Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uwnde mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
AZAM wapumbavu kweli, kila wakishirki michuano ya CAF wanatolewa hatua ya awali. iwe ni shirikisho au Champions league kazi ni moja. Wanashindwa na Biashara, KMC na Namungo, WALIFANYA vizuri waliposhiriki. AZAM BORA MPISHE TIMU NYINGINE ZISHIRIKI, HATA KWENYE LIGI MUINGIE TOP FOUR, INABIDI TFF IFANYE NAMNA msiende kuitia aibu TANZANIA. 😂
Hao ndio Azam tunao wajua hawajatushangaza hata kidogo nahiyo ndio Club Bingwa Asanteni sana Keakushiriki Kila kitu Mnacho lakini Mnamlipa Boss wenu maumivu tu
Azam tengenezeni timu upya ikiwezekana hata viongozi nao wapishe sasa na wengine wachukue nafasi kuwe na transformation, wasianze kwa wachezaji tu waanze kwa viongozi mpaka benchi la ufundi na wachezaji, ni ushauri tu, poleni sana mashabiki wa Azam japo watanzania wote tumeumia.
@MUNERIK-ii3514 if u think eliminating AZAM makes you a big Team is just when you play the like of current SIMBA ,dont you ever compare ur standard with what Young African are now ,we played 6 years ago and elimnate you ,this Yanga are a very different team along east and central Africa-sisi sasa hv hatuchezi huo mpira wa maneno tunakwenda na viwango vya ki proffesional.Hiyo mipira ya kuvizia kushinda nyumbani yanga tulishatoka huko.Team bado mnamtegemea Thadeo Luhanga au mnadhani ile mliyocheza mapinduzi ndiyo Yanga.
Ikumbukwe kuwa azam alianzia nyumbani kwahiyo alikuwa kibonde kwa apr lakini kilichowaua ni wamejichukulia wao ndiyo wakubwa hivyo wakajiamini kupitiliza, hawajamweshimu APR angalia hata michezo yao yote Azam wamecheza chini ya kiwango sana wamefanya uzembe, ni bora hata wangekamia wakacheza hata penalties, ila sio mbaya sana basi wajipange kwa wakati mwingine japo ni wakati wao sasa wa kuelewa umhimu wa kuwafuata Yanaga na Simba ili wajifunze na siyo kuwasema vibaya.
Azam aliposhindwa kumfunga nyingi APR nyumbani ndio lilikuwa anguko lake. Tena wajipange wameanza vibaya kwelikweli😢 sasa alingangania nafasi ya pili ya nini😢😢
Mumecheza udako complex mlitegemea Nini Azam fc munapoteza pesa za bakharesa tu kwenye mishahara jitumeni maboya asije kuuza timu akaona Bora icream kuliko timu
Hawa wanatakiwa wawe wanashika nafas ya 3. Wanaiaibisha nchi. Alaf bakhresa akitaka kuwa na team ya maana amfukuze CEO wa familia aajil CEO mwenye wered wa mpira
Nyinyi watanzania mupira wenu no mudomo tu, leta na iyo yanga tuyipige, hata kwenye uwanja na Amahoro stadium the best Easter Africa(all football stadium
Hilo beki la kushoto linakimbia golini kwake tu bila kuangalia aduwi yupo wapi yaani Azam fc beki mbovu sana timu yenyewe inaboa hebu TFF ifungieni wanatutia aibu, jku wamepigwa 6 na pyramid lakin hawana usajili wowote hata wa million 20 zaidi ya wazawa tu halafu hawa wanaotowa watu Colombia usenge mtupu mnaboa tena vibaya
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uwnde mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
APR fc only the sky is limit 🔥👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥 and thxs AZAM tv for ur professional ❤❤❤ Apr fc fan give credit baba
AZAM wapumbavu kweli, kila wakishirki michuano ya CAF wanatolewa hatua ya awali. iwe ni shirikisho au Champions league kazi ni moja. Wanashindwa na Biashara, KMC na Namungo, WALIFANYA vizuri waliposhiriki. AZAM BORA MPISHE TIMU NYINGINE ZISHIRIKI, HATA KWENYE LIGI MUINGIE TOP FOUR, INABIDI TFF IFANYE NAMNA msiende kuitia aibu TANZANIA. 😂
Mshindi wa goli la pili la APR FC siye NIYIGENA Clement yaani Mugisha Gilbert. Hongerani APR FC. Mmechapa kazi sana sana. Msirudi nyuma hata kamwe.
