IMEKUAJE KUWAALIKA SHIA KATIKA MAULIDI ? TUWENI NA ADABU NA MASWAHABA WA MTUME | SHARIF AL-AHDAL

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2022
  • Maulidi ya Mtume Muhammad S.A.W Bakwata Wilaya ya Mkuranga, leo tarehe 25-12-2022
    Kwa mahitaji ya kurusha Matangazo Live wasiliana nasi 0654162010
    #Maulidi #MaulidiLive
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 267

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh umeomba dua nzuri sana kwa kusema allaah awaongoze uko sahihi na mimi salafi naitikia aamiin

  • @ash7604yaman
    @ash7604yaman ปีที่แล้ว +3

    It's a blessing to hear the comforting words from all places of east Africa .May
    our brothers in Islam follow Koran and Ahlulbayt
    that is what prophet Muhammad pbuh and his progeny ask us to do this brings the brothers from darkness to the light (Noor) let your light shine before men so they may glorify your LORD GOD most merciful. Hakuna matata. 🕋🕌🌴👨‍👩‍👧‍👧🙈🙊🙉

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +8

    Sheikh allaah aakuongoze sie masalaf twakuombea dua nakuo sheikh mziwanda hapo allaah akuhifadhi na akuongoze kwa kuwasaidia masalafi kuwachapa mashia

    • @mahmoudhaji3526
      @mahmoudhaji3526 ปีที่แล้ว

      Salaf na Shia ni ndugu ndio maana wamekaa kimya

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 ปีที่แล้ว

      @@mahmoudhaji3526 Ndugu kivipiii? Fafanua

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +4

    Namuona mzee pembeni hapo amekula joho allaah amuongoze mzee wetu

  • @omarsakawa2070
    @omarsakawa2070 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah kumbe mawahabi pia wanasikiza khutba zetu,mungu awaongoze waione haki waache kugawanya umma.

    • @saidishalako
      @saidishalako ปีที่แล้ว

      Mbona tumevutiwa na Kisa Cha Jogoo na mwenye kisu. Visa vya kiajabuajabu kama kawaida.

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Omar, kwani Mawahabi ni akina nani? Hebu nielimishe Tafadhali.

    • @rizikimzee9598
      @rizikimzee9598 ปีที่แล้ว

      Kwan wafikiri hawajui kuwa maulidi n kumsifu mtumi wanafata mkumbo hawa wenzng na mm ambao hawajasoma na masheikh wao ni njaa ndio zimewapelka kule kweny uwahab lkn wanajua kuw maulid n kumsifu mtumi kaka

    • @abuuluqmaana8444
      @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

      Wew kweli lijinga kabisa wajua maana ya wahabi

    • @abuuluqmaana8444
      @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

      Sie twaskiliza pale tunapo sima kichwa cha habari kinaashiria kumesemwa haqi ndio twaskiliza ili tuskie hiyo haqi na kuwataja mashia kwa ubaya wao ni haqi na walianza massalaf jambo hilo ndio hao masheikh wenu matumbo wakaiga allaah awaongoze

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 ปีที่แล้ว +4

    Mkiambiwa maulid ni bid'ah hayafai mwaona mwaonewa

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว +1

    Shekh kwakweli umeongea vizuri na umeongea haqqi, na nakuomba uendelee kuwazindua na kuwaamsha hao mashekhe walio weka pembeni Dini yetu na Heshma ya Mtume wetu na Maswahaba zake na Wake zake na wakatanguliza njaa zao.......

  • @yusuphmbowe4147
    @yusuphmbowe4147 ปีที่แล้ว +2

    جزاكم الله خيرا

  • @yusufdiriye3771
    @yusufdiriye3771 ปีที่แล้ว +3

    كثر الله من امثالكم وسدد الله خطاكم

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 ปีที่แล้ว

      Hiyo Maulidi yenyewe imeamzishwa na Mashia miaka zaidi ya mia Tano baada ya Mtume Muhammad (saw)

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

    Prophet s.a.w left us the 2 things in this world Quran and sunaa the way he was living.

    • @zulfaabdulrahman
      @zulfaabdulrahman ปีที่แล้ว

      Hadity daif. In sahih muslim Prophet saw left us the 2things kitaabu ALLAAHI WA ITRATU AHLI BAYTIHI.

    • @nassirzamzam9312
      @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

      @@zulfaabdulrahman a/a mashia ni mayahudi hawana msimamo wa dini they follow world politics.

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +1

    Allaah awaongoze

  • @mwambashiiddi9295
    @mwambashiiddi9295 ปีที่แล้ว

    Allah awaongizee hivihivi

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 ปีที่แล้ว +2

    MBONA MNAPOKEA PESA ZA WAKRISTO A MUNAJEGEA MISIKITI

  • @abujaffar2153
    @abujaffar2153 ปีที่แล้ว

    Huyu sheikh yuafanya kazi shetani akiona yuafanya kazi ya Mungu kazi ya Mungu ni kuunganisha sio kufakaranisha

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

    Nguzo za Uislamu ni Tano na za Imani ni sita . Hakuna muislamu hafahamu je Kuna Maswahaba katika nguzo hizo

