Kumbe wasabato wana amini hivi? Seh B

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Huu ni muendelezo wa somo lililopita,kama hujaangalia seh A hii haitakufaa sana

ความคิดเห็น • 52

  • @hondenisonmagufulinyabaro3923
    @hondenisonmagufulinyabaro3923 5 ปีที่แล้ว +5

    Very powerful message from PR David mmbaga,,,,we love you from KIABUSURA SDA Church in bomakombi suneka kisii county south Kenya conference!!!!

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 5 ปีที่แล้ว +6

    Mahubiri yako inaingia mpaka mifupa ..very powerful and clear

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว

    Amina kwa kweli mchungaji Unafanya natamani kusoma neno kila wakati ubarikiwe sana na Mungu atukuzwe

  • @saramkumbo282
    @saramkumbo282 4 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa Sana namasomo yako naomba uwaombee wazazi wangu baba nimgojwa anaitwa ISRAEL MKUMBO namama nimgojwa anaitwa WINJUKU MKUMBO wapo mkoa washinyanga wilaya yakahama MUNGU huwaponya hata waliombali

  • @angel-y
    @angel-y 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Thank you for the message, i have been blessed. God bless you too Pastor abundantly.

  • @genevieveemmanuel1804
    @genevieveemmanuel1804 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kukubariki PR, unatubariki wengi na unatuponya nafsi zetu

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 ปีที่แล้ว

    Amen powerful Man God bless you❤❤

  • @Vel42
    @Vel42 4 ปีที่แล้ว

    Pastor mahubiri yako yanagusa sana

  • @galasianompinge9254
    @galasianompinge9254 5 ปีที่แล้ว

    Pastor umekuwa ukinifurahisha mtumishi wa Mungu wangu, unasimulia kana kwamba ulikuwepo hiyo Roho naiomba Mungu anipe nimjue yeye na uwepo wake maishani mwangu. Najifunza mengi kutoka kwako.

  • @josephmajura9803
    @josephmajura9803 5 ปีที่แล้ว +3

    pastor huwa unanichekesha sana
    kwani tofauti ya watu na binadamu ni nini

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      Tofauti ipo😆😆

    • @nenolakristomaisha.5611
      @nenolakristomaisha.5611 5 ปีที่แล้ว

      Joseph Majura NIMSAIDIE PASTA
      MTU NI ALIYEUMWA NA MUNGU NA MWANADAM NI KIUMBE ALIYEZALIWA NA KIUMBE KILICHOUMBWA NA MUNGU
      LEJEA MWANZO 1:26-27.... TUMFANYE MTU KWA SURA YETU (SIO TUMFANYE MWANADAM) MWANADAM NI KIUMBE ALIYEZALIWA NA KIUMBE ALIYEUMWA NA MUNGU MTU
      MWANADAM ... MWANA WA ADAM

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว

      @@nenolakristomaisha.5611 ninavyoelewa mimi mtu ni yule wa ndani na mwanadam ni mwili, yaani pale anapukuwa mtu kafariki huyo mtu ndio kaondoka

  • @benjaminfelician7636
    @benjaminfelician7636 5 ปีที่แล้ว

    PASTOR hapo nimekuelewa sana
    ubarikiwe

  • @omariedward4539
    @omariedward4539 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi pastor, uliwahi kuhubiri alafu watu wakakaa bila kucheka kweli??? Ujue sipati picha juu ya kipaji chako??

  • @danielochola9149
    @danielochola9149 4 ปีที่แล้ว

    Pastor sory naomba uni fafanulie juu ya baraka za wazazi katika mafanikio

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว

      Bonyeza hapa th-cam.com/video/DnCQbXgs2BI/w-d-xo.html

  • @hassansingale7087
    @hassansingale7087 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji thembi lipi iliwe ukuu kuliko sote

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 ปีที่แล้ว +1

    17:52 huyu analala na amekaa madhahuni

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @huruma4758
    @huruma4758 5 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @jojomumbi1954
    @jojomumbi1954 5 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @lenahasantemchungajiauko8811
    @lenahasantemchungajiauko8811 5 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mungu azidi kukuonekania

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha! Pastor nimeimba sana "Hapa duniani sio kwetu,kwetu ni Mbinguni" lakini Leo kauli yako imenishtua naona kama ina logic ila sasa tatizo Dunia yetu nayo imebadilika mno! Utafikiri sio yetu sisi tulio mfano Wa Mungu ndiyo maana tunaisubiri mpya.Sasa kuhusianisha ile nzuri ya kwanza,hii mbaya ya sasa na hiyo mpya ijayo kuwa ni ileile ya kwetu ndo pananipa shida.Au ndo kusema kama jamaa fAulani waliosema "kwenu ni kwenu/ nyumbani ni nyumbani!!!
    Aise!! Sayari Dunia!

    • @thegospel17
      @thegospel17 5 ปีที่แล้ว +2

      Ivan Vespa Ya sasa itachomwa moto kabisa

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kuokoka na kuongoka nimepapenda pastor,,,Mimi ni mufuasi wako mkuu

  • @user-rf5tz5ft2y
    @user-rf5tz5ft2y 5 ปีที่แล้ว

    Kitabu ngani inaongelea tutarudi tena i want to know plz

  • @johnjohn-cg8re
    @johnjohn-cg8re 5 ปีที่แล้ว

    Nabalikiwa sana na mahubiri yako

  • @mgemazahmu6738
    @mgemazahmu6738 5 ปีที่แล้ว

    amina

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 5 ปีที่แล้ว

    Ule mchuganji amearibu ibada ; yani analala kanisani tena mbele ya waumini utazani roho mtakatifu yahupo hapo.kwa mahubiri hayo mazuri siwezi kulala

  • @konkmaster6354
    @konkmaster6354 5 ปีที่แล้ว +3

    Pastor mwanangu Amekufa kwa kukosa Elfu 30 kweli

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว

    ***kuongoka na kuongoka panachanganya hapo watu hadi sio vizur***

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 5 ปีที่แล้ว

    amina