EXCLUSIVE: MREMBO POSHY ALIYEKAMATIA FURSA YA UMBO LAKE NA KUUZA VIGODORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2019
  • Mrembo Poshy Queen anayetamba mtandaoni ameamua kutumia fursa baada ya watu wakumuandama mtandaoni kuhusu umbo lake kwa kudaiwa kuwa ametumia dawa za kichina ili kuongeza sehemu za mwili wake, sasa Poshy kazungumza kupitia AyoTV na millardayo.com kuonesha fursa aliyoitumia kuhusu umbo lake.
    Follow Millardayo instagram kwa habari mbalimbali za matukio
    / millardayo
    Mtangazaji ni / vido_vidox
    Camera man ni / edwintza255

ความคิดเห็น • 551

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 5 ปีที่แล้ว +60

    Ila huyu dada Namsifi kitu kimoja anajituma sana angekuwa mwingine angekalia tu shepu muda unaenda,hongela kwake

  • @keepitrealp5342
    @keepitrealp5342 5 ปีที่แล้ว +13

    I honestly don't understand the language but my eyes totally understand everything about the young beautiful girl👌😎

    • @force999
      @force999 5 ปีที่แล้ว +1

      keep it real p that you would love to fuck keep it real

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 5 ปีที่แล้ว +20

    Young man,you look so talented at interviewing! You actually have nice questions and that outstanding eloquency like a soldier.I salute you,dude! Keep the good while... 👍💪💪

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว +8

    wacheni wivu uko poa sana maisha kujituma😚👍👍👍👍👍

  • @ruthjmkombozi5990
    @ruthjmkombozi5990 5 ปีที่แล้ว +5

    hongera kwa kazi nzuri dada angu, songa mbele

  • @abdulqareemabdala2772
    @abdulqareemabdala2772 5 ปีที่แล้ว +4

    Mwanamke kazi kazi safi sanaa maneno ya watu nisumu kwao kwako kazi kazi

  • @linahgoodluck4202
    @linahgoodluck4202 5 ปีที่แล้ว +106

    Kama umemkubali mtangazaji gonga like hapa

    • @cardeenutube
      @cardeenutube 5 ปีที่แล้ว

      Why not translate your interview with this African queen to English language.

  • @sativaclan4221
    @sativaclan4221 5 ปีที่แล้ว +54

    Watu wa MBEYA tunaakili kubwa sana... wanyakyusa To the world!! Gonga like kma unaelewa hustling za vijna👊👊

  • @yoyosalmi3756
    @yoyosalmi3756 5 ปีที่แล้ว +25

    Nakupenda sana poshi piga kazi wache wachonge

    • @kelvinemic376
      @kelvinemic376 5 ปีที่แล้ว

      YoYO Salmi uko na akili mingi sana

    • @sweetpie847
      @sweetpie847 5 ปีที่แล้ว

      Kiukwel hta me nampenda ana akil sana wtz ukiwafatilia hufanikiwiii

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 ปีที่แล้ว +13

    Ni vizuri utumie bland yako kujiinua kiuchumi na sio wale wanaojisahau na kuanza kujinadi machafu mitandaoni bila kujua wakati unapita.

  • @thedoncomplex3679
    @thedoncomplex3679 5 ปีที่แล้ว +30

    Naona wana nzengo wanakoment kama jirani Mwenye wivuu!!😂😂😂😂😂!! Hao ndio Watanzania sasaaaa.

  • @fatimamadou7021
    @fatimamadou7021 5 ปีที่แล้ว +17

    Hongera sister keep on pushing hakuna kuzima

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 5 ปีที่แล้ว +11

    Asanteni sana majirani nilikuwa bizee kusoma comments zenu mumejitahidi sio mbaya kiivyo😃😃😃

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 5 ปีที่แล้ว +40

    Nakumbuka nliwahi kusema @VIDO_VIDOX we nakuona mbali sana ndugu yangu Leo umekua presenter mkubwa Sana una uwezo wa kumhoji mtu yeyote kulingana na cheo na muonekano keep it up brow

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +13

    Ukiachilia mbali mekap na tako alilonalo Kama angekua kawaida wallah huyu dada ni mmbaya aisee ,nimekubali matako yenu ndio fursa yenu

  • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
    @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa bora biashara kuliko kujiuza, tumtakie hongera na tu m-support

  • @gsdancetvchallengeentertai9412
    @gsdancetvchallengeentertai9412 5 ปีที่แล้ว +1

    She is smart!!!!! Keep up the hard working ....

