VITASA: Mapokezi ya Mandonga Songea ni balaa, apewa gari, afunga mitaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2022
  • USIKU WA KISASI: Bondia Karim Mandonga amewasili mjini Songea tayari kumvaa Shaban Kaoneka katika moja kati ya mapambano ya utangulizi kwenye Usiku wa Kisasi #PaybackNight utakaowakutanisha Selemani Kidunda dhidi ya Tshimanga Katompa wa DR Congo, Julai 30, 2022.
    Katika mapokezi haya, Mandonga amekutana na 'surprise' ya kupewa gari na mmoja kati ya mashabiki wake, huku mitaa ikifungwa na mji kusimama kwa zaidi ya dkika 70.
    Tazama ilivyokuwa.
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 316

  • @dunstannyange7509
    @dunstannyange7509 ปีที่แล้ว +8

    Miongon mwa watu wanaosababisha weng waufatilie mchezo wa ngumi bac ni huy jamaa Karim Mandonga daaa Mungu atupe kibali tufike hiyo jumamoc

  • @pascalcostantine4478
    @pascalcostantine4478 ปีที่แล้ว +6

    Mandonga ameipandisha juu sana hii tasnia ya Ngumi, Hakika Mungu ni mwema

  • @jimymacha6985
    @jimymacha6985 ปีที่แล้ว +21

    Anaeangalia sasa hivi baada ya pambano kama mimi piga like twende

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme ปีที่แล้ว +7

    Madonga star by nature 🤣 nimeamini kwamba kushindwa sio ndio mwisho wamafanikio, Mungu akubariki sana katika kazi yako poa sana unahamasisha vizuri sana katika ngumi

  • @hasheemmalulu7719
    @hasheemmalulu7719 ปีที่แล้ว +8

    Team mandoga Tujuane

  • @lloveyoutanzania5315
    @lloveyoutanzania5315 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mwamba ana nyota ya kupendwa na watu balaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kennethjunior6071
    @kennethjunior6071 ปีที่แล้ว +3

    Mandonga mtu kazi umenifanya nianze kufatilia michezo ya ngumi Never give up brother

  • @waheedhamad4558
    @waheedhamad4558 ปีที่แล้ว +8

    Mandonga ana nyota kubwa sna....mm mwenyew najikuta navutiwa nae lkn nahisi kama atatuangusha....ila kaza booti

  • @nassoromussa2423
    @nassoromussa2423 ปีที่แล้ว +7

    Tuwacheni utani jamani kwa sasa hivi 'MANDONGA' ni bonge moja la supastaa hapa nchini.

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 ปีที่แล้ว +11

    Uyu. Bwege ukimsikiliza upandi ulingoni

  • @joachimshirima5578
    @joachimshirima5578 ปีที่แล้ว +8

    Mandonga ndani yako kuna vingi mnooo... Hata ukipigwa ww ni star mkubwa

  • @mbogoidentity
    @mbogoidentity ปีที่แล้ว +6

    Shabani kaonekaa umeyakanyagaa sisi team mandonga lazimaa aanguke uanguke mapema tuu

  • @mpilimussa7322
    @mpilimussa7322 ปีที่แล้ว +5

    Team Mandonga Mtu kazi

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 ปีที่แล้ว +3

    Big up bro mandonga, mtu kazi,kaoneka kashawishiwa

  • @manhajkitabwasunnah740
    @manhajkitabwasunnah740 ปีที่แล้ว +2

    Madonga mtuu kazi, shabiki wako toka kenya. Huyu atakua champion East Africa kwa mda mfupi sana maanake anayo confidence

  • @officialprincebaro6983
    @officialprincebaro6983 ปีที่แล้ว +4

    Mandonga mtu kazi daaah... huyu mwamba ananifurahisha maneno yake

  • @godfreymsanya2726
    @godfreymsanya2726 ปีที่แล้ว +3

    Mandonga awamu hii usituangushe tupo nyuma yako tunakuombea Mungu akuwezeshe ushinde mechi yako.🙏🙏

  • @wazirmasokola5951
    @wazirmasokola5951 ปีที่แล้ว +5

    Team mandonga mtu kazi tunamkalisha mtu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 ปีที่แล้ว +5

    Mwanangu sana ndogaboy usiniangushe hilipambano unatakiwa upigwe ili Uzidi Kupaaa bit kali ukilandongamoja chali umaarufu tayar sema nakukubalisanaaaaaa

  • @dicksonchambo1896
    @dicksonchambo1896 ปีที่แล้ว +1

    Mandonga ninoma,nimekuelewa sana uko vizuri.

