Dogo Founder TZ is tomorrows legend, yeye azidi kupiga muziki na masomo pia ayafuatilie asiache masomo afanye muziki na pia apewe support kimasomo pia.
Harmo bado Hana uwezo wakumsimamia msanii yemwenyewe bado anahitaji kujisimamia,huyo Ibra mwenyewe washayazua huko,fuatilia hilo utakuja kunishukuru🤣🤣🤣
Dogo yupo vizuri cha msingi tu apate msaada kutoka kwa Diamond kama alivyo tangulia kusema anatamani awe kama Simba na wasanii wengine nadhani mziki na masoma ni vitu vinavyo endana kabisa
Mtoto wakibembe mungu akulinde
Dogo Founder TZ is tomorrows legend, yeye azidi kupiga muziki na masomo pia ayafuatilie asiache masomo afanye muziki na pia apewe support kimasomo pia.
wewe ulie soma umefanikiwa nini
Wewe uko na akili kweli? Masomo siku hizi hisaidii..achape muziki
Kweli kabisa shule sio kitu muache awe anachukua mb zetu 2
😊😊😊😊
Unaposema dogo janja unakosea, tumia Founder TZ
Kali Sana ❤❤❤
Nice one bro
🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations brothe siku Moja utafaulu kama mond
Mungu azidi kuwalida wote mnao msapot❤❤❤
Nuitaji support you
Uzuri wenu Tanzania ni support mie mkenya lkn nawapendea umoja❤
Poooo yooo
Sawa bro ❤❤❤❤❤
Dogo founder big up endelea kuweka nia utafika mbali ila mtangulize mungu na shule usiache
Nivzuri sana
mungu akulinde founder tz💓💕💝💜
More blessings youngster❤❤
Nice
Mashaallah ❤❤❤
Vizuri
Asante kwako WCB
👍👍
Ataweza ju bidi niyeye mwenyewe ❤
Mtoto wetu wa kibembe mungu akusahidiye
Ongera dogo
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwakweli kijana Yuko saw n anahitaki. Saport yenu n ss mashabik wake
Really ❤❤❤tale Be blessed
Mungu azidi kumlinda san kweli 💕 napia masome asiache🙏🙏
Asanteni Wasafi...🙏🙏🙏
Mulishio njo kazi❤
He is very smart🔥🔥🔥
Kama unakubal founder tz ni noma ngonga like hapa
Founder tz is genous
Big up Sana bro founder tz
Yuko vizuri
Mm susi kutoka Kenya nijana Ako sawa asome na ahendelee kukasa kamba na mungu amutangulia
Hapo amepatia aludisul na muziki atanik simba pokea mtoto wa nyumbani kigoma Abantu bakunda ibikogwa mimi Mutu wa buja namupenda simba 1oo/100
Kipaji kaonesha dogo yupo vzr
Oy faunder natamani nije kua kam wew na vile na digri kam wew
Courage
Mashallah
Babu tare nibabayao nimurezi cakufanya amushike mukono faunda tz Na diamond platnumz wamusaidie faunda kundi la wcb please mumusaidie dogo mimi natoka buja nawapend❤
From dubai mtt yupo vzr
Yuko good
Atakuja kumulipisha ma million subiri
kijana shukuru mungu kua umefika hapo tu ndani ya hiyo nyumba umesha tombowa
🤝
Founder uko viziri mungu amfungulia
Aha kijana yupo vizur akaze but atatobia dah nimemkubal Sana founder jmn
Mungu amutangulie AJ awe mxanii mkubwa Kam wengine
Bien Sana 🇨🇩
👌👌💖🌹❤
Rimjari mc wa kenya naninge penda faunder tz aendeleze kipaji chake huku akisaidiwa asome ndio kesho husani wake hukuje angare asanteni wasafi
Akasome
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
Mtoto yupo vizuri sana
❤❤ 4:34
Ana kipaji sana
Greates mwajiri dogo ana pakuka
❤❤❤❤
Namukubali
Mupleke kwa hamo😂😂😂
Harmo bado Hana uwezo wakumsimamia msanii yemwenyewe bado anahitaji kujisimamia,huyo Ibra mwenyewe washayazua huko,fuatilia hilo utakuja kunishukuru🤣🤣🤣
Shoo shoo mdg ang
Founder tz yuko sawa si mbaya kuchapa mziki na akiendelea na masomo Mungu amsaidie kwa kila jambo WCB mshikeni mikono vzur Mungu atawabariki sana ❤❤❤
Kiukweli anakipaje kikubwa
Yaani uyu dgo sio wakuachiliwa mkono tunamtka diamond amsaidie uyu dogo kma ana ubinadaam
Wekeni taarifa za ukweli kutokana na kichwa Cha habari ujinga huo
Hawa jamaa wanaongea Kama hawana ubongo😂
.
Ok jamani dogo Yuko vzl
Dodo founder tz ahendelee na shule pia mziki
Apambane mdogo wangu
Dogo yupo vizuri cha msingi tu apate msaada kutoka kwa Diamond kama alivyo tangulia kusema anatamani awe kama Simba na wasanii wengine nadhani mziki na masoma ni vitu vinavyo endana kabisa
Kipaji anacho jamani
Uyo mtoto amezaliwa tanzania yani ni ana haki yake❤
Hata asipo zaliwa tzd watanzania wanaroho za upendo hawana ubaguzi
@@emmiemmi3861 ukweli iyo tunajua wana roho ya upendo
Konki Sana il
Dogo Yuko vinzuri mshikeni mkono tu mana Yuko vinzuri
Dogo yuko sehemu salama
Kipaji anacho
Dogo❤❤
Dogo ana juwa kweli
Mikuma nyny kwa uwongo
Hekko
wamupe nafasi tu dg anajuwa kazi
Bongo mukubwa waba dogo ni DOGO SILLaH ana founder tz
Founder tz ni mtoto Sana kwa dogo SiLLAH
Ee
Uyo dog yupo vizur
Doga kasha pita
Dogo kashatoboa
Kipaj anacho dogo mshiken mkono
Kaza
❤❤❤❤
Kipaj anacho dogo mshiken mkono
Dogo nakupa mkono ,we n shupavu kimziki, nakupa mkono, yours Fantah B naomba siku moja npige rapa na wewe 🔥🔥
Kabisa mumusogeze