  • @alnodageorge4961
    @alnodageorge4961 5 ปีที่แล้ว +3

    Ata iwe vipi the ability tu stand after ever thng they say is wat i lobe from her❤

  • @cynthyazubery5986
    @cynthyazubery5986 5 ปีที่แล้ว +8

    Mashauzi yamezidi kwani kuwa real how much? Watu mpaka sauti mnabana nowadays! Mnafeli like seriously!

  • @agathanyondo9384
    @agathanyondo9384 5 ปีที่แล้ว +9

    Nina ndoto za kufanya biashara kama hiyo coz naipenda kutoka kwa moyo na naiweza

  • @magesweet6233
    @magesweet6233 5 ปีที่แล้ว +28

    Yan wabongo... Ukiamua kuongea kiswahil piga kiswahil km ni English ongea English, lkn I think ilikuw.. Sjui.. Alikuw ana inspire.. Acha hizo bana, Which is.. So.. Ndo nin

  • @salehkashindibinmsambya1719
    @salehkashindibinmsambya1719 5 ปีที่แล้ว +41

    wakwanza leo nipeni like zangu

  • @francisvoxin895
    @francisvoxin895 5 ปีที่แล้ว +15

    Watanzania mnachukiana nyinyi kwa nyinyi, wenyewe kwa wenyewe. Pendaneni na muombeane mazuri.

    • @user-he7nv8no3e
      @user-he7nv8no3e หลายเดือนก่อน

      So tuna chukiana Lana imezid Jaman watu wanasahau kufa wanajiona wamejileta wenyewe

  • @witnessmaganga6683
    @witnessmaganga6683 5 ปีที่แล้ว +3

    ccy nakukubal kinom ww ni kam role model Wang big up 4yu

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 5 ปีที่แล้ว +14

    Karangi 2. Usije kukaaribu

  • @monicajulius905
    @monicajulius905 5 ปีที่แล้ว +4

    Hongera mwaya

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +22

    Ongera maisha ni kutafuta cyo kutafutana

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 5 ปีที่แล้ว +9

    Figa inalipa 👌

  • @christinanuurinkluge9118
    @christinanuurinkluge9118 5 ปีที่แล้ว +6

    But she ist very Smart and Nature

  • @blandmiguel6260
    @blandmiguel6260 5 ปีที่แล้ว +5

    Hivi ni vitu vya kawaida saaaana ndugu zangu havitishiiiii ila binafsi nikikumbuka kaburi lipo sioni umuhimu wa kuringia sijui shape sijui kitu gani maringo choyo vyote naweka pembeni namshukuru Mungu kwa pumzi tu. Posh hongera Dadaaaa😇

  • @Quilant749
    @Quilant749 5 ปีที่แล้ว +35

    She understand sio she understanding, ongea kiswahili wachia wakenya kizungu

    • @nurdinimndeme2912
      @nurdinimndeme2912 5 ปีที่แล้ว

      haha

    • @Quilant749
      @Quilant749 5 ปีที่แล้ว +1

      Alafu duka nayo misuluali zinahangaika2 si upange vizuri jamani,

    • @kennedjohn5785
      @kennedjohn5785 5 ปีที่แล้ว +6

      She/he/it/singular noun we add 's/es/ies'...Then we say she understands

    • @kennedjohn5785
      @kennedjohn5785 5 ปีที่แล้ว +1

      Amesema"...she is understanding.." nafkir anamaanisha kuwa ni muelewa kwa upande wangu yuko sawa

    • @hopedavid9968
      @hopedavid9968 5 ปีที่แล้ว

      @@kennedjohn5785 😂😂😂😂😂

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 5 ปีที่แล้ว +23

    Una akili sana wewe dada asee unajuwa kutumia nafasi body unayo akili unayo she's very smart indeed lazima nije apo shop😁😁😁😁

    • @oliviamboma1347
      @oliviamboma1347 5 ปีที่แล้ว

      Hassanova junior hahahahah ukifka dukani unauliziaulizia afu unaondoka

    • @kelvinmradi9020
      @kelvinmradi9020 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣 bro unataka ukanunue nn??