  • @idarousomar1
    @idarousomar1 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali sana mtu wangu

  • @michaelnkamba9872
    @michaelnkamba9872 ปีที่แล้ว +14

    Ili ndio pambano kubwa linalo subiliwa la mandonga 😂😂😂

  • @khamisseif9870
    @khamisseif9870 ปีที่แล้ว +5

    Namkubal sana mandonga yani

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 ปีที่แล้ว +3

    Aaah Huyu jamaaa Kwa promo Yuko vizuri sana kudadekiii 😂😂😂

  • @timothyikabu2319
    @timothyikabu2319 ปีที่แล้ว +2

    fan mkubwa wa madonga kutokea 🇰🇪🇰🇪

  • @josephsebastian6324
    @josephsebastian6324 ปีที่แล้ว +7

    Hiv huyu madonga kuna game hata moja aliwai shinda kweli

  • @abaspaundy8081
    @abaspaundy8081 ปีที่แล้ว +3

    Matonga mtu kazi nakukubali sana 😀😀

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr ปีที่แล้ว +6

    MANDONGA bahna. Kwa kweli boxing imeingiliwa mwaka huuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 ปีที่แล้ว +2

    Sema mwamba ana nyota ila Hana uwezo! #Mandonga atakuwa star wa bondia Hata kama anazibuliwa kila game

  • @allinclusivefun9653
    @allinclusivefun9653 ปีที่แล้ว +5

    Jamani Tafadhali mleteni fight ijao Mombasa Kenya.. nawaomba number yake ni sponsor fight yake hapo Mombasa.. sisi ni mashabiki wa Mandonga kufa naye..

  • @nahumumgwama2280
    @nahumumgwama2280 ปีที่แล้ว +1

    Noma sana songea hawana dogo,,Mandonga mtu kazi umenivutia kukufatilia unajuwa hamasa. Ila uwanjani sijakujuw bado

  • @abdallahrashidi419
    @abdallahrashidi419 ปีที่แล้ว +1

    Oya mwanangu kaoneka mi nakushukuru sana kwa niaba ya wasambaa wenzangu wote umetutoa aibu mana huyo mchizi kaimba sana afu ukampa moja tu,big up ndugu

  • @yohanasport5929
    @yohanasport5929 ปีที่แล้ว +3

    Tuliopo Zambia tunaona kazi ya Mandonga

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 ปีที่แล้ว +8

    APEWE UBALOZI WA NGUMI ANAJUA PROMO

  • @matataog
    @matataog ปีที่แล้ว +3

    Mandonga kweli amewahi kushinda kweli.

  • @inocentgalinoma9544
    @inocentgalinoma9544 ปีที่แล้ว +1

    Mandonga mtu kazi....una majibu fact sana...👊👊👊👊✌

  • @issacalley5145
    @issacalley5145 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa Ni Brand Tosha ya Michezo wa ngumi 😂😂😂😂😂😂😂😂 maana nimecheka mbaka mbavu zinauma

  • @sdeshnjwetr6707
    @sdeshnjwetr6707 ปีที่แล้ว +3

    Siyo ya kukosa nipo njiani kutoka mbeya , 💪💪🇹🇿🇹🇿

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kushindwa ni kawaida tuu,Ila mandonga yuko vizuri sana.

  • @mapalalaabiola1815
    @mapalalaabiola1815 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga Mandonga Mandonga Oyeeeeeeeeee💪💪💪

  • @bernardsamwelmapuga406
    @bernardsamwelmapuga406 ปีที่แล้ว +6

    Ahhahaaaaa hatari sana mandonga ukimsikiliza ulingoni hupandi

    • @simbamtoto7530
      @simbamtoto7530 ปีที่แล้ว

      Mkwala mzito

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

    • @jacksongeorge3964
      @jacksongeorge3964 ปีที่แล้ว

      Hahha hatari yani ana mikwara sema na mkubali kwa mikwara yake

  • @francisshake8016
    @francisshake8016 ปีที่แล้ว +3

    Mandongaaaaaa ahaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 One love Kutoka kenya shabiki mkubwa mie

  • @beatusnsiima8005
    @beatusnsiima8005 ปีที่แล้ว +1

    Woyoooooooooo papaa Mandonga mzee wa Chaliiiiiiiiii ha ha ha haha ha ...nakukubali sana kwa mkwara