  • @nyatya199
    @nyatya199 ปีที่แล้ว +7

    BABDEO HICHO KIPANDE ALICHOZUMNGUMZA SHEIKH KUHUSU KUWATETEA MASWAHABA KIKATE TUKISAMBAZE

  • @thegreenkhidhir3705
    @thegreenkhidhir3705 ปีที่แล้ว +4

    Shekh umeongea vizuri maashaAllah ila umewalenga mashia tu, ila nkukumbushe kua Mtume Mtukufu swalallahu alayhi wasallam alibashiri kutokea kw madhehebu mengi zaidi kw waislamu kuliko umma zilizopita akamwambia Hudhaifa ibn Yaman radhiAllahu anhu dhehbu la kushikamana nalo ni lile lililopo kwny jamaa na ikiwa hakuna jamaa wala kiongoz wa waislamu basi abaki peke yake ten ikibidi ashikilie kisiki cha mti ngi ngi ngi kuliko kujiunga na dhehebu lolote. Leo kwa nje unaweza kusema nyie watu wa twariqa mpo ktk jamaa lakini kiukweli twariqa nyingi za leo ila chache zimebaki jina kuliko uhalisia, jamaa aliyohusia Mtume ni jamaa ya waislamu yenye kiongoz ambae amepewa baiyah na waislamu. Cha ajabu nyie watu wa twariqa mnakula baiyah kwa mashekh ambao nao wanakula baiyah ya kuitii na kuifata serikali ya kipagani isiohukumu kwa sheria ya Mungu wkt Mtume alikataa kuwatii waarabu wapagani ikashuka Surat Kaafir.Na apo mmekaa na kiongoz wa serikali ya kipagani hamlisemi ila kaz nyie kuwaonea mashia kw vile hawana dola lau ingekua nchi ya mashia msingethubutu kusema hayo, hiyo ndo istiqama.Bora kushikamana na shia kuliko kushikamana na viongozi wa serikali inayopingana na sheria ya Mungu (Qur'an). Jitafakarini, tatizo ni nyie km ulivosema..kiukweli leo hakuna dhehebu km dhehebu lililosalimika lote bali mtu mmoja mmoja ktk hayo madhehebu anaweza kusalimika.

    • @ModaxMedia
      @ModaxMedia ปีที่แล้ว

      Haya ni mawazo ya takfir achana na itiqad hii,

    • @zubbeiryelmurjeb5802
      @zubbeiryelmurjeb5802 ปีที่แล้ว

      Hata ktk madheheb yaliyobashiriw na mtu hao shia hawapooooo

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Na kwenye haqqi sisi hatuna pingamizi, kuwatandika mashia na kuweka wazi maovu yao hilo ni jambo muhimu sana, ambalo walilianza Mashekhe zetu na baadhi yenu waliona ni ubaguzi unao fanywa, na ndiomana wakawa tayari kututukana sisi na kuwakumbatia mashia !
    Leo uhakika ume kua wazi.
    Walillaahil-hamdu

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 ปีที่แล้ว +3

    بارك الله فيك :الله يهديك على السنة

  • @Ommyjames313
    @Ommyjames313 ปีที่แล้ว +1

    Mlikuwa mnawatukana Ansar sunnah Leo vipi mnalia mpaka waharibu jamii ndiyo mtaamini hawa watu ni sumu 😢😢

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Hivyo basi kwa awamu yakwanza tusaidieni kuitakasa Dini yetu na uchafu ulio ingizwa na mashia, na hayo mengine mutafata kidogokidogo.
    Tuna waombea duaa Allaah awape umri mrefu na afya njema ili mutengeneze yalo yote mulio yaharibu au yalio haribiwa na watu wachafu kama vile mashia na mfano wao.
    Na muitetee Sunnah ya Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama, na heshma za Wake zake waliokua Twahara na Aali zake na Maswahaba zake walioongoka kwa kufata uongofu wake.
    Na muache kuzua ktk Dini...........

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kuchelewa tangazen daawa salafia moja kwa moja jaman mtakuta makipo yenu kwa allaah

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Na jambo linalo tupa mashaka zaidi nikua baadhi yenu walifikia kusema:
    Kama itatokezea Nassoro Bachu(Shekhe wetu Allaah amraham), kama ataingia PEPONI basi mimi niko tayari niingie MOTONI, kuliko kuingia Peponi nayeye!!!
    Sabb ya chuki zote hizi ni kupinga Maulid.
    Leo nyinyi Mashekhe Mashia mnawaongelea kwa heshma kubwa na tahadhari ya neno kwa neno....

  • @Shogolamwendo1989
    @Shogolamwendo1989 15 วันที่ผ่านมา

    Yeye ana Kawa uma kwajili ya madhebu fitina arudishe kwake aliko toka Hana chochote hizi Zama sio zakudanganha😂😂😂😂

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว +1

    Sie twaskiliza kwa kusoma kichwa cha habari kinacho ashiria haqi na kuwasema mashia kwa ubaya wao na ukafiri wao ni haqi na jambo hili walianza masheikh wa kisalaf kubainisha uovu wao na masheikh zenu walikua wamewakumbatia toka zamani kwa njaa zao

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo

  • @salmasultan3882
    @salmasultan3882 ปีที่แล้ว +2

    Shia , sunni , ibadhi, salafi , Wakristo,wayahudi,wazoroster,wahindu, jamani hao ni binaadamu na pia tunafanana kila kitu sote tunatumia jua moja na some tunakunywa maji aina moja ,vyakula sampuli moja kwanini tusithaminiane

    • @saidishalako
      @saidishalako ปีที่แล้ว

      Lazima uwe umesema sana wewe Kwa maneno haya.Maneno ya kina Plato,Archemedes, Darwin N.K. Ila tu usisome kushotoni pekee soma pia na kuliani.

