BABU TALE FOUNDER TZ DIAMOND ALINIAMBIA NIMSAIDIE ATAIMBA WASAFI/ATASOMA/ WAKAZI HAJUI KUIMBA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2023
- Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online
#wasafi,#diamondplatnumz,#alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba
,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#TH-camlive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonize,#afro east,#linawachoma,#chadema,#rostam,#dodo,#diamond platnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko,#nikuone,#sijaona,tetema,niteke,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga, Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare ili kuweza kupata update mbali mbali ndani na nje Ya Tanzania
Tufollow katika ukurasa wetu wa instagram @BONGO TRENDY TV
Na kulike facebook page Bongo trendy online
#wasafi,#diamond platnumz,alikiba,#harmonize,#ushamba,#nandyftalikiba,#nibakishie,#Wasafitvlive,#instalive,#TH-camlive,#Mboso,#lavalava,#zuchu,#koffieolomide,#diamond&kofiiolomide,#waah!,#waah!challenge #lavalava,kwaru,wcb,raha,#alikiba,yope,#rayvanny,#diamond,#bachela,#gere,#kwangwaru,#aslay,#missbuza,#thestorybook,#nanusu,#tetema,#nandy,#rayvanny,#lavalava,#hakuna kulala,#wasafi,#marioo,#live,#whozu,bedroom,#zuchu,mama,ashua,tamba,corona,harmonizplatnumz,#mbowe,wana,mauzauza,#cheche,#amaboko,#zuchu,#uchaguzimkuu2020,#trending,magufuli,#wasafitvlive,nisamehe,#harminze,alikiba,#tundulisu,#nandy,jeje,#ccmlive,#yoperemix #wasafi#,diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,#kamwambie,#harmonize remix,#tanzania,#tutorial,#tumewas
#hakunakulala,#raha,#nisamehe,#bedroom,
#yopeyoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay,
#nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi,
#thestorybook,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko
#sukari,#waah,#hasara,#nobody,#wizkid,#davido,#burnaboy
#diamondplatnumz,#wana,#kwaru,buza#,jeje,#gere,#baclava,#harmonize,#wasafi,
#thestory book,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#waah#,hasara, #wananchiday2020,#wananchi,#yanga,#youngafricans,#yangasc,
#antonionugaz #yangaleo,#senzo,#alichokisemanugaz,#kambiyayangakigamboninibalaa,#mshindomsola,#wapesalamu,#shutikalitv,#simba,#azamtv,#azamtvmax,
#azamsports,#morrison,#hajimanara,#diamondplatnumz,#simbasc,
#manara,#wasafi,#globaltvonline,#barakampenja,#tuisilakisinda,
#ligikuu,#azamtv,#michezo,#highlights,#azamsportshd,#azamsports2,
#yanga,#sportarenawasafitv,#sportarena,#tanzanianews,#wasafitv
#diamondplatnumz,#wana,#kwaru,#hakunakulala,#raha,#nisamehe,
#bedroom,#missbuza,j#eje,#gere,#bachela,#dodo,#alikiba,#diamond,
#yope,#yoperemix,#kwangwaru,#afroeast,#wcb,#tamba,#nandy,#aslay,
#nanusu,#mama,#corona,#lavalava,#harmonize,#wasafi,#thestorybook
,#rayvanny,#tetema,#zuchu,#mauzauza,#ashua,#amaboko,#sukari,#shusa
#wasafi,#diamond,#sikomi,#niache,#mbosso,#kwangwaru,#rayvanny,#lavalava,#diamondplatnumz,#eneka,#waka,#hallelujah,#nana,#kidogo,#fire,
#kamwambie,#harmonize,#makulusa,#baila,#pamela,#iyena,#baikoko,
#nikuone,#sijaona,#tetema,#kainama,#niteke,#tamu,#niuwe,#simba,#jeje,#gere,#kanyaga,#sound,#wizkid,#davido,#burnahboy,#chrisbrown,
#despacito,#inama,#sukari,#shusha #harmonize,#uno,#ibraah,#corona,#covid19,#kondegang,
#kondemusicworldwide,#diamondplatnumz,
#wcbwasafi,#rayvanny,#mbosso,#zuchu,#lavalava,#halifa,#snopdoog,
#davido,african music,#afroeast,#eastafricansound,#afropop,
#bedroom,#kakatuchat,#sautisoul,#khaligraphjones,#nyanshisk,
#yemialade,#magufuli,#tiwasavage,#rema,#fire #boy,#joeboy,#skiibii,#gwajima,#joti,#cnn,#mpoki,#salimkikeke,#darasa,
#bongomovie,#netflix,#samatta,#quarantine,#onenight,#lockdown #swahiliflix #ikulumawasiliano #magufuliliveikulu #chatolive #youtubelive #instalive #jux #ladyjaydee #rostam #stamina #dogojanja #jumalokole #drkumbukauhondo #didashaibu #mashamsham #zarithebosslady #tanashadona #mamadangote #esmaplatnumz #queendareen #uchebe
#shilolenarommy #babalevo #wolper #kajalanaharmonize #auntezekiel
#kusah #wasafitvlive #simulizinasauti #Ayotv #rickmediatz #dizimonilne
#aristote #hamisamobeto #tiffa #koffieolomidenanandy #waa! #diamondnakoffieolomide #papamopao #mwananchidigital #Edigital #middlesimba #ptvtanzania #rayvannysoundofafricaalbum - บันเทิง
Mh. Talle umemjibu dada swali lake nilivyo waza hongera sana MUNGU akubariki
Mwenyezi Mungu akubariki baba kwa kumusahidia mtoto huyo.
