MAUWAJI YAMEAMLIWA TAYARI WAKRSTO KAENI TAYARI EV PASCHAL CASSIN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2023
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

ความคิดเห็น • 93

  • @user-iv8kh8vd5r
    @user-iv8kh8vd5r 8 หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU Akulinde na akubark Kwa ujumbe safi endelea kupaza saut watu wapate kuisikia kweli na hababar njema zienee duniani kote

  • @user-wz6zb7wh1n
    @user-wz6zb7wh1n 15 วันที่ผ่านมา

    INjili ya kweli haipendwi😢ehee Mungu tusaidie wengi wetu nivipofu wa kiroho 😭😭😭😭ongeza volume cassian mtumishi wa yesu Christo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 9 หลายเดือนก่อน +9

    Haya yote unayosema Ni kweli Mtumishi, Mipango yote ipo tayari, tunamshukuru Mungu kukupa nafas ya kuyasema, nataman upate kibali uzungukie makanisa yote ,ukiamsha wakristo,haya Mambo sio kila mtu ana ujasiri wa kusema,tumebaki kuhubiriwa mafanikio tu,nakusaulishwa majira ya mavuno yapo mlangoni...Yesu Kristo tusaidie.

  • @AmuriEzekiel-bb1kc
    @AmuriEzekiel-bb1kc 5 หลายเดือนก่อน

    Tuombe sana nguvu za Mungu Roho Mtakatifu atujaze nyakati za hatari tunaziishi sasa, ubarikiwe sana muhubiri Mtumishi wa BWANA YESU KRISTO.

  • @user-ii1qk9xn9z
    @user-ii1qk9xn9z 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ubarikiwe kwa ujumbe huu! Hii ni kweli dini ishkwisha pitishwa inaitwa 'CHRISTISLAM' Ambapo ni dini tu hakuna kuomba ni kutembea kama wafu maana bila Roho Mtakatifu tu wafu...
    Bali kwa uweza wa Mungu walio wake aliowatia muhuri wake tokea kuubwa kwa ulimwengu hawatapotea Mungu atawasaidia... Aliye na masikio asikie ujumbe huu maana ni kweli

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 8 หลายเดือนก่อน

      Thibitisha kauli yako

    • @user-ii1qk9xn9z
      @user-ii1qk9xn9z 8 หลายเดือนก่อน

      @adkajisi4536 Inaitwa CHRISLAM nilikosea... mambo haya pope alianzia 2016... na wachungaji wengi wamesign bila kujua wanachokifanya.... Abraham accord signed walikuwa na mjengo na sasa wachamaliza kujenga in Abu Dhabi . Kama unataka kujua zaidi ingia utube search CHRISLAM utaona maajabu.

    • @user-ii1qk9xn9z
      @user-ii1qk9xn9z 8 หลายเดือนก่อน

      @@adkajisi4536 Abu Dhabi in (UAE) UNITED ARAB EMIRATES... ukweli unajulikana wana wa Mungu wa kweli wapo macho maana hakuna jambo linalotendeka bila Yesu kuwafunulia watoto wake. Wakati ni huu wakutegeneza na Bwana.. muda umeisha

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 9 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu turehemu kwa hizi nyakati.

  • @ElimengiridaMugisha-ex6tc
    @ElimengiridaMugisha-ex6tc 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awe nawe daima , SEMA na huo ndo ukweli watu waache kuhubiri mafanikio tu Bali ukweli kuhusu union Wa Yesu

  • @CecileNgendapasi
    @CecileNgendapasi 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde malipote Wendapo mtumishi wa bwana

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 8 หลายเดือนก่อน +1

    kweli kabisa ubarikiwe mtumishi walimtesa Yesu na mpk leo wanawatia watu wao mioyo migumu ya kutokumuelewa Yesu wanaaminishwa uongo wa kuabudu sanamu

  • @user-tb8cl6sj9w
    @user-tb8cl6sj9w 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atujaze roho mtakatifu siku za mateso zimewadia

  • @MaryBuzingo
    @MaryBuzingo 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiww mtu wa mungu sema ukweli watu tupone

  • @josephoresinisaidieninamta1187
    @josephoresinisaidieninamta1187 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tunakuombea mtumishi wa Mungu songo mbele

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 9 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you so much for preaching good news pastor be protected by the blood of Jesus Christ

  • @user-wi2jv7kt8i
    @user-wi2jv7kt8i 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndio injili tumechoka kusikia mazingaumbwe. Na sarakasi makanisani.