  • @kumaylmohammad3995
    @kumaylmohammad3995 ปีที่แล้ว

    Ewe Sheikh hebu fikiria kidogo.
    Cha Kwanza Aliyekuwa Maulama wa kuu wa Madhehebu wa Shia hawajawahi kuwatukana na wala kuandika ktk vitabu vyao..
    Sasa mbona unasambaza uchuki.
    Kama ungetumia busara na unapenda Uislamu na Mtume basi ungewaleta wote pamoja na sii kuwatawanya waislamu

  • @rabeseif2460
    @rabeseif2460 ปีที่แล้ว

    Masuni wamebadilika msimamo juu ya mashia tangu kile kilichoitwa umoja wa waislamu kufanya kongamano na mashia wakiwemo kama wamoja !!!

  • @athumaniabedi1165
    @athumaniabedi1165 ปีที่แล้ว

    Chukueini vitabu vyamaulamaa wao mvisome ndo mtajua kua Hawa watu sionwatu wazuri nakama hamtaki maulamaa wao kwavile waoniwairani hebu chukua kitabu chamayunga yeye Yuko dare Salam ana kitabu kinaitwa mikesha ya pesha wari uone alivyo mtusi Omar ibin khatwabe acheni njaa nyinyi

  • @omarally6819
    @omarally6819 ปีที่แล้ว

    Na kinacho dhihiri hapa nikua mutake musitake sisi munao tuita mawahabi ndio wenzenu na kuungana nasisi tukaihuisha Sunnah ya Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama nibora zaidi kwenu na kuacha hayo mazushi mulio nayo, kuliko.......

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 ปีที่แล้ว

    Hii ya Mashia kufund na kusimamia Maulid tu tayari yanipa wasi wasi na uhalali wa Maulid..nimeanza kuyashuku Maulid

  • @albayaanalbayaan7534
    @albayaanalbayaan7534 ปีที่แล้ว

    BAADHI YA MASHEHE WETU , KUMBE HAYANA AKILI, MAWAHHABIY WANAWAPIGA VITA NA KUWAUWA KOZ YA MAULIDI, MAAJABU WANAWAGOMBEZA WASOMA MAULIDI WENZAO WANAWAACHA WATU WANAO WAFANYIA UADUNI NA KUWAKUFURISHA NA KUWAUWA (MAWAHHABIY L.A) HAINA AKILI KUMBE .

  • @daudibashemela7095
    @daudibashemela7095 ปีที่แล้ว +1

    Napia Quraani intake uzame sisi tatizo letu sio mashia angalia jamii ya kisilamu ilivyo wapi tumesikia mswahaba wanatukanwa umoja wetu tutakua nanguvu sisi hatuna hospital hatuna mashure hatuna chochote nani umemuona anatukana sisi hapa tanzania hatunatabia yakutukanana usiwe namahubiri yakueneza chuki sio vizuri wawa nimtumishi wamungu

    • @abuuabdirrahmaan4132
      @abuuabdirrahmaan4132 ปีที่แล้ว

      Hujasoma kitabu cha mshia Jumaa omari mayunga kiitwacho (Meza ya uchunguzi) na ndani ya kitabu hicho anasema omari ni mwana haramu????
      Huyo si mshia yupo dar mtaa wa mzimndi je hayo sio matusi ????
      Je hujasoma tafsiiri ya qur'ani ya mashia na ndani yake wanasema Abuu hurairah ni mwenda wazimu???
      Je hao sio mashia wa tanzania????
      tatizo ni kwamba nyinyi mashia mbumbumbu hamjui.hata kinachoendelea hivi sasa hata kwa mashekhe zenu wenyewe.

    • @issaahmad1264
      @issaahmad1264 ปีที่แล้ว +1

      Tusiishi kwa kuiga tu hivi shule na hospitali hali ya kua watu wanapotoshwa na mashia wanaenea? Acha ushamba

  • @Ibrahim-kw9nq
    @Ibrahim-kw9nq ปีที่แล้ว

    Uislam ni was Allah sio yenu kuchaguwa Nani afanye Nani asifanye ...Acha kugaanya ummah

    • @rizikimzee9598
      @rizikimzee9598 ปีที่แล้ว

      Sasa watu wanapnga maswahab wa mtumi alaf usem n wenzet kwel

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 ปีที่แล้ว +2

    Acheni kugombanisha waislamu

    • @abuuabdirrahmaan4132
      @abuuabdirrahmaan4132 ปีที่แล้ว

      Hakuna kugonbanishwa waislamu hapo.kwani mashia sio waislaam

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@abuuabdirrahmaan4132 dalili

  • @daudibashemela7095
    @daudibashemela7095 ปีที่แล้ว +2

    Sisi tunaendelea kuzozana na madhehebu wenzetu wanapiga maaendeleo msimamo nikutatfiti na kusoma kujua sio msimamo kuhubiliana kutengana na kuchukiana

  • @Shogolamwendo1989
    @Shogolamwendo1989 15 วันที่ผ่านมา

    Huyu bwana mnafiki tuu Hana chochote anaonekana ametumwa😂

  • @salma-gf8ek
    @salma-gf8ek ปีที่แล้ว +1

    Jamani mashehe wangu mie mnanichanganya kwani Shia nani na Sunni Nani mbona sielewi ikiwa wote waislam asa sie tusie soma twende wapi ipi dini ya kweli

