dah Ila TANZANIA Hadi raha, sijui Baraka za Mungu zipo kwetu kwa kiasi gani lakini nadhani Ametupea karama za kutosha kabisa kuondoa hofu, mashaka, kuwa na furaha na zaidi ya yote kupeleka furaha kwa wengine. MUNGU NI MKUU NA HAKIKA YEYE NI MKUU. Nice one
Amazing song. I saw it on Facebook from my tanzanian friend Alex B and he told me I can get it on TH-cam. Even though I don't understand Swahili very well cuz I'm a Nigerian but I loved the song and I'm already your big fan. This song blessed my soul. Power of worship, tribe is never a barrier, we still vibe with the song. Thank you and God bless you
Zoravo is the future. 👏👏 you're a good writer, anointed and you really are a professional singer.. Congrats to the instrumentalists and back vocals too.
Mtu wa Mungu endelea kubarikiwa. Ahsante sana kwa wimbo huu ambao Roho Mtakatifu amaeuachilia kwa Kanisa kupitia wewe. Nimebarikiwa kuusikiliza na kutazama
MAJESHI YA MALAIKA Yanapasa SAUTI yakisemaaa...,Mtakatifu ni Bwana!!! Maelfu kwa Maelfu Yanapaza SAUTI Yakisemaaa..,Mtakatifu ni Bwana!!! Na Sisi watoto wako,Tunapasa SAUTI Tukisemaaaa....,Mtakatifu ni Bwana!!! GLORY GLORY HALLELUJAH!!!!!!
Powerful, energetic and spiritually filled song achana na hao wanaosema hear style -ufalme wa Mungu unafanya kazi kwa namna ambayo waliotiwa macho Yao Nuru ndo wanaweza kuelewa.
Came across this amazing song yesterday evening for the first time and after listening to it fora few seconds I could sing along and since then it's been ringing at the back of my mind the whole night.... surely God is working through this amazing people for His own the glory.....May He bless y'all....love from Kenya
I am so blessed by your songs. I have repeated this one over 7 times n can't get over it. More Grace to you Bro as you continue to represent Jesus. ****(I have subscribed *****😁🥰👏👏👏🥰💞💕❤❤❤❤❤
Why I'm singing this song till morning upto now even in my own language, I'm soo bless with your ministry Zoravo, God bless you for this wonderful song 🙌 🙌 🙌 🙌 I must digest the whole song 😊
Gloire à l'Éternel notre Dieu ! Nous élevons également la voix pour exalter Le Saint des saints . Meilleure chanson de louange ! Que Dieu bénisse toute l'équipe pour ce grand travail en Jésus-Christ, Amen !
Tanzania is of another level in praise and worship, May you keep up the spirit of humbleness and holiness for he is seeking for somebody to worship him in spirit and truth.
AMEN🙏 🙏nyimbo zako zina upako sana ila hizo nywele hazina utukufu mbele za Mungu ,wacha tuseme tu utakatifu ni pamoja na muonekano wa mtu ,kazi yako isije ikawa bure kwa sababu tu ya nywele hizo kama unania na dhamila ya kumuona Mungu hizo nywele achana nazo mtumishi wa Mungu hivyo unavyonyoa ni style ya mapepo ,nimesikiliz ushuhuda wa rachael mushara anasema alionyeshwa style za unyoaji nywele kuzimu na Bwana Yesu ,anasema alionyeshwa mapepo njisi yalivyo nyoa na Bwana Yesu akamwambia wapo watumishi wangu wanaonyoa hizi style nenda ukawaonye bila hivyo hawataniona maana style za unyoaji ni za kipepo .Mungu anatupenda sana hatamani ata mtu mmoja apotee.
