Jinsi ya kupika halwa/How to make halwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • MAHITAJI YA KUPIKA HALWA
    Maji vikombe 5
    Zafarani kiasi
    Rose water vijiko 2 vikubwa
    Unga wa tapioca vikombe 2
    Sukari ya brown vikombe 4
    Iliki ya unga kijiko 1 1/2 kidogo
    Unga wa kungumanga vijiko 2 vikubwa
    Rangi ya orange 1/2 kijiko kidogo
    Rangi nyekundu 1/2 kijiko kidogo
    Mafuta 1/2 kikombe
    Samli 1/2 kikombe
    Lozi (sio lazima)
    Korosho (sio lazima)
    Njugu (karanga)
    Ufuta (sio lazima)

ความคิดเห็น • 11