Azam TV - Msikie David Kafulila akileza kwanini amekacha upinzani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 117

  • @titusmbigili35
    @titusmbigili35 6 ปีที่แล้ว +2

    Njaaa mbaya sana asee

  • @akutiboysolomon9418
    @akutiboysolomon9418 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Hillary kwa maswali mazuri ambayo Kafulila kushindwa kuyajibu

  • @ibrahimmfundo5839
    @ibrahimmfundo5839 6 ปีที่แล้ว

    Safi kaka karibu tuchape kazi majungu kwao

    • @lucky9285
      @lucky9285 6 ปีที่แล้ว

      Ibrahim Mfundo kazi gani ufanyayo bwana Ibrahim 😀😀😀

  • @bimsucretz8770
    @bimsucretz8770 6 ปีที่แล้ว

    Hongera bwana kafulila ila siku yakikushinda rudi tu nyumbani tutakupokea mwanampotevu kwan hujui ulitendalo.

  • @kasimukajasy1703
    @kasimukajasy1703 6 ปีที่แล้ว +1

    Unajua njaa mbaya sana dogo kaona atadedi bora atundike daluga

  • @ismaelhassan1093
    @ismaelhassan1093 6 ปีที่แล้ว

    Tamaa njaa sana mjingauyu hajielewi kamesha tongozwa kamelainika.

  • @julianamasunga4147
    @julianamasunga4147 6 ปีที่แล้ว +1

    asante kafulila kwa kuipenda nchi yako..... thx so much...... 😍

  • @catherinegeorge8789
    @catherinegeorge8789 6 ปีที่แล้ว +2

    congratulation good politician you have screened what opposition party they do & if they real mean that they wanted to fight against corruption they would join Our President.

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 6 ปีที่แล้ว

    Nenda Ccm baba,,Ccm saiv iko great,,,

  • @jacksondamas8634
    @jacksondamas8634 6 ปีที่แล้ว +2

    njaaa

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว +1

    Hoja hana, kuna jambo hapa,ila nahc huko aendako hawezi pambana na ufasadi,utakuwaje na agenda moja ,Sasa wapi utaenda kuongelea ufasadi zaidi ya upinzani ambako ungelikuwa huru,???? Kila la heri

  • @ipsostanzania3396
    @ipsostanzania3396 6 ปีที่แล้ว +1

    kafulila alichoamua ndo democrasia inasema hivyo ana uhuru na maamuzi mtu unapouliza kafulila no nani jiulize ww ni nani unaye muuliza Mbona nyalandu kahama na lowasa huwezi kukaa sehemu ya wanafiki

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 6 ปีที่แล้ว +9

    Kafulila wew iv ni nani? Mara huku, mara huku? Hutuliii.. Na mkeo ana kazi kweli. Tatizo njaaa baba

    • @allylucas9221
      @allylucas9221 6 ปีที่แล้ว

      nenda akuoe wewe

    • @titusmbigili35
      @titusmbigili35 6 ปีที่แล้ว

      Bata hata akibadilishwa manyoya hawezi kuwa kuku

    • @dovicochristopher5388
      @dovicochristopher5388 6 ปีที่แล้ว

      FADHILI SECHA Njaaa haijawai kumuacha mtu salama

    • @sarimsarim8994
      @sarimsarim8994 6 ปีที่แล้ว

      Unamjua kafulila vizr hana njaa

  • @seifjumabhansigiye2867
    @seifjumabhansigiye2867 6 ปีที่แล้ว

    waha wanausemi unao sema ulikizeze wikuye kumugole asula witwaye kuwunya halaye! samwa!!!..wohoooooooo!!

  • @priscalameck8700
    @priscalameck8700 4 ปีที่แล้ว

    Mambo ni 🔥

  • @aminahhamadi6214
    @aminahhamadi6214 6 ปีที่แล้ว +1

    CCM NDIO SHIMO LA UFISADI. VIPI UNAFKI WA CCM ULIKWISHA

  • @johnthobius6543
    @johnthobius6543 6 ปีที่แล้ว

    Nakuunga mkono asilimia 100, wataisoma namba, njoo kafulia ccm

  • @ridhiwanchamaja4738
    @ridhiwanchamaja4738 6 ปีที่แล้ว +5

    Kafulila huwezi kuwa Kafulia bila wananchi ila hizo njaa za kutaka madaraka zitawauwa.

