NYIMBO ZA INJILI MARUFU ZILIZO TUNGWA KUZIM ZA IMBWA KANISANI EV PASCHAL CASSIAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ย. 2023
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769 #

ความคิดเห็น • 231

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 8 หลายเดือนก่อน +8

    Hiii wataelewa walio na muunganiko na Mbingu na ROHO MTAKATIFU TUUU

  • @user-he9ng6nu2z
    @user-he9ng6nu2z 7 หลายเดือนก่อน +4

    Niseme nini jaman we Mtumishi wa Mungu unanibariki sana sana Yesu kristo aendelee kutufunulia yaliyo sirini😢

  • @sabinaamboko6449
    @sabinaamboko6449 8 หลายเดือนก่อน +7

    I agree with you, unless we move with holy spirit, we are lost, may God give us spiritual understanding

  • @user-cw8zn2dn6m
    @user-cw8zn2dn6m 7 หลายเดือนก่อน +20

    Yaani mimi namshukuru sana Yesu Kristo kwasababu alishanionesha siku mingi kuwa huo mziki ni wa kidunia tu. Huo mziki unaoitwa yerusalemu. Sikuwahi kuupenda huu wimbo hata siku mmoja. Jirani yangu mmoja alikuwa anaupenda vibaya sana mno zaidi. Yesu ni mwema, alinifunulia. Yesu Kristo asifiwe sana.

    • @RaphaelMsangi
      @RaphaelMsangi 7 หลายเดือนก่อน +1

      Yani MTU anatafuta view we unamsapoti tumieni malifa we kuzimu alipaona wapi jiongeze zakwambiwa changanya na zako

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 7 หลายเดือนก่อน

      @@RaphaelMsangi kijana acha kuwa mjinga. Maarifa ni neno la Mungu. Kwahiyo tunajua miziki ya kidunia na kwaya au tenzi au nyimbo za injili. 1Yohana2:15. Warumi 12:2. Soma hizo mistari za Biblia. Oky?

    • @RaphaelMsangi
      @RaphaelMsangi 7 หลายเดือนก่อน

      @@user-cw8zn2dn6m ujinga donda LA kichwa uwezi ona Ila utalishika tu

    • @user-cw8zn2dn6m
      @user-cw8zn2dn6m 7 หลายเดือนก่อน

      @@RaphaelMsangi sawa, jifunza sasa, usije ukajuta baadae. Fuata neno la Mungu tu. Ukiweza hivyo bac utatambua kama mtu ni mwongo au sio. Kuwa mjanja kijana.

    • @RaphaelMsangi
      @RaphaelMsangi 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa nikulize yelusalemu alio kua anaimba unajua alikua anamanisha nini au kwakua alisema yelusalemu mkajua ni wimbo wa dini ule wimbo wa kidunia afu mchungaji alijuaje mambo ya kuzimu au ndo mambo ya kufikilisha anatuletea sisi

  • @TheresiaRogath_Tv
    @TheresiaRogath_Tv 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika mziki ni shida..... Mungu anisaidie ila kwasasa namshukuru Mungu sana kama vile nimeanza na mimi kupambanuapambanua hivi vijimiziki vya shetani vikijivisha maneno ya Mungu. Mungu nisaidie mziki ulinitekaga sana. Asante pastor!!! Ubarikiwe

  • @PasteurByamunguGERLAS-kq3ey
    @PasteurByamunguGERLAS-kq3ey 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ni kweli ya MUNGU wa mbinguni. Wewe ni sauti ya mungu aliye hai. Alie n'a sikio asikie neno ambalo roho aongea na kanisa

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 8 หลายเดือนก่อน +3

    Amina Mtumishi wa Mungu natamani sana uwe Mchungaji wangu nijifunze kutoka kwako naomba Mungu akupe maisha marefu uwasaidie wengi

  • @user-fi7rs4wj5s
    @user-fi7rs4wj5s 7 หลายเดือนก่อน +2

    Give me old time religion and old mytiarys songs 😢😢😢and it's good enough for me😢😢😢

