MARUFUKU PIKIPIKI KUBEBA MKAA, GARI LA MKAA MWISHO SAA 12. DC MAGOTI AWAKA “TUKIKUDAKA FAINI MIL.1”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 110

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 17 วันที่ผ่านมา +16

    Hapo watakuondoa mapema tu wananchi wengi tunategemea mkaa Sasa Kwa vile upo karibu na Mama Samia Mpigie ashushe bei ya Gas mpaka 12000 tsh kwa Mtungi mdogo

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 16 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂 kweli kabisa

  • @chackszephaniah592
    @chackszephaniah592 17 วันที่ผ่านมา +8

    Umeshiba ss ni muda wako na ww kurudi kijijini uone maisha ya mkaa, bora ungepigana gesi na umeme vishuke

  • @AlenKinyina
    @AlenKinyina 16 วันที่ผ่านมา +4

    Mkuu mwambie mke wako apikie mkaa mwezi mmoja tu, nenda kule kijijini ambapo gari la mkaa halifiki, pole sana mkuu umeshiba cheo mapema angalia watu masikini.

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 16 วันที่ผ่านมา +1

      ndo tatizo la watanzania wengi,hata achaguliwe yule maskini akishapata cheo tu anasahau kuna watu maskini katika nchi.

  • @erickkomba7004
    @erickkomba7004 17 วันที่ผ่านมา +9

    Watu wenye vyeo vyao hawaitambui thamani ya mtu masikini, hawatambui shida tunazopitia, inaumiza sana hii😒

  • @rasheedmohammed5436
    @rasheedmohammed5436 17 วันที่ผ่านมา +7

    Hio pikipiki yenyewe haifiki hio thamani ya milion moja mtu aje alipe faini hio milion moja😎

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 17 วันที่ผ่านมา +12

    Wazazi wako wanatumia Nini huko kwenu upon kwenye Raha umesahau

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 17 วันที่ผ่านมา

      Hana jinsi yeye anafata sheria kwani alotungasheli ni wengine yaya anasimamiatu. Pengine moyoni inamuuma ila hanajinsi

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 16 วันที่ผ่านมา

      Kwa nini aseme yeye ina maana hana uchungu na wananchi​@@HanifaOman-oo4pl

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 7 วันที่ผ่านมา

      kubadilika muhimu acheni upuuzi huo watu.watoke kwenye matumizi ya mkaa

  • @furahamwaseba7910
    @furahamwaseba7910 17 วันที่ผ่านมา +9

    Tumuulize kwanza gesi huko nyumban kwenu ulipo zaliwa wengine hawajui hata ges itakuwaje

    • @bonifacegasper9508
      @bonifacegasper9508 16 วันที่ผ่านมา

      Naona sasa kunasiku mtaamka mtasema nimalfuku kuwepo bodaboda kuwepo,maana hatahao boda wanawatoto wanajipatia kipato,kwahiyo akiambiwa apeleke hata junia Moja akodi Gali sio,mnaangalia kwakua mnaishi nakodi zetu,sasa watoa Kodi ndo mnawaumiza,msilewe madalaka.

  • @EdibiliSalum
    @EdibiliSalum 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona umeshiba mapema sana umeanza kubweka mapema

  • @jonasmbala1326
    @jonasmbala1326 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa mkaa kwetu wananchi ndio heri kwetu kuliko huo umeme

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 วันที่ผ่านมา +3

    Mama toa huyu , wananchi wako na wapiga kula wako ndio wanaumia

  • @lucasmganga2811
    @lucasmganga2811 16 วันที่ผ่านมา +2

    Da! Cjawahi ona DC kama huyu wa kauli za hivi Mh: Rais tuletee DC mwingine huyu kasahau aliko toka 😂

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 17 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂 mkuu waachie tu watafute maisha, watu wanategemea waendeshe familia kwa kubeba mkaa

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa Magoti umechemka katka Hilo sasa hivi utaundiwa zengwe

  • @allymbwana1264
    @allymbwana1264 17 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa mtu anagunia moja la mkaa akodi gari kupeleka nyumbani daah hatari sana