  • @mbarakamlawa7249
    @mbarakamlawa7249 6 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania hamna upinzani kweli, yni wengi wapo kwa maslahi yao binafsi si kwa ajili ya uzalendo wa dhati

  • @hassansamata9696
    @hassansamata9696 6 ปีที่แล้ว

    uko sawa

  • @allahuakbarmuhammadrasulul9835
    @allahuakbarmuhammadrasulul9835 6 ปีที่แล้ว +1

    Eti Nyerere kasema Kwan Nyerere nani!!!

  • @rashidykiongozi4850
    @rashidykiongozi4850 6 ปีที่แล้ว +1

    chadema Kwisha habar yao hawana Sera tena,ufisad hawa kemei tena.

  • @danielsanula1027
    @danielsanula1027 6 ปีที่แล้ว +2

    Kafuata hela huyo

  • @marcosabun4774
    @marcosabun4774 6 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli kabisa""!!! Hatusikii chadma Wakikemea Rushwa na Ufisadi Jukwaan"" Sijui mzee kawazuia??Risasi ndo kiki kwa sasa!!!!!

  • @freddymancheddy3875
    @freddymancheddy3875 6 ปีที่แล้ว +1

    sera ya cdm niufisadi peke yake,hakuna maswala ya Elimu,Afya,kilimo,na uwekezaji,Hiyo ndio hoja. dhaifu ya kafulila eti UFISADI ,Hawezi kuwa na mvuto kabisa,ni kutojitambua kafulila maskini wa sera na ilani ya CDM

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 6 ปีที่แล้ว

    Duh hi Kali, lakini siwezi kukushangaa, kwa iyo ukipigwa tena chini utahamia wapi?

  • @palesyosilingo6386
    @palesyosilingo6386 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa kavuta bange au vipi jamani 😳😳

  • @zachariamilamo2130
    @zachariamilamo2130 6 ปีที่แล้ว +1

    Umeenda kujifunza namna ya kupambana na ufisadi baada ya kuwafundisha wengine ukiona wanakugomea kimbia.
    Wasomi bana????

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 6 ปีที่แล้ว +2

    kweli CCM ni chama kikongwe barani afrika. .. #jpm waitee waiteee wambie waje .. sizonje HOoyeeeee

  • @mashakamalekela664
    @mashakamalekela664 6 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo njaa inakusumbua

  • @hamfreytwitu1204
    @hamfreytwitu1204 6 ปีที่แล้ว +3

    Safi Charles Hillary kwa maswali mazuri

    • @angelcaserecky44
      @angelcaserecky44 6 ปีที่แล้ว

      We kafulila huna jipya mpaka mkeo anakushinda uwezo eti ufisadi kama umeohongwa mungu anakuona

  • @allenjeremia9881
    @allenjeremia9881 6 ปีที่แล้ว

    mh tanzania Hamna demokalasia

  • @bupejohn4755
    @bupejohn4755 6 ปีที่แล้ว +6

    Haya sasa mwenyemacho haambiwa tazama

  • @ipsostanzania3396
    @ipsostanzania3396 6 ปีที่แล้ว

    kafulila alichoamua ndo democrasia inasema hivyo ana uhuru na maamuzi mtu unapouliza kafulila no nani jiulize ww ni nani unaye muuliza Mbona nyalandu kahama na lowasa huwezi kukaa sehemu ya wanafiki na wenye njaa utakufa tu ndg yangu

  • @brysonjs9919
    @brysonjs9919 6 ปีที่แล้ว +1

    Tunakosa hamu ya kufuatilia siasa maana ni upupu mtupu

  • @allahuakbarmuhammadrasulul9835
    @allahuakbarmuhammadrasulul9835 6 ปีที่แล้ว +1

    Kunjua domo uwazir utaupata tu
    Mpo weng

  • @nurumasunga6079
    @nurumasunga6079 6 ปีที่แล้ว

    Kafulila huna lolote WEWE
    We nenda waache WANAUME wapige kazi

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 6 ปีที่แล้ว

    njaaa unakusumbua wew nenda ukapewe cheo

  • @rashidchembax8383
    @rashidchembax8383 6 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi Kafulila

