simba i have something to ask some of us are far from home why don't you guys post the full match after the match some of us are not at home ubaya ubwela simba nguvu moja
Kocha kumuanzisha Ngoma mbele ya Mavambo ni kumkosea Heshima Deborah Fernandez Mavambo, angalia tu kaingia kipindi cha pili lkn katikati na timu nzima ikabadilika kocha Fadlu kama karogwa aende aombewe Mavambo sio wa kuanzia nje
Mnabebwa sana ila ipo siku mbeleko itachanika mtaanguka km mizigo yaani kila mechi mnayocheza lazima mfanye mipango na marefalii siku wakizichoka dhambi mtalia nakusaga meno
Ushindi wa mang'amng'am kibu kacheza faulo refalii kaacha ateba kacheza faulo refalii kawabeba ila mchezaji wa tabora kaicheza km ile ya ateba refalii kaiona
Simba nguvu moja asante MUNGU tumepata ushindi mzuri 🎉🎉
Asate mungu kwaushindi llshaallah🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Kama kweli wew ni shabiki wa simba na una mini auja logwa weka like hapa,👍👍👍🤪
Mpanzu shikamoo simba sasa tunakoerekea nikula kuku kwa mlijs💪💪💪✔️✔️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕
Iyo nyomi hatariiiiiii simba raha jamani❤❤❤❤❤wacha tujidai
Uwanja umetapika aiseeeee
Simba nguvu moja
Daaah Simba burudani sanaaaaa Leo imekuja kuwa siku yangu ya furah asanteni sana simba
Uwanja naona uko fully kweli tunashukuru kupata ushindi mnono ateba alikua anachukua hatrick kakosakosa latatu
Siku zote mbu mwenye kelele ndio anayekufa mapema 🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Simba naipenda sana tena sana tuu
Nafurahi mpaka najikuta nalia jamani
❤❤❤❤
Hv kiingilio Leo ilikuwa bei gani mana hawa tabora Leo wameingiza pesa kupitia simba
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
simba i have something to ask some of us are far from home why don't you guys post the full match after the match some of us are not at home ubaya ubwela simba nguvu moja
Mnyama oyeeee
Oyeeee
Kamdomo kamdomo🤣🤣😋🤣🤣
Huyu ELIA MPANZU huyuuuù❤❤❤
Sasa tunamtaka mwiko nyuma ! Safari hii hata akiwepo Kayoko Utopolo atakula nyingi sana.
🎉🎉🎉
Ubaya Ubwela popote
Bado tunaunda timu😂
Kwani apo nyumbani kwa simba 😂😂😂
Unyama 😂😂
Ubaya ubwela
Ubwela
Tabor wameingia namatumin😂😂 lkn walichokutan nacho kwa mnyama 😂
Mwalimu anasema bado anajenga timu jamani😅
Kocha kumuanzisha Ngoma mbele ya Mavambo ni kumkosea Heshima Deborah Fernandez Mavambo, angalia tu kaingia kipindi cha pili lkn katikati na timu nzima ikabadilika kocha Fadlu kama karogwa aende aombewe Mavambo sio wa kuanzia nje
Mnabebwa sana ila ipo siku mbeleko itachanika mtaanguka km mizigo yaani kila mechi mnayocheza lazima mfanye mipango na marefalii siku wakizichoka dhambi mtalia nakusaga meno
mwaka huu ni ubaya ubwela hatucheki na kima
Ukiona unanyanyaswa namnyama kashitaki au vp
Hiyoo ndyoo maana halisi ya Ubaya ubwela
Ushindi wa mang'amng'am kibu kacheza faulo refalii kaacha ateba kacheza faulo refalii kawabeba ila mchezaji wa tabora kaicheza km ile ya ateba refalii kaiona
Unateseka ukiwa wapi? Kaa kwakutulia, tarehe 8 mwezi wa 3 sio mbali tutawazibua nyie nyuma mwiko hamta amini
❤❤
Ubaya ubwela
❤❤❤
Ubaya ubwela