Mungu akubaliki baba kwkumsaidia huyo mtoto
Hongera sana tale kwa kujitolea kumsimamia dogo super star wa baadae🔥🔥🔥
Babu tale mungu akubariki sana naa akuzidishiye inshaallah
Hakika
Amiina
Big up Babu Tale you are the hero!
One step ahead kwa huyu Founder TZ, Mungu msaidie huyu mtoto ajue the Golden Chance never comes twice, apambane Sana nafasi hii ni kutoka kwa Mungu
Namiye muni sapoti
Wakanti wa mungu ni sahihi sana mungu hanampa kila mja wake kwa wakanti wake
Wakanti wa mungu ni sahihi Sana mungu hanampa kila mja wake kwa wakanti wake, mungu ni mwema🙏acha kukariri maisha, stuka wewe
Duu kiswahili jamani😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂kabila gani plz
Hapa ndipo naamini kiswahili kimetokana na kichina🤣
@@samtv7321😆😆😆
Ongera babu taleh❤❤❤❤❤tuna wapenda sana wasafi uku kwetu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 WCB mungu Awa bariki saaaaana
WCB wasafi nilikuwaga nawachukiya sana lakini kwa hili ,Mimi ni WCB wasafi for Life 🔥🔥🔥😀
😅😅😅😅😅😅 wcb nikama maji🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
@@vanessa-vavandikumwenayo2757 😀😀😀😀acha tutanywe na kutakoga 🔥🔥,
Mashaalah Mashaalah mungu ni mwema
Mungu awabariki sana...inafurahisha sana kwa kweli....babu Tale leo nimemwangalia na kumsikiliza, anaongea ki ungwana sana, anafaa kuwa kiongozi, waliomchagua kuwa bungeni hawakupoteza kura zao.
Mweshimiwa mungu akupe maisha malefu aseeeeeeee❤
Babu tale mungu akubariki sana aiseee
Kwakweli babu tale majibu yako hayachok kuyasikiliza had nafrai daa mungu akulinde upo vizur❤
Babu tale mungu akupe maisha marefu
Mungu Akunzidishie Mzee Babu Taleh
Unafaa kuish tale mungu akulinde
Babu tale j❤ bure très intelligent soit béni
Kaka tale tale Allah azidi kukupa 🎉🎉🎉yako
Tunakushukuru Mungu kwa kumfungulia njia kijana wetu.Shukran sana kwa Diamond na Babu Tale pia.Asante Mungu
Jambo tena kutoka kongo,napenda tu Ku mshukuru mbunge wetu babu tale kwa kuwa namoya yaku inuwa vipaji vya wa dogo duniani. Namuombea mungu amlinde, ampe maisha marefu
Nashukuru sana mungu akubariki
Kwakweli mm Huwa sio shabiki watare sana ila Kwa hiki alichoo kufanya nimejikuta nampenda sana na nimekuwa mshabiki wake sana
Kama mimi
Dogo lazima atumike apo kikubwa akubali kusoma Ili aweze kuzijua haki zake km msanii
Mungu akujali babutale akupe umli mrefu
Mimi sijuwi niseme nini ila kwakitu ulicho kifanya Mungu akusaidie na akubariki sana sana kaka msaidie usiangalie nini au nini mzee fanya alicho kutuma Mungu kumsaidia
Tale nimekupenda bure Mungu akubariki
Babutale mungu akupe umri wa kuishi
Kiukweli babu tale MUNGU akubariki akika 🙌 kila kitu MUNGU upanga uyo mtoto kanitoa machozi akika 😢nimemfwatilia sana mazingira yanyumbani kwao daah naomba muende kumsapot pia mzazi wake na wadogo zake wawezi pata makazi mazuri👏kwani MUNGU akikupa amanishi kuwa wewe ni mwema sana Laah Asha!!! Anakupa kwakuwa amesha ona moyo wako na utumie moyo wako kusaidia wasie nae kwani hii Dunia sisi niwapitaji tu✍️
Babu tale bhana duu! na siasa juu hapooo mwishoni hapo mara mama kajenga zahanati sifieniiiii😂😂😂😂😂😂
Founder ashaanza kutembelea Subaru, Mungu ni Mwema
Nice babu tale
Babu tale mungu akusimamie
Babu tale yani upo vzr Hadi sahivi
mungu akulinde take ❤❤taleeeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤big up babu shukulan ❤❤
Tale Mungo akupe maisha malefu 🇲🇿
Mwenyezi mungu akusaidie Sana babu tale kutoa Ni moyo mungu atakulipa
Nice boss tale
Babu tare hua nakupenda kwasababu unahekima
Mashaa Allah babu tale
Hwa jams wapo kwenye media tour lakini kilichowaleta/aliyewaleta mjini hawamuheshimu kabisa. Inakuwaje DOGO anakara siti ya nyuma na watu wanne na kuna mzembe mmoja kakaa mbele??? Msiangalie umri wake huyo ni brand right now mpeni heshima yake
Hawajui kitu hao ndio maana walikuwa wanamdhululisha ovyo mara kwa kina pimbi
Mzemb ndo nani
@@solangebagal149
Wakuu wanatumia kukaa seat za nyuma
Hao wote ni wapambe au mameneja wake?