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 17 วันที่ผ่านมา +4

    Me niliwambia mapema watu wakishateuliwa wanasahau Hali za wananchi ukitaka wananchi watumie ges shusheni bei mtungi uwe Bure halafu gesi ndio muuze ndio mtoe marufuku zenu

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 16 วันที่ผ่านมา

      kweli kabisa

  • @user-yx6oc5ri5h
    @user-yx6oc5ri5h 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo hatuungi mkono hoja hizo yaani kipato changu kwa siku hakizidi hata elf5 Sasa hii tutaishi vipi gesi elf25 kujaza mtungi mdogo Sasa nijaze gesi ,sembe nitanuua kwa kipato kipi Tena !!
    Hatukatai kuacha kutumia mkaa nabali inabidi m ,boreshe kwanza miundo mbinu yakupata gesi iwe rafiki na gharama nafuu

  • @MussacharlesSongo
    @MussacharlesSongo 12 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu kilema nae kumbe ni mpumbavu sana

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu mwenyewe sasa yaani kuna wakati baadhi ya viongozi wanawalazimisha watu watende zambi tuuuu 😢😢😢😢

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 17 วันที่ผ่านมา +4

    Uyu nae katoka wapi🤣🤣🤣🤣 nyerere alixhindwa utaweza wewe weka taratibu wa2 walipe mapato iyo milioni unayo ila hii inchii bwana😪

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 16 วันที่ผ่านมา

      tatizo kubwa anawalazimisha watu kitu ambacho ndo uchumi kua waache bila kuwapa mbada wa kazi nyengine.

  • @saodashabani2652
    @saodashabani2652 17 วันที่ผ่านมา +2

    Uyu nae anajiona kamaliza analopoka tuu

  • @user-sj9tt4ti6d
    @user-sj9tt4ti6d 16 วันที่ผ่านมา

    Mungu anisamehe bure @Lakn huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongozi kwa ngazi husika hivi ajui kama kwa kauli yake hii inaenda kutuongezea ugumu wa Maisha acha jeuri ww maisha hayaendi hivyo

  • @damaspmtz1018
    @damaspmtz1018 16 วันที่ผ่านมา +1

    Akili yako ni sawa na ulivyo pewa kazi hiyo unadhani hao wanauza mkaa na kubeba kwa pikipiki wao awahana familia ama kweli Mwnyezi Mungu atu hurumie hivi wewe kama kiongozi uwezi kuongea Pumba kama hizo

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 17 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahiyo Gas imeshuka bei

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 11 วันที่ผ่านมา

    Poleni xana wanakisarawe wamewaletea madenge huyo pambaneni nae na chogo lake kana kiazi utamu😂😂😂

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 17 วันที่ผ่านมา +2

    kazi ipo

  • @agnestemba7372
    @agnestemba7372 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hao tu waliopo hapo wanaomsikiliza akiwaangalia hali zao wana uwezo wa kumiliki gari la kubebea mkaa au kupikia gesi 😅😅😅 achana na walioko kijijini😅😅😅

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 16 วันที่ผ่านมา +1

    Tizama kenya sasa hivi kinachoendelea

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 วันที่ผ่านมา +1

    Wakishapata vyeo wanajisahau sana hawa , wazazi wake wanapikia nn na hao wenye pikipiki ndio ajira zao naiwakika hii laana Iko siku itakutafuna ,mama mtu gani huyu umetuwekea ????

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 17 วันที่ผ่านมา +1

    Rais towa huyo atakuaribia na wananchi wanakupenda towa huyo mpekazi yakulinda getini

  • @HusseinAmiri-pp8dy
    @HusseinAmiri-pp8dy 16 วันที่ผ่านมา

    Hii inchi hii😢 ipo cku tutachinjana tu sio kwakupelekeshana huku mnatufanya ng'ombe wenu sio

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 17 วันที่ผ่านมา +1

    Anza kushusha bei ya gesi kwanza au mwambie huyo alie ku

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kasha sahau uyo

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 16 วันที่ผ่านมา

    Hiyo ni kuwazibia ridhiki walala hoi hebu kaaa jifikirie tena, watu wanapata iziki kwa kukodishwa kubeba mkaaa hamuwezi kulazimisha watu kutumia Gesi hivi UNAJUA BEI YA GESI,?? kwa nini kutesa wananchi kwenye nchi yao??