    • @abunajreenELSESANY
      @abunajreenELSESANY ปีที่แล้ว +2

      Kasome dini, SHIA ni special category. Wako mbali na UISLAMU

    • @salma-gf8ek
      @salma-gf8ek ปีที่แล้ว

      Mtihani kwakweli Acha nimuamini mwenyezi mungu yeye ndiyo kila kitu

    • @wazirihamisi6484
      @wazirihamisi6484 ปีที่แล้ว

      Hakuna uislam kwa ushia

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 ปีที่แล้ว +1

      Shia si muislamu Kwa itkadi zao potofu za kumuita mamaetu Aisha(radhiallahu anha) Abu bakar sidick, Omar ibn khatwab, na uthman ibn afa'an(radhiallahu anhumah) kuwa ni watu wa motoni na kufikia kumuita Omar bin khatwab shoga?
      Kiingine kuwapa maimamu zao manzilah juu ya mitume
      Kiingine kusema Jibriil aleisalam alifanya ghish(ujanja ujanja) kumshushia utume muhamad(swalalahu aleihi wasalam) utume badala ya kumpa Ally(radhiallahu anhu)
      Kiingine Ally ana manzilah ya U'ungu
      Na madudu yao mengi katika itkadi zao katika vitabu zao...
      Waislamu lazima watambue mashia ni makafiri bila wasiwasi na ndio itkadi tunatakiwa tuwafunze watoto wetu.......

    • @salma-gf8ek
      @salma-gf8ek ปีที่แล้ว

      ​@@abufirdaus4254 jamani acha ninyamaze mana sijasoma Ila mie najuwa dini yangu moja Tu uslmu basi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว

    Nyie hatuwaamini hata kama mtakuwa mkunya dhahabu mtume mwenyewe mnazushia kila kukicha

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 ปีที่แล้ว

      Wewe Muda Nenda Kakojoe Ukalale. Umetandia lori Kwambele.

    • @swalehabdulrahman4118
      @swalehabdulrahman4118 ปีที่แล้ว

      Unaposema hatuwaamini ,kwani nyie Ni nani?!

  • @theseeker2159
    @theseeker2159 ปีที่แล้ว +2

    Mgala muue na haki umpe...mwanzilishi ya moulid ni mashia na leo mumeyapiga makamama y hamuyaachi kusoma ikiwa ni haki basi nyinyi ndio mupo na kasoro maoni Tu.🤣🙏

    • @zulfaabdulrahman
      @zulfaabdulrahman ปีที่แล้ว

      Kwan kuanzisha ndo nn? Hata MTUMI SAW AMECHUKUA SAWM YA ASHURAA KWA MAYAHUDI JE NDO IMEMAANISHA WAO NDO WENYE HAKKI KULIKO MTUMI SAW.

  • @daudibashemela7095
    @daudibashemela7095 ปีที่แล้ว

    Mimi naona hao tunao waita makafiri kwanini tunaogopa kuwaarika mbona mtume aliwaalika wakristo napia akajadiliana nao kwa kua lengo letu nikuwanusuru watu tuwenao tujadiliane nao kwa huja je wakiwa wako sahihi au wamepotea tutawanusuru vipi kama hutaki kuonana nao Shekhe wisilamu sio kuchukiana hao Ahlulbayt madhehebu yao ni nini na niakina nani

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Ndo maana nasema mashehe wakisuni wakipewa bahasha na ubalozi wasudia hawajitambui tena.hata historia ya mtume wanaisahau wanabwabwaja tu

  • @hassanmusa9688
    @hassanmusa9688 ปีที่แล้ว

    Yalianzia pale alipopokelewa MADINA MUNAWARA , Kwa qasda na dufu ,Twalaa albadiru alaina mithanii ya tillwadaar, je nawauliza wahabi historia hii hamuijui?

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว +1

    Kaja na fitna kutoka lamu kenya had tanzania... mgeni kaja na fitna kwenye inchi ya watu

    • @Twariqabaalwy
      @Twariqabaalwy ปีที่แล้ว +1

      Kaja na haki,Allaah akuongoze ktk haki w bilali shia

    • @bilalikaoneka5080
      @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว

      @@Twariqabaalwy haki gan sheikh.. wangu.. ??

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@bilalikaoneka5080 Bilali peleka mbele unafiki wako wakishia sisi tunafurahi kuona masufi wanawastukia kama vile akina mziwanda na mfano wake wanawajua sasa kua Nyinyi ni wanafiki haaahaaahaaa shenzi kweli nyie ndani ya mioyo yenu mnajua kua ni makafiri nje mnajifanya waislam mnawaona waislam mabwege nhe ? Kama wew ni kifaranga cha ushia mabeberu wako wanajua fika kua wanaukafiri ndani ya mioyo yao hujui ww pekeyako

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Hatutaki umoja na wanafiki kama wew kifaranga waulize mabeberu wako wanajua matusi yao vizuri dhidi ya makhalifa wetu tena kaa kimya mnafiki mkubwa wew hatuwataki nendeni kanisani kaabuduni huko sio kwenye hadhara za waislam hatuwataki wanafiki wazandiki

    • @bilalikaoneka5080
      @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว

      @@mahengomwenyewe4204 .. kwahyo hamuwez kuwa na waislamu wenzenu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

    Kwa hivyo mukitaka tuwe wa moja ni tufuateni tawheed tutakua wa islam wamoja, mitume wote walio kuja walikuja na tawheed ndio silsila akawa moja.

  • @alliyrubea5731
    @alliyrubea5731 ปีที่แล้ว

    Hawa hawajielewi na hawajuwi kama Shia ndio waliozusha uzushi huu ambao leo wanauadhimisha hawa makhulafi!