Mungu amujalia founder mafankiio mema by danifod kigoma buhigwe one
Kama vijana wanahitaji surport kutoka viongoz
Mungu akubariki babu tale ila namusihii dogo asijesahau waliomsaidia
Babu tale mungu akuweke
Mungu akubaliki zaidi❤
Babutale mungu akubariki kumusaidia fund tz
Tale ana akili nzuri
God bless you baba Tale and Founder🎉
Babu tale nakupenda tu
A man with a good heart
#More_Blessings_Taletale
Hasante Sana unaroh ya mtume tale
Mugu akusaidie babu tale na mimi Niko Comores nimefurahi kwa uzuri wako mugu akubariki akuweke inchallah 🎉🎉
Ukimwamini mungu chochote kinawezekana ubarikiwe sana babu tale🎉🎉🎉🎉
Uko sahihi babu Tale❤❤
Babu tale Asante kwa kisaidia vijana mungu akubariki
Take yupo sawa sana sana
Congratulations keep it up gd jo big tu sn❤❤❤
Ety maisha anayotokea ni very adi cituesheni😂😂😂 daaah
Kweli babu tale umejib vizur Sana kusema nimngu ndio kataka faunda afike hatuna aliopo daa asante Sana babu tale kwakumtanguliza mungu kwakila Jambo Allah akujalie mwisho mwema naumwa mref amiin
Huyu baba ana moyo wa kusaidia
Hongera sana mbunge wetu
Director Khasi seen it
Tz iko Noma sana
Babu tale hongera sana❤❤❤
Umeongea zaidi ya manager. Biashara ibaki biashara coz masikini akipata matako ulia mbwata.
Barikiwa kiongozi...
MUNGU yupo na ww
Mungu akubarik Babu tale
Tale mungu awe nawe akuongezee pale ulipo pungukiwa
Grandpa, when you gave, may God increase you to help the young man. You have done a great thing
Mungu akutakuli dg
Nimependa na nimependa Tena Mungu Akubariki na Akupe mke mwema inshalha
Tale mungu akusaidiye daima
Babu tale kudos
Barikiwa
When God say yes No one can say No ❤❤❤❤❤❤
Kazi mzuri
Mwenyez mungu akubariki sana Babu tale
Jahh bless tale tale
Congregation
babu tale mimi nikikuangalia unarohoo nzuri mimi nikoo arusha ila nikikuangalia tuu nakuona unatatizo kwenye tumbooo nimekuona leo tuu ila nimegundundua nitafute tuongee
😂😂😂😂😂
Duuu we jamaa noma sana
UmetisHa😅😅
Acha ujinga 😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Good bless you baba❤😊😊
Huyu dogo lazima atakuja kumdhalilisha tale😊
siku zote maisha hayatabiliki 😅😅
Tu es très intelligent
Voice brand ongela sana babu tale kwa kutusapoti vijana tunae chpikia asaivi kwenye muzik kwani sisi bila nyinyi bado atufiki mbali tushikeni mikono tushikike vijana wenu ipo siku nao kina braza simba wata staafu watatuachia sisi wenda ikawa nasisi tuta wakilisha nchi yetu kama anavo fanya braza simba tunakuomba babu tale tushike tushikike iposiku nawe utapokea mauwa yako kutoka kwetu asnte sana babu tale kama utaendelea ivi milele niwako msanii chpikiz voice brand kutoka moro mkuuyuni
God bless you Babu Tale
Km niliwai kukuongelea mabaya nisamee bro
Mungu azidi kukuongeza Babu tale
Hongera kwa kumsaidia maana mazingira ya kambi ya wakimbizi nimagumu sana
Baba mungu akuongezekee myaka
❤❤❤❤my god blessed you
Kali
Zero to hero❤❤
Much respect tale tale
Maashallah!
Ndiyo mana uliteuliwa kuwa mbunge
Mungu akuekeye wepesi
Gut tim
Ubalikiwe babu tale
Mashallah
Duuu imekaa poa san