  • @vom84
    @vom84 16 วันที่ผ่านมา

    Mh. Unachanganya mambo.

  • @HusseinAmiri-pp8dy
    @HusseinAmiri-pp8dy 16 วันที่ผ่านมา

    Eh Tanzania weee wapi tunaelekea😮

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 16 วันที่ผ่านมา

    Samaani lakini, hivi Tanzania ni nchi yetu kweli watanzania ama kuna watu binafsi wamejimilikisha na sisi tumekuwa watumwa na ngombe wa kukamuliwa maziwa kupita uwezo wetu wa kuzalisha ama ni nini kinaendelea Tanzania. Hii nchi ni kweli inaendeshwa kwa matakwa na ushauli wa watanzania ama nini? Naishia hapo TU mwenye jibu atanipa mimi sielewi kabisa

  • @ShabaniKidogodogo
    @ShabaniKidogodogo 16 วันที่ผ่านมา

    Ata gec wagawe Bure tuifate wirayani na baaz ya watu awatoweza Sasa wape ajila awo wa mkaa wa pkpk

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 16 วันที่ผ่านมา

    Unatafuta kiki
    Bora uondoke upelekwe mikoani

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu hakukosea kukuumba hvyo ungekuwa mzima ungetesa watu

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu nduze vp

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 17 วันที่ผ่านมา

    Mnaona mkaa tu viongozi wetu ,maisha ya wananchi aaaha madini kule saivi hakuna kiongozi anasema lolote mbuga zetu za wanyama na vitu vingine aaaah

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 17 วันที่ผ่านมา

    Katoa wapi hiyo sheria??

  • @ShabaniKidogodogo
    @ShabaniKidogodogo 16 วันที่ผ่านมา

    Unajifanya mungu mtu uwo mkaa mtakao taufisha mnaenda kusaga juice mywe na ukoo wenu

  • @ramamasenda6637
    @ramamasenda6637 16 วันที่ผ่านมา

    Kwani hakuna kazi zingine za kufanya mkuu umeona mkaa tu?

  • @DayanaSuphian
    @DayanaSuphian 16 วันที่ผ่านมา

    ivi mkuu mbona unaongea kibabe ivyo

  • @rashidyyusuph4386
    @rashidyyusuph4386 16 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anakurupuka

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 16 วันที่ผ่านมา

    Siku gesi ikiwa tsh 5000 kwa kale kamtungi kadogo, hata kama kuwa na mkaa upigwe kifungo miaka 50 itakuwa sawa.

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 17 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kichaa

  • @swalehebakari8400
    @swalehebakari8400 16 วันที่ผ่านมา

    🥃🍺

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 17 วันที่ผ่านมา

    Haaaa haaaaa dah! Pikipiki mnawaonea

  • @Gamba81
    @Gamba81 16 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂 kazi munayo naona wananchi wote amjalidhika sura zenu zinaonekana wote hamuna fulaha 😢

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 16 วันที่ผ่านมา

    Kwa maisha halisi ya watanzania tumekuwa ngombe wa kukamuliwa maziwa kwa wingi kuliko uwezo wetu wa kuzalisha hiyo gesi kuitaja ni raisi TU ila uliza bei utajuwa haunjuwi na ukinuna utatumia muda gani ni tazo. Sasa kwa sheria hizi zinazoumiza watu je wananchi tuna wawakilishi kweli? Kazi ya wabunge ni nini ndani ya bunge

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 16 วันที่ผ่านมา

    He kwa hiyo maharage makavu tutapikia gesi au

  • @praygodlenny97
    @praygodlenny97 15 วันที่ผ่านมา

    Unaongea kirahisi kwamba utataifisha pikipiki na magari

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona mapema sana,?