  • @johnasfelix9840
    @johnasfelix9840 6 ปีที่แล้ว

    hizo ni njaa2 ndo zinazowapeleka kule. na bila shaka hapo kuna
    mkwanja uliotumika sio bure

  • @onesmomwacha9594
    @onesmomwacha9594 6 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo ccm umeenda kupambana na ufisadi ?haya kaka kazi njema .ila nawashauri watanzania wenzangu wasikupe nyadhifa kubwa maana unaweza kuuza nchi

  • @bensonchristopher8163
    @bensonchristopher8163 6 ปีที่แล้ว +1

    Huna jpya ww kwenda kule

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 6 ปีที่แล้ว +1

    Kafulila,ume copy na kupaste,Msomi ulitakiwa kuwa creative.

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 6 ปีที่แล้ว +3

    ushapewa pesa we we mamluki huna lolote pita kule unafkiri utapewa ubarozi

  • @adamhasani2752
    @adamhasani2752 6 ปีที่แล้ว

    jibu swali kama unavyoulizwa mbona ujikanyagakanyaga go........streigh

  • @danimzaliwa3071
    @danimzaliwa3071 6 ปีที่แล้ว +1

    njaa itakuua kijana, huna lolote

  • @thadeomwaulambo6591
    @thadeomwaulambo6591 6 ปีที่แล้ว

    Nina washauri Azam hicho ki alama cha azam hapo katikati kinaharibu uzuri wa picha.

  • @seifjumabhansigiye2867
    @seifjumabhansigiye2867 6 ปีที่แล้ว +1

    ww nitumbiri yani hawa wanasema ulikizee wanse umugole asula wituye kumugole yinyako ntachuhunze:

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 ปีที่แล้ว

    Sawa ila sio kama tumbili.

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 ปีที่แล้ว

    Ww ni njaa tu hata unavyoonge unaonekana tu tayari dole lishakuingia

  • @nguzomudy9085
    @nguzomudy9085 6 ปีที่แล้ว

    kwani mtu kumuunga mkono mtu ndo mpaka awe mumeo c unaweza kumuunga2 lakini usiwe mume

  • @ibrahimwapili8851
    @ibrahimwapili8851 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahah hata tuki baki 2 Hf aturudi Misiri tunaenda kanani

  • @idrisawadh4806
    @idrisawadh4806 6 ปีที่แล้ว

    msenge tuu umepewa hela,

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 ปีที่แล้ว +2

    Kamdanganye mama ako ukoooo

  • @rashidsuleiman2663
    @rashidsuleiman2663 6 ปีที่แล้ว

    Kafulia

  • @lazackmfubusa8910
    @lazackmfubusa8910 6 ปีที่แล้ว +1

    Fara ww kigoma kusin hatukupi kula tena

    • @chamasabato2949
      @chamasabato2949 6 ปีที่แล้ว

      Unasisita kujibu maswari kwanini

  • @saimondevidmanyelezi6835
    @saimondevidmanyelezi6835 6 ปีที่แล้ว

    Uhuru kikatiba.

  • @kolokochomwakyagi5113
    @kolokochomwakyagi5113 6 ปีที่แล้ว +1

    umesanuka dogo

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 ปีที่แล้ว

    Tumbili kahama shamba.

  • @francissalamba8112
    @francissalamba8112 6 ปีที่แล้ว +3

    Nenda ccm tumbili wewe na mkeo mwambie na yeye atoke na aachie ubunge wa chadema

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 ปีที่แล้ว

    Huna heshima yoyote we tumbili.

    • @johnthobius6543
      @johnthobius6543 6 ปีที่แล้ว

      Donald Nelson tumbili baba ako mbwa we

    • @johnthobius6543
      @johnthobius6543 6 ปีที่แล้ว

      Donald Nelson wewe ni mpumbavu 2, cjui hata anajua unachokifanya. Ulimbukeni 2 (narrow minded)

  • @josephkasonde1621
    @josephkasonde1621 6 ปีที่แล้ว +3

    baada ya kufail kuwa mbunge 2015 ndo anatapa tapa ili kutafuta kiki maan 2likuw 2memsahau yaan n sawa na mbwa mweny ny£&¢

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 ปีที่แล้ว

    Imeumae?, Tulia unahangaika sana.