Mapepo ni Roho na hayana Mwili. Injili ya sheria inafanya Neema ya Bwana Yesu ionekane Dhaifu. Hakosei wala kumuona Mungu haina vigezo Mana aaminie ameshaokoka, and His love is unconditional
Afu wewe aliyekwambia muonekano ni dhambi nani....kwahiyo wale wa south na wazungu huko nnje wanao perform wamevaa suruali wote wanavaa style za mapepo.. alafu we unaamini vipi kama huo ushuhuda ni wa kweli au aliamua tu kutafuta kiki do you have valid data to justify your claim au unaongea kwa hisia zako tu..."RUDI NYUMA YETU WEWE SHETANI MWACHE YESU ATAWALE SIO WEWE BINADAMU"
@@samjkaziml9413 ndiyo kuna miili mipya tunapewa huo mwili mpya unasehemu mbili za kwenda kuzimu au paradise ,Mtumishi wa Mungu ni nuru ya ulimwengu ni kweli tunabalikiwa kujengana nako ni vizuri siyo kwamba mimi ni mtakatifu sana hapan
@@emmanswilson7287 ndiyo ni roho na watu walio rohoni ndio wanaona hivyo vitu ,na yeye alivyopelekwa kuzimu na Yesu alikuwa kiroho mwili ulibaki dunian 🙏🙏 Mtu anapo kuonya ujue anakupenda kuliko yule anaye kusifia kila kitu
Uko sawa man of God sababu ukinyoa nywele kwa kichwa pia utaitwa mchawi🤔. You can't be good to everyone. You can't please everyone. So be yourself bro🤔🤔
Nani anakubaliana na mm kuwa zoravo ni mwandishi mzuri 🇹🇿🇹🇿
Nikweli kabisa mtakatifu nibwana🙏🙏🙏🙏
Nami na ungana na watakatifu nasema mtakatifu ni bwana.
Mimi
Mimi hapa na sauti kabarkiwa Mungu azidi kumuongoza
He is good....more grace zarova
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 leteni likes hapa
From Kenya God bless u so much
Mtakatifu ni Bwana Ubalikiwe sana Mtu wa Mungu
Hakika yeye ni mtakatifu
dah Ila TANZANIA Hadi raha, sijui Baraka za Mungu zipo kwetu kwa kiasi gani lakini nadhani Ametupea karama za kutosha kabisa kuondoa hofu, mashaka, kuwa na furaha na zaidi ya yote kupeleka furaha kwa wengine. MUNGU NI MKUU NA HAKIKA YEYE NI MKUU. Nice one
Tanzania ni kisiwa cha amani, sifa na heshima zikurudie Mungu wetu wala hatuna nafasi ya kujisifuu. 100% WE LOVE YOU JESUS
Kenyans 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 can we show love ❤
Always tuning in❤❤
Kaka Kaka Kaka 👐👐👐 umebarikiwa sana asee huduma yako ni kubwa mnoo huyu Yesu daaah narudia Mara nyingi hii leo
Naona umetegesha alarm mwamba
Siku haiwez pita sijasikia huu wimbo 💪💪💪watt wangu kila sku Lazima wauimbe 👯♀️
Kutoka Kenya ninapaza sauti nikisema “Mtakatifu ni Bwana” 🙏
Tunapaza sauti tukisema mtakatifu ni bwana🙏🙏❤️💯
Amazing song. I saw it on Facebook from my tanzanian friend Alex B and he told me I can get it on TH-cam. Even though I don't understand Swahili very well cuz I'm a Nigerian but I loved the song and I'm already your big fan. This song blessed my soul. Power of worship, tribe is never a barrier, we still vibe with the song. Thank you and God bless you
🔥🔥🔥Na sisi wachaga tunasema mtakatifu ni Bwana💯
Melody, mziki, vocal Mzee hii ngoma ni kwikwi hapatoshi mboNa....#NIBWAANA
Na sisi watoto wako tunapaza sauti tukisema mtakatifu ni BWANA
I am blessed by this song,and most by this man of God,the singer.Murakoze cane,from Burundi!
Zoravo is the future. 👏👏 you're a good writer, anointed and you really are a professional singer.. Congrats to the instrumentalists and back vocals too.
Paul clement mlezi
@@transposekesah3420 ikr
Mimi napaza sauti hapa Kenya nikisema Mtakatifu ni Bwana
This guy, I thank God how people are acknowledging Him.
