipendezana wenyewe. Ila shetani mbaya sanas
Mwanaume hana hata aibu anacheza ukweni ivyo
Akajikamua mpaka vichozi vikatoka...Ur Speechless af watiririka😂😂😂 ...Piga her tu hapo dada angu maana twajua mtaachana tyu✌️
Sheylah Amour acha wivu mwenzio akinyomewa zako Tia maji
Imenibidi nirud huku baada ya kuachwa bi dada
Inaonyesha mshikaj kafata tako na posh kafata pesa kila mtu akili kumkichwa
Mnhmm..walivyokua wanakusema mabaya sasa hapo nyuma bola hata kakuoa huyu kaka kumbe dawa ya wambea nikuolewa
She's tired.
Wanyachusa awo
Kwan poshy ni mu Rwanda
Kwani kichwa cha habari hujakielewa dada. Ni mbeya
@@bakariluhala7332 kutokea mbeya siyo tatizo tatizo ni mbona mavazi ya ki Rwanda hadi songs nazo au ana uko nao
@@chainbre275 ni changanyiko la Rwanda na Tz. Mama yake anatoka rwanda...
Rwanda and Tanzania but father I think is from mbeya
@@chainbre275 hayo mavazi sikuhizi kila mtu anavaa,fashion
uyu jamaa ataondoka bongo ndevu zimefunika uso
🤣🤣🤣🤣jamani
😆😆😆😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂kwanini mkuu
@@emmanueljoseph2576 mademu wa wapo kimasilai zaid sasa kama brother kajua kapendwa ata umia
Huyu pochi ndiooo nan hapa bongo
Mwenye hipsi zake
Mwanamke mwenye figure yake
Mwenye tako jaman. Hawo wanajulikana kuliko wenye masters 😥😅😅
🤣🤣🤣jmn kanifuraixha
@@mugishalahay6050kusema kweli mi niliona picha zake za mwanzoni hana hips ni wa kawaida kabisa tena black, Haya maisha tuyaache tu yalivyo na hii dunia.