  • @chachalucas4390
    @chachalucas4390 6 ปีที่แล้ว +1

    unajua huna akili we kafulila

  • @marcosabun4774
    @marcosabun4774 6 ปีที่แล้ว +1

    Unahoja kijana" Huwezi kemea Ufisadi jukwaani "Ukiwa na Lowasa& Nyarandu" Ndani ya chama chako"""!!!!!!

    • @lucky9285
      @lucky9285 6 ปีที่แล้ว

      Marco Sabun mbona hawapelekwi mahakamani ???Cheap analysis 😀😀

    • @hashimuhehwa3780
      @hashimuhehwa3780 6 ปีที่แล้ว

      Marco Sabun wewe AKILI huna upo kama KINYESI fuata choo Lowassa ameingiaje hapo! , Nyalandu ameingiaje hapo!
      Hivi sasa ni serikali ipi ipo madarakani?!!!
      Kama Nyalandu na Lowassa serikali ya CCM imeshindwa kuwawajibisha kisheria kulingana na hayo uliyosema huo utuhumiwa wao Mbona hatuoni wakiwakamata na kuwashitaki?!

  • @bockermbasha1374
    @bockermbasha1374 6 ปีที่แล้ว

    hatar kwel

  • @tumainzacharia917
    @tumainzacharia917 6 ปีที่แล้ว

    Waha si watu wakuamin kabisa,kupiga domo no shughuli yao ila kuweka tumbo na njaa mbele ndo zao,mo fucker kafulia kafie mbali huko kunguru ww!!

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo unataka kusema chama ulichotoka kimeanza kukubaliana na Ufisadi?
    Na je! Unaweza kutupatia japo ushahidi mdogo tu kuonyesha kwamba chama ulichotoka kimebadili ajenda na kuanza kuunga mkono ufisadi?

  • @mtoshugilbert5540
    @mtoshugilbert5540 6 ปีที่แล้ว

    alivyo rud juz tuu chadema nn ulichofanya

  • @sabraseif8449
    @sabraseif8449 6 ปีที่แล้ว

    atakufa kwanjaaa uyo

  • @fabianmatiku1343
    @fabianmatiku1343 6 ปีที่แล้ว

    Chadema wanataka nchi wagawane madaraka wewe unazungumzia ajenda ya ufisadi imepitwa na wakati sasa hivi ajenda ni katiba mpya maana ccm imezibiti ufisadi kupitia katiba iliyopo.

  • @masindebwire1078
    @masindebwire1078 6 ปีที่แล้ว

    mwanaume unatakiwa kupambana na huo ni uonga ndy maana anatapatapa tulia

  • @shadrackmnjelu5285
    @shadrackmnjelu5285 6 ปีที่แล้ว

    #Napashwa

    • @nickmbecknkinda3486
      @nickmbecknkinda3486 6 ปีที่แล้ว

      umeoneshe ulivyo bogasi elimu yako haikusaidii wewe pumbavu sasa umeahidiwa vyeo

  • @sethwilson4346
    @sethwilson4346 6 ปีที่แล้ว

    I don't believe in a politician again

  • @saidmathias8850
    @saidmathias8850 6 ปีที่แล้ว +1

    kesho tu utakuwa ccm sema kwel utaenda wap na wew unanjaaaaaaaa

  • @faustinesosthenes1369
    @faustinesosthenes1369 6 ปีที่แล้ว +1

    yan ndo umepotea kabxa kisiasa!

  • @abelumoja2866
    @abelumoja2866 6 ปีที่แล้ว

    assassin f

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 6 ปีที่แล้ว +1

    huyu kahaidiwa vyeo asitudanganye..