Mtu wa Mungu endelea kubarikiwa. Ahsante sana kwa wimbo huu ambao Roho Mtakatifu amaeuachilia kwa Kanisa kupitia wewe. Nimebarikiwa kuusikiliza na kutazama
Binafsi naendelea kubarikiwa kila siku kupitia kipawa chako ambacho bwana wetu Yesu kristo amekukarimu.🙌🏽
Love from Kenya 🇰🇪🇹🇿🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waooh Very powerful song indeed Bwana Mungu aendelee kukutumia kaka. Karibu Tena Arusha.
My country ppl , tumenyimwa yote , tukapewa kumuabudu Mungu
Tanzania ni ya Mungu ❤
This song is backed by the Holy Spirit 🙌
Let's take it to a million views 🔥 🔥
Love from 🇰🇪
I was here before 1m views, nimeitafuta sana hii nyimbo finally nimeipata glory to God
Mtakatifu ni bwana 😢🙏
Napasa sauti kukuita mungu
Nyimbo Ninzurisana Sasa nywere hazina utukufu kaka Mungu Akusaidie
Am among those changed and blessed by your songs man of God...much ❤❤ from kenya...may the Almighty God uplift you as you serve Him
Ubarikiwe sana, natamani nami niimbe nyimbo za kumgusa mungu kama wewe
I can't get enough of your song's my brother 🙉🙉🥺🥺🙌🙌🙌🙌🙌🎶🎶🎶nakuombea
Na Mimi pia napasha Sauti nikisema "MTAKATIFU NI BWANA"🔥🔥🔥
Backvocals wamefanya Kazi nzur Sana...
Sana sauti zinaskika vzr kwa utulivu
Excellence and Oil... Nimebarikiwa sana @Zoravo
MAJESHI YA MALAIKA Yanapasa SAUTI yakisemaaa...,Mtakatifu ni Bwana!!!
Maelfu kwa Maelfu Yanapaza SAUTI Yakisemaaa..,Mtakatifu ni Bwana!!!
Na Sisi watoto wako,Tunapasa SAUTI Tukisemaaaa....,Mtakatifu ni Bwana!!!
GLORY GLORY HALLELUJAH!!!!!!
Bro huu wimbo ni 🔥🔥💯👍 barikiwa sana
Dah Shalom nkajua wale praise of spirit wa south Africa 🙏🙏🙏🙏🙏🥰🙆🙌🙌🙌🙌🙌barikiwa Sana Zoravo
Nyieee! Amekuja tena huyu mtumishi wa Bwana🙌🙌🙌🙌
Powerful, energetic and spiritually filled song achana na hao wanaosema hear style -ufalme wa Mungu unafanya kazi kwa namna ambayo waliotiwa macho Yao Nuru ndo wanaweza kuelewa.
Mtakatifu ni Bwana,,,, Hallelujah nasisi watoto wako tunapaza sauti tukisema Mtakatifu ni Bwana
God bless the small girl, worshipping joyfully
Mungu ana watu bana, wewe ni jitu zoravo
Another powerful applause to the Lord of lords...💪 ! 🎶
Good music💯
The backup's voices are on fleek🔥
Came across this amazing song yesterday evening for the first time and after listening to it fora few seconds I could sing along and since then it's been ringing at the back of my mind the whole night.... surely God is working through this amazing people for His own the glory.....May He bless y'all....love from Kenya
I am so blessed by your songs. I have repeated this one over 7 times n can't get over it. More Grace to you Bro as you continue to represent Jesus. ****(I have subscribed *****😁🥰👏👏👏🥰💞💕❤❤❤❤❤
Nasisi watoto wako wake kwa waume tunapasa sauti tukisema mtakatifu ni Bwana 🎵🎵🧎🙌 Nice song 🥰
Man of God Zoravo, this song is lit🔥🔥
How do u listen to this song seated...? Nope.. lets all stand and dance!! 🎉🎉🎉 love from Nairobi
Mungu Akubariki sana
Blessed be The Name of Jesus Christ
Amen,Niko Nairobi,nyimbo zako Huwa zinanibari saa,songa mbele mutumishi wamungu kwa nyimbo zako
Sifa kwa bwana kwa kipaji ameki mimina kwa zoravo...