  • @fetreashasalumu9038
    @fetreashasalumu9038 ปีที่แล้ว +3

    Ipo siku brother utashinda tu

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @brezhnevthadey7368
    @brezhnevthadey7368 ปีที่แล้ว +3

    From dar es salaam unamashabiki wengi since day one tunakutegemea tukalishie huyo mtu

  • @festojonas7730
    @festojonas7730 ปีที่แล้ว +5

    Mandona ata..atabasamu ana mkwala mpinzani ukiwa umjui mamae utajua.ujui

    • @gritg5152
      @gritg5152 ปีที่แล้ว

      Anakupiga na mdomo kama mzaramo

  • @nyamugiraishengoma3258
    @nyamugiraishengoma3258 ปีที่แล้ว +1

    Mr mandonga mtu kazi mwenyezi mungu akusaidie 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 ปีที่แล้ว +3

    Karim mandonga nakuitaji ukimpiga Shabani jua mm nakuitaji hata morogoro nitakufuta

  • @eliasedes1225
    @eliasedes1225 ปีที่แล้ว

    Mandonga mtu kazi nakukubali tueshimishe brooo

  • @zahirurumidis4301
    @zahirurumidis4301 ปีที่แล้ว +5

    Jinsi alivyo na mikwala angekuwa na nguvu ingependez sn😂😂😂😂,ila msela anajiamini

  • @dunstannyange7509
    @dunstannyange7509 ปีที่แล้ว +4

    Mandonga amelifanya Pambano lake liwe kubwa na la mvuto kuliko hata hilo la Kidunda

  • @rajabkamanza4771
    @rajabkamanza4771 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga Mtu kazi

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 ปีที่แล้ว +4

    Mandonga kama dullah maneno mengiiiii

  • @jobwanjala9176
    @jobwanjala9176 ปีที่แล้ว +3

    Mandonga mnyama sana😂😂😂

  • @alhajimaulidi3391
    @alhajimaulidi3391 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga mtu kazi

  • @agwemma4045
    @agwemma4045 ปีที่แล้ว +4

    Mi niko pamoja na mandonga mwa mwi

  • @mansuliusanga31
    @mansuliusanga31 ปีที่แล้ว +2

    Mandongaaaa bg bondiaaa

  • @daudikuura9052
    @daudikuura9052 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga aiseeeee balaaaa ha 😃😀😃😃😃😃😁

  • @kelvinroom
    @kelvinroom ปีที่แล้ว +2

    Mandonga umezingua sana...hujui tu. ... 😄

  • @uswegehamza5968
    @uswegehamza5968 ปีที่แล้ว +7

    uyu jamaa ananyota kali Sana ya kupendwa japo uwakika wa kumpiga mtu ni asilimia ndogo sana

  • @rahimomary7663
    @rahimomary7663 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 mandonga mtu kaziiii bondia comedian

  • @peterphilipo4152
    @peterphilipo4152 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali bendela ya kuzim🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shanelmbunga1301
    @shanelmbunga1301 ปีที่แล้ว +2

    Shabiki hoyeeee

  • @radikallambo491
    @radikallambo491 ปีที่แล้ว +2

    MANDONGA 👊👊

  • @uswegehamza5968
    @uswegehamza5968 ปีที่แล้ว +6

    nataman jamaa ashinde namkubali ile mbaya

    • @calvinpaul2171
      @calvinpaul2171 ปีที่แล้ว

      Uyuu jamaa n mshereshaj mzurii snaa

  • @allyyussufshuwari4508
    @allyyussufshuwari4508 ปีที่แล้ว

    Huyu noma nakukubali mandonga mtu kazi ....

  • @samwelmeela8384
    @samwelmeela8384 ปีที่แล้ว +1

    Mtu kazi

  • @MohamedSaid-il3bo
    @MohamedSaid-il3bo ปีที่แล้ว +1

    Ila songea hatuna dogo 🙌🙌

  • @rashidyally8715
    @rashidyally8715 ปีที่แล้ว +4

    Baada ya kipigo Sasa mandonga anasema Kama mnaona Ile kazi nyepesi pandeni nyinyi ulingoni sio mnani posti posti tu

  • @feruziselemani4032
    @feruziselemani4032 ปีที่แล้ว +2

    Wana wa central Zone East zoo tupo njian tunaelekea Songea kum support Mandonga mwanatu