  • @abelmwanshinga4139
    @abelmwanshinga4139 6 ปีที่แล้ว +1

    hana hoja yeyote yenye mashiko tatizo njaaa

  • @balisimon8826
    @balisimon8826 6 ปีที่แล้ว

    matumiz yafeza ije ya bajeti nimkudu wako ww ulie uliza

  • @geofbeka1669
    @geofbeka1669 6 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna hoja hapo, hakuna mwanasiasa anazuiwa kupambana na ufisadi, na siku hizi sijaelewa tafsiri ya ufisadi ikoje, hivi matumizi ya pesa kinyume na bajeti ya bunge sio ufisadi!?

    • @joshualazaro1641
      @joshualazaro1641 6 ปีที่แล้ว

      geof beka zinatumika kufanya nini?

    • @geofbeka1669
      @geofbeka1669 6 ปีที่แล้ว

      Ni yaleyale, kutumia vibaya pesa za walipa kodi ndiyo ufisadi wenyewe, in short ufisadi ni matumizi mabaya ya fedha, kwa sababu unaweza usijilimbikizie lakini ukazitumia kwa manufaa yako mwenyewe, ni jambo lilelile

    • @joshualazaro1641
      @joshualazaro1641 6 ปีที่แล้ว

      geof beka sema unataka iwe hivyo ila maana ya ufisadi unaijua. Bajeti ilibidi iwe ya umeme, ikatokea maji hamna nikatumia katika maji kwa manufaa ya watu walewale unaitaje ufisadi? Neno kuu katika ufisadi ni "maslahi binafsi" ie bajeti ya nishati na madini yote ikaelekezwa mkoa/wilaya fulani ati kisa waziri husika anajenga kiwanda pale. Huo ni ufisadi.

    • @dovicochristopher5388
      @dovicochristopher5388 6 ปีที่แล้ว

      geof beka kaka hao jamaa wanatufananisha ss wajinga kabsaa, hizo anazozisema sio hoja za msingi hapo

    • @emanuelmmbaga7014
      @emanuelmmbaga7014 6 ปีที่แล้ว

      Umasikini ni mzigo!!!

  • @mundhirhamad6595
    @mundhirhamad6595 6 ปีที่แล้ว

    wewe msaka tonge na mupo wengi hatushangai

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

    kajamaa kamekariri majibu kana kwamba kako na mtihan wa taifa kaah

  • @charznyamaresa5571
    @charznyamaresa5571 6 ปีที่แล้ว

    mwehukweli wewenimakapi utatumiwautaachwa mbweha wewe

  • @dannyamon9778
    @dannyamon9778 6 ปีที่แล้ว +5

    Tumbili huyu hajielewi........

    • @johnthobius6543
      @johnthobius6543 6 ปีที่แล้ว

      Danny Amon hujafa hujaumbika fara we!!

  • @rajabumofi8532
    @rajabumofi8532 6 ปีที่แล้ว +1

    Hivi fisadi gani ambae tayari ameshafungwa au kufilisiwa Mali zake mpaka sass au ni picha ya kuigiza tu ambayo tunaiona huna cha kutuambia wewe

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 6 ปีที่แล้ว

    Ww ni shoga

  • @FREEMASONTZ
    @FREEMASONTZ 6 ปีที่แล้ว +2

    unapakuliwa

  • @johnasfelix9840
    @johnasfelix9840 6 ปีที่แล้ว

    hizo ni njaa2 ndo zinazowapeleka kule. na bila shaka hapo kuna mkwanja uliotumika sio bure

  • @ipsostanzania3396
    @ipsostanzania3396 6 ปีที่แล้ว +2

    kafulila alichoamua ndo democrasia inasema hivyo ana uhuru na maamuzi mtu unapouliza kafulila no nani jiulize ww ni nani unaye muuliza Mbona nyalandu kahama na lowasa huwezi kukaa sehemu ya wanafiki na wenye njaa utakufa tu ndg yangu

  • @ipsostanzania3396
    @ipsostanzania3396 6 ปีที่แล้ว

    kafulila alichoamua ndo democrasia inasema hivyo ana uhuru na maamuzi mtu unapouliza kafulila no nani jiulize ww ni nani unaye muuliza Mbona nyalandu kahama na lowasa huwezi kukaa sehemu ya wanafiki na wenye njaa utakufa tu ndg yangu

    • @badymedia9648
      @badymedia9648 6 ปีที่แล้ว

      ipsos tanzania anapashwaa mwenyewe #kafulila