Why I'm singing this song till morning upto now even in my own language, I'm soo bless with your ministry Zoravo, God bless you for this wonderful song 🙌 🙌 🙌 🙌
I must digest the whole song 😊
🎉🎉🎉🎉
Nikitaka kufurahi nakuja hapa kwa zoravo💃
Hakika huu wimbo huwa naupenda sana hasa nikikanyaga madhabahu y kawe* kwa mtumishi wa mungu mtume Boniface mwamposa
Na mimi mtoto wako,napaza sauti nikisema mtakatifu ni Bwana
Powerful Lyrics☑ music arrangement☑ ...God bless you Zaravo more love from 🇰🇪 .....it can only get better ...
Sichoki kusikiliza na kuimba huu wimbo - MTAKATIFU NI BWANA- Zoravo Ni mmoja - Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi
Instrumentalist uweeeeh 😃🔥🔥🔥I lack speech obviously 😂😂💔
Majeshi ya malaika yana paza sauti yakisema mtakatifu nibwana
Good music that touches the heavens and brings it to closest
Barikiwa Sana Kaka Ni Maoni Namna ya Unyoaji ikibadilika Itakuwa Vizur Kutokana Huduma Njema MUNGU Aliyowekeza kwako.
Yaani siku hizi hadi nnashangaa sana aisee,hata wachungaji wapo kimya tu,na baadhi yao wanapiga denge
Ni hatari sanaaa nimeipenda 🤩
From Kenya❤❤❤this is wow,just see how that young girl is praising God,hallelujah,may the name of the Lord be exalted
Audio and video quality top notch. Kazi nzuri sana
True💯
GREAT REVIVAL IN TANZANIA 🔥🔥🔥
GLORY TO GOD
Na Mimi napaza sauti nikisema Mtakatifu ni Bwana🙌🙌🙌🙌🙌
Powerful man of God bless you so much 🙏🙏
Tunapaza sauti tukisema mtakatifu ni Bwana
Wonderful singer,Tanzania tupo juu sana kwa uimbaji,Mungu muinue mtumishi wako zaidi na zaidi
Gloire à l'Éternel notre Dieu ! Nous élevons également la voix pour exalter Le Saint des saints . Meilleure chanson de louange ! Que Dieu bénisse toute l'équipe pour ce grand travail en Jésus-Christ, Amen !
Tunapasa sauti tukisema.. Mtakatifu ni Bwana
May God bless you.
Na sisi watoto tunapaza saut tukisema mtakatifu ni bwana❤
Hallelujah! hallelujah! hallelujah!!! Out God is Lord! He deserves this and more. Mbinguni sijui itakuwaje! God! Tupe Neema tufike
Another one🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥this band is deadly! Such a blessing Zoravo
Huu Wimbo Unanibariki Sanaa , Jana Tumeuimba Kansani Kwetu Wakati Wasifa Aisee Tulibarikiwa Sanaa 🙏❤️
May the name of the Lord be praised and lifted high forever 💃❤️🇰🇪
Nyimbo za huyu jamaa zinaanza vizuri sana wakuu
hallelujah ...................... majeshi ya malaika yanapasa sauti yakisema mtakatifu ni Bwana,..... beautiful powerful song +254 TUNAZIDI KUBARIKIWA KWELI KWELI
Na Sisi wanao tunapaza sauti tulisema mtakatifu ni Bwana
Mungu lazima atukuzwe Duniani kote.. kwa njia yoyote Ile .🙌🙌
Be blessed minister @zoravo
Glory to Jesus majeshi ya malaika yanasema mtakatifu ni Bwana
This is another powerful blessing may you brother continue be lifted high by Him.
