Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzuri Allah akupe jannah firdausi Aamiin nakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu khair Nas twamuomba Allah atuongoze njia iliyo nyooka Aamiin
Mashaallah kabla ATA cjamaliza kkckiza nakpenda kwaajil ya Allaah nmefrahi Sana tena Sana nlipokuaona juzi masijid Al hudda Nairobi south b Allah akuweke maalim uzidi ktufunza Inshaallah
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh MashaAllah tabarakallahu nakupenda kwajili ya Allah namuomba Allah atakapo nijalia doa kizazi atakacho nijalia naomba kifanane na ww kila kitu ewe Mola wang nakuomba uwenz kutakbali duwa yang unijalie vizazi watakao fata nyao za sheikh othuman maalim kuongea kutowa mawadha na kusoma qru'an
Assalamu alaykum warahma tullah wabarakatuh. Riyadh Tv Naomba kila mawaidha ya sheikh Othman mnitumie kwenye namba hii 0767 038682 kwani Ni ndugu yangu wa damu na anampenda huyu sheikh. Kama mtaiona comment yangu naomba mnifahamishe in Sha Allah.
@@faizasaid8262 assalamu alaykum warahma tullah 😄😄 wallah nimecheka watuwengi huwa wanajua Mimi Ni mwanaume kwa hilo jina. Ila jinalungu Ni Aisha sawa mpenzi
Maashaallh mwenyezimungu akuongoze na elimu yako dinia fill akhela
Shukraan Sana sheikh wetu kwa ujumbe mzuri Allah akupe jannah firdausi Aamiin nakupenda kwaajili ya Allah jazaka Allahu khair Nas twamuomba Allah atuongoze njia iliyo nyooka Aamiin
ahsante shkh mkuu wa afrika mashariki
Allah akuzidishie kheri fidunia wali akhera sheikh Othuman na hasadi husuda Allah akuepushie nayo
Mwenyezi mungu akuzidishie elimu zaidi ya hii.
Imani ni kitu kikubwa duniani. Amin.
Alhamdulillah shekh twashkur kwa darsa Allah akuzidishie.
Mashaallah kabla ATA cjamaliza kkckiza nakpenda kwaajil ya Allaah nmefrahi Sana tena Sana nlipokuaona juzi masijid Al hudda Nairobi south b Allah akuweke maalim uzidi ktufunza Inshaallah
MaashAllah Alhamdulilah Allah atuongeze katika njia ilonyoka na atuepushe na moto 🤲 shukran Sana
masha Allah
Mashaallah
Mashallha sheik ❤
Amin yarabi shukran wajazaka llahu heri
Jazkhaallah kheir
A.ALLAAYKUMU JAAZZAAKM KHERI AALLAAHH ATAKULIPA KWA DAWA AAMIIN
Tumshkuru Mungu kwa kile tuliyopewa na mwenyezi.
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
MashaAllah tabarakallahu nakupenda kwajili ya Allah namuomba Allah atakapo nijalia doa kizazi atakacho nijalia naomba kifanane na ww kila kitu ewe Mola wang nakuomba uwenz kutakbali duwa yang unijalie vizazi watakao fata nyao za sheikh othuman maalim kuongea kutowa mawadha na kusoma qru'an
Amin ya Rabby
Taamma ni mbaya,. Yaani ni nzuri kufa maskini.,. mwenyezi Mungu atulinde. Amina.
MashaAllah jazzakh Allahu kheiri inshaAllah shukran sheikh niukweli mtupu mwenyezi mungu atuepushe na shirk.
Alhamdulillah Rabby Alamin
Nampenda kwaajil ya Allah
Ahsante. Sheikh.
Subhaanah Allaah nikweli kabsa simu simu
Ameen Ameen Ameen Yarabi, waleiku salamu warahmatullahi wabarakatuh Alhamdulilah shukran
Walaikum Salam Warahmatullah Wabarakatuh.Amiiyn thumma Amiiyn.Barak'Allahu fiiQ
Allah tupe mwisho mwema
mashaallah
Assalamu alaykum warahma tullah wabarakatuh. Riyadh Tv Naomba kila mawaidha ya sheikh Othman mnitumie kwenye namba hii 0767 038682 kwani Ni ndugu yangu wa damu na anampenda huyu sheikh. Kama mtaiona comment yangu naomba mnifahamishe in Sha Allah.
Kwann shehe mashehe wengi ndio wanaongoza kwa huo uganga na ndio wanatuongoza
Assalaam Alaykum
Mbona you don’t upload video anymore
Just sauti
Upload historia ya mtume kuwatuma maswahaba habasha
Kwenye mganga😁😁😁😁😁😁😁
Maarimu,naitaji mawaidha, ya, ipi taraka inayofaa, na misingi ya mke bora, au mume bora, nisaidie hiko kisa
Muhammed na Faiza kuja hawa wandugu
zayyati yusufu nipo my Asnte
zayyati yusufu kuna sheh othman micheal chanal ya masijid mtoro unamfatilia yule kuna mdada aitwa wakaya ananiuliza faiza zayyat hii chanal haijui nikamwambia sijui ila mmi sijawai kuona comment yke kma vipi fuatilia my
zayyati yusufu Kwaiyo nikasema nikwambie nayeye nikamwambia akwambie
Aslm alkm mashaallah Allah atujaalie ni wenye kufuata
@@faizasaid8262 assalamu alaykum warahma tullah 😄😄 wallah nimecheka watuwengi huwa wanajua Mimi Ni mwanaume kwa hilo jina. Ila jinalungu Ni Aisha sawa mpenzi
mashaa allah
Mashaallah