SPIKA DKT. TULIA AWA MKALI, ATOA MAAGIZO KWA SERIKALI KUMALIZA MGOGORO WA WANANCHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 15

  • @NEFRONKonga
    @NEFRONKonga 3 หลายเดือนก่อน +1

    Spika upo vizuri mno. Nakufuatilia napenda unavyo endesha Bunge unakaa katikati ya mawaziri na wabunge kujenga hoja za kusaidia wananchi. Mungu akubariki sana nakufurahia kwa kweli.

    • @fridoliusrushunju9093
      @fridoliusrushunju9093 3 หลายเดือนก่อน

      Yupo vzr Sema shida yake anashindwa kufanya maamuzi pale anapogundua kuna tatizo upande wa serikali ila yupo vzr siyo kama zungu na hii mijadara muhimu zungu awezi kuendesha

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa vikao hivi Spika maua yako,umesimama vizuri kuwatetea wananchi.

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 3 หลายเดือนก่อน

    Rais Sio Msada Mawaziri Wanafanya ujinga,2025 bora mtanganyika Hata kama ni upinzani kuliko,chama tawala kagombea Mzanzibar

  • @graciouskibona3853
    @graciouskibona3853 3 หลายเดือนก่อน

    Spika unatenda haki lkn je watu wako wa mbeya mbona umekaa kimya kwenye eneo lao nane nane mbeya

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 3 หลายเดือนก่อน

    Spika Tulia Mungu akubariki kwa jinsi Unavyoogoza kwa Haki na kwa Upeo mkubwa Bunge letu la TZ. Na viongozi waige Umahiri wa Spika Tulia Ackson.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa Mawaziri wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na serikali kwa kupokea maagizo sahihi kwa mh.Rais,na kwenda kutekeleza kinyume bila kuheshimu historia. Hawa wanamyumbisha Rais aonekane mbaya kwa wananchi! Mh.Spika fuatilia okoa serikali na chama...kwasababu Kairuki na Jerry wana lao jambo...

  • @DaimaebraniaMbilinyi
    @DaimaebraniaMbilinyi 3 หลายเดือนก่อน

    Kama ulivyo mgogoro mpaka wa wanging'ombe na makete vilevile.dah! Hawa viongozi ni shida

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uwingi wa polisi.. neno 'mapolisi' anatumia sana lissu ili kuwakera hao askari polisi

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 3 หลายเดือนก่อน

    Spiral wa kiwango.Huyu Waziri anababaisha.Hana jipya

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika wewe ni spika mzuri sana MUNGU akuongoze vyema uishi maisha marefu na udumu katika vyeo ili tufaidike na hekima zako

    • @PhilipoMwita-wc1ku
      @PhilipoMwita-wc1ku 3 หลายเดือนก่อน

      Uzur wake nn sura au urefu wa twiga

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel 3 หลายเดือนก่อน

    Hao ndio wabunge wanatakiwa nchi hii

  • @georgemaganga3804
    @georgemaganga3804 3 หลายเดือนก่อน

    Nimekukubali spika

  • @Jackson-Novat
    @Jackson-Novat 3 หลายเดือนก่อน

    Uhondo mnazingua mnakwama kwama.