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

    Kusema mtume alipoondoka aliwacha amechagua KHALIFA kabla ya kuondoka. Name ni Ali bin Abitwalib a.s ni matusi

  • @bilalikaoneka5080
    @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว

    Huyu nae ni sharifu

    • @Twariqabaalwy
      @Twariqabaalwy ปีที่แล้ว

      Naam wasemaje Ww Rafidhwa?

    • @bilalikaoneka5080
      @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว

      @@Twariqabaalwy sharifu jina

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Mashia mimavi yenu ishaanza kunuka hata hao wenzenu kwenye maulid washaanza kuwastukia kua Nyinyi ni wazushi mnawazuga tu kwenye maulid lkn nyinyi ni wanafiki mnajificha kwenye mgongo wa maulidi haaahaaahaaa wanafiki wanaanza kuvumbuliwa

    • @bilalikaoneka5080
      @bilalikaoneka5080 ปีที่แล้ว

      @@mahengomwenyewe4204 hivi ushia unakuwa au unapungua??

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว +1

      @@bilalikaoneka5080 sisi atuangalii kukua au kupungua kwani hata ukristo na uyahud unakua tunachokiangalia watu wanabainikiwa atakwenda kwenye ukristo awe anajua huu ni upotevu lkn nafata pesa na ataekwenda kwenye ushia ajue huu ni upotevu lkn nafata pesa ife mwenye kufa kwenye bayan awe hai atae kua hai kwenye bayan.

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

    Bas watu wa bidaa wakisikia hiyo qisa ya jogoo wao watajua ni hadith eataamza kuifanyia kz

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

    Hoja ya uhalifa Bada ya Mtume siyo swali ndogo .Ikiwa mashia wanadai Mtume Alichagua Halifax na hali hakuchagua Wafuasi wote wa Ahlul-Bait .motoni na kama Alichagua Halifax na nyinyi mumemkata JAHANAM yakuna la tatu

  • @mohamedasaid7910
    @mohamedasaid7910 ปีที่แล้ว

    Mashia warongo.
    Shauri yenu na huo upole mwingi.
    Majuto mjukuu.
    Wao habadilisha Muislamu Sunny awe Shia.Hawatafuti Wasio Waislamu.
    Musirongwe kiakili na warongo
    ambao Allah pekee ajua hali yao

  • @theseeker2159
    @theseeker2159 ปีที่แล้ว +1

    Kitu kimoja chanishangaza sana huwezi pata mshia aongea chuki juu ya wahabi ama wanaojiita sunii.🤔🤣

  • @saifmohamed5963
    @saifmohamed5963 ปีที่แล้ว

    Hili nijitu wahabi alio inguia kwa ma sufi.
    Uliwahi skia wapi mtume swansalam

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shegh katoka wapi mbona anawagawanya waislamu Tanzania hatuko hivyo sisi ndio muangalia wa kumualika

    • @abujaffar2153
      @abujaffar2153 ปีที่แล้ว

      atoka kenya ajabu nikia huku kenya khaswa lamu waislam washirikiana, msikiti wa mashia siku ya jumma masuni hua wengi zaidi ya mashia wakisikiza khutba ya sayeed wakishia, watanzania kueni macho

  • @msabahaharuna2541
    @msabahaharuna2541 ปีที่แล้ว

    Sasa mawahabi wanafurahia nini ? Kama mnaona wamepatia ktk huo msimamo simuwapongeze, nyinyi nikubeza tu kilakitu.

    • @Twariqabaalwy
      @Twariqabaalwy ปีที่แล้ว

      Lazima wafurahie Kwa sababu masheikh wa ahlul Sunnah wameanza kujua ukafiri wenu mashia

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Msabaha sisi mawahabi tunaumia nyinyi mashia kujifanya wajanja sana kuliko waislam eti mnaficha ukafiri alaf wao hawajui kuona sasa wanajua tunafurahi mnaumbuliwa na wale mlowadanganya haaahaaahaaa sasa mko wazi hadi hao masufi wamewajua kua nyie jau

    • @msabahaharuna2541
      @msabahaharuna2541 ปีที่แล้ว

      Sasa kama ni hivyo kwanini usiwasifu masufi,wewe pande zote unawaponda tu kanakwamba wewe muwahabi unatumiwa na mmarekani,huoni jema lolote kwa wenzio ukasifia

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Msabaha acha shubha zako za kishia mawahabi wawasifu masufi kwani huyo hapo kazungumzia msimamo wa kisufi au yeye kama yeye hilo moja pili hawaaminiki kwani mkimpa pesa tu huyo kesho haongei hivyo tatu jambo lina makarne wao waje kusema leo kwani miaka yote walikua wapi pia kwanini kama walikua hawajui wasibainishe kweli mawahabi tulikua tunawapinga lkn kweli hawa mashia wahovyo mawahabi wako sahihi unataka tuwasifu hawa vigeu geu .