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 16 วันที่ผ่านมา

    Kuna saa viongozi wanahisi kila anachowaza huko kwake basi ni sheria.

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 17 วันที่ผ่านมา

    yaani huyu mkuu wa wilaya angevaa viatu vya wale jamaa wanaobeba mkaa asinheonhea hcho anachosema

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 17 วันที่ผ่านมา

    Uta anza kuzarauliwa Sasa hivi

  • @rajabuissa4013
    @rajabuissa4013 17 วันที่ผ่านมา

    Sikupingi lakini hao wasimamizi ndio itakuwa njia ya wao kupata kula

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 17 วันที่ผ่านมา

    Kuna nin tena jamani!!

  • @travellahmsafirihiphop5325
    @travellahmsafirihiphop5325 17 วันที่ผ่านมา

    Hiki kiwango Niaje 😅

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa hapo itakuwaje!!

  • @zomasamweli
    @zomasamweli 17 วันที่ผ่านมา

    Huna sifa yakuwa kiongoz

  • @peterchande957
    @peterchande957 16 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi ungefanya uchunguzi wa maisha ya watu vijijini

  • @Allyhasani
    @Allyhasani 17 วันที่ผ่านมา

    Ila mchi yetu sasa kunabaaza yawanasiasa wanaipoteza asa mtu ndio kitu kinachomuigizia Hera wew umekaa tu fikilia wee

  • @babawawiltegamaso4367
    @babawawiltegamaso4367 17 วันที่ผ่านมา

    mbona huja sema ya serikali nayo vipi hujaelekeza mkuu

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 17 วันที่ผ่านมา

    Mama nae na watu wake jmn

  • @user-ow7pl6tz2c
    @user-ow7pl6tz2c 17 วันที่ผ่านมา

    Wananchi wengi wanategemea mkaa itakuaje

  • @user-yx6oc5ri5h
    @user-yx6oc5ri5h 17 วันที่ผ่านมา

    Wengi kipato chetu ni kidogo Sana na utafutaji wetu ni mgumu sana. Hapo sheria hiyo ipo kutugandamiza tu sisi wa hali yavchi

    • @LizenMaker
      @LizenMaker 17 วันที่ผ่านมา

      Acha tu maisha yamekua magumu Kwa sis Kuna mda tunatamani kuhama nchi

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j 17 วันที่ผ่านมา

    We nae furaha imekzd kiasi unaanza kutafta sifa

  • @samiroally1799
    @samiroally1799 17 วันที่ผ่านมา

    Gesi inauzwaje

  • @user-js7lr8vr9i
    @user-js7lr8vr9i 17 วันที่ผ่านมา

    Achakunyanyasa watu wahali yachini unafikiri familia zawatu hao watakula wapi achakujiona umefika

  • @hassanshadhly3481
    @hassanshadhly3481 17 วันที่ผ่านมา

    Ushaleta majiko ya gesi?IPO gesi rahisi?

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 16 วันที่ผ่านมา

    Kiumweli mkaa kwenye pikipiki ni hatari, unakuta amepakia magumia sita dereva hajakaa sawa ni hatari kwa usalama, au utakuta mwingine kapakia magunia mawili marefu usawa wa gari hatoshi eneo la pikipiki anachukua upande mzima wa barabara gari haziwezi kumpita mwendo wa pikipiki ni mdogo gari linaanza kuhangaika kumpita kutumia upande mwingine wa barabara hiyo yote inasababisha ajali barabarani, tunaweza kufanya ubishi wa kumkosoa kiongozi lakini ukweli unabaki palepale tupende kufata sheria za usalama

    • @user-sj9tt4ti6d
      @user-sj9tt4ti6d 16 วันที่ผ่านมา

      Ukiona mtu anabeba mkaa sio kama anapenda bali majukumu yanamlazimu afanye kazi hizo kama Serikali inawahurumia kweli iwakusanye iwape Elimu ya ujasiliamali Kisha iwape mikopo uone kama Kuna ambaye atabeba huo mkaa

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 17 วันที่ผ่านมา

    We una lopoka sasa gesii sh 4000 mkaaa sh 1000 bas waambie wauzaa gesii wauzeee sh 10000 mtungi mdogo apo saw lakini una zuiya mkaa alafu au wap watu ela ya gesiii sasa sisi tunakuelewajee ww

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 16 วันที่ผ่านมา

    Uyu kifude kumanyoko zako utaondoka apo

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 17 วันที่ผ่านมา

    Hahahaha mi nasoma tu comment!!

