#live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @janethmsangah8374
    @janethmsangah8374 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wew frij bovu wewe una upako wamungu kupitia. Mtumishi wetubaba yetu. Mwamposa mungu aendelee kukuinua uwe na maono mengi zaod❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @janethmsangah8374
    @janethmsangah8374 2 หลายเดือนก่อน +4

    Froji bovu yaan huwaunanikosha sana hata kwenye vipind vyako Huwa sikosi kufungulia Sibuk FM hongera sana bonge la mchambuz

  • @bryangeofrey928
    @bryangeofrey928 2 หลายเดือนก่อน +3

    Friji bovu ww ni legend wa uchambuz

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chama anaingia kwenye mfumo wa Gamondi polepole

  • @kelvinmasika
    @kelvinmasika 2 หลายเดือนก่อน +2

    Friji bovu, tuhakikishie kuwa huvuti sigara 😅. Toa sababu tatu tuu 😂

  • @gustamayu2679
    @gustamayu2679 2 หลายเดือนก่อน

    Sifa ya namba 10 ni kutokuofia kupoteza pasi

  • @mohammedkitika4086
    @mohammedkitika4086 2 หลายเดือนก่อน

    Mashabik wsimba sik wakiacha ujinga tim yao itafanya mabadiliko

  • @KhamisiHilali
    @KhamisiHilali 2 หลายเดือนก่อน +2

    Chama leo kashinda lakin pasi kapoteza nyingi

  • @FatmaJumawazir
    @FatmaJumawazir 2 หลายเดือนก่อน

    Mzinze nisamehe 😂😂😂

  • @DungaMawe-l6l
    @DungaMawe-l6l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi nyie mashabiki wa simba ina maana kila siku yanga akicheza huwa anacheza na tim mbovu?

  • @IddiHassan-mr3sb
    @IddiHassan-mr3sb 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani wee unakua wap leo xlent

  • @JaphethMwakasege
    @JaphethMwakasege 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe katika watu ambae aeleweki niwewe

  • @andrewfelix7009
    @andrewfelix7009 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wahedhimu wachezaji siyo sawa kuwaambia wachezaji wafanyakazi hewa wakati wapo kazni muda wte.

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 2 หลายเดือนก่อน

    Eti km MAGOMA😂

  • @IdrissaHabibu
    @IdrissaHabibu 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @EMMANUELALEX-or5df
    @EMMANUELALEX-or5df 2 หลายเดือนก่อน +1

    Atimae yanga ameingia kwenye mfumo wa chama chama mchenzo mzeee wao wenyewe watamtii safalii hiii

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana. Chama ndiyo anaingia kwenye mfumo kidogo kidogo baada ya kupata maongezi ya fitness mazito....😮😮😢

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana. Chama ndiyo anaingia kwenye mfumo kidogo kidogo baada ya kupata maongezi ya fitness mazito....😮😮😢 baada ya kupata mazoezi mazito ya fitness😢😢

    • @raymondswed7358
      @raymondswed7358 2 หลายเดือนก่อน

      Chama kaanza kuingia kwenye mfumo wa Yanga baada ya CHAMA kwenda kwa Denzel trainer kuongeza ufiti bàada ya kushawishiwa na Pacome😂😂😂

  • @geraldmmuya6658
    @geraldmmuya6658 2 หลายเดือนก่อน +1

    Weka na clip unavyoelekeza yesu alifundisha kwa mifano mara zote

  • @festokelvin8509
    @festokelvin8509 2 หลายเดือนก่อน

    Frige bovu ujawai kukosea

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakupamba nyie 😂 nawaheshimu, Votalo timu bovu mnamsifia chama chama 😂

    • @mohdabdalla7070
      @mohdabdalla7070 2 หลายเดือนก่อน

      km ubovu sio vtalo tu timu zote zilizo cheza na yanga ni mbovu mukiwemo nyie makolo

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwabwajaji wa bashingantahe anatamba mnara leo umegoma kama magoma kwa mkapaaa atajuta mpira kurujuani

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    chama ni Mwendo wa kizee hawezi kuwa bora umri utamhukumu Tu

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 2 หลายเดือนก่อน +2

    Pasi ilitoka kwa chama ile ya Azam.

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 2 หลายเดือนก่อน +3

    Friji bovu cha ajabu. Nini kaanza lini hizo pasi mnatakaga sifa za kijinga ili muonekane na. Aliyewapa bahasha.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 หลายเดือนก่อน

    Chama ni Mkubwa kuliko yanga tayari utoporo mmeingia kwenye Mfumo wa chama

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna mchezaji mkubwa kuliko Yanga SC Dunduka