Kudos to APR FC players and fans who never stopped believing. Aluta continua….
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ apr
Poleni Azam kwenye mpira Kuna kushinda na kushindwa
Lion king of east Africa we back
Azam fc 😎🥢
APR ❤🦁🦁🦁🦁🦁
Hao ndio Azam tunao wajua hawajatushangaza hata kidogo nahiyo ndio Club Bingwa Asanteni sana Keakushiriki Kila kitu Mnacho lakini Mnamlipa Boss wenu maumivu tu
APR WANA FANBASE KUBWA KUMBE
Sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
They are the Simba & Yanga fans mocking
Azam wamenisikitisha sana .. sijui niwashitaki kwa kukatisha furaha yangu?.. azam azam azam😢😢😢😢
APR n Simba mbaya sana sana
Hii nafasi ilikuwa ya Simba. Azama hamna kitu wanaweza. Bora watani wetu kweli huwa wanapambana hatari.
Nafasi ya simba kil vipi wakati simba ni ya tatu
@@dicksonmakunenge4614Huyo Simba mwenzangu ana wivu. Kwani hajui vipi tumekosa hiyo nafasi?
Azam tengenezeni timu upya ikiwezekana hata viongozi nao wapishe sasa na wengine wachukue nafasi kuwe na transformation, wasianze kwa wachezaji tu waanze kwa viongozi mpaka benchi la ufundi na wachezaji, ni ushauri tu, poleni sana mashabiki wa Azam japo watanzania wote tumeumia.
Congratulations to APR, but Azam coach MUST GO....after all the preparations, is this what we get!?
Say no more
@@richlord22634😂
Apr fc kumutima ♥️🏁♥️♥️🏁🏁♥️
Don't blame AZAM fc, Even Simba and Young African can't easily eliminate this APR
Yanga, Easily
@MUNERIK-ii3514 if u think eliminating AZAM makes you a big Team is just when you play the like of current SIMBA ,dont you ever compare ur standard with what Young African are now ,we played 6 years ago and elimnate you ,this Yanga are a very different team along east and central Africa-sisi sasa hv hatuchezi huo mpira wa maneno tunakwenda na viwango vya ki proffesional.Hiyo mipira ya kuvizia kushinda nyumbani yanga tulishatoka huko.Team bado mnamtegemea Thadeo Luhanga au mnadhani ile mliyocheza mapinduzi ndiyo Yanga.
APR timu ya jeshi la Rwanda Azam .kama kawaida isinge to ka Amahoro .hapa hakuna ucawi wala kuibiwa na lefa
Ikumbukwe kuwa azam alianzia nyumbani kwahiyo alikuwa kibonde kwa apr lakini kilichowaua ni wamejichukulia wao ndiyo wakubwa hivyo wakajiamini kupitiliza, hawajamweshimu APR angalia hata michezo yao yote Azam wamecheza chini ya kiwango sana wamefanya uzembe, ni bora hata wangekamia wakacheza hata penalties, ila sio mbaya sana basi wajipange kwa wakati mwingine japo ni wakati wao sasa wa kuelewa umhimu wa kuwafuata Yanaga na Simba ili wajifunze na siyo kuwasema vibaya.
APR FC team ya mabingwa kweli!