    • @msabahaharuna2541
      @msabahaharuna2541 ปีที่แล้ว

      Kwanza mimi siyo shia / Nakama kila aliyekuwa karibu na shia ni adui yako basi anza kule kwa baba zenu saudia mbona wanawaruhusu mashia kuingia haramu maana yake wanajua mashia ni waislamu,Na wanatakiwa kusaidiwa kuacha kuwatukana maswahaba / Na wanaoweza kuwasaidia mashia waache kuwatukana maswahaba ni sisi masufi siyo nyinyi mawahabi nyinyi kaziyenu kukosoa lakini hamtoi suluhisho tufanye nini kuwasaidia walio potea

  • @salumhamed5074
    @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

    Mashia sio wezetu

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

      Kauli zao kuwa Swahaba wote walirtaddi (walitoka katika dini ya Kiislamu isipokuwa wachache sana).
      Imesimuliwa na Al-Kulayniy katika kitabu cha Al-Kaafiy kutoka kwa Muhammad bin ‘Aliy (Radhwiya Allaahu ‘anhu) na umaarufu wake ni Muhammad Al Baqer kuwa amesema: ‘Watu wote walirtaddi baada ya kufariki kwa Nabiy (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) isipokuwa watatu (tu).’ Ar-Rawdhah katika kitabu cha Al-Kaafiy ukurasa wa 246

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

      قولهم أن الصحابة جميعهم مرتدون (أتوا من الدين الإسلامي إلا قلة قليلة).
      وقد رواه الكليني في كتاب الكافي عن محمد بن علي (رضي الله عنه) وشهرته محمد الباقر قال: كل الناس بعد موت النبي صلى الله عليه وسلم. ) سلام) إلا ثلاثة (فقط)كتاب الكافي - ص 246

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

      Their statement that all the Companions were apostates (they came from the Islamic religion except for a very few).
      It was narrated by Al-Kulayniy in the book Al-Kaafiy from Muhammad bin 'Ali (Radhwiya Allahu 'anhu) and his fame is Muhammad Al Baqer that he said: 'All the people repented after the death of Nabiy (peace be upon him) sallam) except three (only).''Ar-Rawdhah inAl-Kaafi's book page 246

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

      Their statement that all the Companions were apostates (they came from the Islamic religion except for a very few).
      It was narrated by Al-Kulayniy in the book Al-Kaafiy from Muhammad bin 'Ali (Radhwiya Allahu 'anhu) and his fame is Muhammad Al Baqer that he said: 'All the people repented after the death of Nabiy (peace be upon him) sallam) except three (only).''Ar-Rawdhah inAl-Kaafi's book page 246

    • @salumhamed5074
      @salumhamed5074 ปีที่แล้ว

      ان کا یہ بیان کہ تمام صحابہ کرام مرتد تھے (وہ اسلام سے آئے تھے سوائے چند ایک کے)۔
      اسے الکلنی نے کتاب الکافی میں محمد بن علی (رضی اللہ عنہ) سے روایت کیا ہے اور ان کی شہرت محمد الباقر ہے کہ انہوں نے کہا: نبی صلی اللہ علیہ وسلم کی وفات کے بعد تمام لوگوں نے توبہ کی۔ ) سلام) سوائے تین کے (صرف)الکافی کی کتاب صفحہ 246

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว

    Mnamualika Shia kwa sababu yeye ndiye muasisi wa hiyo barazanji mnayoisoma kwenye maulidi, nyie masunni vipi baniani mbaya kiatu chake dawa eee, acheni kabisa kuisomA hiyo barazanji Kama kweli mnawachukia mashia

    • @Twariqabaalwy
      @Twariqabaalwy ปีที่แล้ว

      Wajua barzanji aloiandika??

  • @Chris-in1vc
    @Chris-in1vc ปีที่แล้ว

    Kama wote mmekosea maana hakuna maulidi ya Muhammad ( sherehe ya kuzaliwa Muhammad) katika Quran wala katika hadithi sahihi. Acheni kulumbana na kujigawa kukiona wengine bora kuliko wengine. Kama mna elimu ya kutosha na hamna unafiki, kwa nini msitangaze mjadala wa Kitaifa mkazungumza tofauyi zenu kisomi na tujue wakina nani wako sawasawa na maagizo ya Muhammad ? Acheni uoga , huo ni cowardness

    • @zulfaabdulrahman
      @zulfaabdulrahman ปีที่แล้ว

      YAANI NAKUONA HUNA HISHMA NA MTUMI MUHAMMAD SWALLA ALLAHU 'ALYAHI WASALLAAMA WA MUITA MUHAMMAD KAMA NI RIKA LAKO JAMBO AMBALO HATA MOLA HAKULIFANYA NDANI YA QUR'AN BALI AMEMTUKUZA KWA KUMUITA YAA AYUHANNABIY, RAHMATAN LIL 'ALAAMIN, RASULULLAAH. KISHA WW WAJIROPOKEA TU KUMUITA MUHAMMAD

    • @Chris-in1vc
      @Chris-in1vc ปีที่แล้ว +1

      @@zulfaabdulrahman Samahani, Muhammad (S. A. W).

  • @kumaylmohammad3995
    @kumaylmohammad3995 ปีที่แล้ว

    Inaonekana wewe ni Sheikh wa Kenya.
    Busara na hekima ni kukaa na madhehbu nankujua ukweli lakini kuwakashifu kwa kutymia vitabu ambayo haikubaliki vyote viliyopo humu ndani na vile vile nyie hamkubali vyote vilivyoandikwa ktk sahih al sitta.
    Mbona mashia hawahukumu masuuni sasa ki ukweli nani anafuata nyoyonza mtume ?