  • @davidsalikoki6319
    @davidsalikoki6319 ปีที่แล้ว +3

    Usinywe tena dabo kiki mtu kaziii

  • @bakarikalembwe1510
    @bakarikalembwe1510 ปีที่แล้ว +3

    Mandoka mtu kazi piga mtu umfurahishe huyo dada Elizabeth

  • @athumanfuko199
    @athumanfuko199 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga weka guard mtu wa kazi

  • @wilbertchaula5441
    @wilbertchaula5441 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว +2

    Karim Madonga Mtu Kazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bmwilliam8160
    @bmwilliam8160 ปีที่แล้ว +4

    Mandonga ni mzaramu maneno mengi kapigwa moja tuu chalii

  • @zephanialukumay3036
    @zephanialukumay3036 ปีที่แล้ว +5

    Huyu hata kama kapigwa,yeye ndiye aliongeza mashabiki uwanjani,aongezewe bonas

    • @allyyussufshuwari4508
      @allyyussufshuwari4508 ปีที่แล้ว

      Kweli anefanya watu kukubali mchozo wa bondia na utazidi kuwa maarufu kwa mandonga

  • @constantinochalle856
    @constantinochalle856 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ananifurahisha sana

  • @stevenkimaro65
    @stevenkimaro65 ปีที่แล้ว +2

    Oya mandonga tuna kukubari sana kutoka mboka manyema

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa inaonekana anapenda ngumi na anatamani kuwa bondia mkubwa.....nawasihi wadau wamtafutie wakufunzi wazuri wa kumnoa na kumpa mbinu sahihi za upiganaji ili hayo maneno yake tuyaone kwa vitendo....na ni mhamasishaji mkubwa wa ngumi,,naamini washabiki watakaofurika uwanjani ni kwa ajili ya hayo maneno yake

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 ปีที่แล้ว +2

    Mandogo-mtu mwene vitusho visivyo na madhara

  • @hosraiyan
    @hosraiyan ปีที่แล้ว +3

    Mandonga sahv akipgwa ushaur wangu bora akaigize muvi kama kubwa ya maadui anafaa sio kwa mikwara hio😂😂

  • @mariamlucas6922
    @mariamlucas6922 ปีที่แล้ว +4

    Sema Lina nyota ya watu

  • @faustinesay4370
    @faustinesay4370 ปีที่แล้ว +4

    Fanya kwel 2mechoka maneno

  • @officialprincebaro6983
    @officialprincebaro6983 ปีที่แล้ว +4

    Mbona hilo gari lina plet number ya South Africa
    Durban

    • @erickmasao6932
      @erickmasao6932 ปีที่แล้ว

      Ukinunua gari South unaruhusiwa kutembelea kwa muda flani

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 ปีที่แล้ว +4

    Mashabiki wa Mandonga tuna imani naye,mtuache jamani, ila na wewe ujikaze sasa ,safari hii usile ile kitu ya Arusha🤣🤣

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 ปีที่แล้ว +2

    Anafaa kwenye matangazo

  • @allyally2908
    @allyally2908 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa alipigwa lkn kashakuw star

  • @josephatmassae7316
    @josephatmassae7316 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga katupiga hela yetu imeenda bure

  • @yusuphkingazi4284
    @yusuphkingazi4284 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka sana

  • @issamanongi1902
    @issamanongi1902 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga tupo pamoja mpaka watu uwe

  • @mussaikunda5641
    @mussaikunda5641 ปีที่แล้ว +3

    Mandonga nakukubar mandonga m2 kaz

  • @joelmichael3928
    @joelmichael3928 ปีที่แล้ว

    Izo 100-190 ndio zangu 😂😂😂🙌 We love you Mandonga 🙌❤️

  • @charlesevodi1760
    @charlesevodi1760 ปีที่แล้ว +3

    Mlevi uyooo

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 ปีที่แล้ว +2

    Mandonga ana nyota na ana ushawish

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe huyu Eliza ndio alimaliza pambano kammaliza nguvu zote mandonga itakua alimpa mzigo

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 ปีที่แล้ว +1

    Mandongaa mtukaz benderaa yakuzim eshimaa sana

  • @ivokomba7279
    @ivokomba7279 ปีที่แล้ว +1

    Uwiiiiii

  • @mcpwanako9091
    @mcpwanako9091 ปีที่แล้ว +1

    Mandonga😁💪