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 8 หลายเดือนก่อน +6

    Namshukuru Mungu kwa kuwa nimejifunza mengi kuhusu muziki angalau ninaelewa sasa bora nionekane mshamba ila nisilize nyimbo za Fanuel Sedekia, Godwin Ombeni, Jackson Benty, Paul Mwangosi,Boaz Danken kuliko hizo za akina Mgogo,Gozbert,Zabron singers,Shusho,Rose,Lwaga wanaimba burudani siyo injili

    • @Isaya-T-Makau
      @Isaya-T-Makau 7 หลายเดือนก่อน

      Fact, naona playlist yangu. Ila umemsahau
      John Lisu, Upendo Nkone, Essence of Worship, Bahati Bukuku old album, Christina Shusho old album, Martha Mwaipaja old album, Sifael Mwabuka old album, Daniel Mgogo old album, Rose Mhando old album na wengineo wengi ila old au first album huwa ndiyo nzuri sana.

  • @user-zq6qs6xn3f
    @user-zq6qs6xn3f 7 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana mtu wa Mungu, ujumbe wa muhimu sana huu. Jitahidi wakati mwingine wakati wa kurecodi ala za muziki zipungue katikati ya mahubiri/ mafundisho ili ujumbe usikike vyema. Barikiwa mtumishi

  • @lilianmbeyu
    @lilianmbeyu 8 หลายเดือนก่อน +2

    much blessings man of God,kweli kanisa limechanganyikiwa,linahitaji uamsho nena kama Mungu anavyokujalia nguvu kutamka,mwenye sikio asikie neno hili ambalo roho ayaambia makanisa

  • @user-ft1yt5rz5h
    @user-ft1yt5rz5h 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi, ubarikiwe mnoo naelewa sana mafundisho yako endelea kusema kweli ya Yesu Kristo

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amen amen amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU 🇰🇪

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu atu saidiye tupate ku elewa na kujuwa kufafanuwa ma sounds za shetani na za kwake baba yetu wambinguni

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sema ukiongea kwa kufoka ndo nakosa mood ya kuskiliza me naona sio kila mada uitoe ktk hali ya kufoka

  • @fadhilimrope5134
    @fadhilimrope5134 8 หลายเดือนก่อน +6

    Amina, mtumishi, Mimi nakuomba uniombee, nyimbo ninazoimba, ziwe zilizotokana na Mungu wa kweli yani Yesu Kristo wanazareti alie hai, na Yesu anikoe mikononi mwa shetani, Yesu nikoe

  • @Rebecca0musonga
    @Rebecca0musonga 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amen man of God you have really answered a question that has been disturbing me for a very longtime that why is it that some songs when i feel like singing them they vanish in my mind and all of a sudden a new song from just comes into my mind from the bottom of my heart ,thank you so much speak it into Christians because we have lost sense of belonging

  • @user-ru2ck7ey7e
    @user-ru2ck7ey7e 6 หลายเดือนก่อน

    Endelea kuhubili mtumishi wa Mungu uokoe kizazi hiki najua umeona mengi mambo ya kishetani Mungu akulinde na akutunze daima🙏

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shetani yuko kazini. Wao wanajidhihirisha kumwimbia na kumchezea Mungu ila waongozwa na shetani.
    Mungu aniongeze nifuate njia zake.

  • @mrscrown8277
    @mrscrown8277 6 หลายเดือนก่อน

    cosimus
    Mwache Mungu aweze kuhukum
    Unachokifanya ni kujimaliza ktk kupigana
    Na Mungu
    Let God judge Time Will tell kuwa Ametokana na Mungu
    Au rahaa
    TANZANIA AMKA MTUMISHI WA MUNGU ALIE JAA ROHO MTAKATIFU HANA MDA WAKUHUM MTU MAANA MDA UPO KATIKA KRISTO YESU TU NDIE MUHUM
    KUMBKA LUKE 11:49
    ZABURI 105:15
    GOD BLESS YOU ALL

  • @Saidi1581
    @Saidi1581 8 หลายเดือนก่อน +8

    Continuez à dire la vérité serviteur, et n'arrêtez pas de dire la vérité, vous en sauvez beaucoup, je prie pour que Dieu continue à vous bénir parce que vous dites la vérité, que Dieu bénisse votre service. Amen
    Endelea kusema ukweli mtumishi, na usiache kusema ukweli, unaokoa wengi, naomba Mungu aendelee kukubariki maana unasema kweli, Mungu abariki utumishi wako. Amen
    Keep speaking the truth servant, and don't stop speaking the truth, you save many, I pray that God continues to bless you because you speak the truth, may God bless your service. Amen