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

    Nyie mnataka umoja wa madhehebu endeleeni kuwakumbatia mashia haaaahaahaaaa msimamo umewashinda

    • @user-hb8vi9fx6g
      @user-hb8vi9fx6g ปีที่แล้ว

      SI JAMBO LA KUCHEKEA HILI HATA KAMA WEWE HUMO LAKINI MADHARA YAKE YATA KUPATA TU, KWA HIYO IKIWA MASHEIKH ZETU AL-LAAH KAWAZINDUA BASI TUUNGANE NAO KUPINGA UOVU UNAO ENEZWA

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@user-hb8vi9fx6g Moto wakifuu huo ndio nacheka bado hajafuatwa huyo akifuatwa tu hata alipokwendea jiii huwezi kusimamia haqi kwenye chombo kibovu badilisha chombo kwanza

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@user-hb8vi9fx6g kwasababu ushie ndiyo uislamu wakweli na wenye dalili na hoja za kielimu.hatamfanyeje hamtoweza kuuzuia. Mtu yeyote mwenye ufahamu sahihi akisikia tu hoja za Kishia lazima azikubali.siyo nyinyi vichwa mchunga madhehebu yenu yamejaa migongano. Eti wanakwambia swahaba aliye muua mwenzake na aliye uliwa wote ni radhiallahu anhu.sasa huwo si ujinga ni nini.hata mtoto mdogo akubali fikra hiyo. Kwa mfano Abdulrahman bin Udais aliye muuwa halifa othman yeye pia ameridhiwa na Allah katika tahta shajara.sasa na hiyo mtaiyelezaje

    • @user-hb8vi9fx6g
      @user-hb8vi9fx6g ปีที่แล้ว

      @@mahengomwenyewe4204
      Na huwezi kubadilisha chombo kibovu mpaka utambue ubovu wake, na hizo ni hatua za kujitambua na kujua wame kwamia wapi
      حسن الظن

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@user-hb8vi9fx6g sawa

  • @Chombezaflava
    @Chombezaflava ปีที่แล้ว

    WAVAA KANZU ZA WATOTO WAO ROHO ZINAWAUMA 🤣🤣🤣

    • @masoudhassanomary1544
      @masoudhassanomary1544 ปีที่แล้ว +1

      Usiseme wavaa kanzu za watoto Tu na nyinyi mnaoburuza kanzu ni sifa ya wanawake sawa je ww n mzima kweli au tukutilie mashaka kama we ni mwanamke

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 ปีที่แล้ว

    Hawa mashekhe sijui ni wanamna gani hawo mashia mnao watukana ndo wanawazuia waisrael wasipore Ardhi ya wapalestina kwani nchi zenu za Saudia rabia ziko wapi mbona ndo wana kula meza moja na marekani na Israel nyie ni mdomo tu

    • @hassanmsangi4149
      @hassanmsangi4149 3 หลายเดือนก่อน

      mashALLAH shukran kw akulijua hilo ndugu yangu

  • @saifmohamed5963
    @saifmohamed5963 ปีที่แล้ว

    Inaonekana hili jitu ni wahabi.
    Sasa ina 9nekana hajasoma vizuri kuhusu taswawufu
    Ana onguea kiarabu tu.
    Pumbavu soma taarikh yakislamu hutapata hata neno pumbav mkubwa na uchekh wa uonguo wako

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Saif;wahabi, wahabi, kwani Wahabi hao ni akina nani? Na wewe Saif ni dheheb gani?

    • @nassirzamzam9312
      @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

      Alie found Shiaa ni Abdallah saaba huyu ni yemen jews kwa hivyo mashiaa ,masufis hawa sylebus yao wote ni moja yaani wote ni wamoja na ni ndugu wote ni ahlul kubur wanaabudu makaburi ya mawali wao lakini wahabi ni watu watawheed hawamshirikishi mwenyezimgu na chochote.

    • @nassirzamzam9312
      @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

      Wahabi ni salafis wao wakienda makaburini kuzuru wanawaombea dua kwa sababu dua ni chakula Chao.

  • @saifmohamed5963
    @saifmohamed5963 ปีที่แล้ว

    Ku salia mtume enyewe inaonekana wenijitu wahabi alie ji ficha nyuma ya usufi.
    Mjingua mkubwa

    • @abdalashah3292
      @abdalashah3292 ปีที่แล้ว

      Saif! Tafuta mda usome dini yako!! Mpaka uyu sheh anachokiongea huelewi,maana yake una hali mbaya ktk dini yako,

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

    Wew unayoelim walokuzunguka hawana elim wala hawajui Aqida ya Ahli sunnat waljamaa wanaona uislam tu haaaahaahaaaa madhehebu yenye mseto na mashia haaaahaahaaaa.

    • @husseinkarim6745
      @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

      Tuache mambo ya kukeshifiana tujenge.umoja, huyo amekuja kuleta chuki kwenye madhehebu. Mheshmiwa Kulega hakupenda lugha hiyo ya mkenya.Anaasili ya kiarabu pengine analipwa na Wahabi wa Saudi. Mbona hamkashifu makasino na muziki unapigwa Mecca na nchi za kiarabu. Leo ukahaba umehalalishwa Dubai na Saudi mmebweteka mnajua mtanyimwa.mipesa. Leo.misikiti mingi inajengwa na pesa kutoka Saudia.

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@husseinkarim6745 Wew kama ni mshia ujue hatuwataki msijiingize na ukafiri wenu useme tusikashifiane na wewe humo kwenye waislam ? Kwavile wewe ni mshia kaa pekeyako msije kwenye maulid kaeni kwenu huko na ukafiri wenu sisi Ahlu sunnat waljamaa sio wenzako mwenzenu huyo huyo mroho wa pesa

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Wew Husein nenda irani huko kwa makafiri wenzio hatutaki umoja na mazandiki

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@husseinkarim6745 Nyinyi mashia ni waovu zaidi ya manaswara na mayahud wao wameweka wazi ukafiri wao lkn nyinyi mnaficha ukafiri kwa kuwazuga waislam siwapendi mjue wanafiki nyinyi bora mngeweka wazi itikadi zenu za kuwatukana maswahaba lkn hiyo taqiyya yenu mnazingua mjue tena kaa kimya we Husein kama wew ni mshia njaa wenzako wanajua nini wanachokifanya wew rukia gar mbele tu utaumia.

