NABII EDMOUND ALIVYOTABILI JUU YA SAKATA LA BANDARI NA DP WORLD 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @loshivasamweltz
    @loshivasamweltz 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mwenye kuamini na Aamini Amani ya Mungu ikimuongoza Nafsini mwake kwamba Mungu alijidhihirisha na bado atazidi kujidhihirisha siku zote kupitia mwanadamu ambaye alituumba kwa Mfano wake. Amen

  • @leonardoautomotivegarage9452
    @leonardoautomotivegarage9452 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wa dunia hawezi kuijua hekima ya Mungu, Mungu akusaidie wewe usieamini nabii

  • @unyakuotv.1391
    @unyakuotv.1391 9 หลายเดือนก่อน

    Hizo funguo 10..
    Ndio vile vitabu 7
    Alivyoneshwa tenga.
    Lakini sio vitabu saba wala funguo saba,kumi ni mamlaka alizopewa nabii musa na Mungu sasa waendelee kumkataa musa.
    Miaka mingi watu na makanisa yamekuwa yakimtafuta Mungu yakitafuta nuru ya uso wa Mungu lakini Mungu hajaona mtu wa kuliokoa kanisa lake la wakati wa mwisho ndio maana ametumwa musa,
    Huyo mwanamke mjane ndio, nabii musa mliomkataa ndio kanisa mlilolikataa, kanisa la kwanza kanisa la sabato, mmeshikilia jumapili miungu ya baba zenu
    Hayo yeye ameoneshwa kwa siku moja,hizo funguo tunezitafuta kwa miaka 3 kuanzia 2021-2023
    Wanaume kufa kwa sababu ya majanga yajayo

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hubirini watu wamjue mungu SI kutafuta udhaifu wa mtu na kuhubiria watu .je ni yupi aliekamilika ? Ikiwa kristu alishasema hakuna mwema hata Moja wote tumepungukiwa na utukufu wa mungu.basi tuombe roho wa mungu atuongoze.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 9 หลายเดือนก่อน

    Nabii yule kijana wa miaka 30 yupo ni Musa ingawa jina lake pia anaitwa Boniface Victor alisharudi kwetu Mungu kamtuma yupo Temeke opposite temeke wailes sekondari kanisa linaitwa
    Rapture Ministry kuna bendera ya ADONAI juu ya paa kwenye yu tube angalia Unyakuo TV utamuona nenda hapo temeke jumamosi utamkuta

  • @emmanuelmwakibolwa735
    @emmanuelmwakibolwa735 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa nini nabii za 2022, zinatolewa sasa 2024??? Kama ni kweli za 2022???

    • @ProphetMystic
      @ProphetMystic  8 หลายเดือนก่อน +1

      Ni vile unabii huu wa 2022 ulipostiwa facebook mwaka huo 2022. Ingia Facebook kwa kubonyeza link hii: facebook.com/100003997540921/videos/628501208456751/

    • @deusmbassa9749
      @deusmbassa9749 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@ProphetMystic5:29

    • @FrancisAbel-xj3cq
      @FrancisAbel-xj3cq 2 หลายเดือนก่อน

      Yeah it's true..nmeona Jan 23,2022​@@ProphetMystic

  • @CatherineKimoso
    @CatherineKimoso 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni hila watumishi mtafuteni mungu.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi najua hatutaweza kuwa watumwa tena huyu msma atatoka nahao warabu wake

  • @issakwisamwasanjobe541
    @issakwisamwasanjobe541 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wakoloni wanawarudisha kwa koti la uwekezaji na mfumo WA sekta binafsi wanafikiri ni kuleta maendeleo kumbe wanarudisha taifa utumwani (watwana na mabwana).mitaji ya nchi wanatumbua kwa mishahara na posho na kuwekeza vitu visivyoingiza faida(huduma)

    • @gidionwinston
      @gidionwinston 9 หลายเดือนก่อน

      Hio no kweli kabisaaaaa

    • @gidionwinston
      @gidionwinston 9 หลายเดือนก่อน

      Tuwe makini,utwana tena basiii

  • @PraxedisMamiro
    @PraxedisMamiro 9 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana mtumishi mungu akupe nguvu sana watu kama nyie hamuishi sana mara kidogo utasikia kama ya kina ulimboka😅

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 9 หลายเดือนก่อน +3

    Hizi nabii nimeshazizoea, nilichogundua wanatafuta kiki na kujulikana kupitia nabii hizi

    • @dareenpetro338
      @dareenpetro338 9 หลายเดือนก่อน +1

      Biblia inawaita watu wasemao kuwa hakuna Mumgu ni wapumvavu.