  • @janedamian1433
    @janedamian1433 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mtumishi wa Mungu tunakupenda sana

  • @DorcasMutanu-db2yo
    @DorcasMutanu-db2yo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye masikio ndio atasikia asante mtumishi wa Mungu barikiwa sana

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 8 หลายเดือนก่อน +4

    Namuomba Mungu anisaidie nyimbo zangu ziwe baraka kwa Mungu,Asante Yesu

  • @imeldanyarotsa3636
    @imeldanyarotsa3636 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni yule mhubiri wa panga kwa kichwa 😏 ama 🤔, anyway your preaching has added something in my salvation, amen

  • @user-rz6hl8bt6m
    @user-rz6hl8bt6m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ukeli mtupu, Mungu azidi kukutumia kwa viwango zaidi

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shida kubwaa umebaki mkosowajji kila kilichopo hapa dunian bado utasema hata kunya nizambi tushike lipi baba tuache lipi dah Tusubir hukumu ya Mungu tu

  • @sabibiraphael1622
    @sabibiraphael1622 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kwa somo zuri.

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 8 หลายเดือนก่อน +1

    Keeping preaching men of God I don't like double double song

  • @graceboke4346
    @graceboke4346 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mavazi pia yanaweza kumwakilisha mwimbaji utajua anamwimbia nani

  • @sabibiraphael1622
    @sabibiraphael1622 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki mtumishi kwa somo hili zuri.

  • @ElijahAmon-uq6zk
    @ElijahAmon-uq6zk 8 หลายเดือนก่อน +6

    It's true servant of god praise and glory belongs to the lord .never stop speaking the truth of god

  • @annamwakibinga2284
    @annamwakibinga2284 6 หลายเดือนก่อน

    Amena emungu wangu tusaidie wanao

  • @veronicajohn1689
    @veronicajohn1689 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amos 5:23 Mungu nisaidie nisikie Sauti Yako na maelekezo yako nyimbo zangu zisiwe makelele mbele ya Uso wako

  • @mwakamelebarackthomas6834
    @mwakamelebarackthomas6834 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kama kuzimu nako wanamuimbia Mungu, ni ushindi mkubwa. Yesu alisema, kama nyie wakina Paschal mlioacha kumuimbia Yesu na kugeukia kiki za mitandoni, Yesu atainua mawe na ndo akifanyacho. Acha wivu

    • @metrineaumasambaya7792
      @metrineaumasambaya7792 7 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusamehe sana na akuhurumie

    • @user-ru2ck7ey7e
      @user-ru2ck7ey7e 6 หลายเดือนก่อน

      Usishupaze shingo mtazame Mungu wa mbinguni

    • @user-zq8nw9qv5l
      @user-zq8nw9qv5l 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu akusamehe sana

  • @barakaoscar1615
    @barakaoscar1615 7 หลายเดือนก่อน

    Daaaa..kweli hii dunia ilipofika pabaya..mm nimekuelewa lakin kicha kinaniuma ninapoona asilimi 80 za vijana ndio nyimbo zetu hizo... nashukur ubalikiwe sana mtumishi

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 7 หลายเดือนก่อน +2

    Inahitaji neema kubwa ya Mungu

  • @khaledoman8266
    @khaledoman8266 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki pastor napendaga sana ibadayako🙏👏🇧🇮🇴🇲

  • @ayubloserian5253
    @ayubloserian5253 8 หลายเดือนก่อน +1

    Angalia na mavazi pamoja na kujipamba kwao pastor you is true😂❤❤

  • @NINAZOHABARINJEMA-cd5ke
    @NINAZOHABARINJEMA-cd5ke 6 หลายเดือนก่อน

    Mtu wa Mungu hongera kwa kazi hii ngumu.

