Wanawake mara nyingine acheni dharau. Big up Dada umewawakilisha vema madem wadangaji. Mwanamke utakuta hata toroli ukoo mzima hawana lakini anadharau gari za watu. Joti uko vizuri
Jamani mimi nairudiya rudiya mara zaidi ya 5 uku nikiburudika na commenté JOTI uwishi miaka mingi hadi mbinguni ufike ili uwe unatucekesha uko baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we love you ❤ ❤ ❤
Alafu kweli kwenye dinga zenyu mnakua namatusi sana haswa pale mnakua namademu aya bwana endeleni nahizo jewiri zenyu 🤣🤣🤣🤣🤣 #Joti weni noma message sent Much love ove from Comoros 🇰🇲🇰🇲😍😍🔥🔥🔥
Sisi kama washabiki wenu' tunaridhika sana kwa kazi nzuri👍
Nikweli mnatupatia tiba mhimu sana ktk maisha 😂😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂nimechk san eti hii nayo ndinga
Hii channel inafaa ifike 1 million followers before 2023 in shaa Allah
We hujaona chombo jombaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila joti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣iyo stuli mi hoi🤣🤣🤣🤣
Jinsi ya Kutumia Adobe After Effect LOGO ANIMATION th-cam.com/video/D1HiBjHtUIA/w-d-xo.html
Nakuona rais wa comedy Tanzania, God bless more brother
Yuko vizuri san
Thankso0ppoqyw
th-cam.com/video/E7Bcu03nsSs/w-d-xo.html
One of the best comedian in Tanzania no clout chasing but real hardworking guyz big up Joti forever watching ur crazy comedy🤣🤣🤣🤣
th-cam.com/video/E7Bcu03nsSs/w-d-xo.html
absolutely 💯
Baby vuwaa😂😂😂 joti kapokea ubatizo wa tope
Nishai Mtombangile Kitwango Mikazo Miguno mzee ndinga 😂😂😂
😀😀😀
Yani hili jina lazima ucheke
@@immmkiety9000 aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa@aaaaaaaa@@aaaa@aaaaa
@@immmkiety9000 aaaaaaaaaaa@a@aAa
Nifya
Wanawake mara nyingine acheni dharau. Big up Dada umewawakilisha vema madem wadangaji. Mwanamke utakuta hata toroli ukoo mzima hawana lakini anadharau gari za watu. Joti uko vizuri
Huhuhu mbavuu zangu jmn jotii fanya km hiii kali iludiwe😂😂😂😀😀😀
Hahahahhahahahah eti Ndinga ndinga ya nyokoooo hahhahahahahahhahaha hatari sanaaa
Joti ni mchekeshaji mzuri Hadi unamuelewa kbisa
Hujaona chombo😂😂😂😂
Ety ndinga
🤣🤣🤣 I like how nishai react confidently over him, eti unang'atwa nini
Et unang'atwa na manyigu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jotii Fala sanaa
😂😂😂
Ndinga limekuponza😂😂😂😂😂😂😂upo vizuri joti 🔥❤❤
Nyie hahahahahha Joti unaweza et mambo yameingilina 😂😂😆😆😆😆
Sisi kama washabiki wenu' tunaridhika sana kwa kazi nzuri
Nikweli mnatupatia tiba mhimu sana ktk maisha
Jamani mimi nairudiya rudiya mara zaidi ya 5 uku nikiburudika na commenté JOTI uwishi miaka mingi hadi mbinguni ufike ili uwe unatucekesha uko baba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we love you ❤ ❤ ❤
akya mama mpka nime jikojolea ofisin jot msenge sna mamakoo wwwwwww
Kifua km unanyonyesha jeshini😙🤣😂🤣😂
Na ile stuli kumbe ni urefu wa ziada 😎😃🤣
Safiii imewezaaa my favourite comedian from Tanzania i like that💝👊
Alafu kweli kwenye dinga zenyu mnakua namatusi sana haswa pale mnakua namademu aya bwana endeleni nahizo jewiri zenyu 🤣🤣🤣🤣🤣 #Joti weni noma message sent
Much love ove from Comoros 🇰🇲🇰🇲😍😍🔥🔥🔥
JOTI..JOTI..JOTI..!! How many times did I call you? Embu leo like coment zetu jamani utupe moyo mana sio kwa kutuvunja mbavu zetu😂😂😂😂
Aaa nimecheka kwelii
Eti mmh! Sasa tunaweza tukaagiza chakula🤣🤣🤣🤣🙌
😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣..kuna watoa roho wanaokuja kwa njia hizo
Mwamba uko vizuri Sana aiseee unajua kuwanyoosha wenye dharau, kule msomi na huku slayqueen😆😆😆😆
Me Nita Vua Lkn Kwa Mbali Ahahaha 😂😂😂😂😂
Kifua tu hicho hata nyani wanacho... Babe ameondoka? “sjui” sasa tunaweza kuagiza chakula 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 joti nakupendaga bure mbavu sina ulivyopanda kwenye stuli😂😂😂😂😂😂😃😃
Daaaah...nimecheka sana aiseeee, huyu mwamba sio mtu mzuri kabisa yan🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa tunaweza kuagiza chakula 🙌🙌🙆😀😀😀😀😀
Aki ya Mungu joti wewe ni nomaaaaa ishi miaka mingiiiiiiiii
🤣🤣🤣🤣🤣sasa tunaweza tukaagiza chakula
Iyo ndo swagaa kama mbelee....bro🤣🤣🤣
😄😄😄😄
Nishai nakubali sana yaani brother katika character ninayoikubali namba 1 nishai
Joti wenoma kabisa 👍👍👍😁😁😁😁😁😁
Nilikwambia baby ahaa!mwache mwache
Joti The Best Keep it up Broo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣jotiiiii bhanaaaaaaaaa
Pole sana shukuru Mungu amekumwagia tope angekumwagia mafuta je😂😂😂😂😂
The amount of confidence he had hahah 😂
😂😂🙌🙌
Hahaha 💪💪😃 watching from Kenya 🇰🇪 😍
Ndinga😂🙌🏾💪🏿🙏🏿❤🇹🇿
😂😂😂😂😂😂😂😂kwa mbaaaaali
Leo nimefurahi sana jamaann. Joti unatisha sana
🤣 🤣 🤣 Ameondoka eenh sasa tunaeza agiza chakula
🤣🤣🤣💪💯so interesting 🤣watching from Kenya 🇰🇪 😍 🖐🖐😃
Joti nakupiga ahahahahah unaumwa au unang'atwa Nini na manyigu ahahhahahahha we panya buku
I like the way he held his composure
Joti joti ur the king off comedy for sure😂😂
Hujaona chombo! hahahaha joti bana
Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga mungu nivo alopanga😂😂😂😂
Kweli kuna muda israeli anakuja kwa njia ya kibinadamu...sema kimeumana😂😂😂😂😂
you never disappointed us joti😁🙌
Absolutely 💯 💪💪watching from Kenya 🇰🇪 😍 what about you Justin 😀
Always ma many Nishai...!!
