I like your recipes, but I usually adjust the amount of sugar I use, sometimes the recipes are too sweet and I don't have a sweet tooth anymore. Kudos for great recipes
Aslm Alkm mashAllah u r always my role model is unga ya muhogo same na corn flour Sana Sana naona wapishi hutaja hii Kuna na ni nn hufanya haluwa kuwa soft Sana ambaye sio nzuri advice me sis na Allah Akubariki Sana thanks
Dada mm nataka nijifunze kupika halua. Lakin sijui Maan sina kazi ya kujitegemea. Nahitaji nijifunze hata kwa malipo nipo tayari. Sijui unapatikana wp.
Waaleikum salaam Wow mashallah inaonekana tamu sana please niambie jina lako ni nani ? Unaishi wapi ? Mimi ni binti wa athman ali Naysana please I want you to become my best friend I really like this video thanks for your video bye
Sorry dear..nataka kufuhamu halwa Unaweza kukaa muda gani bila kuharibka? Na ikiwa haikai muda mrefu mpaka kuharibika naweza fanya nini ili kuifanya isiharibike mapema.?!
Rukie noor that's not a nice answer. Do you only make food from your community or do you try other people's too!!! Kezia the recipe is in the description box girl. Give it a go!!!
Daah Leo ndio naona haluwa unavyo pikwa cjawahi kuona Mashaallah
Same
Ma Sha Allah this halwa recipe is easy lots of luv ❤
Mashallah it look tamu na nzur
Unga wa Mihogo..Masha Allah...sikujua.
Masha Allah nimependa ni nzur
Mashaallah I liked the recipe
Ty my dear Mapishi Rahisi for the awesome lovely haluwa recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow
Mashallah nzuri
Masha Allah very nice
Mashaallah Allah akuzidishie utufunze Zaid kpnz💋
Mashallah ni zury na uo unga wa muhogo waweza tengeza kutumia mihogo yenyewe kama sehemu uko hakuna iyo unga
The best recipe ever! My favourite
Mashaallah kwani ni lazima kuweka zafaran
Ma sha Allah
MashaAllah your channel is so nice.Shukran for the amaizing recipes
Wow I like your recipe mamy 👌😘😋
Mashallah mashallah 😘😘
Mashallah umeijulia vizuri sana 😅
Wowww yaani hutumiii machine aaaaaaaau rahisi nitajaribuu
Thank you so much for the recipe... Mungu akuhifadhi...natamani ku uma simu yangu nionje ...
Mashaallah yummy
Very Delicious 😋😊 Tamu Tamu sana
Nitajaribu inshaallah
Asante habbty mashaallah
Mashaa Allah 😋😋
MashaAllah jazakaAllah kheyra,inshaAllah ntajaribu nikutag
hata mimi pia nitag
Mmm tamu 🤤🤤🤤🤤🤤
Somo zuri sana
Leo nilikua nenda kwa oman haluwa hapa sakina . Shukraan . Jazaka Allahu khairan
ukienda nichkulie na mimi
Mzuriiiii
Mashaallah na like video Mashaallah mungu Akubariki lakini waeza kueka kikombe 2
I love it
MashaAllahu
Mashaallah
Naitaka kujarib imeipenda
I was waiting for Halwa recipe
Ni tamu sana
Mashalll
Waw👌
Mashallah .samahani kungumanga kwa kiswahili kingine ni nini?
Assalm alykum ...jaman huo unga wa muhogo ni huo unaopikiw ugal au ni mwengn?
Twaweza tumia cornflour
I like your recipes, but I usually adjust the amount of sugar I use, sometimes the recipes are too sweet and I don't have a sweet tooth anymore. Kudos for great recipes
Tamu sanaa😋😋
This channel is the best especially am the all time lover of swahili dishes,,, God bless you siz
Aslm Alkm mashAllah u r always my role model is unga ya muhogo same na corn flour Sana Sana naona wapishi hutaja hii Kuna na ni nn hufanya haluwa kuwa soft Sana ambaye sio nzuri advice me sis na Allah Akubariki Sana thanks
Yay 😁 I was waiting for a haluwa Recipe
Natamani haluwa
Mapishi rahisi Unga wa tapioca unapatikana wapi hapa Mombasa nami nataka nijifunze
Aslm aleikm shukran kwa halwa soo easy mashallah. Nauliza huu unga wa muhogo ni swa na unga wa 'wanga'?!
Keep going sister
MashAllah kupika Haluwa inachukua how many hrs?
Naweza kutumia unga Wa ngano unafaa km Sina hui ungs
Nakukubal
Naeza tumia unga wa ngano?
Tuonane bc mikon mizuri na kucha nzuri
Hzluwa ni mzr
🤲
Assalam aleikum siz I’m in Mombasa nipate wapi hio unga ?
Supermarkets, markiti pia unga wa muhogo
Tapioca starch...huu sio unga wa muhogo tunaopikia ugali ,upo tofauti so unaponunua ujue kwamba unanunua tapioca starch habibty.
assalam alykum je unaweza kurumia unga wa muhoga wa locally
mashallah,, nimependa sana .. unga ulotumia unapatikana wapi?
Supermarket hapa Nairobi iko
Dada mm nataka nijifunze kupika halua.
Lakin sijui
Maan sina kazi ya kujitegemea.
Nahitaji nijifunze hata kwa malipo nipo tayari.
Sijui unapatikana wp.
So any mafuta ni sawa tu bt samli is the best
Waaleikum salaam Wow mashallah inaonekana tamu sana please niambie jina lako ni nani ? Unaishi wapi ? Mimi ni binti wa athman ali Naysana please I want you to become my best friend I really like this video thanks for your video bye
habibty hiyo kikombe unacho tumia ni ml ngapi please yanitatiza shukra kwa mapishi ya halwa-halwa ya seif
Hiyo ulotumia ni tapioca flour sio tapioca starch?
😋😋
Asalam alaykum.. Masha Allah nimependa Sana ..lkn ungaa huu naaweza pata wapi...Niko malindi
Supermarket tuskys cassava flour, supermarket pale barani ya wahindi
Maduka ya ration pia
Ok sawa.. thanks alot I will try tomorrow in sha Allah
A salaam Aleykum un ga huh was tapioca kwa Dar naupata wap
kariakor
Mapishi rahisi Kama Sina unga wa mihongo naweza tumia ngano🤔🤔🤔🤔
je unaweza tumia unga wa uwanga?
Shukran lkn unga wa mgongo mzr
Sauti taaaaamu kuliko haluwa yenyewe....
Je unajua recipe ya haluwa ya kidigo?
Ndyo hyo ya kidigo ujaona na unga wa bada hpp
Kama huna unga wamuhogo naweza kutumiy unga wa mahidi
Halwa ile ya mombasa kwa ba seif tamu ajab
Zafarani ndio nini kwa kizungu.
Saffron
Sorry dear..nataka kufuhamu halwa Unaweza kukaa muda gani bila kuharibka?
Na ikiwa haikai muda mrefu mpaka kuharibika naweza fanya nini ili kuifanya isiharibike mapema.?!
Ajab
It's hard to cook this unless you write down your recipe,not easy to understand this ingredients.
It's an Arabic desert it's not for everyone.
Rukie noor that's not a nice answer. Do you only make food from your community or do you try other people's too!!! Kezia the recipe is in the description box girl. Give it a go!!!
I love it
Mashaallah