  • @bamag-021
    @bamag-021 8 หลายเดือนก่อน +2

    Vizur pr
    Mungu azidi kukufunulia zaidi .
    Ufunuo wa Yohana 14:12
    [12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.
    Ufunuo wa Yohana 12:17
    [17]Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu; naye akasimama juu ya mchanga wa bahari.
    MAmbo hayo mawili ndio joka anavita nayo
    Kama huna hayo ujue hauna xhida na shetani.
    Tusome biblia.
    Daniel 7:25
    Danieli 7:25
    [25]Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
    Joka/ mnyama alibadili Sheria/AMRI za Mungu

  • @evelinadodie9443
    @evelinadodie9443 7 หลายเดือนก่อน

    haya mahubiri ni adimu sana ila Mungu yumwema anazidi kuwatumia watu wake Ili tujue nyakati tulizonazo

  • @yustermayenga6991
    @yustermayenga6991 8 หลายเดือนก่อน

    Amina hii ndyo injili ya agano la kale na jipya injili ya umilele bwana ameinua mawe na milima inaongea malanathaaaaa yesu anakuja hata waliopewa ujumbe wanaogopa

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 17 วันที่ผ่านมา

    Aiseeee mungu atusaidie

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน +2

    Eee Mungu tupe mwisho mwema

  • @user-tb8cl6sj9w
    @user-tb8cl6sj9w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu mtumishi wa bwna

  • @beatricemwasunda5027
    @beatricemwasunda5027 8 หลายเดือนก่อน

    Mwenye sikio na asikie...ambayo mtumishi wa Mungu aliambia kanisa

  • @user-tb8cl6sj9w
    @user-tb8cl6sj9w 9 หลายเดือนก่อน +1

    Cassian mungu akubariki mtumishi

  • @josephinejotham8673
    @josephinejotham8673 7 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kabisa pastor

  • @tuzonyava8306
    @tuzonyava8306 8 หลายเดือนก่อน

    Hii dunia kilicho baki nikila mtu aamin anavyojua yeye kwa maana ukigeuka uku wanasema ivi kule ivi sasa tufate nini au nani mh kilamtu afate yake

  • @GrolyDundus
    @GrolyDundus 9 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU TUSAIDIE Hizi ninyakati za mwisho hakika

  • @CecileNgendapasi
    @CecileNgendapasi 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤ amen

  • @Dukeswanya-vm7cb
    @Dukeswanya-vm7cb 9 หลายเดือนก่อน +3

    Pascal ni ukweli unaohubiri pia nyimbo zangu nazitumia sana kusambaza ujumbe....

  • @user-nx3uu2sy2x
    @user-nx3uu2sy2x 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu

  • @amanimanase8799
    @amanimanase8799 9 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu

  • @user-ix1tf7vz2u
    @user-ix1tf7vz2u 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu tupe mwisho mwema

  • @MakaliusNgua
    @MakaliusNgua 9 หลายเดือนก่อน +1

    Eee mungu tuhurumie

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 9 หลายเดือนก่อน +6

    Weeeeehhhh!!! Mungu tusaidie

    • @pauloflansisco5006
      @pauloflansisco5006 9 หลายเดือนก่อน

      Dada ubarikiwe pia mungu akutunze

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 8 หลายเดือนก่อน

      Tumwombe MUNGU rehema ili siku ukifika tuwe Safi yasitupate mabaya MUNGU atusaidie

  • @user-eo4ko2ys4f
    @user-eo4ko2ys4f 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @westonkatiti9120
    @westonkatiti9120 9 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi mawasiliano yako ni muhim sana

  • @peterleonard1441
    @peterleonard1441 8 หลายเดือนก่อน

    Unaweza kumshabikia huyu. Lakini anachoongea Kina upotoshaji mwingi. Hata Maandiko yanatafasiriwa kwa namna ya maoni binafsi.

