Kumbe wasabato wanaamini hivi? Seh A

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @dianamalaba1776
    @dianamalaba1776 5 ปีที่แล้ว +11

    Naamini Mungu anasikia hta Ukiwa mbali. Naombaaaaa umuombee Mwanangu apone. Anaitwa GERSHON.amelazwa ICU bugando. Barikiwa sana pastor.

  • @dennisontita4752
    @dennisontita4752 5 ปีที่แล้ว +5

    Amen mguu wangu ulikuwa unauma na nimepata uponyaji mtandaoni mungu asifiwe

  • @user-ur4ct1xx9l
    @user-ur4ct1xx9l 6 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana

  • @emmanuelmathias2875
    @emmanuelmathias2875 5 ปีที่แล้ว +6

    Nimeuona uwepo wa Mungu hata sasa, ubarikiwe Mchungaji

  • @abasazaria3789
    @abasazaria3789 4 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe mtumishi wamungu mungu azidi kukutumia kutumegea mkate ututakase katika Roho zetu kupitia wewe naimani nitapona Yale yote yanayo nisibu amen

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Pastor waumini wamependeza sana,nimeyapenda hayo mazingira.Tubarikiwe wote,mijini na vijini.

  • @EmmanuelLucasCharles
    @EmmanuelLucasCharles 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu Pasta ana Imani kubwa sana natamani sana na mimi nikijaliwa kuwa na karama ya uponyaji kama hii.

  • @gilbertchirstopher
    @gilbertchirstopher ปีที่แล้ว

    Gilbert chirstopher from Zanzibar mungu
    Akupe Manisha maref sana na uzao wako wote tuko pamoja mchungaji

  • @wordskabadi6421
    @wordskabadi6421 4 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa natokwa na damu puani nimepona jina la yesu lisifiwe mungu amenisaidia Sana amina

  • @galasianompinge9254
    @galasianompinge9254 5 ปีที่แล้ว

    Pr. Tuombeane sana mtumishi wa Mungu, huwa unafanya nitafakari sana ukuu wa huyu Mungu. Uanifundisha kila siku nijue namna ya kumtegemea Mungu.

  • @dianamalaba1776
    @dianamalaba1776 5 ปีที่แล้ว +4

    Mwanangu yuko ICU ana shda ya upumuaji, anapumulia mashine Leo siku ya 14. Natamani umguse Mwanangu aweze kupona kwa jina la Yesu. Nawaonea wivu mnaopata bahati Ya kufkiwa na pr Mmbaga.

  • @clementgerald2988
    @clementgerald2988 5 ปีที่แล้ว

    Nmebarikiwa kwa Mahubir haya Hakika Mungu ni Mwema, Ubarikiwe Mchungaji Mbaga

  • @jeremiahoumaonditi8285
    @jeremiahoumaonditi8285 5 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana,Mungu akuzidishie sana

  • @Balozi_Wa_Yesu_TV
    @Balozi_Wa_Yesu_TV 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Pr

  • @happykilangi473
    @happykilangi473 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor,nabarikiwa sana

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 5 ปีที่แล้ว

    Thank u so much pastor kupitia kwako nimefunguliwa macho be blessed

  • @angel-y
    @angel-y 5 ปีที่แล้ว

    Amen. Nabarikiwa sana.

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa my pr

  • @rahabupaschal1786
    @rahabupaschal1786 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pastor

  • @VicentPaul-k3f
    @VicentPaul-k3f 9 วันที่ผ่านมา

    MUNGU atubariki

  • @deboraruvuza5390
    @deboraruvuza5390 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa past

  • @eunicehezron3481
    @eunicehezron3481 4 ปีที่แล้ว

    Amen amen amen

  • @albertinemacimu1247
    @albertinemacimu1247 5 ปีที่แล้ว

    Amina nimebarikiwa sana mchana wa leo nilikuwa kazini mda wa mapumziko nikaona ni bora nifuate hili somo maana nimefarijika mno

  • @raymayugu8163
    @raymayugu8163 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba au jina la pastor nitete nae kwa kazi ya BWANA

  • @nyachigobobulemo7153
    @nyachigobobulemo7153 5 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe.