  • @HasanSadala-rh5re
    @HasanSadala-rh5re 17 วันที่ผ่านมา

    We unaumwa ,wape ajira acha kujipendekeza,kwa rais,nchi imewashindwa kama mnataka shusha bei ya ges 4:04

  • @user-gp3pt7nz2f
    @user-gp3pt7nz2f 17 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi bhana asa mfekiria hao wanaobeba kujipatia ridhiki wakafanye kazi Gani au ndo wimbi la wasiona ajili lizid kuongezeka 🚮

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 17 วันที่ผ่านมา

    Bado zamu yako nawewe utabeba mkaa tu utabebaje uta juwa yutakutwisha mgongoni mpaka useme pooo ngoja kibarua kiishe labda uibe saana

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 17 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ka pumbavu ...kila mtu anauwezo wakukodi gali ivi vilaza mnavitoaga wapi

    • @AlenKinyina
      @AlenKinyina 16 วันที่ผ่านมา

      Viti maalumu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 16 วันที่ผ่านมา

    Wee pumbavu unakaa nyumba ya bure,gari ya bure, gas ya kupikia ya bure,watoto wako wanasoma bure mpaka kunya bure navyote ni kodi zetu wananchi leo huna huruma na wanaokulisha usimuige makonda haumuwezi mnatafuta sifa kijinga

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 17 วันที่ผ่านมา

    Wewe ropoka tu mzazi wako kijijin anatumia ges

  • @MaimonaRajebo
    @MaimonaRajebo 17 วันที่ผ่านมา

    Sura bovu kumbe na roho yako

  • @tonysadick5338
    @tonysadick5338 16 วันที่ผ่านมา

    Umekuja kuaribu ccm wewe

  • @floriancheusi4211
    @floriancheusi4211 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hajashauriwa vizuri

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 16 วันที่ผ่านมา +1

      inawezekana katoka usingizi then ndo kaongea utumbo huu

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kupunguza matumizi ya mkaa ni sawa kabisa Kwa ustawi wa mazingira lakini kabla ni vema kuweka mazingira rafiki Ili Kila Mtanzania aweze Kununua gesi.
    1. Shusheni bei ya gesi
    2. Sapotini nishati mbadala kama artificial mkaa n.k
    3. Anzisheni kiwanda Cha majiko yanayotumia pumba za nafaka na maranda ya mbao.

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 17 วันที่ผ่านมา

    Haujipendi wewe

  • @user-ly9us4db3m
    @user-ly9us4db3m 17 วันที่ผ่านมา

    Sasa jamani tutaishije baba mbona nyinyi watu wangazi za juu mnatunyanyasa watu wachini dar mkaa ndio kila kitu kwasisi wahali ya chini hapo umebugi aise ges tutumie wengine wahali ya chini uwezo huo hatuna

  • @hassanshadhly3481
    @hassanshadhly3481 17 วันที่ผ่านมา

    Muheshimiwa magoti Sheria hiyo naona NI dhulma kwa sababu gari la tajiri.tajiri kampa dereva kwa mkataba afate Sheria za nchi dereva hakufuata Sheria kisawni la mvunja Sheria.
    Muheshimiwa tazama Sheria usije ukafanya dhulma

  • @user-cu2zc1cj6r
    @user-cu2zc1cj6r 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hufai wewe

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 17 วันที่ผ่านมา

    Kisa yeye anatumia gesi free
    Mbona anaongea kama vile tupo UAE hajui kua hapo ni tz

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 17 วันที่ผ่านมา

    Mbona mkipata madaraka mnajisahi sana nyie