Dube haku ongopa hongera kwake ✊✊✊
Huyu commenter kama anatafsri movie 😂😂😂😂😂
We never deny our team
APR FC UGENINI KA NYUMBANI🖤🖤🖤🖤🤍🤍🤍🤍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤫🤫🤫🤫 we are lions
Remember Simba Day 2-0
@@issaibrahim8796friendly game😂
APR. Siyo. Vitalo ya uko Burundi. Iyi nitimu. Ya majeshi. Yenye pesa. Lazima. Azamu. Ipigwe tena. Vibaya
Acha ushamba wa soka wewe vitalo unawachukuliaje, sema tu azam wamezingua sana
Apr timu kubua ugeni ni kama nyumbani hata game ya kwanza iliyibiwa
apaatuna tim yakutuwakilisha kamataifa Ila tunatimyakukamia Simba na yanga
Kwa hiyo azam ndio wametoka ivyo tumebaki peke yetu yanga😢
HII TIMU NI AIBU KWA TAIFA. eti ooh tumeipata code. Kama ina laana vile
Azam aliposhindwa kumfunga nyingi APR nyumbani ndio lilikuwa anguko lake. Tena wajipange wameanza vibaya kwelikweli😢 sasa alingangania nafasi ya pili ya nini😢😢
Hata uko Tanzania. APR. Ilibiwa. Penat. Yamcongo. Azam. Siyotimu yakufunga apr
Mumecheza udako complex mlitegemea Nini Azam fc munapoteza pesa za bakharesa tu kwenye mishahara jitumeni maboya asije kuuza timu akaona Bora icream kuliko timu
Pumbavu sana hawa azam
Race to the lion's ❤❤❤❤
Kipa alijifanya anajua kudaka akicheza na yanga na simba wametuaribia mngewavunja miguu kama wajanja nyinyi
Ruboneka jean bosco
Mimi nahisi hii timu imeanzishwa ili itangaze bidhaa za kampuni tu. Hawana njaa ya kufanikiwa kimpira. kikosi kikubwa makocha hawaeleweki maanina.
Duuu😂 sijapenda kabisa azam bhnaa
Apr 🔥🔥🔥🔥
Ugenini Kama nyumbani
Na ikiendelea kwenda azam kwa kuwakamia simba mda si mrefu tunapolomoka hadi kupeleka timu 2.
Where is fei ? Am here to search him
😊
Azam bana😮😮😮
Keeper wa AZAM ni unga
Hili lilitabiliwa kuwa Azam atakula 2-0 warudi kuuza ICE CREAM Bongo.
Wachezaji hawajitumi Azam hususani wale wa Kigeni, wanachezea pesa za Bhakharesa
AZAM NI WAPUMBAVU AWAJITUMI UONGOZI WA WAZAM LIANGALIENI HILI SUALA AISEE HAWA WACHEZAJI NI WAJINGA WANA CHUKUA PESA BURE TU
Mm nilisha sema zitabaki tu timu mbili ikiwakilisha Tanzania 🇹🇿 simba sc na yanga sc basi na tusibishane hawa wakale ice cream za ukwaju
Daaah kikundi cha wahuni iko
Saf naki helehele Chao cha kutukazia Simba iyo inaitwa mtoto kautaka😁😁
This is APR
Apr haifiki popote Azam mbovu tu Kama apr
Nenda ukakutane na Mayele 😂
Tz kuna timu mbili tuu Simba Yanga wengine wasindikizaji hata wafanye nini hovyo sana Azam.
Azam ni wasindikazaji tu! Timu ya hovyo sijawahi kuona. Kila mwaka yale yale tu
Atar aise
Hawa wanatakiwa wawe wanashika nafas ya 3. Wanaiaibisha nchi. Alaf bakhresa akitaka kuwa na team ya maana amfukuze CEO wa familia aajil CEO mwenye wered wa mpira
Nadhani huyo mmilili wa azam pesa zake hazimtii uchungu, players wake hawana moyo wa kujituma bure kbs aibu looooo!!!!!
In Tanzania AZAM give referee corruption but now is not possible
Where is Colombians? Hhhh there is a total different from players kbx
Tim feitoto oyeeeeee😂😂😂
Ndo wamezoea hao
Azam niyari kudushobora abafana ba rayon baramwaye
Tena walianza kusajili kabla msimu hujaisha
😂😂😂😂😂😂😂 mkirudi mnakula ascreem bila sukari😅😅😅yaani mmeenda kutuaibisha
Hawa Azam wanachojua ni kuikamia yanga tu..fitna za caf bado hawajui😢
Ni furaha kabisa.