    • @vickymeikasi8147
      @vickymeikasi8147 7 หลายเดือนก่อน

      Wala siyo kiki

  • @joeljuliusshuma
    @joeljuliusshuma 9 หลายเดือนก่อน +1

    These can only be God, He reveals to Redeem

    • @ProphetMystic
      @ProphetMystic  9 หลายเดือนก่อน +1

      To God be the Glory! MoG i honor your grace❤

  • @ngusakabinza9238
    @ngusakabinza9238 7 หลายเดือนก่อน

    55 % nakuamin

  • @HappinessMrwambo
    @HappinessMrwambo 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani tusome sana kitabu Cha matayo 24 yote make hata hayoyanayosemwa ni uongo

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 7 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 8 หลายเดือนก่อน

    Kila unabii utimie Hilo ndo jambo muhim

  • @sophiamalinga18
    @sophiamalinga18 9 หลายเดือนก่อน

    Mna faida gani kama mnayoyaona yanatokea au mnatumika kuharibu nchi

    • @JoshuaNzali
      @JoshuaNzali 2 หลายเดือนก่อน

      Yasipotokea pia ungesema manabii ni wauongo😅

  • @unyakuotv.1391
    @unyakuotv.1391 9 หลายเดือนก่อน

    Nilishasema.
    Nchi aina raisi kuanzia rohoni,kutoka katika ulimwengu wa roho.
    Kama nilivyosema, Mungu ameshatupa maamuzi ndivyo Itakavyotokea.
    Hakuna atakaekaa hapo na akabaki salama bila kupakwa mafuta,na nabii Musa.
    Maaana yake atakuwa amejiweka mwenyewe, kwenye hiyo nafasi kama huna Mungu, utakufa tu.
    Ulichosema, kuhusu huyo kijana aliyeziona funguo, funguo wanazotafuta si ndio yale maono kitu cheupe kimedondoka nikakishika watu wakawa wanatafuta,
    Funguo anazo musa, wao wanahangaika kutafuta kwa wachungai wao.
    Kila funguo itachukua miaka mingapi,
    Funguo ameoneshwa 10.
    Lakini mi najua fungua hizo zipo 14.
    Funguo hizo ni mamlaka
    Kijana kuzipata hiizo funguo, ni madaraja ya kiroho.
    Umiliki wa kiroho kwa ulimwengu, kumshinda mauti na kuzimu.
    Kufunga kuzuia yatakayofunguliwa
    Ndio mana niliwaambia yote unayoyaona duniani musa ndio ametumwa kuwaadhibu. Kwa kuwa amepewa mamlaka zote na kristo.
    Kuangusha miungu saba ya dunia ni ndio hilo mamlaka saba, funguo saba,milima saba.
    7x7
    Nikasema tumemaliza ya rohoni sasa tuanakuja mwilini na sasa tumemaliza hatua ya pili ya dsm tunaenda hatua ya tatu.
    Tunasubili mzigo mwingine hatua nyingine.
    Je unajua tukifika hatua ya saba nini kitatokea.
    Mbona huyo kijana hujamuelezea ni nani.. ndio niko hapa nimekupostia umfahamu na ufahamu kua yupo, ndio huyo anaewaambia watu wahame DSM,ndio huyo mjumbe wa agano la mwisho nabii musa.
    Funguo zimewekwa kwenye mapango ya zamani,
    Funguo anazo musa,
    Funguo zimewekwa kwa mtu wa zamani, musa kwa sasa anaonekana kijana wa miaka 30.
    Bado mtu ukimuelewesha atabisha.
    Yote hayo tuko katika muhuri wa nne muhuri wa nne umefunguliwa 2021. Mmepewa muda wa miaka 2 habali ziwafikie, na mmezikataa.
    Ndio maana Mungu ametuambia tusambaze kitabu cha kuja kwa Yesu 2666 nchi nzima,ili watu wajue kua musa amerudi wameikilize wasije kutapeliwa,
    Tanzania ni nchi ya Agano ndio maana utaona uamsho musa wa islael yuko Tanzania. Na amekuandikia haya ujue
    Pamoja na unabii mzuri alioutoa ukimueleza huo unabii mbona muhusika yupo ni musa atakupinga. Na ukikome maneno haya atafuta.
    Bado ubinafsi.. umo ndani yao.

  • @Hugo-gv8qj
    @Hugo-gv8qj 8 หลายเดือนก่อน

    Promo'SM