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      @@husseinkarim6745 Mashia watabaki ni wazandiki tu popote pale watapokua eti umoja umoja wakusema mama Aisha mzinifu au Abu bakri na Omari ni makafiri ? Haaahaaahaaa umekwama kweli kifalanga cha shia hatuna haja na umoja na wanafiki Nyinyi mna dini yenu na cc tuna dini yetu.

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

    Wewe kweli lijinga wajua maana ya wahabi kweli wewe ama wajisemea t kwa kuskia kwa hao mashike zenu matumbo

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

    A a Waislamu wengi hawauelewi uislam wao ni waislam jina tu.

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +8

    hao shia ndio waanzulishi.wa maulidi.sasa Mbona mnawakataa? kuweni nao tu

    • @mohammedjumakhamis8151
      @mohammedjumakhamis8151 ปีที่แล้ว +1

      Hakika wangekuwa hawawataki mashia wangeacha maulid

    • @FatmaAli-dp9ps
      @FatmaAli-dp9ps ปีที่แล้ว

      Wanayatetea maulid ilhali wanajua chimbuko lake ni kwa mashia kisha wanawakataa ndio maana nao wanachangia sana wanajua km jambo lao linakuzwa kila kukicha

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว +1

      Kuna jitu moja jinga linasema msiwaseme mashia tuwe wamoja ili tujenge hospital pumbavu zako ukiwa na hospital alaf kwenye saf ya waislam kuna wazandiki hiyo hospital itafanya nini kuondoa uzandiki huo ? Hata halijui madhara ya uzandiki anaongea urojo kwa akili yake isiyokua na elim ndani yake muondoe adui kwenye safi ya waislam huoni ubaya hadi wewe wamekuharibu akili ?umekua hujielewi hao sio waislam wanapotosha itakadi ya kiislam unasema hospital mjinga mmoja mnene mwenye mafuta ya ujinga.

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Ujinga wa hawa viumbe mashia kuficha ukafiri hapo ndo wananiudhi mimi wangekua wazi tu kila mtu ajue tungejua namna ya juamiliana nao lkn hawa wanaficha uadui wao ni mkubwa kuliko mayahud iweje mfiche ??lengo kuwalaghai waislam tu.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 ปีที่แล้ว +4

      Yahya Hamad acha uongo Maulid hakuanzishwa na mashia, aliyetunga kitabu cha mashairi cha maulidi (Barzanji) alikuwa anaitwa Sheikh Albarzanji, alikuwa mwanazuoni wa kisuni anayefata madhehebu ya imam Shafi, aliyezaliwa ktk mji wa wakurdi uliopo nchi ya Iraq jirani na nchi ya Iran, jamii ya watu wa sehemu alipozaliwa walikuwa masuni na wala sio mashia. nyinyi masalafi mnadanganya watu kuwa eti yeye ni mshia kwa sababu kazaliwa ktk sehemu iliyopo jirani na Irani kwa mashia, huo mnaofanya ni upotoshaji wa makusudi kwa sababu mnaichukia maulidi mnaona njia rahisi kuaminisha watu wawafate na waichukie maulidi ni kuwadanganya kwa kusingizia eti muanzilishi wa maulidi ni mshia kwa sababu kitabu cha maulidi (Barzanji) kimeandikwa na mshia kwa hiyo maulidi hayafai kwa kuwa muandishi wa kitabu chake eti ni mshia. Masalafi acheni kudanganya, uongo ni haramu!! kwanini mnafanya haramu?! tafuteni sababu nyengine sio kusema uongo, muogopeni Mungu!! kama hamtakuja na sababu za kweli zenye dalili zinazokubalika na akili basi maulidi ipo na itaendelea kuwepo mpaka kiama.

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

    Nguzo za Uislamu ni Tano na za Imani ni sita . Hakuna muislamu hafahamu je Kuna Maswahaba katika nguzo hizo

    • @zulfaabdulrahman
      @zulfaabdulrahman ปีที่แล้ว

      Hebu acha kudhihirisha kua hamna kitu. Mtume saw amewaachia dini maswahaba na wao wakawaachi taabiina na wao wakawaachi tabii tabi iina mpaka kwetu watu wapasiana sasa kama si hao maswahaba ungejuaje hizo nguzo za dini

  • @abuuluqmaana8444
    @abuuluqmaana8444 ปีที่แล้ว

    Kumbe mwajua kua maulid hayo yanayo dhaminiwa na mashia yatawapeleka motoni

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 ปีที่แล้ว

    Nguzo za Uislamu ni Tano na za Imani ni sita . Hakuna muislamu hafahamu je Kuna Maswahaba katika nguzo hizo

    • @abdalashah3292
      @abdalashah3292 ปีที่แล้ว

      Mjomba tafuta mda usome dini yako
      Unaonekana una hali mbaya ktk elimu ya dini yako,

    • @nassirzamzam9312
      @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

      A/a,plastine hapiganii uislam wanapigania ardhi, na utawala na wengi wao wanafuata ushiaa.

    • @nassirzamzam9312
      @nassirzamzam9312 ปีที่แล้ว

      A/a ndugu waislamu kitabu cha barzanji chenyewe kina urongo na shirki na kama huamini mpate mtu akutafsirie kwa kiswahili halafu uwe na tawheed ndani ya moyo wako utakielewa kitabu hiki cha barzanji