  • @mikabaylon1756
    @mikabaylon1756 8 หลายเดือนก่อน +1

    Changamoto za mke wako zisiruhishe wewe kama mume badala ya kusuruhisha na kuongelea mke wa jirani unaonekana kapumbavu fulani ivii huna elimu ya Theology ni utoporo tupu, ulikua freemason ni wapi umeomba msamaha au kutubu?????

  • @revocatusbahatibussiah5201
    @revocatusbahatibussiah5201 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa saana

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yemweee Ee MUNGU tusaidie hali ni mbaya

  • @OyengelaMariam-wk6qm
    @OyengelaMariam-wk6qm 9 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @SaimonleonardtanzaniaTanzania
    @SaimonleonardtanzaniaTanzania 9 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 8 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa wewe unatafuta washirika ukiaribia kanisa lingine uuuuuuuiiiii kanisa halipeleki mtu mbinguni bali imani kumbuka wakatoliki hatuna time ya kuongelea dini zingine .wewe kwanza angalia kwa mkono wako utaiona nyundo

  • @lilianwanjala8728
    @lilianwanjala8728 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tusaidie kwa kweli pekeetu hatuezi

  • @hildanjau3991
    @hildanjau3991 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli

  • @lydhiafataki1489
    @lydhiafataki1489 8 หลายเดือนก่อน

    Unasema ukweli mateso yaja lakini Yesu atatujaza nguvu za kukili

  • @meshackmayenga969
    @meshackmayenga969 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe

  • @donovanonesmo2396
    @donovanonesmo2396 8 หลายเดือนก่อน

    Mahubiri mazuri yamenibariki bwana na azidi kukutumia

  • @RoseKimishabhalemi-oz9bn
    @RoseKimishabhalemi-oz9bn 9 หลายเดือนก่อน

    Si ya kweli bibiliasiyo hivyo

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa tufanyeje mkuu

  • @user-ed4ft9is1c
    @user-ed4ft9is1c 9 หลายเดือนก่อน +1

    Katoliki hakuna siku watahubiri kwa church ingine

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 8 หลายเดือนก่อน

      Hatuna wakati wa kuhubiri juu ya kanisa lingine bali tuhubiri habari ya wokovu mimi ni mkatoliki original

  • @maombikonga
    @maombikonga 8 หลายเดือนก่อน

    uhongo

  • @mikabaylon1756
    @mikabaylon1756 8 หลายเดือนก่อน

    We nawe ni Kapavu tu!!! unaelewa nini????

  • @LuciKahise-sb8zh
    @LuciKahise-sb8zh 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Tunusuru ,"bas Kwa Mti tujifunze Tawi lake likichipua kutambua majan yake wakt wa mavuno u karb. Alisema myaonapo hayo yote changamken inueni hayo macho yenu wokovu wenu I karbuuuuuu

    • @VenerandaKundi-ph4hg
      @VenerandaKundi-ph4hg 8 หลายเดือนก่อน

      Mahubiri Gani hayo huyo papa unamtafuta nini shauri yako sijawahi haya siku Moja Padre anahubiri dini za wengine fuata yako isije ukamudhi muumba Kila neno unalosema siku ya mwisho utatolea hesabu😂😂😂😂😂

  • @user-dz8qh6yb2x
    @user-dz8qh6yb2x หลายเดือนก่อน

    😭😭🙆

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe hubiri hiyo chekechea yako mpuuzi tu

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 8 หลายเดือนก่อน

    Huyujamaa anamalengo gani?? mbona munapenda sana vurugu duniani eemungu tusaidiye utuepushe nawatu wenyeroho mbaya wabinafusi nyeewakristu msipojitazamavizuri mtajikuta waislm wametawala dunianzima ndipo mtalia nakusagameno wakristo

    • @stellahokworo3947
      @stellahokworo3947 8 หลายเดือนก่อน

      Ukiona mtu anahubiri juu ya dini fulani huyo hajielewi

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 8 หลายเดือนก่อน

    Ukichunguza kwa kina! Hata uislamu ulianzishwa na wakatoriki, kwa mujibu wa kina ndani ya bibilia, mpinga kristo ni papa, na nabii wake wa uongo ni muhamadi, japo waislamu ni wabishi kupindukia, na hawaamini hilo kabisa. UKRISTO wa kweli ni pentecost ile ya roho mtakatifu hadi sasa.