  • @georgeelnico4784
    @georgeelnico4784 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Tafadhali naomba uniombee namimi nifaulu mitihani yangu ya kidato cha sita mwezi ujao

  • @musakiboya587
    @musakiboya587 5 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji hapo bado sijaelewa hivi ni kwanini tarehe za Pasaka zinabadilika naomba unisaidie Mchungaji

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Pst nimeamini shida zangu zitakoma majibu nitapata

  • @kandiboy6251
    @kandiboy6251 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe mchungaji mbaga

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 ปีที่แล้ว +5

    Amina barikiwa pastor, naamini Mungu atakwaja kamwe uo mkono pia mm naiitaji,how can I get you?Happy Sabbath

    • @lilianzephania962
      @lilianzephania962 5 ปีที่แล้ว

      Naomba muombee mama yangu ana uvimbe kwenye titi

  • @johnfaustinechannel746
    @johnfaustinechannel746 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji
    naiomba siku moja utufundishe namna ya kutofautisha miujiza ya Mungu ya kweli na ya Shetani.

    • @thegospel17
      @thegospel17 5 ปีที่แล้ว

      John Mihanda Asante sana

    • @elizabethjovin612
      @elizabethjovin612 5 ปีที่แล้ว

      Miujiza ya biashara si ina bei kabisa ili uipate lazima ela.

  • @lutemahindiakaje5046
    @lutemahindiakaje5046 5 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @sundaycast606
    @sundaycast606 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pr naomba prt B

  • @nkwembacharles8676
    @nkwembacharles8676 4 ปีที่แล้ว

    Aminaaaaaaaa

  • @Michael-wu6vd
    @Michael-wu6vd ปีที่แล้ว

    Kweli tunaijua tutapotea kwa ujinga wetu wenyewe (wa adv ?!!)

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji napenda kipaji hicho cha uponyaji.Naomba unisaidie kumwombea dada yangu Niyonkuru anaumwa na anasumbuliwa na nguvu za giza.

  • @rebecamdamu2678
    @rebecamdamu2678 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu4040 4 ปีที่แล้ว

    Amina 🙏🙏

  • @konkmaster6354
    @konkmaster6354 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa

  • @imangregory8392
    @imangregory8392 5 ปีที่แล้ว

    Amina!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti pua iekwe utosini alafu kuandze kunyesha 😂😂😂😂😂utakua balasi ujazwe maji huu ufunuo Mungu ndio anajua tu

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    Kweli MUNGU ainuliwe. Lakini Mwalimu umesema wana Sabato wanatumia agano la Kale na agano jipya, mbona haya mandiko ya mpitiye kutoka 20 :9 - 11, Mathayo 22:37 - 40, Mathayo 5 :17 - 18, Warumi 13 :1-4, wakolosai 2 :16-17, kama muna upendo kwa jirani yule ufanya kazi kwa serekali siku Sita na ya saba kupumuzika Warumi 13 :1-4, kama munatumia upendo hamungi tafuta siku mahana kwenye Bible hakuna jumamosi ama January majina ya siku wala mwaka. Mbona hamuja wake "LOVE ".

    • @user-wg2gd2nl6c
      @user-wg2gd2nl6c หลายเดือนก่อน

      Sku ya sabato nisabato. Ndyo tunayo ijua hayo majina hatuhangaiki nayo tunayo ijua siku ya 7

  • @godphreypriest9714
    @godphreypriest9714 4 ปีที่แล้ว

    Usipunguze ama usiongeze neno la BWANA

  • @fei3668
    @fei3668 5 ปีที่แล้ว

    Pastor ndume

  • @sundaycast606
    @sundaycast606 5 ปีที่แล้ว

    Naomba jinsi ya kupata kitabu chako cha maombi yanayojibiwa.

  • @bobog9732
    @bobog9732 5 ปีที่แล้ว

    Mungu wutu anaponya

    • @zephaniamasonda6836
      @zephaniamasonda6836 5 ปีที่แล้ว

      Huruma Ronaldo amina

    • @sheilaombongi8086
      @sheilaombongi8086 5 ปีที่แล้ว

      Pastor asante kwamaubiri yako mimi nilipona mahari nilikua naumwa hata ingawa ufimbe haija toka amina

  • @jansidorkas2749
    @jansidorkas2749 5 ปีที่แล้ว

    Naomba number ya ya pastar mbagala please

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 5 ปีที่แล้ว

    Amina