  • @user-zq8nw9qv5l
    @user-zq8nw9qv5l 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @stellapaul2442
    @stellapaul2442 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni nyimbo gan nzuri basi twaweza kuimba

  • @alainmuhigirwa5151
    @alainmuhigirwa5151 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana

  • @user-kl6zb6so3i
    @user-kl6zb6so3i 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @JaphethMbusya-ld4xc
    @JaphethMbusya-ld4xc 7 หลายเดือนก่อน

    Now you are the true man of God I can see

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nikwenye gizanene kati yamwanga mdogo watakao onanjia kwenye mwangahuu niwalewateule waMungu wengine tutaishia kusemahuyo naye kachanganyikiwa tunafunuliwa kitabu kigumu chenyemafumbo chaufunuo waYohana huyu.muhubiri Yokosawa karibuasilimia miamoja.

  • @JohnstoneMutunga-hb3xn
    @JohnstoneMutunga-hb3xn 8 หลายเดือนก่อน

    My the lord bless you

  • @israelisponsor8755
    @israelisponsor8755 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aise Mungu akutunze sana

  • @user-jp4fs1cd8e
    @user-jp4fs1cd8e 7 หลายเดือนก่อน

    Keep on ufalme wa mungu unatekwa na wenye nguvu

  • @user-ue7kr1fo4b
    @user-ue7kr1fo4b 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi wa bwana

  • @merrynzohumpa3996
    @merrynzohumpa3996 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa MUNGU kanisa limeanguka

  • @PascaliaSuwi
    @PascaliaSuwi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu nipe nipe usikivu mwema na mwisho mwema

  • @anethpino1321
    @anethpino1321 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli dunian hakuna usalama tumtafute mungu wapendwa

  • @user-yp5jz5ed8f
    @user-yp5jz5ed8f 7 หลายเดือนก่อน

    Amina makanisa ya leo ni hataru nimewai kwenda kwenye kanisa mojawapo la EAGT lakini wanaumba nyimbo kwa kutumia beat ya singeli yaani ni uharibifu

  • @bernardmukhwana
    @bernardmukhwana 8 หลายเดือนก่อน

    asande mungu akupekipali ubarikiwe

  • @mosesojuma9783
    @mosesojuma9783 8 หลายเดือนก่อน +1

    It's true servant of GOD

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuwanadi.unamkosea.Mungu.yesu mbona hakuwanadi.wa kina yuda iskalioti hata.walipojihisi cassian kaka yangu uchanga unakusumbua harafu unahubiri wewe kama wewe kusema yesu upo.nae.hujui

  • @happinessmchome9101
    @happinessmchome9101 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Pascal

  • @RucasSimoni-fp7lb
    @RucasSimoni-fp7lb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa mungu atupe neema tuyashinde yote

  • @stevendavid8054
    @stevendavid8054 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pia kuna mziki umeenea makanisani wanasema sengele ya Yesu wanashonea mawigi kichwani watingisha kichwa wanakizungusha na bila kushonea hilo wingi anasema awezi kucheza

  • @queenesther2639
    @queenesther2639 8 หลายเดือนก่อน

    Tunashukuru sana Kwa kutufungua

  • @JamesOdhiambo-wu2pj
    @JamesOdhiambo-wu2pj 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde Mitumishi

  • @VincentMboka-gq8ye
    @VincentMboka-gq8ye 6 หลายเดือนก่อน

    Nikweli mtumishi, ubarikiwe

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @glorymziray1915
    @glorymziray1915 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ukiona hujaelewa huu ujumbe Lia machozi

  • @annthuo7264
    @annthuo7264 7 หลายเดือนก่อน

    No wonder i listen to worship but sio zile wanazivuruta sana plus before I look at the dressing n too much make issa no

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 7 หลายเดือนก่อน

    Hahaha,,,,, mtumishi barikiwa sana

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 7 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi uko sahihi,,,,,,makanisani ni changamoto,,,, MUNGU tupe kutoka huko kwa jina la YESU

  • @user-ov9rv3er8e
    @user-ov9rv3er8e 7 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe mtumixhi wa mungu

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu tusaidie aki maana shetani katawala dunia

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wakeisto sasa tumeingiliwa maaana kila mwinjirist anaamka na lake

  • @noelmtumishi7895
    @noelmtumishi7895 8 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @atulindakanuma4144
    @atulindakanuma4144 8 หลายเดือนก่อน +2

    Imeandikwa wapi hiyo aina ya midundo kwenye biblia utusaidie zaidi tusikalili injili bila kuelewa

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shetani ni mwizi tu, alikuwa malaika wa sifa akaiba codes....