    • @tuzonyava8306
      @tuzonyava8306 8 หลายเดือนก่อน

      Uposahihi lakini Akija msabato mtapingana na uchunguzi wako , apo ndipo utakapo jua yakua ulimwengu huu kila mtu nimjuaj

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 8 หลายเดือนก่อน

      Usipende kuongee usilo na elimu nalo...

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 8 หลายเดือนก่อน

    Kama niunabii wewe unauwezo wakusimika unabiimwingine kutokakwaMunguyupi?tusaidie.

  • @anselmimarandu2293
    @anselmimarandu2293 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu anayehubiri nae ni wivu tuu umemjaa. Asche upimbi tafuta wajinga wenzio. Wafuadi hawatafutwi kwa kuchafua wengine kumbuka hata mababu na mababu walikuwa kama wewre lakini kanisa katoliki daima lipo nalitendelea kuwepo kwani lina umoja.

  • @meshackmtewele718
    @meshackmtewele718 9 หลายเดือนก่อน +4

    Duuuu Injili za mihemko Kama hizi hazifikagi mbali.wasii watu waache dhambi wasiyumbishwe Na kitu chochote haijarishi utatishwa kuuawa.sasa wewee ni kutisha watu hoo mtakufa kwani kunamtu hatakufa.kikubwa ni kujiandaa.ili kifo kikawe faida kwetu bila kujarisha utakufaje

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 8 หลายเดือนก่อน

      Point

    • @flm1530
      @flm1530 8 หลายเดือนก่อน +1

      Pointless

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 8 หลายเดือนก่อน

      Shida watu wakristo bandia hawawezi jua mambo ya ufunuo maana sio ya kidini ni ya kinabii ya Kutoka kwa Mungu

  • @HAYABOYTV1
    @HAYABOYTV1 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmh🥹🥹🥹. Papa ameingiaje ?????.

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน +2

      Kamsome ufunuo alitabiriwa

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน +2

      Na sijawai muona anahubiri utoto wng adi ukubwa huu ,zaidi ya kufanya ziara Mimi nilikuwa Roma nimetoka

    • @HAYABOYTV1
      @HAYABOYTV1 9 หลายเดือนก่อน

      @@janethmwihumbo1289 kilichokutoa ni Nini???

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน

      @@HAYABOYTV1 ata kuwa Mungu mwenyewe maana nilikuwa na msumbua katekista aliye tufundisha mafundisho ya kipaimala ,kwann hapa hamuubiri Kama makanisa ya kilokole na kwaya nilikuwa naimba ,mda ulifika need litoka,mpaka Sasa natamani nichungwe na muhubiri atakaye nisaidia nifike mbinguni ,nauwa na zingatia Sana Kama naabudu sehemu sahihi

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 9 หลายเดือนก่อน

      @@HAYABOYTV1 ata kuwa Mungu mwenyewe maana nilikuwa na msumbua katekista aliye tufundisha mafundisho ya kipaimala ,kwann hapa hamuubiri Kama makanisa ya kilokole na kwaya nilikuwa naimba ,mda ulifika need litoka,mpaka Sasa natamani nichungwe na muhubiri atakaye nisaidia nifike mbinguni ,nauwa na zingatia Sana Kama naabudu sehemu sahihi

  • @paulbaharia410
    @paulbaharia410 9 หลายเดือนก่อน

    Hujui kitu wewe.

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 17 วันที่ผ่านมา

    Aiseeee mungu atusaidie