Huyu hapa Mama Mzazi wa Nevi; Mwanafunzi aliyeongoza kwa ufaulu Udom, asimulia haya
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Mama Mzazi wa Nevi Nzowa ambaye ni Mwanafunzi wa Shahada ya Sayansi katika Hisabati na Takwimu kutoka Ndaki ya Sayansi Asilia na Hisabati kwenye Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyeongoza kwa ufaulu baada ya kupata GPA ya 4.5 akisimulia maisha ya mwanae tangu akkiwa shhule ya msingi mpaka anafika chuo kikuu.
Nzolwa amehitimu Mafunzo yake Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) Alhamisi, Novemba 30, 2023 kwenye mahafali yaliyofanyika jijini Dodoma.
Proud Bi Mkubwa ...hongera sana😊
Mama hongera sana
OMAN 🇴🇲 Bismillah Maashaallah ❤❤
Mungu azidi kumtetea,ila mama husiseme sana juu ya tabia za watoto wetu mama kania ubavu wako.Mama mshikuru mungu kakuwekea mkono.
Mungu ambaliki mwanao
Hongera Mungu azidi kukubariki❤
Duh inamaana UDOM GPA kubwa ni 4.5? Maana mimi kwa chuo nilichosoma yaani hizo za kawaida tu maana mpaka 4.8 zinapatikana aisee? Kumbe wengine tungekuwa UDOM tungekuwa mabest student? Raha sana naja Masters nami huko huko
Jichanganye utashangazwa😂😂
Inategemea umefundishwa na Nani, kuna malecturer ukipata c unapiga magoti
Inafuatana na course iyo ni hesqbu nyinyi mnaongea nini. 😅
Kwa waliosoma cuba washaelewa kuhusu rama hhhh
Kwa taarifa yako rama ndio anaye miliki kitengo
😂😂😂😂😂😂🎉
Kweli huyo Rama ndo atakuwa anakula mzigo.
Kwa kwel rama uyoo