Power
2023 m here been repeating this song since morning❤
Respect to back vocalist, hands up to sound engineers 🔥🔥
Tanzania is of another level in praise and worship, May you keep up the spirit of humbleness and holiness for he is seeking for somebody to worship him in spirit and truth.
Ngoma haijafika nishacomment kila mahali 🙌🙌🙌🙏hii n nyimbo ya Kumsifu Huyu BWANA WETU MAANA YEYE NI MTAKATIFU🙌🙌🙌
Daaaaaahhhh ni motooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Firefully song.blessed Zovaro
The instrumentalists really did this one justice!!
Bravo 👏👏
AMEN🙏 🙏nyimbo zako zina upako sana ila hizo nywele hazina utukufu mbele za Mungu ,wacha tuseme tu utakatifu ni pamoja na muonekano wa mtu ,kazi yako isije ikawa bure kwa sababu tu ya nywele hizo kama unania na dhamila ya kumuona Mungu hizo nywele achana nazo mtumishi wa Mungu hivyo unavyonyoa ni style ya mapepo ,nimesikiliz ushuhuda wa rachael mushara anasema alionyeshwa style za unyoaji nywele kuzimu na Bwana Yesu ,anasema alionyeshwa mapepo njisi yalivyo nyoa na Bwana Yesu akamwambia wapo watumishi wangu wanaonyoa hizi style nenda ukawaonye bila hivyo hawataniona maana style za unyoaji ni za kipepo .Mungu anatupenda sana hatamani ata mtu mmoja apotee.
Mapepo ni Roho na hayana Mwili. Injili ya sheria inafanya Neema ya Bwana Yesu ionekane Dhaifu. Hakosei wala kumuona Mungu haina vigezo Mana aaminie ameshaokoka, and His love is unconditional
Mary bhana. Tutapewa miili mipya dada angu. Hebu endelea kubarikiwa na kuabudu kupitia nyimbo hii ya ushindi kabisa.
Afu wewe aliyekwambia muonekano ni dhambi nani....kwahiyo wale wa south na wazungu huko nnje wanao perform wamevaa suruali wote wanavaa style za mapepo.. alafu we unaamini vipi kama huo ushuhuda ni wa kweli au aliamua tu kutafuta kiki do you have valid data to justify your claim au unaongea kwa hisia zako tu..."RUDI NYUMA YETU WEWE SHETANI MWACHE YESU ATAWALE SIO WEWE BINADAMU"
@@samjkaziml9413 ndiyo kuna miili mipya tunapewa huo mwili mpya unasehemu mbili za kwenda kuzimu au paradise ,Mtumishi wa Mungu ni nuru ya ulimwengu ni kweli tunabalikiwa kujengana nako ni vizuri siyo kwamba mimi ni mtakatifu sana hapan
@@emmanswilson7287 ndiyo ni roho na watu walio rohoni ndio wanaona hivyo vitu ,na yeye alivyopelekwa kuzimu na Yesu alikuwa kiroho mwili ulibaki dunian 🙏🙏 Mtu anapo kuonya ujue anakupenda kuliko yule anaye kusifia kila kitu
🔥🔥🔥🔥🔥 Fireeeeeeeee. Kudos. Surely this has taken me away from to south Africa. HOLY IS THE LORD FOREVER.
Wimbo ulio na nguvu ya Mungu umenibariki sana,ila kwa ushauri nywere tu
Kaka barikiwa sana
Mtakatifu ni BWANA 🙏
This song deserves a million views by now! What a song! God bless you #Zoravo
Uko sawa man of God sababu ukinyoa nywele kwa kichwa pia utaitwa mchawi🤔. You can't be good to everyone. You can't please everyone. So be yourself bro🤔🤔
Mtakatifu ni Bwana🙌✍
Zoravoooo!! Bigup Sana ni Mungu Tu tunabarikiwa na uimbaji wenu👏👏👏
Another one powerful here..congratulations brother and the team
The song is powerful.... I'm indeed blessed, mtakatifu ni bwana siku zote 🙏