  • @user-xv4po4qd3m
    @user-xv4po4qd3m 7 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe sana.uko sahihi

  • @lillianwakesho258
    @lillianwakesho258 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona watu wasiimbe tenzi jameni,na ndizo Zina upako zaidi.

  • @EmmanuelMwesa
    @EmmanuelMwesa 8 หลายเดือนก่อน

    Amin Amin

  • @EstherTeila1312
    @EstherTeila1312 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishiiiiih!!!

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen juzi nimeota muziki za injili huwa nasikia niliona mapepo peke yake

    • @manaseliberatus1347
      @manaseliberatus1347 8 หลายเดือนก่อน

      mapepo peke yake?

    • @josykogei7647
      @josykogei7647 8 หลายเดือนก่อน +1

      Aki ukweli niliona mapepo tu wakimba

    • @manaseliberatus1347
      @manaseliberatus1347 8 หลายเดือนก่อน

      @@josykogei7647 hatari, yamekaa wapi?

    • @getrudeliyayi8050
      @getrudeliyayi8050 8 หลายเดือนก่อน +1

      Amina bwana yesu asifiwe tuuu

  • @beatricegerald7253
    @beatricegerald7253 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa MUNGU ATUSAIDIE

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 8 หลายเดือนก่อน

    Duh hpn jmn so kwakusifu huko😢 mavazi sasa😢

  • @michaelmasalago8068
    @michaelmasalago8068 7 หลายเดือนก่อน

    MTUMISHI UKO SAWA lakini jitahidi kuseti sauti mwangwi ni mkubwa mno hatukusikii vizuri

  • @sonywajustus
    @sonywajustus 7 หลายเดือนก่อน

    Kelele nyingi sana kwa hiivideo

  • @loraumuhire4755
    @loraumuhire4755 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you, nimeerea sasa kwa nini iyi nyimbo imezunguruka fasi nyingi Duniani ,hata uraa bazungu bausikia banaupenda nashangara, kumbi ninguvu za giza.

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 8 หลายเดือนก่อน

    hata kuvalia kwao hakupendezi kabisaaa......wanawake wamevaa ma sleaveless clothes.....haifai.mungu atusaidie tu.

  • @florapeudy3963
    @florapeudy3963 8 หลายเดือนก่อน +5

    Siwezi kupingana na wewe mtumishi kwa sababu umetoka Freemason na unajua mbinu za shetani za kuliteka kanisa na ulikua unajua mfanye njia gani ili kanisa lisishituke na mastepu ya kukata mauno

  • @user-es4jv6pb8x
    @user-es4jv6pb8x 7 หลายเดือนก่อน

    Maskiniii mweeeee pole Baba MUNGU akukumbuke

  • @TonnyMamkwe
    @TonnyMamkwe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waimbaji wanaume wameva kofia

  • @linetmusee6431
    @linetmusee6431 8 หลายเดือนก่อน

    Amina ! Kweli kabisa!

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 7 หลายเดือนก่อน

    I think we need to improve our theology

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 7 หลายเดือนก่อน

    Hizo saut hatusikii vizuri mbona

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 7 หลายเดือนก่อน

    Eeee Mungu nipe macho ya rohoni.

  • @joyteddy2804
    @joyteddy2804 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-xb7ze3qj8z
    @user-xb7ze3qj8z 6 หลายเดือนก่อน

    Acha kumpa shetani utukufu hakuna mziki wa shetani,upotoshaji mtupu

  • @mariazayumba9763
    @mariazayumba9763 7 หลายเดือนก่อน

    Amen.

  • @agnes7675
    @agnes7675 7 หลายเดือนก่อน

    AMEN AMEN

  • @Vincentyohana
    @Vincentyohana 8 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Cjakuelewa ktk mataifa hakuna dhambi ya mziki soma mdo 15 yote uone,na miziki yote ni ya MUNGU shetani ndo anaiba mziki,ndo maana na mbinguni ni kuimba tu,

  • @AyubuFumbi
    @AyubuFumbi 8 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe
    Baba