Funga mkanda niwashe ndinga 🤣🤣🤣Apo kwa ncheke 🤣🤣
😀😀😀 Nishai fire
🤣💪💪💪💯💥watching from Kenya 🇰🇪 😍
Kuna mda Israel mtoa roho anakuja kwa njia ya mwanadam....
Mim nitavua lkn kwambali..
Kuna mambo yameingiliana....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Joti wew nouma.ijumaa uwaga naisubir kwa hamu😂😂😂😂😂
Baby nikakuchukulie stuli😄😄😄😄
Hapo nimekumwagia tu tope, ningekumwagia wewe ungenielewa😅😅😅
We mtu Ni level nyingine 😂😂👍🔥
Agizeni chakula sasa,si mna nguvu🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀
Congrats my broh Joti
"muache,muache.....Naona kuna mambo yameingiliana"
🤣🤣🤣🤣🤣
@@hamisahodari9229 yaaani 🤣🤣
Eti bby pigana ah kudadeki mademu wachochezi!!! ....joti mwanangu hajaolewa nakupa bureeeeee
Daahh mwamba umenikosha sana mzee nimecheka vibaya mno 🤣🤣🤣🤣
Zarau izo mshushe bhaanaa
Jamani nawakaribisha kusikiliza wimbo wangu mzuri na mtamu sana
______________
The best among the best comedians in Tz
Betty hujaona ndinga hahaha
Hahaha mamb yameingiliana
Nishai mchekeshaji Bora Tanzania unajua kuchekesha Sana boss
😁😁😁😁😁😁😁😁unaniuwa sanaaa
You are my fever comedian 😂😂😂😂😂😂
Upo juu Mr nishai
Mkwara wa joti ukiwa muoga anakuingiza Cha kike🤣🤣🤣🤣🤣
Ndinga😁😂😂
th-cam.com/video/7s9ijUd0UDU/w-d-xo.html
Mwana kulifind mwana kuligeti🤣🤣🤣
Kwa mbaliiiii
WCB4Life Babe🧡🧡
Big up first comedian
😅😅🙌🙌🙌 unang'atwaa😅😅
Ukisema jambazi sema kwa mbali sema anataka ugomvi sema kwa mbali 😅😅😅😅
Nishai mtombangile kitwango mzee wa mikazooo miuno🤣🤣🤣🤣🤣 gonga like kama unamkubaliiiiiii mwamba
The One only on TZ a like it 🔥🔥🔥
Swaga kama mbele, kama mbele, swagger kama mbele..Eyooo NISHAI
Joti umetisha San
Mimi nitavua lakini kwa mbaliiii
Mimi mstarabu sanaaaa 😂 😂
Hahahaaa* th-cam.com/video/7s9ijUd0UDU/w-d-xo.html
Daaaaaah Ni kweli anataka ugomvi ila wa mbaaaali🔥
Muache muache muache 😂😂🤣🤣🤣🤣
Aa wee muache tu, muache tu muache😀😀😀 Aya unaweza ukaagiza chakula sasa😂😂
Huyu mdada anakifua kizuri😍😍🥰
Kaka sijawah kukupinga we nikiboko 😄😄😄😄🙌mzee wandinga.
Kuigiza kazi daaah,kazi nzur as usual
😅😂🤣🤣🤣 from Kenya mmh mbavu zavunjika Joti umekua barida
😀 😀 😀 Hata Israel mtoa roho alikuja kwa njia ya kibinaadamu
Joti mwana kulitafuta mwana kulipata hahhhaha
Nyani nawo pia wanavifua🤣🤣🤣🤣🤣
You have made my Friday Joti Tv! Ati "nitavua kwa mbali"😂🤣
That one was harder🔥😂
♥️♥️♥️♥️ joti unabaya unachekesha kiuwarisia sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa* th-cam.com/video/7s9ijUd0UDU/w-d-xo.html
Ety ameondk sasa tunaweza tukaaagiza chakula 😂😂
Ntavua t jot😂😂😂😂😂🙏🙏🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uyu jot namkubali sana
Ana njaa kwa umbaliiiiii
Kana mambo yameingiliana😆😆😆😆😆😆😆
Hahahaha siku hizi mwamba ana kitambi....nimecheka sana