    • @nawesulle3566
      @nawesulle3566 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @limbukenikenya1323
    @limbukenikenya1323 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Dada Mungu umuongoze kwa mafanikio yake yuko vizuri sana.

  • @blessingbagio4857
    @blessingbagio4857 5 ปีที่แล้ว +19

    Wadada wa tz hasa hao wanaotaka u star wsnamuiga MTU mmoja ivi kuongea.

  • @K25795
    @K25795 5 ปีที่แล้ว +39

    Tuna kuja kuona shepu lako apo dukani kwako

  • @joleenmasha
    @joleenmasha 5 ปีที่แล้ว +14

    siku hizi sio lazima usome weka tako utapata Digree kila mahali

  • @kassimmhamadi5449
    @kassimmhamadi5449 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazi anajuwa maswali nice big up

  • @terrykarey3553
    @terrykarey3553 5 ปีที่แล้ว

    Beauty with brain, congratulations gal

  • @fumukhamis8126
    @fumukhamis8126 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwakufunguwa mtaji wako

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 5 ปีที่แล้ว

    Go go go poshy....all the best

  • @sefoo8084
    @sefoo8084 5 ปีที่แล้ว +16

    Fid Q Ameimba ktk ngoma yke ya mafanikio.. "utafanikiwa kwa unachojua au UNACHOFANYA, wachache wanafanikiwa kwa jinsi tu WANAVYOONEKANA".

    • @alvinbenito9115
      @alvinbenito9115 5 ปีที่แล้ว

      Kauza sana sukari china,ungependeza sana kama ungeongea full Swahili not yah yah

    • @ramamambo4082
      @ramamambo4082 5 ปีที่แล้ว

      Good

  • @pcdeusdeditymopao3817
    @pcdeusdeditymopao3817 5 ปีที่แล้ว

    mtangazaji kipaji kipo hongera kaza msuli kaka....nasema nachojua wala sibahatishi.

  • @joshuaescudero635
    @joshuaescudero635 5 ปีที่แล้ว +2

    Your voice 😍😘😍

  • @oliviamboma1347
    @oliviamboma1347 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila vidox unamkubali poshy sana

  • @patricksemana6632
    @patricksemana6632 5 ปีที่แล้ว +2

    What a beautifull woman 😍😍

  • @Keshy_africaskyline
    @Keshy_africaskyline 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kicheko chako😍😍

  • @gabbyhenrgy1157
    @gabbyhenrgy1157 5 ปีที่แล้ว +105

    Huyu dada tatizo hana mvuto sijui maringo yamezidi sijui nn tu yaan

  • @hassan12ali56
    @hassan12ali56 5 ปีที่แล้ว +73

    Hahahah mwenye tako anajiamini kuliko mwenye phd. Digree. Master. Na mengineyo. Dah dunia ipo speed sana

    • @dorcasmejason9808
      @dorcasmejason9808 5 ปีที่แล้ว +1

      Je ukiwa navyo vyote inakuaje

    • @hassan12ali56
      @hassan12ali56 5 ปีที่แล้ว +1

      Dorcas Nnko kama upo na vyote bc ww ni tajira mkubwa Na pia unahitaji ulinzi

    • @georgenyaumba3925
      @georgenyaumba3925 5 ปีที่แล้ว

      Ahahahah.... haya bwana

    • @christinangossi4669
      @christinangossi4669 5 ปีที่แล้ว

      and she's holding a degree

    • @abuuhuzayl6549
      @abuuhuzayl6549 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahaaaaaaaaa.......!😀👓

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 ปีที่แล้ว +54

    na rudia tena hata kama unadanga unadanga kiakili

  • @bonyk7561
    @bonyk7561 5 ปีที่แล้ว +1

    Ongea vizuri basi khaaa tako tuuu

  • @zabibukanduru3142
    @zabibukanduru3142 5 ปีที่แล้ว +1

    Wala sio mzuri tako tuuuuuuuuuu

  • @kgzewavanila6292
    @kgzewavanila6292 5 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kwakujielewa

