Miili ya wanawake wawili yaokotwa, ukifungwa na kiroba mmoja, Mashuhuda wasimulia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Matukio ya kinyama yametokea dhidi ya wanawake wawili katika Mtaa wa Chinyika jijini Dodoma ambao miili yao imeokotwa huku mmoja ukionekana kujeruhiwa na kitu chanye ncha kali.
    Kwa mujibu wa mashuhuda, mwili huo unaoonekana kujeruhiwa na kitu chenye ncha kali, umekutwa ukiwa umefungwa katika nailoni, boksi na kiroba.
    Hata hivyo, juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya zinaendelea baada ya simu yake kutopokewa mara kadhaa.
    Akizungumzia tukio hilo leo Jumatatu, Julai 22, 2024, Kaimu Mwenyekiti wa mtaa huo, Aloyce Maswikwi amesema miili hiyo ilionekana kati ya jana na leo Jumatatu, huku mmoja ukiwa haujatambulika.

ความคิดเห็น • 15

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tutubu Kwa Maana ufalme wa Mungu umekaribia YESU anarudi ,Dunia Iko mwishoni ,Hasa wamama Ombolezeni Sana ,Wamama wako Bize na Dunia Mungu mnemkataa kabisa ,Tubuni kila mmoja atengeneze njia zake Hata umauti ukukute Uwe ndani ya YESU KRISTO

  • @HerenaBaharia
    @HerenaBaharia 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani tuombe rehema ya mungu iingilie kati kwa akili ya mwanadam hatuwezi

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu halali Damu nzito kuliko maji,Watapatikana TU hakuna Zito kwa mungu Muache aufunge huo mwili Hata yeye ataondoka kama hicho kiloba

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu mkoa ambao unaheshimika bunge Ikulu kuu ipo huko lkn ulinzi ni mdogo

  • @majutoomari7445
    @majutoomari7445 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani inaama hii nchi haioni haya matukio yanayoendelea?

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nauliza tu enzi za JPM MLISEMA YEYE SASA MNASEMAJE

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 2 หลายเดือนก่อน +2

      @florencemeza kweli kabisa enzi za magufuli walikuwa wanasema magufuli ndiyo anateka watu anawaua watwambie leo hii magufuli yupo duniani???

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 หลายเดือนก่อน

      @@AlHamra-k4u umeonaaaa wako kimyaaaa

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 2 หลายเดือนก่อน

    Laanatullahi llah

  • @MohamedMkota
    @MohamedMkota 2 หลายเดือนก่อน

    Mhh mm hatasielewi. Tunaelekea wp 😢😢yn hkn. Kiongozi anaekemea haya kwavikali Kila1 anajijali yy. Familia yk

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du 2 หลายเดือนก่อน

    Kumekucha tena 😢😢

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi hii sijui Muafaka

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 2 หลายเดือนก่อน +1

    DUNIA INAZIDI KUVAA SKETI DAH CJUI TATAKIMBILIA WAPI WATANZANIA TUNAENDA WAPI JIULIZE SWALI HILI DUNIA IPO WAPI JIULIZE TENA.

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