Umeshawahi kujiuliza haluwa hupikwa vipi?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Visiwani Zanzibar haluwa imekua chakula na sehemu ya utamaduni wao kwani hujumuishwa katika sherehe mbalimbali, kama vile harusi.
    Kwa mujibu wa Mamlaka visiwani humo, uuzaji wa bidhaa hiyo umepanuka Zaidi hadi kuuzwa kwa watalii na nchi za Nje.
    BBC imetembelea kiwanda kimoja cha haluwa ambacho kila siku huzalisha wastani wa nusu tani (kilo 500), wateja wao wakiwa ni wakazi wa visiwa hivyo pamoja na watalii ambao hufika visiwani humo kwa maelfu kwaajili ya mapumziko.
    #bbcswahili #zanzibar #tanzania
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

ความคิดเห็น • 2