  • @benjaminfataki6898
    @benjaminfataki6898 5 ปีที่แล้ว

    safi dada njoo sawa kuwa na vibinti kama nyinyi

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 5 ปีที่แล้ว +4

    Watanzania ndio walivyo mwaya kazi yao kuchamba tu wivu unawasumbua. Mtu hali chako ila unawashwa tu kisimi kumsema sema hata awe mbaya ndo kashakuzidi

  • @Maria-dg6ik
    @Maria-dg6ik 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah daa ❤❤❤❤❤❤❤

  • @safiakhamiss1528
    @safiakhamiss1528 5 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akutangulie kwenye kazi yako

    • @p.kasongot979
      @p.kasongot979 5 ปีที่แล้ว +1

      Binasamu tuna roho mbaya sana aise kaa 😘😘😘😘

    • @safiakhamiss1528
      @safiakhamiss1528 5 ปีที่แล้ว

      @@p.kasongot979 sana yaani sijui kwa nn hasa ss ngozi nyeusi tumelaanika 😆😆😆😆

  • @ashminhaabdullah4963
    @ashminhaabdullah4963 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera kwa shepu nzuri

    • @francismziray7020
      @francismziray7020 2 ปีที่แล้ว

      Naomba utuambie unatumia Mkanda wa aina Gan Ku bana tumbo

  • @jaimejimenez989
    @jaimejimenez989 5 ปีที่แล้ว +3

    😍I love u mami🇲🇽🇲🇽🇲🇽

  • @nuruhatony5390
    @nuruhatony5390 5 ปีที่แล้ว +1

    Yani comment wengi wanaume 😁😁

  • @devothamalugumalugu7593
    @devothamalugumalugu7593 5 ปีที่แล้ว +61

    Hatimaye nandy kafunguliwa duka 😂😂😂

  • @sadahamad1545
    @sadahamad1545 5 ปีที่แล้ว +5

    mi nauliza yale mahipsi yaloenuka yko wapi mbona sioni

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 ปีที่แล้ว +23

    Yeye mwenyewe kavaa hapo alipo ni vile tu uongo umekuzidia

  • @martinrahj8526
    @martinrahj8526 5 ปีที่แล้ว +1

    Hilooo takooo naskia watu hawalisogeiii njoo kenyaa tuliwekeee sawaaaa....daaaah linaweza lakini

  • @neemakaluwa5856
    @neemakaluwa5856 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaaah!'mmmmh! Yaaaaa!!
    Sie std vii utasikia eeeeeh ndiyooooo! Mweeee! Shikamoo mzungu.

  • @shabaleyshabany7848
    @shabaleyshabany7848 5 ปีที่แล้ว

    I love her anyway... she looks like the queen f my video.

  • @mwangovyakitti3050
    @mwangovyakitti3050 5 ปีที่แล้ว +6

    She has her own secret from where she gets the dough. The rest is just a cover up. My Opinion

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 5 ปีที่แล้ว +3

    Onqera sana

  • @davidmihambo3051
    @davidmihambo3051 5 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji bora wa online tv

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 5 ปีที่แล้ว +15

    Yayayayayayayaayyayayayayaayyayayayaya

    • @teefahbaby2811
      @teefahbaby2811 5 ปีที่แล้ว

      yayayayayayayayaya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @witnesstegga5994
      @witnesstegga5994 5 ปีที่แล้ว +1

      😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂 yayayayayayayayayayayaya......

    • @Ankali455
      @Ankali455 5 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅ya ya ya ya ya yaaaaaaaaaaa

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว

      Sooo... yah.. actually😂🤣🤣😃😄

  • @dorianedwards4562
    @dorianedwards4562 5 ปีที่แล้ว +1

    Am Jamaican I need this girl

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa biashara

  • @mamusele7386
    @mamusele7386 5 ปีที่แล้ว

    Innalillah wainailaihi rajiun pole dada unajiuza muogope mungu

  • @daprince7545
    @daprince7545 5 ปีที่แล้ว +1

    Na plan kuhamia Tanzania coz warembo niwengi wenye matako mazuri na shape nzuri.

