KIMENUKA LEO ! Tazama Diamond Alivyoshikilia KIUNO Cha ZARI Kumkomoa Shakib

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @RoseMadatta
    @RoseMadatta 26 วันที่ผ่านมา +2

    Wazazi wakiwa pamoja raha sana ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @SmilingCrayons-mt5nw
    @SmilingCrayons-mt5nw 26 วันที่ผ่านมา +2

    Bro hakuna furaha nzuri kama kuwa na Baba na mama kwa furaha kwani watoto Wana enjoy saana kuona Baba yupo hp so mungu sehemu nzuri hutoa matunda kawapa matunda watoto aachane na Kiki aishi na zari bro maisha yatakuwa poa saan

  • @AmericainWashington
    @AmericainWashington 26 วันที่ผ่านมา +2

    Furaa nikuwa karibu na wazazi ❤

  • @manirambonahawa3798
    @manirambonahawa3798 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nikweli wanafurahi sanawatoto wawo warudiyane

  • @msindimalugendo8252
    @msindimalugendo8252 26 วันที่ผ่านมา +3

    Dai ni watoto wake, na Zari pale ni kwake shida uko wapi

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 22 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mimi nafurahi kuwaona wakiwa pamoja,hebu ona watoto walivyofurahi walipomuona baba yao .

  • @linetnyamoita2274
    @linetnyamoita2274 26 วันที่ผ่านมา

    Mwanzo zari hazai na shakib..
    Shakib is very young ,look for a beautiful girl u marry akuzalie baba

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 26 วันที่ผ่านมา +2

    Shakib atafute wasichana uyo Zari na simba wanataka kutafuta mtoto wa tatu

  • @user-fx2wq2yx5r
    @user-fx2wq2yx5r 26 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu tangu pale ata mtoto ana

  • @theresedusabe6056
    @theresedusabe6056 26 วันที่ผ่านมา +1

    We unajuwa macungu batoto banapata kama habaone baba na mama pamoja?musio geze gusema burofa