Azam mlitambaaa oohhhooo tumewatoa Simba haya Sasa Kiko wapi hahahaha wakubwa tushazoea
Akuna tm apoo😊
Wangetuacha tu Simba tuende shenz kabsa🤣🤣
Duhhhhh mnyama umetufanya tubaki na timu moja clubs bingwa ulivomleta azam
azam akili zao sijui zikoje wananichosha
Nafuuu wamekoma kujifanya ving'ang'anizi Sasa wamepata walichokua wanataka
Gaudenc Msindo ni dhiki
Azam ni timu ya watoto wa shule kelele shuleni
Hii timu ya Apr ukiichukulia poa inakuchapa Ina uwezo wa juu
Kwa timu wenyewe Azam au
Tz ni Simba na Yanga tu
fei kwani hayupo
Bazongere biyemere
APR saizi yao kwa sasa ni SIMBA na YANGA.
Yanga ni level nyingine labda ikapambane na simba ndio level yao
@@elishakayagwa9371😂😂😂
Azam awana baati
AZAM kusema ukweli wametutia aibu! Mie Yanga lkn nilitaka wafuzu! Ila nilpoana ushindi ule mwembamba,nikajua basi tena! APR kwao sio wabaya!
Nyinyi watanzania mupira wenu no mudomo tu, leta na iyo yanga tuyipige, hata kwenye uwanja na Amahoro stadium the best Easter Africa(all football stadium
@@Zkzys567m 🤣🤣🤣sawa boss! Ila kumbuka tu mdomo haukufikishi robo fainali boss! Omba.kufika makundi kwanza🤣🤣Yanga achana nayo! Utapata ugonjwa wa.moyo , ndugu zako watakusimulia yaliyowakuta 🤣
Kwani Azam iliundwa kuleta ushindani na yanga tu wangecheza na yanga wangekamia
Azam ndio vidume wetu
Sasa wame baki yanga na simba timu kongwe azam ni ligi wana wakamia simba na yanga kazi imekwisha waku uze bolilo mkate na ice cream
Ubaya viongoz waoo wanaegemea uyanga yan wao uyanga upo mwng sasa watafanikiwaje kwa kuweka uyanga mbele
Ujui mpir mavi wew ati kweny azam wanapend uyanga wakati kiongoz wao tu ni simb viongoz simba nyigu ww
Na usimba ni mwingi mpaka unamwagika 😅
Azam yanteje imbeba😢
Mkanye mlale wapuuzi nyinyi na umoja wenu wa Gsm
Mu ache hio mambo ya uchawi ya 4-4-2 muchezi mupila
Tatizo wanapenda mauno sijui hawaja katika kwa nini🤣🤣🤣🤣🤣
Jau sana😂
namhurumia fei toto tu hapo
Bakhresa anaharibu mpira wa Tz,,, atafute mchezo mwngne awekeze
Sijui azam kwenyempira awaga wanatafuta nini😢😢😢😢
😂😂😂
mlikaza makalio kuinga'nga'nia nafasi ya pili sasa kiko wapi si bora mngemwacha simba tu pumbavu zenu nyie
Hilo beki la kushoto linakimbia golini kwake tu bila kuangalia aduwi yupo wapi yaani Azam fc beki mbovu sana timu yenyewe inaboa hebu TFF ifungieni wanatutia aibu, jku wamepigwa 6 na pyramid lakin hawana usajili wowote hata wa million 20 zaidi ya wazawa tu halafu hawa wanaotowa watu Colombia usenge mtupu mnaboa tena vibaya
😂😂😂😂😂 banayita Azam 😂😂😂
Hawa ndio walituharibia Simba? Pumbavu zao😂
AzaaaaaaaaaM hahaha wachezaji wakauze lambalamba
Maneno mengi kuisema siba haya mbona hamuongei ugolo umewaingia puani pigeni chafya mkajipoze na ukwaju😂😂😂😂
Goal la pili ni la mchongo clear off- side
@@issaibrahim8796Apana
Azamu mbwa tu