DIAMOND AFUNGUKA, LENGO LA KOMASAVA NI KUWAUNGANISHA WATU PAMOJA KUPITIA LUGHA ZAO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @KassimMakame-dq6nq
    @KassimMakame-dq6nq 3 หลายเดือนก่อน +3

    Baaz y wasanii wa Tanzania kwakelel t nakujisifu 😂ila diamond anaiwakilsha nchi yetu kwvtendo nasio maneno simbaaaa

  • @shariffadhil1767
    @shariffadhil1767 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nadhan kwa hatua na jina alilo nalo diamond afrika mashariki ni kubwa. Asikubali tena fedhea za kupewa show mchana kwenye matamasha ya watu akiwa kama underground. Kiujumla anakuwa anafedheheshwa sema wenda halioni. Kama aliweza kujitoa kwenye tuzo zetu za TMA basi na upuuzi kama huo wa jana kupiga show mchana na watu hawajatoka majumbani kwao. Agome kabisa. Sio lazima

  • @benjaboy-tz1861
    @benjaboy-tz1861 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kivutio chetu
    Ni hatari sana❤❤❤

  • @Isbjunior1
    @Isbjunior1 3 หลายเดือนก่อน +1

    Simba

  • @Lebonofficiel
    @Lebonofficiel 3 หลายเดือนก่อน

    Nime penda Nicki Minaj Ku peperusha bendera Na dr Congo kwenye Afro nation

  • @leonardAmbokile
    @leonardAmbokile 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba huyo nika maji usipo yanywa utayaoga

  • @FrolaAloyce
    @FrolaAloyce 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja sana simba

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 3 หลายเดือนก่อน

    Respect my bro diamond 💍 mungu akupe uhai mrefuu

  • @evancekhan8307
    @evancekhan8307 3 หลายเดือนก่อน

    Diamond ni msaniii anaeipeperusha bendera ya tanzania mpka Africa

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 3 หลายเดือนก่อน

    Kongeraza huna ripo😅😅

  • @DiorMabaril-qy6yp
    @DiorMabaril-qy6yp 3 หลายเดือนก่อน

    Lkn time sio

  • @HeriRamadan-qx2hk
    @HeriRamadan-qx2hk 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @jumastephano2688
    @jumastephano2688 3 หลายเดือนก่อน

    🤜🤛

  • @itanzaniaAS
    @itanzaniaAS 3 หลายเดือนก่อน

    Cool