#BREAKINGNEWS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Mwimbaji wa kundi la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia kwa ugonjwa wa Moyo jana usiku akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
    Shemeji wa marehemu, Tecla Lucas ameiambia Mwananchi leo Agosti 22, 2024 kuwa mwili wa marehemu bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali hiyo, wakisubiri ratiba za mazishi kupangwa.
    "Amefariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa Hospitali ya Muhimbili jana usiku msiba utakuwa Mikocheni kwa mama yake mdogo, mwili kwa sasa bado upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti,"amesema Tecla
    Endelea kufuatilia Mwananchi kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 37

  • @ElizabethClement-i4n
    @ElizabethClement-i4n 21 วันที่ผ่านมา +2

    Jmn kweli

  • @tawalatamko
    @tawalatamko 20 วันที่ผ่านมา

    jamani poleni sana mliofikiwa na huu msiba pumzika kwa amani bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amen😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @X_trayalBoy
    @X_trayalBoy 20 วันที่ผ่านมา

    Jaman poleni sana

  • @leahpeter5813
    @leahpeter5813 21 วันที่ผ่านมา +1

    😢

  • @Hadiel-s9c
    @Hadiel-s9c 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mi hat siamini jaman

  • @josephinemunga8673
    @josephinemunga8673 21 วันที่ผ่านมา

    Ooh God, Pumzika kwa Amani Marco

  • @toniomega3890
    @toniomega3890 20 วันที่ผ่านมา

    So sad RIP bro Inauma sana

  • @MerymaimboMery
    @MerymaimboMery 21 วันที่ผ่านมา

    Jaman polen sana wafiwa

  • @user-mc7pr6jd4t
    @user-mc7pr6jd4t 21 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢pumuzika Kwa Aman mutumishi wa Mungu 😢😢😢

  • @prisilachuwa3850
    @prisilachuwa3850 21 วันที่ผ่านมา

    Mbona ngumu kuamini jamani,Mungu ampokee mbinguni

  • @QWARIDAMassay
    @QWARIDAMassay 21 วันที่ผ่านมา

    Jmn c amini...eee Mungu turehemu

  • @abrahmanali-r7k
    @abrahmanali-r7k 21 วันที่ผ่านมา

    Pole sana jaman kaka angu

  • @StellahKemei24Kemei
    @StellahKemei24Kemei 21 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana 😢😢😢😢

  • @EuniceThuo-bl3bi
    @EuniceThuo-bl3bi 21 วันที่ผ่านมา

    Mm uchungu nmesikia only God knows na cjaamini

  • @LeahPaul-lm3ls
    @LeahPaul-lm3ls 21 วันที่ผ่านมา

    Daaah jaman,!!!!!😭😭😭😭😭

  • @glorymanga3650
    @glorymanga3650 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu jamani

  • @MangabhaJames
    @MangabhaJames 21 วันที่ผ่านมา

    Daaa!pumzika kwa amani

  • @williamjuma2613
    @williamjuma2613 20 วันที่ผ่านมา

    Jamani kwelii Kaka umeenda

  • @user-im9wf2tb2r
    @user-im9wf2tb2r 21 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa amani jaman😢

  • @joanchepngeno5379
    @joanchepngeno5379 21 วันที่ผ่านมา

    Condolence to the family😢

  • @NeemaDanieli-qo1pk
    @NeemaDanieli-qo1pk 21 วันที่ผ่านมา

    Daaa Kam Ndoto Jamni 😢😢

  • @monicaMtewele
    @monicaMtewele 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani Duniani tuwapitaji

  • @annethikibitanyi6206
    @annethikibitanyi6206 20 วันที่ผ่านมา

    Daah jaman kifo hakina hodi

  • @juliuswerema3655
    @juliuswerema3655 21 วันที่ผ่านมา

    Pumzika kwa amani

  • @BonfaceNgocho
    @BonfaceNgocho 21 วันที่ผ่านมา

    Acheni utani bhana😢😢😢

  • @ZipporahKyalo-p8j
    @ZipporahKyalo-p8j 21 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭rest in peace marko

  • @nicholausmakundi2663
    @nicholausmakundi2663 21 วันที่ผ่านมา

    Rest in peace

  • @Ferisita
    @Ferisita 20 วันที่ผ่านมา

    Oooooh pumzika kwa amani babaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @leahmakokha8922
    @leahmakokha8922 21 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭😭😭😭

  • @YusuphuSinkamba
    @YusuphuSinkamba 20 วันที่ผ่านมา

    Kwer dunian sio petu pakuishi Mungu akipokea kaka kipenzi changu nilikupenda sana lakini Mungu akipenda zaid😢😢✋✋🙏🙏

  • @user-rc5ky6cx6n
    @user-rc5ky6cx6n 21 วันที่ผ่านมา

    Pumuzika kwa amana

  • @elikasimu5327
    @elikasimu5327 21 วันที่ผ่านมา

    Hata siamini

  • @ZipporahKyalo-p8j
    @ZipporahKyalo-p8j 21 วันที่ผ่านมา

    Siamin hata kidogo

  • @WashintonBwire
    @WashintonBwire 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu aikaze roho yake mahala pema😂😂😂😂😂😂😂😅

  • @ZipporahKyalo-p8j
    @ZipporahKyalo-p8j 21 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭rest in peace marko

  • @user-hd7gs5by4s
    @user-hd7gs5by4s 21 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢

    • @MaryMmole-en9qz
      @MaryMmole-en9qz 21 วันที่ผ่านมา

      Jamani mwenyezi mungu akupe safari njema kaka mda ambao mungu alikupa hapa duniani umeutumia vzr ashukuliwe mungu kwa maisha yako ya duniani nenda kaka nenda kipenzi nenda rafiki akika