  • @zaidishabani5745
    @zaidishabani5745 5 ปีที่แล้ว +6

    Mshikaji unakipaji sio mchezo

  • @MotherlandKing
    @MotherlandKing 5 ปีที่แล้ว

    I don't understand the language but I'm in love and love to marry... Take you around the world starting from Nigeria

  • @j...876
    @j...876 5 ปีที่แล้ว +18

    Like kama ume hona chupi ya nandy

    • @gretamaheri8437
      @gretamaheri8437 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂 sijaiyona Mimi

    • @fanniejohn3759
      @fanniejohn3759 5 ปีที่แล้ว

      Ur looking so gud

    • @NeemaMedia
      @NeemaMedia 5 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣ipo upande gani
      Nimeimic kuiona,

  • @happykimaya2762
    @happykimaya2762 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nn uongei kiswahili?

  • @essybenson433
    @essybenson433 5 ปีที่แล้ว

    Waoo hio duka nimeitamanii Sana Waaache waongeee move on gal

  • @shakilaakumu7181
    @shakilaakumu7181 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kiswahili ni cha Kenya

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว

    VERY SMART

  • @user-dr7ug7iv9s
    @user-dr7ug7iv9s 5 ปีที่แล้ว

    Mashauz mengi Mpendwa muachie isha hayo Mashauz

  • @godimani5919
    @godimani5919 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchina hajakuacha salama nyoo km vp ungekubal mungu alivokuumba dooh

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 5 ปีที่แล้ว

    soo nice

  • @vahley3162
    @vahley3162 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuja apo dukani kwako ila staki kununua chochote zaidi ya kukubonyeza bonyeza makalio na mahips ili nione kama ni origino,alafu ntalipia

  • @salmasaid7669
    @salmasaid7669 5 ปีที่แล้ว

    huyu mdada nampenda sana coz hajali maneno ya watu hongera kwako

  • @dominicnzai8256
    @dominicnzai8256 5 ปีที่แล้ว

    #Vidovidox#AyoTv#porshee...siunajua Tena vidox lazima nicomet kwenye interview zako...mm nakuamini ujue,..

  • @add1bill
    @add1bill 5 ปีที่แล้ว

    Lovely
    :)

  • @nahengadesempy8555
    @nahengadesempy8555 5 ปีที่แล้ว +8

    yah kama 20 hiv

  • @sylviamollel9692
    @sylviamollel9692 5 ปีที่แล้ว

    Hongera posh

  • @ladsonmshana9920
    @ladsonmshana9920 5 ปีที่แล้ว

    Dada kweli safi

  • @kidotifetty8929
    @kidotifetty8929 5 ปีที่แล้ว

    naomba namba zake nina shida na mkanda

  • @levinamoshy3148
    @levinamoshy3148 5 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi kwako poshy....umejua kutumia fursa

  • @magrethissaya4160
    @magrethissaya4160 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hata mama yake ana ushepu wa hatari

  • @prourasa5222
    @prourasa5222 2 ปีที่แล้ว

    Well done 💪💪

  • @masoudseif3515
    @masoudseif3515 5 ปีที่แล้ว

    yaa yaa yaa Dah yaa yaa

  • @petrombilinyi9063
    @petrombilinyi9063 5 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania kujiona

  • @fatumamarcel2606
    @fatumamarcel2606 3 ปีที่แล้ว

    Yeah mmmh 🔥

  • @tawoostanzania9602
    @tawoostanzania9602 5 ปีที่แล้ว

    Be you acha kupretend maisha kuwa kma shishi baby.... Tumechoka ya ya ya ya ya ya ya.....!!!

  • @kelvinmathias7357
    @kelvinmathias7357 5 ปีที่แล้ว

    Kama umeona chupi kubwa basi like nyingi kwangu

  • @neemadanielkinduri3126
    @neemadanielkinduri3126 5 ปีที่แล้ว +6

    Ongea kixwahl cha kibong unajifanya mzungu kumbe mtt wa uswazi