UDOM! UDOM! UDOM! I thank Allah to lead me to this institution. It has made me different and difficult to brainwash. 2009 - 2012 (BA), 2015 - 2017 (MA).
Kuna mambo hata ni aibu tu! Miaka yote hii leo ndo chuo kikuu kinajivunia kutumia zoom! Hapa UDOM wangejivunia ubora wa taaluma aliyowasilisha, siyo zoom. Huu ni ushamba.
Dr Masito mtaalam wa computations za uchumi, ndiye supervisor! Hongera kwa mhitimu dr Netho. Kazi kafanya!
Kudos to University of Dodoma (UDOM)
Hongera sana mshehimiwa kwa hatua uliyofika kwa Maana unatutia Imani na nguvu kuwa iko siku nitakuwa Phd holder na kuisaidia inchi yangu
This is Great Move 👏
Hardwork always pays.... Congratulations A new Doctor in Town Netho Ndilito! 🎉
Congragulations Dr Netho
Hongera sana mkuu umefanya kazi kubwa sana kufika hatua hiyo.
UDOM, tunapataje taarifa kuhusu siku ya kuwasilisha Tasnifu (Dissertation) ?
Safiiiiiii
Embracing knowledge🎉
Waoooo! Good job
Udom is embracing knowledge.
Hongera sana Brother
Hongera sana kwa Dr Netho Ndilitho kwa chuo pia kwa Live Presentaion
Great.
This is very Common at. Tanzania Institute of project Management (TIPM)
Mwenyewe nimeona it’s not news
Mwenyewe nimeona it’s not news
Pride of UDOM 🔥🔥🔥
Great
Congratulation
safi sana
WALIMU WANGU HAO WA UCHUMI🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Easy phd
DR MUSSA MWANKONKO😂😂😂😂
Hakuna Kitu hapo , Upuuzi mtupu.. ukiona mtu anajitetea 4hrs hakuna Kitu hapo
Zoom meeting nayo habari
UDOM! UDOM! UDOM!
I thank Allah to lead me to this institution. It has made me different and difficult to brainwash. 2009 - 2012 (BA), 2015 - 2017 (MA).
Mbona hamkutupa link, irudiwe hio😂 mimi sijaona au mnitumie defensive videos
Kuna mambo hata ni aibu tu! Miaka yote hii leo ndo chuo kikuu kinajivunia kutumia zoom! Hapa UDOM wangejivunia ubora wa taaluma aliyowasilisha, siyo zoom. Huu ni ushamba.
Kwa wenzetu ni mambo ya kawaida sana ! Anyway, tumpe hongera kwa kuhitimu !
Wivu
Nchi ya maprofesa na madaktari lakini bado tuko nyuma
Netho Ndilito
Kusoma udom sio mchezo kunahitaji kupambana hongera Kwa hatua hii na mm ni miongoni mwa graduate tarajali